Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 14
Gonga94 Β· Stories

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 14

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Mwandishi:lissa mwalla
Mmmh nilihisi utumbo unacheza, kwa nn haruhusiwi ndoa sasa? Au ameoa? Nilijiuliza sana, keanu akasema sijakuelewa kwa nn siruhusiwi kuoa sasa? Akasema kuna mashart katika kila kanisa ili ukamilike lazima uwe unahudhuria kanisani na kutambulika kama mkristo pia uwe unalipa zaka ww hufanyi hivo, ndio mana unakosa sifa za kufunga ndoaa, ukitaka ndoa anza kwanza kuwa unahudhuria kanisani pia unakipa zake kwa muda wa miezi sita mfululizo tukutizamie na hata kama hauishi hapa basi utaleta utambulisho wa kabisa unalohudhuria. Mmmh keanu alinitizama akasema sawa nimekuelewa. Tukasimama na kuondoka, keanu akasema nn tena hiki? Makanisa yameanza lini mashart magumu hiv? Nikasema kwani mara ya mwisho kanisani kwenda alikua ni lini? Akasema mmh kusema kweli ni kitambo sana, nikasema basi ndio hivo unatakiwa ufate. Akasema daaaah sawa bana kwa hio tuishi bila ndoa? Nikasema sijui sasa, akasema hapana tufunge hata ya serikali ili ww na kijacho muwe na haki hata kazini Kwangu au unasemaje wakati huo naendelea kuhudhuria kanisani kisha tuje tubariki. Sikuona kama ni wazo baya, akasema basi tutawashirikisha wazazi, nikasema sawa. Nililala siku mbili nikarudi kwa mama na baba nikawashirikisha hilo wakasema sawa ilimrafi ameshajulikana mengine tunawaachia ninyi, nikasema sawa. Nilimpa jibu mme nae akasema kwao wameelewa hivo tukaandikishe tu ndoa. Tukakubaliana tukaenda zetu kuandikisha .ilitangazwa siku 21 ndipo tukafunga ndoa yetu na kusherehekea katafrija kadogo tu kalikohusisha ndugu wa karibu sana na marafiki wa karibu. Kalikua na watu 30 tu waliokula na kunywa kwa gharama za keanu. Nilihamia dar sasa kwa keanu na kuanza maisha rasmi ya ndoa, keanu alikua ananijali kama kawaida yake na kunipenda sana. Graduation yangu ilifika
Nilifanyiwa party na kimimba changu nilipata chet changu na nilifanya vizuri snaa. Maisha ya ndoa yalikua matam kiasi kwamba nilikua nashangaa wanaosema ndoa ndoano sijui mana mm nilikua kama niko peponi, mme ananijali kila nitakacho napata, ananipetpet ananitoa out, nilipelekwa veta kusomea udereva miezi mitatu nikajua vizuri nikapewa gari hapo mimba ina miezi sana kuelekea nane. Niko kama Nina kazi vile navaa na vile naishi. Mimba ilipotimiza miezi nane mme wangu alipata uhamisho akahamishiwa tabora huko, hakupenda lkn hakua na naman. Aliomba yy atangulie akaandae mazingira ya mm na yy kuhamia huko, nikasema sawa hivo akaenda zake tabora huko. Alikua wiki tatu akasema. Sasa naweza kwenda mana ameshapata nyumba nzuri ya sisi kuishi. Yalikuja magari ya jeshi kwa ajili ya kutuahamisha nikafungashiea mizigo safari ya tabora ikaanza. Tulifika usiku lkn tulipokelewa na nyumba ilipangwa kama mchana vile ndio raha ya wanajeshi ukiwa na kacheo ww unatuma tu makuruta wanafanya kazi. Katika kufika mm sikuwa sawa kabisa nilikua nkmevimba sana mme wangu akasema ni hali ya mimba natakiwa kupumzika, sababu nae ni dokta wa wanawake nikamskiliza. Nilipumzika lkn kingine nikagundua sikuwa naskia mapigo ya mtoto kabisa wala alikua hachezi, mme wangu akasema inawezekana nae kachoka wewe pumzika. Nilipumzika Siku mbili mbili mfululizo simskii mtoto nikasema Hapana hii sio kawaida nikawambia keanu, nae akastuka akasema twende hospital. Nilijiandaa na kwenda hospital kupima Utra sound dokta alibadilika uso akawa na uso fln nilihisi kabisa kuna shida kubwa tena, nikasema kuna nn dokta? Akasema umeacha kumskia lini mtoto? Nikasema juzi nikivofika toka safari, akasema ahaa basi naomba mniskilize kwa makini itabidi tukushughulikie haraka mana mtoto amefia tumbon. Keanu akasema nn. Dokta akasema poleni aana ni hatari sana kwa mama inabidi leo tufanye hivo,mm. Niliangua kilio mana sikufikiria hayo kabisa. Keanu akasema naelewa mana mm Ni gyno pia basi anzeni. Nilichukuliwa pale nikiaa sielewi maskin nikapelekwa wodini nikadungaa sindano nikawekewa na dawa gani sijui huko chini,nilikaa lisaa limoja nikaanza skia maumiv ya kiuno na chini ya kitovu uwiii maikumiv makati yanakera nilihangaika na kulia sana sanaa dokta na manes walikuja nikapimwa nikachukuliwa na kupelekwa leba, nilijifungua mtoto aliefariki tayr niliumia sana moyo wangu. Nilisafishwa nikarudishwa wodini, nilikua nalia tu mana kitoto nilikiona ki bby boy kikubwa jmn sa kwa nn? Nilikua na maumiv yasioelezeka nilitaman hata kufa na mm. Mme wangu alikua faraja kwangu aliniambia nisiwaze tutapata wengi wengine wala nisiwe na shida. Aliwapigia nyumbn na kwao kueleza yalotokea wazazi waliskitika sana sana. Nilikaa hospital siku tatu nikichomwa madrip ya flagly na madawa menginr kuua infection nilipomaliza nikaruhusiwa nikarudi nyumbn nikiwa moyo wangu umevunjika sana. Sikuweza kua yule Mwenye furaha tena wala. Mwezi ulipita nklipata kazi hapohapo ajira kabisa ya serikali na nilipangiwa kituo cha afya mana tukipokua tunaishi haikua mjini ni kijijin fln japo pamechangamka sana. Sababu sikuwa mtu wa kujichanganya kitaa nilivornfa kurepory kazini nilikua kama mtu mpya kabisa. Niliriport na kuanza kazi sikutaka kabisa kuomba sijui ruhusa nijipange mana nilikua nikiwa nyumbn nawaza sana mwanangu. Nilifanya kazi mwezi mmoja mme wangu akaanaa wimbo wa kutaka mtoto, nikasema lkn mme wangu hospital si wameshaur nikae miezi sita ndipo nibebe mimba jmn? Akasema miezi Sita ya nn? Mm ndio mme wako na ni gyno Nakuambia sasa. Nikaona Kufanya mambo yawe mafupi nikakubali lkn nilikua natumia zangu kalenda. Mme aangu alianza kubadilika taratibu, alianza kuwa mnyaji sana ikifika weekend anakunywa kurudi usiku wa manane, nikaona hii inazidi nikamkalisha nikasema mme wangu hii tabia ya kurudi usiku wa manane mbona inakua kawaida sasa? Mm. Sipendezwi nayo. Akasema heee unataka niwe nawahi kurudi kufanya nn nyumbn sasa? Kama. Ww nimeshakuzoea nishacheza na ww sana ungekua na mtoto ningesema niwe nawahi kucheza na mtoto sasa nawahi nawahi nn? Umeanza gubu siku hizi bana sasa unahisi nakua wapi? Au hutaki hata niwe na marafiki? Aaaaghhhh akachukua funguo ya gari akaondoka. Nilijiskia vibaya yn mtoto wangu kafa ananitonesha? Nilihuzunika sana sikujua kiburi cha keanu kilitoka wapi.siku hio nilivomsema akaondoka mifa ya SAA nane usiku akatuma msg akasema najua unaona. Usumbufu mm kurudi usiku kukugongea sasa kuwa na amani lala funga milango yako mm sirudi. Uwiii yamekua hayo tena? Hapana nikapiga simu ikaita ikakata, nikapiga tena skapokea amelewa akasema Nini sasaa nikasema mme wangu naomba urudi mm siwezi kuchoka kukufungulia ww ni mme wangu keanu rudi. Akasema aaaahhh unamaneno mengi weweee mara nikaskia kay bana nachoka kukushikilia agana na huyo mwanamke wako twende tukatiane hukoo 😳😳😳,alikua sauti ya kike keanu nae akakata simu.......

πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“

Maoni

You're not logged in


Tangazo - SHAMIRA fully episode
SHAMIRA fully episode
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 14


Mwandishi:lissa mwalla
Mmmh nilihisi utumbo unacheza, kwa nn haruhusiwi ndoa sasa? Au ameoa? Nilijiuliza sana, keanu akasema sijakuelewa kwa nn siruhusiwi kuoa sasa? Akasema kuna mashart katika kila kanisa ili ukamilike lazima uwe unahudhuria kanisani na kutambulika kama mkristo pia uwe unalipa zaka ww hufanyi hivo, ndio mana unakosa sifa za kufunga ndoaa, ukitaka ndoa anza kwanza kuwa unahudhuria kanisani pia unakipa zake kwa muda wa miezi sita mfululizo tukutizamie na hata kama hauishi hapa basi utaleta utambulisho wa kabisa unalohudhuria. Mmmh keanu alinitizama akasema sawa nimekuelewa. Tukasimama na kuondoka, keanu akasema nn tena hiki? Makanisa yameanza lini mashart magumu...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/jogoo-wa-kienyeji-sehemu-ya-14

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle #BeautyBattle #AfricaVsWorld #Tanzania #Kenya #Congo #Rwanda #Burundi #SouthAfrica #USA #VoteNow #DebateTime #Trending πŸ“ Follow the ommy khan Tanzania channel on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029VbCg0JyFsn0hCN1ByD44

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi jogoo-wa-kienyeji-sehemu-ya
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 11
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 11
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 7
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 7
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 8
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 8
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 12
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 12
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 13
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 13
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 6
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 6
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 15
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 15
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

NAKUPENDA BILA MIPAKA 131 - 140 SEASON THREE

NAKUPENDA BILA MIPAKA 131 - 140 SEASON THREE

451
CHAGUO LA MOYO ❣️ 8 -- 10

CHAGUO LA MOYO ❣️ 8 -- 10

118
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 15

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 15

83
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 14

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 14

62
πŸ’‹ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO πŸ’‹ 18

πŸ’‹ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO πŸ’‹ 18

51
Iran rejects peace plan and mocks Trump Akhtar Makoii

Iran rejects peace plan and mocks Trump Akhtar Makoii

10
Kinachomtisha Mgosi ni kuwa Edna Lema anawachezaji walioonekana wa kawaida Simba

Kinachomtisha Mgosi ni kuwa Edna Lema anawachezaji walioonekana wa kawaida Simba

4

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

12.04K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.72K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.91K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.67K
MY WANGU❀️ sehemu ya 108

MY WANGU❀️ sehemu ya 108

3.11K
MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

3.04K
MY WANGU❀️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❀️ sehemu ya 116 na 117

2.91K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.86K
MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

2.76K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.71K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 15 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 15
@majario LIVE

Mwandishi:lissa mwalla Simu ilikatwa,nilichanganyikiwa,iv nimeskia kweli au ni mawenge yangu?keanu ananisaliti?yani maneno yake makavu yote aliyoniambia hayakua na maana sikuyajali kabisa nilijali mwanamke alieongea.nikasema hapana ngoja,nikapiga simu iliita ikakatwa,nilipiga tena ikakatwa,nikapiga...

Kinachomtisha Mgosi ni kuwa Edna Lema anawachezaji walioonekana wa kawaida Simba Post Mpya
Kinachomtisha Mgosi ni kuwa Edna Lema anawachezaji walioonekana wa kawaida Simba
@majario LIVE

ila sasa wapo kwenye kiwango cha hali ya juu kiasi cha baadhi kuitwa timu zao za taifa. Diana Mnally Ritticia Nabbosa Precious Christopher Wincate Kaari Aisha Djafar Edna Lema...

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 14 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 14
@majario LIVE

Mwandishi:lissa mwalla Mmmh nilihisi utumbo unacheza, kwa nn haruhusiwi ndoa sasa? Au ameoa? Nilijiuliza sana, keanu akasema sijakuelewa kwa nn siruhusiwi kuoa sasa? Akasema kuna mashart katika kila kanisa ili...

πŸ’‹ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO πŸ’‹ 18 Post Mpya
πŸ’‹ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO πŸ’‹ 18
@majario LIVE

Mida ya jioni vipindi vilipoisha tuliongozana na Glad hadi kwa kaka yake ilikuwa ni saa kumi na moja za jioni hivyo alikuwa kasharudi toka kazini tulimkuta nyumbani 🏑. Karibuni...

CHAGUO LA MOYO ❣️ 8 -- 10 Post Mpya
CHAGUO LA MOYO ❣️ 8 -- 10
@majario LIVE

SEHEMU YA 08 "Kwanza haoni ajabu kukufukuza,na akisema hakutaki ujue hakuna was kukutetea hata mama hataongea .... kwaiyo muangalie hivyo hivyo kauli yake moja tu inakuondoa........... Nicole aliposema hivyo nilimuogopa sana...

Iran rejects peace plan and mocks Trump Akhtar Makoii Post Mpya
Iran rejects peace plan and mocks Trump Akhtar Makoii
@mjukuu LIVE

Screengrab from video put out by Iranian state media Tasnim News of an Iranian missile with Trump's name on it, in response to the great gift from Iran Trump claimed...

NAKUPENDA BILA MIPAKA 131 - 140 SEASON THREE Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 131 - 140 SEASON THREE
@majario LIVE

:131 Nikawa natoa ile bahasha. Vile natoa, namuona Boss Yule anakuja. Ni wazi alisikia kengele au aliniona kwa juu. Nikasema kwa ndani β€œniondoke?” Ataona Kama namkimbia, Nikajikaza pale kusubiri. Basi kweli alifika,...

MFALME KIPOFU  27 Post Mpya
MFALME KIPOFU 27
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 27 (FINAL) Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita........ Nawauliza Princess Nailet yupo wapi? alipotazama Pembeni hakuamini kuona mwili wa binti yake....... ENDELEA NAYO...... Mfalme Tengu alilia kama mtoto mdogo "Pole sana mfalme kwa kipindi kigumu unachopitia Prince...

MFALME KIPOFU  25 -- 26 Post Mpya
MFALME KIPOFU 25 -- 26
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 25 Whatsapp.............0748697173 ilipoishia sehemu iliyopita....... Maneno ya Lindiwe yalimfanya Princess Nailet kutabasamu nakutulia kuwaacha waongonzane watu watatu tu Malikia,Prince Yao na Amma mwenyewe kwenda kutafuta iyo dawa...... ENDELEA NAYO.......... Malikia andwaa aliongoza msafara wa...

MFALME KIPOFU  23 -- 24 Post Mpya
MFALME KIPOFU 23 -- 24
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 23 Whatsapp.............0748697173 ilipoishia sehemu iliyopita....... Maneno yale yalipenya kwenye masikio ya Amma na baadhi ya watu waliokuwa pale wakitazama tu badala ya kutoa msaada,Babaaaaa............ ENDELEA NAYO.......... "Baba amka",Amma alimwita baba yake, Aliye kuwa tayali amepoteza...

MFALME KIPOFU  21 -- 22 Post Mpya
MFALME KIPOFU 21 -- 22
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 21 Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita........ Malikia alichanganyikiwa baada ya kusikia maneno yale ya dakitari Malikia aliita walinzi na ,kuwapa maagizo ya kuwakamata matabibu wote...... ENDELEA NAYO....... Walisubili pakuche msako uanze wa kuwakamata matabibu...

MFALME KIPOFU  19 -- 20 Post Mpya
MFALME KIPOFU 19 -- 20
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............19 Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita...... Ni mapenzi ya ajabu aliyokuwa nayo Princess Nailet kwa Yao licha ya kumfahamu kwa mda mfupi tu lakini aliteka sehemu kubwa ya moyo wake... ENDELEA NAYO....... Aliendelea na safari ya...

MFALME KIPOFU  17 -- 18 Post Mpya
MFALME KIPOFU 17 -- 18
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............17 Ilipoishia sehemu iliyopita...... Lindiwe alitege sikio vizuri na kweli alisikia sauti emu njoo huku alimvuta Prince Yao pembeni na kujificha sehemu ni ngumu kuonekana. Namu sura ya General haikutoka machoni mwake alimuona...

MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17 Post Mpya
MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17
@mjukuu LIVE

Ilipoishia sehemu iliyopita...... Asikari",Mfalme Tengu aliita kwa hasira "Nendeni mkawarudishe haraka" "Mfalme tayali wameshavuka mpaka" "Nimesema nendeni mkawarudishe" Waliondoka na kumuacha Mfalme akiendelea ..... SEHEMU YA 16 ENDELEA NAYO...... Waliondoka na kumuacha mfalme akiendelea kuongea na binti...

LETICIA Sehemu ya 19 na 20 Post Mpya
LETICIA Sehemu ya 19 na 20
@majario LIVE

πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’ Nikasikia madam prisca anasema nyie uko jikoni mbona kama mnajibizana sana ,polela akasema amna madamu ,kisha akaondoka basi mwenzenu polela akawa ananisumbua kila siku ,yaani kila akiniona nipo peke yangu...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest