ZARA❤️ Sehemu ya 8 na 9
__________
Mwandishi; LISSA WA HURU MEDIA
Nikasema.dady sio kuhusu mama ni kuhusu yule dereva melvin, baba aksema ahaa yule derebaa si tumeshamfukuza jamani zara nn sasa, nikasema baba mi nimemuonea huruma ,nahisi ata kuwa anategemewa labda au labda ana familia yake inamtegemea, so nimeona tu baba umrudishe kazini, baba aksema mh ni kweli, utawezana nae yule mtoto wangu na ameshakukwaza, hapana sikia achana nae yule, natafuta tu dereva mwengin ndo atakuwa anakupeleka na kukuludisha kwrnye masomo ya pro form five mtoto wangu mana mm najua kudrive, na mama anaweza kudruve, so dereva ni kwa ajili ya emrgency na kumpeleka dada amanda sokoni na vutu mbali.mbali vya siokoni, na mostly ni kwa ajkli yajo kwa kipindi iki ambacho tupo nyumbani lakini, nikasema baba mi nishaindoa na kinyongo juu ya yule dereva na mludishe tu kazini yule.yule nimeomuonea hurama mi wala sitaki dereva mwengine ,
Baba kaningalia san kisha aksema sawa mtoto wangu neno lako kwangu ni sheria hakuna shida ntafanya hivyo mtoto wangu, nikasema sawa dady thanks nakupenda sana, baba aksema mh umekuwa sasa unaonea mpaka watu huruma na unawafikilia na wengine, mh baba angejua kuwa kanishauri dada amanda mi wala sijuwa na mpnga na kumsahau nilishamsahau wala asingemaliza maneno angenyamaza tu kimyaa, basi baada ya kuongea na baba nikaludi ndani sasa kwa dada amanda, nikamwambia dada teali nishaongea na baba kasema atamlejesha ila mm simuamini yule melvun namuona kama ana hasira hasira ,dada amanda akasema sikia melvin hana shida yule utamzoea mnoo na ni mtu mzuri sana , ila kwa sasa ukimuona usimuite melvin, yule ni mkubwa kwako, mm si unanita dada amanda, basu na yule inabidi umuite kaka melvin sawa mana amekuoita sna kiumli,nikasema sawa dada, basi mie nikabaki tu chumbani napigia story za apa na pale na dada amanda, basi tukongea sana na tukaongea mengi mpak nilipohisi njaa mida ya saa 3 usiku, ndo tukenda dining kupata chakura , ila baba wala hakula alisema anamsubir mama, na wazazi wangh ndo walo hivi always kwenye kula huwa wanapenda wale pamoja sanaa, so kma mmoja ni kawagi kuridi nyumbani ni lazima atamsubirj mwenzie ili waje kula kwa pamoja
Basi baada ya chakura sasa mimi nikaelekea chumbani kwangu, nikatoa simu yangu, na uzuri ilishakuwa na laini na baba ndo aljnisajilia kabisaa , basi nikachukua na karatasi ambayo niliandika namba za rafiki zangu wa shuleni na nikaanza kuwasiliana nao, mie sio kwamba sijuh kutumia simu, no mm kutumia hizi simu kubwa naweza mnoo, sema tu wazazi bado hawakuwa wameniruhush kutumia simu kwa kipndi iko ila kwa sasa ahaaa nainjoy sana , badsi nililala.usku mwingi mnooo yani usiku mkubwa kweli kweli sio sir na yote sababu nilikuwa npiga sna story za shoga yangui,
na asubuh na mapema niliendelea na ratiba zangu ila mida ya mchana mama yangu akaomba kuongea na mm sasa , na wala sikuwa na shida nikaenda kumsikiliza sasa, mama aksniukiniuliza baba kanmbia kuwa umemsamehe yule melvin na unataka aludishwe kazini? Nikasema yaaa mama mi naona tu aludi wala sioni shida, mana nimehisi huwenda ata kuwa ana majukumu mengi na uwenda alikuwa anategemea ile kazi so mrudisheni tu pia naamini atakuwa kashjifunza sasa, na hatanizingua tena , mama akatabasamu akasema mh amanda ananilelwa mwanangu vizuri, mi najua ni amanda ndo kakushauri umsamehe yule kijana,nikatabasamu kisha nikasem ni kweli mama ni yeye ndo kanishauri lakini ni kitu kizuri na nimeamua kumsamhe fu mama akanambia sawa mrembo wangu wala hakuna shidaaa ntampigia simu na ataingia kazini mana ata mm huwa nanisaidiaga kunipeleka na kunifata kila siku , sipendi kudrive kwel, nikasema swa mama ,basi nilivyomaliza kuongea na mama nikanyanyuka na nimaenda kuendelea na ratiba zangu za kila siku, na kwa sasa nklikuwa ndo najifunza kupika na dada amanda so mala nyingi nakiwa jikoni najifundisha kupika na dada.amanda ndo ananifundisha kila kitu
Sehemu ya 9
nakumbuka zilipita siku 2 , na siku ya 3 ndo sasa melvin akirudisha kazin, na nakumbuka alifika nyumbani mida ya saa 11 jioni naona mama ndo alimuita uo mdaa, basi mama aliniita na mm na akatukutanisha ple na melvin, hii siku uyu melivin ni alipoa tena alikuwa na sula ya kiple kweli kweli, kma sio yeye alitekuwa ananijeulia ile siku, nyoo chezea ugari ww, nahisi uyu alikuwa hanijui vizuri kichwa changu ,mi mwenyewe mshnzi kama yeya, na ndo akanijua sasa, naona kaelewa kuwa mm ndo nasikilizwa mnoo na wazazi kjliko chochote, basi mama akmwamvia melvin umekuwa ukinitumia sms nyingi za kila lep, kuniomba msamaha na nikurudishe kazini si ndoa?
melivin aksema ndio mama ,mama aksema sasa basi nimekulusisha kazi kuanzia leo lakini yote ni huruma ya binti yangu, ni yeye ndo amekusamwhe na ameluonea huruma na amenambia nimupe chance ya mwishi sasa ukuzingua tena ,na ukamfanyia mtoro wangu ajisikie vibaya apo melvin sijuh kama utakuwa na nafasi nyengine yani na kufukuza na kazi ,melvina aksema.asnte sana mama nahaadi apa ayo mambo hayatajitokeza tena na htafanya kazi vizur leo mama, mama akasema sawa
Basi melvina akaniangalia kisha aksema zara asante sana mdogo wangu asante sana, kuna mda na sisi wakubwa tunawakosea nyie wadogo, nakiri kwako zara kwa ile siku nilijukosea naomba sana unisamehe, nikasema.sawa nimekusamehe na ndo mana nimeongea. Na mma yangu akuludishe kazni sasa ikijitokeza tena, mimi sitakuwa na msamha na wewe tena malivin ndo ukweli, malvin akasema naelewa zara ma wala hakutakuwa na shida, mama aksema okey melvin keshi unanza kazi kesho asubuh saa 2 uwe apaa, melvin aksema sawa mama asante sana kisha akanyanyuka akaondoka zake sasa, na mimi nikalekea kwa dad amanda kupiga nae stiry mbili tatu, basi na kesho yake by saa 2 kamili melvin akaja na akampeleka kazini mama, na kuanzia apo kazi yake kubwa ilikua ni kumpleka kazini mama na kumrudisha mana mama hapendi kuendesha mwenyewe sana, basi apo na sisi, yani.mm ma dada amanda tukiw na safari, basi uyu melvin akawa anatupeleka bila ya shida kabisaaa , na wala hakuwa ananioneshea kusrini kabisaa, na tena alikuwa anapenda sana kuongea na. Dada amanda ,ila mm nilikuwa najinyamazia zangu kimyaaa wala sikuawa na stoey na melvin kabisaaaa
Basi mm nilipumzika nyumbani weeek 2 , na week ya tatu mzee akaninazisha sasa pre form five, uko mjini, sio mbali san na kwetu ni kama mwendo wa dakika 30 ukitumia gari, na sasa akawa uyu melvin ndo ananipeleka na kuniludisha alikuwa anaanifta asubuh saa 2 anaipeleka kwenye kutuo, na anafata jioni ni saa 10 kisha ananiludisha nyjmbani, ikawa hivyo na mama anampeleka kazini, yani hivyo yeye ndo melvina akawa ndo dereva wetu ata dada amanda akitaka kumpeke sokoni ama kuemee anampeleka, kukwrli mm sikuwa na ongea nae kabisaa uyu kaka , na nikiwa ndani ya gari.kila mtu na mmbo yake , nakuwa busy na simu yangu mpaka tunaika myumbni,
⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️
⚪️⚪️
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
Maoni