ZARA❤️ Sehemu ya 6 na 7
__________
Mwandishi; LISSA WA HURU MEDIA
Khaaaaa nilichukia nikamuangalia uyu kaka kwa dharau na hasira kwli kweli, kwanza nikampandisha kisha nikamshusha , nikamuuliza eeeh umesahau nn, au unadai mshahara apa ulikuwa hujamaliziwa kupewa ndo umekuja kuufata ebu nambie vizuei kaka , yule kaka akanmbia hapana zara, nimekuja kuongea na ww kiamani mdogo wangu, nikasema.we mjinga kumbe , nani mdogo wako ,nani mdogo wako kwanza, we mjinga nn unaweza kuwa na mdogo kama mie, ebi niachie uwandawazimu wako mie, nikaanza kusema na uyo mfanyakazi wa getini nae ntahakikisha anfikuzwa kazi si kakurubisu kuingia ndani mjinga ww, anaanzaje kukuruhu mtu kam.ww sasa na yeye ntamuonesha ataondoka kweupe kama ulivyoondoka ww hanijuhi kumbe uyoo , yule kaka aknmbia zara unajua nn ebu punguza hasira na unisikilize kaka.yako.mbona uanzungimzika zara , nyumbani nna wadogo zangu wawili kama ww, wa kwanza ni amemaliza form four kama ww na wa wapili ni amemaliza darasa la saba na anatakiwa afanyiwe mandalizi ya kwenda kitdato cha kwanza,
Zara, awa wadogo zangu wote mi ndo napambana nao , na mm ndo kila kitu nyumbani, yani mi ndo naaingaika kwa kila kitu kwa ajili yao, na pia nna mama amabae napambana kwa ajili yake , zara samahani basii mdogo wangu nisamehe sana , naomba nisamehe basi kaka yako niludi kazini plssss, nisamehe sana nategemewa mnoo , naomba sana zara nirudi kazini, nisamehe mdogo wangu, unajua ile siku na mm sikuwa sawa kabisa , nilikuwa na matatizo.ya kifamilia, na vile tukapishana kidogo basi ndo nikajikuta nimekufanyia vile nismehs sana zara ,nisamehe mdogo wngu, hii kazi mi naitegemea sana mwenzako, nisamehe basi mdogo wangu yaishee, nikasema et yaishe kumbe una shidaa eeeh sasa hapa kazi hupati sijali chochote kuhusu, jifunze kusema na shida zako ila apa kazi huna ,unazani mm nna shida ya dereva jeuri kama ww ,thubutu wala sina shida iyo so naomba sana tuheshimiane, basi nikiwa naendelea kumchamba yule kka ,akaja dada amanda ,akasema heeee kumbe unaongea na melvin
Melvin akasema eehh nipo apa bwana madame amanda , nimekuja kuongea kidogo na zara, da amanda akasema ahaa nimesikia maongezi yenu, melvin usijali ntaongea na zara, melvin akasema.sawa ntashukuru sana amnda naonmba sana unisaidie hilo aludishe myo nyuma , mie nikasema bwana nenda akusaidie nn unazani ndo ntakusamehe uludi kunitesa kama ile siku uwa unanitembeza na njaa thubutu hurudi apa , nazani unijuh vizuri , da amanda akanmbia zara ebu acha bwana kisha ingia ndani, kukweli mimk namuheshimu sana da amanda ni kanilea kabisaaa, so huwa namsikiliza kama.mama yangu, tena.kuna vitu mm nimamuweka wazi dada.amanda na si mwengine, mna ata milipovunja ungo mtu wa kwanza kumueleza juu ya hali yangu alikuwa ni dada amanda tu, basi mi nikamuacha pale melvin kasimama kisha nikaingia ndani, nikamuacha dada amanda sasa anaonge ana melvin, na baada ya mda sasa da amanda akaludi ndani, nilikuwa nna hasiraa ,yani mm ndo shida yangu nikikwazika kidogo tu nakuwa nna hasira mnooo, basi da amanda akanmbia aya mdogo wangu mzuri umenuna nn sasa ebu njoo tule twende tukaemee vitu vyako,
Nikasema dada amanda we upo upande wa yle mjinga si ndio, unaona naumoenea et eeh ,da amanda akanisogelea akanambia zara ebu acha moyo wa kujaza viti mdogo wangu sio sawa, unajua katika maisha wati tupo tofauti sana hatufananai, ww mungu amekujalia wazazi wako wana mali na wana maisha mazuri, ila usihisi kila mtu yupo hivyo, yani usihisi kila mtu ana maisha mazuri kama ww, unajua yule melvin kwako ni mkubwa mnooo , unatakiwa kumuheshimu, ukweli ni kwamba ulikosea kumjibu vibaya, nikasema.dada amanda mimi nilikosea nn kumwambia nina njaa nataka kula, dada amanda akanmbia ulimuongelesha vibaya lakin, na yeye amekosea amekufanyia asira amefanya mrembo wetu hajala, ila.sio.sawa , unajua uyu melvin ana miez 4 sasa anafanya kazi apa namjua kwa kiasi
Sehemu ya 7
Sio kijana wa maneno.sana na nikijana mpole na msikivu,na mwenye heshima sana ila ww na yeye mlikosana mala moja tu, ebu msamehe , ongea na wazazi wa mludishe kazini.,si.amekueleza ana majukumu.mengi mnoo, amekwambia anategemewa , na ana wadogo zake kama ww na anawasomesha, ebu muelewe na mpa nafasi ya mwisho, nikasema dada amanda uyu nikimsamehe si ataludi apa.na ataendelea kuniendesha kiukweli mm simtaki dada yani simtaki kabisaa aendelee luwa dereva wangu, da amanda akasema hapana usiseme hivyo mrembo wangu hwana, mbona haufananii na iyo rohoo, ata akija kukuendesha ww atakuwa amejifunza sana, na hawezi kutokukusikiliza kamwe ,atakuheshimu sana sawa mpenzi kuwa na amani basi, na umsamahe melvin bwan, nikajikuta nimecheka ,nimasema mh dada amanda mbona unamuombea sana msamaha au mhumba akoo, dad amanda nae akacheka kisha akasema hapana bwana mimi wama sio mtu wangu yule , ila napenda watu wote, na napenda kusamehe pia ,na ndo mana nimekuomba na ww umsamhe yule kijana , nikasema sawa dada namsehe kwa ajili yako ,asa akiludia tena mimi sitakuwa na msamaha nae, dad amanda akasema hawezi kurudia bwana
Basi dada akanmbia twrnde ukale sasa, twende nikupeleke mjini, nikasema sawa dad, basi kweli tukaludi mezani tukamalizia chai, kisha sasa nikaingia chumbani kwangu nikababadili nguo, nikapendeza mnoo, nikawaka.kweli kweli, nikatoka sebleni nikakakuta dada amanda nae ameshajiandaa, basi akanishika mkono na tukatoka mpaka njee ,kisha tukachukua boda tukaelekea centre kuemeea sasa, basi uko tuliiingia mdukani na nikachagu vitu vyote nilivyokuwa navitaka, nilibeba chupi nyingi, nikachukua visidiria japo viziwa vyangu vidogo ila nilipenda tu, basi nikafungusha vitu vingi vya kidada dada, mpaka pedii nklichukua mana zilinishias na pesa iliyobaki, nikamnunulia dada amanda gauni, basi dad amanda akfurahi sana na akanishukuru mnoo, nikasema wala usijalia dada we ni mlezi wngu uananilea na unanishauri mamabo mengi,
basi dada amanda akanmbia asante kwa kulifahamu ilo, basi mchan ndo tukarudi nyumbani tena apo tulishakula uku uku mjini,so mm nilivyofika, moja kwa moja niliekea chumbani ,nikaenda kujibwaga kitandani kupumzika
Nikajilaliz zangu mpaka jioni saa 1 usiku ndo nikakaamka ,nikaelekea bafuni, nikapiga maji ya baridi, nilipotoka sasa nikavaa vizur ndo nikatoka sebleni namkuta baba anakunywa juice uku anangalia taarifa ya habari, basi nikamsogelea baba , nikamsalimia kwa heshima bab akaitikia ,kisha akanmbia umeamka sasa mana dada amanda alinambia umelala umechoka mlienda mjini leo, nikasema.ndio dady nimezulula sana basi nikahisi miguu inauma sana , baba akcheka akasema ila si ufanye mazoezi mrembo wangu, nikasema yes dady , baba akanmbia aya nenda kwenye gari kachukue mizgo yako ,nikasema.woow dady basi haraka nikatoka njee yani parkimg ya magri ya baba, basi siti ya mbele, woow nikatuka mfuko nikaunyanyua nikarudi nao mpak ndani kwa mbwembe, jamani ndo nikafumgua zasa ,ni kulikuwa na PC mpyaaa na simu nzuri kubwa ya smart, nilifurahi mnooo nikamkumbatia baba yangu na nikambusu, baba akanmbia napenda sana mtoto wangu ukifurahi,
Basi nikamshukuru sana baba kusha nikabeba vutu vyangu nikaenda chunbani kw adad amanda nakwambia, basi nikamkuta dad amanda anasoma vutabu, mi tangu namjua dada amanda anapenda sana kusoma vitabu, basi nikamwambia dada ona vitu vyangu, apo nafanya uku navitoa ,nimasema umeona hivi ni kaninunuliwa baba nnafuraha sana , da amanda akasema wooow ni vizur sna jamani nikasema.thans dada, basi da amanda akanmbia lakini umeshaongea na baba kuhus melvin, nikasema hapana sijaongea nae, nilishasahau, dada amanda akanmbia no usisahau bwana ebu nenda kwa baba kaongee nae kipenzi sawa? , nkasema.sawa hakuna shida basi nikaweka vitu vyangu chumbani kwa dada amanda kisha sasa nikarudi kwa baba, baba aliponiona akanmbia vpo mrembo wangu au umekuja kumulizia mama,na kama ni mama mama alinambia leo ana wagonjwa wengi so atachelewa san kuridi nikasema no dady mm nimekuja na suala lengine ,bana aknambia okey karibu mrembo wangu una suala gani? Ebu nmboe baba yako
⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️
⚪️⚪️
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
Maoni