Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 (MWISHO SEASON 1) 19 -- 20
Gonga94 · Stories

💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 (MWISHO SEASON 1) 19 -- 20

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


19

Aliingia kaka yake na Glad Mimi ndio nilikuwa namalizia kupika jikoni, G nimekuletea ice-cream 🍨🍦 unayopenda nilinyamaza kimya hadi alipokuja jikoni.
Glad ametoka mara moja nipo mimi peke yangu nilikuwa namalizia kupika niliongea huku nikijiuma uma je kama akiniuliza ameenda wapi ? Nitajibu nini .
Oh Sawa nilijua yupo ice cream 🍨 hii hapa basi utakula wewe...
Nilichukua ile ice cream 🍨 nikamshukuru 🙏 alivyotoka tu nikaanza kuila kama mwendaazimu na ilivyokuwa tamu 😋.

Nilimaliza kula nikatoka hadi sebuleni nilimkuta amekaa kwenye sofa anachezea PC sijui anaandika mambo ya kazini kwao mimi sijui.
Kaka nimemaliza ngoja mimi niende usiku 🌃 umeshaingia...
Mbona unaondoka bila ya kula, na umesema huna hali ngumu nenda kapakue chakula 🥗 🍲 ule ndio uondoke sawa...
Sawa kaka nilimjibu nikaenda jikoni kupakua chakula nilipakua kidogo tu kuona haya 😌 nikala haraka haraka nikasafisha chombo nilicholia nikatoka jikoni.
Kaka asante 🙏 nashukuru sana nimeshiba mimi naenda.
Ngoja aliingiza mkono mfukoni akatoa wallet yake akanipatia elfu kumi, hiyo ya nauli usiku 🌃 mwema kuwa makini...
Asante 🙏 niliondoka nikaanza safari ya kurudi ghetto usiku kama mnavyojua foleni inakuwa inapungua nilifika ubungo mawasiliano mapema tu nikafikia kulala 😴 na hivi nilichoka sana. Asubuhi 🌅 na mapema niliamka nikajiandaa nikaenda zangu chuo nilikaa kidogo Glad naye akawa amekuja.
Jana nilikuuza sikurudi vipi kaka hajakuuliza nimeenda wapi 🤔.
Nashukuru hata hajaniuliza maana sijui ningemjibu nini nilikula nikaondoka, Sawa wewe jitahidi kufanya kazi vizuri kaka yangu hana shida yule kwanza ana upendo 💕 na kila mtu nampenda sana Glavin wangu his my best friend sio kaka tu..
Sijawahi kuona watu wamefuatana wakapendana nyie wa ajabu sana 😂 na uzungu unachangia natamani kama na mimi ningekuwa na ndugu wa kunipenda..
Usijali Nelly I'm here for you now ni mabest friends ila nakuona kama ndugu kwangu ukiwa na shida yoyote usisite kuniambia nina uwezo nacho nitakusaidia..
Asante 🙏 sana Glad lecture huyo kaa vizuri, maana alikuwa amekaa juu ya meza.
Glad alikaa vizuri tukaanza kipindi hadi mida ya saa saba mchana tulikuwa tushamaliza kusoma...
Nilichukua mkoba wangu nikamfuata Glad, mimi naenda bunju kwa kaka yako nikafanye usafi ili niwahi kurudi nyumbani 🏡 mapema..

Sawa kuna mahali naenda ningekuwa sina inshu ningekupeleka, usijali Glad nauli ninayo. Haya sawa niliondoka nikaelekea nyumbani 🏡 kwa kaka yake na Glad, hata jina nilikuwa simfahamu kumbe ni Glavin jina zuri limekaa kisomi tuachane na hayo tuendelee na story yetu 😅.
Nilifika getini niligonga mlinzi alikuja kunifungulia kwa kuwa alipewa maagizo kuwa nitaenda akanipatia funguo.
Niliingia ndani nikaanz

Itaendeleaaaaaaa

ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO
SEHEMU YA 20

Nilikaa kama dakika tano ndipo ujumbe ukarudi kwenye simu yangu. Yah nipikie chakula cha jana kilikuwa kitamu sana angalia humo kwenye friji kuna kuku pika na wali.. Niliishia kutabasamu nilivyosoma hiyo meseji nikaenda jikoni nikaanza kupika...
Mara nikasikia mlango unafunguliwa nikajua labda ni kaka Glavin karudi tu mapema..
Kumbe sio yeye alikuwa ni mdada tena sura sio ngeni nilishawahi kumuona chuoni tena ofisini alikuwa anaongea na lecture...
Enhee wewe nani tena mbona sura sio ngeni? Yule dada aliniuliza.... Mimi sikumshangaa sana kwa kuwa Glad alishanipa taarifa zake kuwa kaka Glavin ana mpenzi anasoma..
Mimi ni mfanyakazi nilimjibu huku naendelea kumuandaa kuku... Mfanyakazi kivipi wewe sio mwanachuo tena unasoma na Glad...
Ndio nasoma nae ni rafiki yangu nilimjibu... Mhh sawa kama umekuja kufanya kazi kweli jitahidi ufanye kilichokuleta sijui unanielewa..... Yule dada aliongea
Sawa nimekuelewa nilimjibu. Aliniangalia akanipandisha akanishusha akaondoka zake .
Moyoni nikasema ondoa wivu dada mimi nina shida ya hela hapa nina mambo kibao yananisubiri mbele... Nilipika nilivyomaliza nikafunika vizuri nikapakua nikala kisha nikaondoka nikamuacha bibie yupo sebuleni anaangalia movie
.
Nilifika nyumbani nikaenda kuoga nikajilalia zangu maana kama kula nishakula kilichobaki ni kulala tu.
Asubuhi nilienda zangu chuo, nikamkuta Glad tayari amefika. Shoga mh jana yalinikuta mambo mwenzio si amenikuta mpenzi wake na kaka Glavin mdada ana nyodo hatari.
Kwani ulikuwa hujui hapo kashaisi unatembea na mpenzi wake yeye hata kufagia tu hawezi kanajidai slay queen mimi na yeye hata haziivagi sana anatakaga aniendeshe kama gari bovu hiyo nafasi siwezi kumpa kabisa .
Utafanyaje sasa ndio wifi
yako tena inabidi tu
ukubaliane na hali..
Mh ngoja tuonehawa ndio wanafanya mawifi tuonekane ni watu wabaya kumbe hata.
Haya rafiki yangu ngoja mimi niende kuna mahali napitia Glad aliniaga akaondoka zake nikiwa nimekaa nikasikia naitwa nyuma... Mwisho wa season one usikose season 2 ipo tayarii nichangie tupate Leo 0768304821 omary luambano 🙏 changia huduma zetu 0768304821 omary luambano changia bando halotel 0623101263 omary luambano 🙏 kumbuka mchango wako unajenga tovuti yetu kuna malipo ya mwezi miendelezo ya simulizi mbali mbali peke yangu siwezi bila wewe gonga94 inajengwa na wanagonga94 🙏🙏🙏

Maoni

You're not logged in


Tangazo - boss Enzo fully stories
boss Enzo fully stories
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 (MWISHO SEASON 1) 19 -- 20



19

Aliingia kaka yake na Glad Mimi ndio nilikuwa namalizia kupika jikoni, G nimekuletea ice-cream 🍨🍦 unayopenda nilinyamaza kimya hadi alipokuja jikoni.
Glad ametoka mara moja nipo mimi peke yangu nilikuwa namalizia kupika niliongea huku nikijiuma uma je kama akiniuliza ameenda wapi ? Nitajibu nini .
Oh Sawa nilijua yupo ice cream 🍨 hii hapa basi utakula wewe...
Nilichukua ile ice cream 🍨 nikamshukuru 🙏 alivyotoka tu nikaanza kuila kama mwendaazimu na ilivyokuwa tamu 😋.

Nilimaliza kula nikatoka hadi sebuleni nilimkuta amekaa kwenye sofa anachezea PC sijui anaandika mambo ya kazini kwao mimi sijui.
Kaka nimemaliza ngoja mimi niende usiku 🌃 umeshaingia...
Mbona unaondoka bila ya...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/ila-boss-anajua-kupeleka-moto-mwisho-season-1-19-20

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle #BeautyBattle #AfricaVsWorld #Tanzania #Kenya #Congo #Rwanda #Burundi #SouthAfrica #USA #VoteNow #DebateTime #Trending 🐓 Follow the ommy khan Tanzania channel on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029VbCg0JyFsn0hCN1ByD44

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi ila-boss-anajua-kupeleka-moto-mwisho-season
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

NAKUPENDA BILA MIPAKA 151 -- 157

NAKUPENDA BILA MIPAKA 151 -- 157

517
NAKUPENDA BILA MIPAKA 158 -- 160

NAKUPENDA BILA MIPAKA 158 -- 160

479
NAKUPENDA BILA MIPAKA SEASON FOUR 145 - 150

NAKUPENDA BILA MIPAKA SEASON FOUR 145 - 150

463
ZARA❤️ Sehemu ya 8 na 9

ZARA❤️ Sehemu ya 8 na 9

334
ZARA❤️ Sehemu ya 6 na 7

ZARA❤️ Sehemu ya 6 na 7

304
*IN LOVE WITH ZURI*  *SEHEMU YA 14*

*IN LOVE WITH ZURI* *SEHEMU YA 14*

197
BILLIONS OF LOVE💓💓   SEHEMU YA "16_17"💓

BILLIONS OF LOVE💓💓 SEHEMU YA "16_17"💓

196
IN LOVE WITH ZURI* *12&13*

IN LOVE WITH ZURI* *12&13*

188
*IN LOVE WITH ZURI* *SEHEMU YA 15*

*IN LOVE WITH ZURI* *SEHEMU YA 15*

172
*IN LOVE WITH ZURI* *Sehemu ya 11*

*IN LOVE WITH ZURI* *Sehemu ya 11*

134

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

12.06K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.74K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.92K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.72K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

3.15K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

3.06K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.92K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.89K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.8K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.73K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

****

  • 💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO💋🙌 💋SEASON 2 💋 31 -- 32 29-03-2026 09:00

****

  • *IN LOVE WITH ZURI* *SEHEMU YA 18* 29-03-2026 09:43

****

  • 💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO💋🙌 💋SEASON 2 💋 33 -- 34 29-03-2026 15:29

****

  • 💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO💋🙌 💋SEASON 2 💋 35 -- 37 29-03-2026 18:29

****

  • *IN LOVE WITH ZURI* *Chapter 19&20* 29-03-2026 19:45

****

  • 💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO💋🙌 💋SEASON 2 💋 38 -- 40 30-03-2026 03:29
Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
MWALIMU KAITAKA MWENYEWE  SEHEMU YA SITA Post Mpya
MWALIMU KAITAKA MWENYEWE SEHEMU YA SITA
@majario LIVE

STORY NA Mbogo Edgar WHATSAA: 0743433005 ILIPOISHIA SEHEMU YA TANO: Naam ile analikunjua na kuanza kulisoma, mwalimu Jackline ambae alisha tegemea ujumbe ule ndani ya karatasi, alijikuta ana kunja sura kwa mshangao...

MWALIMU KAITAKA MWENYEWE  SEHEMU YA TANO Post Mpya
MWALIMU KAITAKA MWENYEWE SEHEMU YA TANO
@majario LIVE

STORY NA Mbogo Edgar WHATSAA: 0743433005 ILIPOISHIA SEHEMU YA NNE: “mh! Unamaanisha unapenda sister mtawa?” aliuliza Judith, kwa sauti ya chini, iliyojaa mshangao, akijaribu kumtazama Michael, ambae ilikuwa zamu yake kutazama chini...

MWALIMU KAITAKA MWENYEWE SEHEMU YA NNE Post Mpya
MWALIMU KAITAKA MWENYEWE SEHEMU YA NNE
@majario LIVE

ILIPOISHIA SEHEMU YA TATU: Hapana, Michael na wenzake walikuwa wanafahamiana na watawa awa, kutokana na kuwa, mala kwa mala uwa anakutana nao kwenye makongamano ya dini, lakini ukweli ni kwamba,...

MWALIMU KAITAKA MWENYEWE SEHEMU YA TATU Post Mpya
MWALIMU KAITAKA MWENYEWE SEHEMU YA TATU
@majario LIVE

ILIPOISHIA SEHEMU YA PILI: “hapana mwalimu, kaa tu, mimi siyo mtazamaji wa mpira” alisema Njwanga, ambae kwa ujanja wa hali ya juu sana, aliukikamata kiganja cha mkono wa mwalimu Jackline...

MWALIMU KAITAKA MWENYEWE SEHEMU YA PILI Post Mpya
MWALIMU KAITAKA MWENYEWE SEHEMU YA PILI
@majario LIVE

ILIPOISHIA SEHEMU YA KWANZA: huku anamtazama mama wa mtoto Eric, kabla aja mtazama tena mtoto Eric, kisha akamtazama tena mama Eric, kama vile anataka amwulize kitu, lakini akashindwa, akabakia kuinuka...

*MWALIMU KAITAKA MWENYEWE SEHEMU YA KWANZA* Post Mpya
*MWALIMU KAITAKA MWENYEWE SEHEMU YA KWANZA*
@majario LIVE

*SEHEMU YA KWANZA* MWALIMU KAITAKA MWENYEWE, ni mkasa mfupi ambao unausiana na kisa ambacho siwezi kusema moja kamoja ni chakweli, ila nusu ya mambo yaliyo andikwa yanaegemea kwenye ukweli, lakini tahadharikwa...

*IN LOVE WITH ZURI* *16&17 * Post Mpya
*IN LOVE WITH ZURI* *16&17 *
@majario LIVE

____________________________________* *SEHEMU YA KUMI NA SITA* SONGA NAYO...... Safari ya kuelekea salon ilianza na muda wote huo Ethan na Zuri walikuwa wakipiga story za hapa na pale, isipokuwa mimi nilikuwa huku nyuma nimekaa...

ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO SEHEMU YA 30 Post Mpya
ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO SEHEMU YA 30
@majario LIVE

Sasa sikia nikuambie tena nisikilize kwa umakini sana mimi sijawahi kusomea mambo ya mahusiano sijui unanielewa, kingine sina huo ukaribu na kaka Glavin nikaanza kumwambia huo upuuzi aliye karibu...

ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO SEASON TWO 28 -- 29 Post Mpya
ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO SEASON TWO 28 -- 29
@majario LIVE

ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO SEHEMU YA 28 Tulimtafuta Glavin bahati nzuri tukamuona, Glad akamuomba anipeleke nyumbani alikubali niliingia kwenye gari safari ikaanza... Glavin alivyokuwa anaendesha gari ...

ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO SEASON TWO 26 -- 27 Post Mpya
ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO SEASON TWO 26 -- 27
@majario LIVE

SEHEMU YA 26 Sawa hamna shida kaka, nilisikia unadaiwa ada chuo nipe control number na kiasi unachodaiwa ili tu ufanye mtihani kwa amani.... Kaka Glavin unasema kweli nilimuuliza, yah sitanii nilisimama nikapiga...

ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 21------25 SEASON 2 Post Mpya
ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 21------25 SEASON 2
@majario LIVE

SEHEMU YA 21 Nelly Nelly, niligeuka nyuma baada ya kuitwa alikuwa ni rafiki yangu Neema, Abeh umeniita kwa kunishtua una shida gani? Nilimuuliza. Nilisikia unatafuta tenda ya kazi? Ndio...

*IN LOVE WITH ZURI* *SEHEMU YA 15* Post Mpya
*IN LOVE WITH ZURI* *SEHEMU YA 15*
@majario LIVE

SONGA NAYO....... Ilinibidi niwe tu mpole, ila ushauri wa Ethan niliuona haufai kabisa kwa upande wangu, imagine nimempa zawadi jana tu harafu hizo siku za huko nyuma sijawahi kumfanyie hivi Harafu eti...

*IN LOVE WITH ZURI*  *SEHEMU YA 14* Post Mpya
*IN LOVE WITH ZURI* *SEHEMU YA 14*
@majario LIVE

Basi bwana siku hiyo chai ilishuka bila wasiwasi kabisa, maana zuri kila muda alikuwa ananijali sana, utasikia frank nikuletee maji?? Mara ohooo kaka Frank umepaliwa jamani pole Yani alikuwa anaongea huyu...

IN LOVE WITH ZURI* *12&13* Post Mpya
IN LOVE WITH ZURI* *12&13*
@mjukuu LIVE

* SONGA NAYO....... Nilisema huku nikimkabizi ule mfuko, zuri alinitazama sana mpaka ule ujasiri wote niliokuwa nao ulianza kupotea kidogo kidogo "Unasema..??" Aliniuliza "Am nimekuletea hii hapa zawadi.." "OH my God ni yangu..??" Aliniuliza tena huku akitabasamu,...

*IN LOVE WITH ZURI* *Sehemu ya 11* Post Mpya
*IN LOVE WITH ZURI* *Sehemu ya 11*
@mjukuu LIVE

SONGA NAYO...... Haraka haraka nilitoka nje ambako nilimkuta Ethan akiwa ananisubiri, bila kusubiri chochote niliingia kwenye gari na safari ya kurudi nyumbani ilianza, ni mida ya saa moja na nusu hivi "Dah...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest