ZARA❤️ Sehemu ya 10
__________
Mwandishi; LISSA WA HURU MEDIA
ila sasa ni alijuwa na heshima sana na mimi, yani alijirejebisha kweli kweli , waha hakuwa annifanyia ujeuri kabisaa,yani ata kidogo hapana , na nilikuwa nikimueleza kitu anafanya mala moja, yani anikimwnabia nipeleke sehemu faln kwanza kabla hujanipelkea home nataka nikuchukue kitu, anambia sawa madame hakuna shida na ananipeka nyoo ubabe na kisirani aliacha kabisaaaa, japo mm kuna jonsi bado nilikua namdhalau ila yeye wal hakuwa na shida nikajua now karudi na akili tumamu na kajua sasa kaja kutafuta nn kazi , ila utu kaka nae wala sio muongeaji sana melvij naweza sema ni mwanaume amabe ni mple kwa kisi flan
Bazi nakumbuka siku iyoo, mida ya jioni kaja kunifata kituoni, nikaingia kwenye gari kwa mbwembewe kweli kweli, basi melvin akanmbia ahaa madame habar, nikasemanpowa niludishe nyumbani nimechoka sana leo ata sijisikii kuongea sana na mtu mda huuso famya kuwahi ili nikapumzike.zangu ,melvina aksem.sawa nakupeleka madame but nna ombi kidogo kwako, nikasema ombi lipi, akanmbia ahaaa kuna kitu nimebeba kwa ajili ya mama nampelekee nyumbani chapu kisha nakurudisha nyumbani,nakuhakikishia madame.hatutamaliza at ddakika 5 ,mana nikiludi nyimbani kukuludisha wwz tanibidi niunge nikamfate mama yako kazini, na nahisi kama na mm mama.atahuitaji.ujui mzigi sasa hivi, nisaidie tunazie apo sikai ata daki 5, nikasema okey sawa ila.naomba tusikae sana, aikuona sababu ya kumtalia.mana aliongea kiadabu sanaa,na mm napendwa sana khnyanyekewa na kupewa uspecial
Basi melvin chapu akanza kudrive sasa , ilikuwa ni njia ya kuelekea nyumbani ila.sasa baada ya kunyiosha yeye akaingia kushito na moja kwa moja akaendesha mpaka jiji cha usole.sawa iki.ni kijiji cha karibu na kwetu tu wala.sio mbali mbali sana , basi akafika mpka nyumbani kwao sasa, mhhh ilikuwa ni nyumba moja mbaya kweli kweli,iliyosindika na udongo mwekundu nanjuu kuna bata chakavu mnooo, yani ile.nyumba ilikuwa imechoka mnoo, mh nikamuuliza mbona umepark apa pale ndo nyumbani kwenu , melvin aksema.yaa ndo pale vp unaataka kumsalimia mama, karibu wapo pia wadogi zangu unawrza kupata mrafiki mana wanaumri kama.ww, mh nikasme hapana mm sishuki kabisaa, we nenda mm nakungoja apa, akanmbia powa basi yeye kashuka kisha sasa akaenda nyuma akufungua buti kisha aktoa mzigi aloubeba ambao ni mchele, kisha akabeba ule migo mpka ndanikwao.sasa , apo mm nipo kwenye gari tu na wala sikushuka, na baada ya mdaa sasa nikaona melvin katoka mule ndani na mama mtu mzima , na yul3.mama alikuw kama kama anamsindikiza mwlvin hivi, niluona mh uyu melvin kweli yeye kwao ndo kichwa na ndo kila kifu yani ndo muhudumiaji,
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
Maoni