Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

NAKUPENDA BILA MIPAKA 158 -- 160
Gonga94 · Stories

NAKUPENDA BILA MIPAKA 158 -- 160

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
:158
Aliendesha na kuniambia “nisamehe kwa kukuteka asubuhi, nisamehe maneno yalinitoka asubuhi lakini ilikuwa lazima nifanye vile. Wewe katoto ni kabishi sana. Huna hata huruma unataka mtu mzima mpaka nipige ukunga.”

Nilimtazama, anaongea anatabasamu, anatabasamu zuri sijawahi kuona akitabasamu. Si unajua huyu cha kuvimba, cha kuna, Mr serious eenh, nilijikuta nacheka na yeye akacheka akisema “umenilaza nje kweli, Haki ya Mungu Nazwi huna huruma.”

Nikacheka na kusema “nisamehe, sikujua. Nisinge kubali ulale nje kiukweli. Nisamehe sana na kuhusu utekaji nitafikiria lakini nina ushuhuda boss.”
Akanitazama na kucheka kidogo akisema “eti nina ushuhuda, eneh ushuhuda gani tena?”

Nilitabasamu na kusema “leo wakati nikiwa jikoni nilipokea mzigo, nilipoenda kutazama ulikuwa na Abaya nzuri za ndoto zangu kusema kweli namshukuru sana Mungu.”

Akacheka na kusema “muone.”
Nilicheka tu na akasema “Unaweza kuniita Gallen?”

Nilimtazama kwa sauti ndogo nikasema “Mr serious.”
Akacheka akisema “whaaaat!!”
Nilimtazama na kusema “whaaat, Mr Gallen, Mr Gallen.”
Akacheka, Nilitabasamu.

Ni kama ndoto lakini ndiyo uhalisia, unaweza ukamuona mtu ana ringa, hataki kuongea na watu kumbe wala hata, kila mtu ana watu wake. Mr Gallen kumbe ni mtu wa furaha tu ila akiwa na watu wake pengine.

Bado tukiwa tunaendelea na safari, nilikuwa nimetulia tu, mawazo juu ya rafiki yangu yalikuwa yananizidia hata Mr Gallen tukiwa kwa foleni aliniita jina langu akisema “Nazwi, unaweza kuniambia nini kinakusumbua?”

NAKUPENDA BILA MIPAKA:159
Nilimtazama na kushusha pumzi nikisema “hakuna shida hata.”
Alinitazama akisema “nikuteke tena au utasema.”

Nikatabasamu na kusema “ni kuhusu tu rafiki yangu, dada yangu anapitia wakati mgumu sana na mama yake.”
Alinitazama akasema “mama yake?, nini tatizo?”

Na alianza kuendesha tena, mimi nilianza kumuelezea kwa maumivu. Hata aliniambia “relax!!, relax!! Nakuelewa. Hii ni mbaya sana. Lakini hana haja ya kumkimbia labda kama akiona mazingira haya hayamfai kwasasa. Anaweza kufanya jambo na kila kitu kikawa sawa.”

Nilimtazama na kusema “afanye nini sasa.”
Alitabasamu na kusema “naweza kukutana naye si ndiyo?”

Nilimwambia kwa upole “bila shaka ila nitaongea naye kwanza maana nimekwambia hata bila ruhusa yake pengine hatopenda.”
Aliniambia kwa upole “ni kweli, ni kweli kabisa. Umefanya vizuri basi itabidi ufanye hivyo.”

Nikatabasamu na kusema “labda kesho.”
Akasema “ni sawa.”
Nilimtazama na kusema “na nilisahau kesho ni jumapili mapumziko. Mama itakuwaje?”

Alishusha pumzi na kusema “hata mimi sitaki iwe jumapili. Nitaongea na mama. Lakini si uje tu kwani unaenda wapi?”
Nilisema kwa upole “hapana, nipumzike sijapata siku ya kupumzika.”
Aliniambia “upo sahihi.”

NAKUPENDA BILA MIPAKA:160
Yaani tunaongea kama tuna mazoea vile kumbe wala. Hapa hatujaongelea busu hata kidogo. Tulinyamaza tena mpaka tunafika nyumbani. Alisimamisha gari kigizagiza cha saa mbili tena. Nikawa nataka kushuka aka funga milango.
Akawa ananitazama nikatabasamu na kusema “utekaji tena?”

Alinitazama tu na halafu alisema “Hey, Nazwi, nisamehe kwa kilichotokea ofisini.”
Nilijikuta napoa, aliniambia tena “Sijui, sielewi. Nashindwa kujizuia kabisa.”
Nilishusha pumzi na kusema “Tusahau hilo. Naomba niende.”

Akanishika mkono na kusema “una hakika unataka tusahau?”
Nilishindwa hata kumtazama. Akaniambia kwa upole “Nawezaje, Siwezi kusahau, I need More and more. Please can we?”

Enh, Muanko anataka vagi lirudiwe, sikuweza hata kumjibu, alisogea kidogo alinishika uso kwa upendo na mikono yake mizuri. Unashikwa tu unaona hapa ni sehemu yangu salama, unajua unahisi ule upendo halafu akasema “una midomo mizuri, una macho mazuri sana, ona sura yako you are so cute.”

Hata sijajibu, tayari alichukua midomo yangu, nilifumba tu macho yangu, alinibusu kwa muda na aliniachia akisema “hata sitosheki, ila unatakiwa kwenda.”

Ni kweli mama yupo nje na Priya. Niliinamisha kichwa changu, nikawa nataka kufungua nitoke. Aliniambia tena kwa upole “Nilishakwambia relax, am here for you Nazwi.”

Nikatabasamu, akaniambia kwa upole “kuhusu dokta, usimzoee, achana naye, fuata mambo yako.”
Niliitikia. Akashuka, akanifungulia mlango na kutoka zangu. Akaniambia “nakupeleka.”

Hata kugoma naweza sasa, kwanza hapa nipo hoi mwenyewe, natamani tena na tena na tena. Tulifika mpaka kwa mama na dada Dorice akawa anatoka. Aliponiona alitabasamu. Mama alisimama, Priya akasalimia “Shikamoo.”

Maoni

You're not logged in


Tangazo - SHAMIRA fully episode
SHAMIRA fully episode
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

NAKUPENDA BILA MIPAKA 158 -- 160

:158
Aliendesha na kuniambia “nisamehe kwa kukuteka asubuhi, nisamehe maneno yalinitoka asubuhi lakini ilikuwa lazima nifanye vile. Wewe katoto ni kabishi sana. Huna hata huruma unataka mtu mzima mpaka nipige ukunga.”

Nilimtazama, anaongea anatabasamu, anatabasamu zuri sijawahi kuona akitabasamu. Si unajua huyu cha kuvimba, cha kuna, Mr serious eenh, nilijikuta nacheka na yeye akacheka akisema “umenilaza nje kweli, Haki ya Mungu Nazwi huna huruma.”

Nikacheka na kusema “nisamehe, sikujua. Nisinge kubali ulale nje kiukweli. Nisamehe sana na kuhusu utekaji nitafikiria lakini nina ushuhuda boss.”
Akanitazama na kucheka kidogo akisema “eti nina ushuhuda, eneh ushuhuda gani tena?”

Nilitabasamu na kusema “leo wakati nikiwa jikoni nilipokea mzigo,...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/nakupenda-bila-mipaka-158-160

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle #BeautyBattle #AfricaVsWorld #Tanzania #Kenya #Congo #Rwanda #Burundi #SouthAfrica #USA #VoteNow #DebateTime #Trending 🐓 Follow the ommy khan Tanzania channel on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029VbCg0JyFsn0hCN1ByD44

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi nakupenda-bila-mipaka
NAKUPENDA BILA MIPAKA 131 - 140 SEASON THREE
NAKUPENDA BILA MIPAKA 131 - 140 SEASON THREE
NAKUPENDA BILA MIPAKA 141 - 144 MWISHO WA SEASON THREE
NAKUPENDA BILA MIPAKA 141 - 144 MWISHO WA SEASON THREE
NAKUPENDA BILA MIPAKA: 109 - 120 SEASON THREE
NAKUPENDA BILA MIPAKA: 109 - 120 SEASON THREE
NAKUPENDA BILA MIPAKA 96 - 100 MWISHO SEASON TWO
NAKUPENDA BILA MIPAKA 96 - 100 MWISHO SEASON TWO
NAKUPENDA BILA MIPAKA 1 - 12
NAKUPENDA BILA MIPAKA 1 - 12
NAKUPENDA BILA MIPAKA 121 - 130 SEASON THREE
NAKUPENDA BILA MIPAKA 121 - 130 SEASON THREE
NAKUPENDA BILA MIPAKA 76 - 86 SEASON TWO
NAKUPENDA BILA MIPAKA 76 - 86 SEASON TWO
NAKUPENDA BILA MIPAKA  36 - 45
NAKUPENDA BILA MIPAKA 36 - 45
NAKUPENDA BILA MIPAKA 151 -- 157
NAKUPENDA BILA MIPAKA 151 -- 157
NAKUPENDA BILA MIPAKA SEASON FOUR 145 - 150
NAKUPENDA BILA MIPAKA SEASON FOUR 145 - 150
NAKUPENDA BILA MIPAKA 26 - 35
NAKUPENDA BILA MIPAKA 26 - 35
NAKUPENDA BILA MIPAKA 66 - 75 SEASON TWO
NAKUPENDA BILA MIPAKA 66 - 75 SEASON TWO
NAKUPENDA BILA MIPAKA SEASON THREE 101 - 108
NAKUPENDA BILA MIPAKA SEASON THREE 101 - 108
NAKUPENDA BILA  MIPAKA 87 - 95 SEASON TWO
NAKUPENDA BILA MIPAKA 87 - 95 SEASON TWO
NAKUPENDA BILA MIPAKA  161 -- 164
NAKUPENDA BILA MIPAKA 161 -- 164
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

NAKUPENDA BILA MIPAKA 151 -- 157

NAKUPENDA BILA MIPAKA 151 -- 157

367
NAKUPENDA BILA MIPAKA SEASON FOUR 145 - 150

NAKUPENDA BILA MIPAKA SEASON FOUR 145 - 150

335
ZARA❤️ Sehemu ya 8 na 9

ZARA❤️ Sehemu ya 8 na 9

212
ZARA❤️ Sehemu ya 6 na 7

ZARA❤️ Sehemu ya 6 na 7

205
BILLIONS OF LOVE💓💓   SEHEMU YA "16_17"💓

BILLIONS OF LOVE💓💓 SEHEMU YA "16_17"💓

154
IN LOVE WITH ZURI* *12&13*

IN LOVE WITH ZURI* *12&13*

122
💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 (MWISHO SEASON 1) 19 -- 20

💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 (MWISHO SEASON 1) 19 -- 20

109
*IN LOVE WITH ZURI* *Sehemu ya 11*

*IN LOVE WITH ZURI* *Sehemu ya 11*

87
ZARA❤️ Sehemu ya 10

ZARA❤️ Sehemu ya 10

66
Zamani kidogo nilikuwa darasa la saba siku moja mama aliongea na Mimi akanambia baba ako anarudi leo

Zamani kidogo nilikuwa darasa la saba siku moja mama aliongea na Mimi akanambia baba ako anarudi leo

36

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

12.06K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.74K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.92K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.7K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

3.14K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

3.05K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.91K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.88K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.78K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.73K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

****

  • NAKUPENDA BILA MIPAKA 161 -- 164 29-03-2026 00:00
Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
IN LOVE WITH ZURI* *12&13* Post Mpya
IN LOVE WITH ZURI* *12&13*
@mjukuu LIVE

* SONGA NAYO....... Nilisema huku nikimkabizi ule mfuko, zuri alinitazama sana mpaka ule ujasiri wote niliokuwa nao ulianza kupotea kidogo kidogo "Unasema..??" Aliniuliza "Am nimekuletea hii hapa zawadi.." "OH my God ni yangu..??" Aliniuliza tena huku akitabasamu,...

*IN LOVE WITH ZURI* *Sehemu ya 11* Post Mpya
*IN LOVE WITH ZURI* *Sehemu ya 11*
@mjukuu LIVE

SONGA NAYO...... Haraka haraka nilitoka nje ambako nilimkuta Ethan akiwa ananisubiri, bila kusubiri chochote niliingia kwenye gari na safari ya kurudi nyumbani ilianza, ni mida ya saa moja na nusu hivi "Dah...

ZARA❤️ Sehemu ya 10 Post Mpya
ZARA❤️ Sehemu ya 10
@mjukuu LIVE

__________ Mwandishi; LISSA WA HURU MEDIA ila sasa ni alijuwa na heshima sana na mimi, yani alijirejebisha kweli kweli , waha hakuwa annifanyia ujeuri kabisaa,yani ata kidogo hapana ,...

ZARA❤️ Sehemu ya 8 na 9 Post Mpya
ZARA❤️ Sehemu ya 8 na 9
@mjukuu LIVE

__________ Mwandishi; LISSA WA HURU MEDIA Nikasema.dady sio kuhusu mama ni kuhusu yule dereva melvin, baba aksema ahaa yule derebaa si tumeshamfukuza jamani zara nn sasa, nikasema baba mi nimemuonea huruma ,nahisi...

ZARA❤️ Sehemu ya 6 na 7 Post Mpya
ZARA❤️ Sehemu ya 6 na 7
@mjukuu LIVE

__________ Mwandishi; LISSA WA HURU MEDIA Khaaaaa nilichukia nikamuangalia uyu kaka kwa dharau na hasira kwli kweli, kwanza nikampandisha kisha nikamshusha , nikamuuliza eeeh umesahau nn, au unadai mshahara apa ulikuwa...

NAKUPENDA BILA MIPAKA 158 -- 160 Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 158 -- 160
@mjukuu LIVE

:158 Aliendesha na kuniambia “nisamehe kwa kukuteka asubuhi, nisamehe maneno yalinitoka asubuhi lakini ilikuwa lazima nifanye vile. Wewe katoto ni kabishi sana. Huna hata huruma unataka mtu mzima mpaka nipige ukunga.” Nilimtazama,...

NAKUPENDA BILA MIPAKA 151 -- 157 Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 151 -- 157
@mjukuu LIVE

:151 Kwenye akili yako vuta picha zile Abaya za kituruki, halafu ziwe tatu, nzuriiiiiii, rangi nyeusi, rangi nyeupe, na zambarau fulani imechanganyika, halafu kuna gauni mbili za ukali, eenh, eenh sijui...

NAKUPENDA BILA MIPAKA SEASON FOUR 145 - 150 Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA SEASON FOUR 145 - 150
@mjukuu LIVE

:146 Nilimtazama natabasamu, nakuambia uoga mimi sina, sina kabisa maana nishajua huyu Dokta anapambania mahali ahitajiki. Kwanza angejua raha mimi nilikuwa naipata hapa ameniharibia mimi. Si unajua unampenda mtu huwezi kumwambia halafu...

BILLIONS OF LOVE💓💓   SEHEMU YA "16_17"💓 Post Mpya
BILLIONS OF LOVE💓💓 SEHEMU YA "16_17"💓
@majario LIVE

( alikuja kama muuza chai kumbe ni Billionea) Alikunywa dawa zake akatulia 🥹nilikuwa namuonea huruma sana yule mkaka jmn 🥹 Muda huo huo wateja wakaja watatu , mimi sasa bize...

Zamani kidogo nilikuwa darasa la saba siku moja mama aliongea na Mimi akanambia baba ako anarudi leo Post Mpya
Zamani kidogo nilikuwa darasa la saba siku moja mama aliongea na Mimi akanambia baba ako anarudi leo
@majario LIVE

toka safari(Hawa ni mama na baba angu wa kunizaa) mama alinambia baba akifika tuu chochote atakachokwambia kubali nikamwambia Kuna nini akanambia Nisikilize Mimi nikamwambia nakusikiliza akasema leo utalala chumbani...

💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 (MWISHO SEASON 1) 19 -- 20 Post Mpya
💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 (MWISHO SEASON 1) 19 -- 20
@majario LIVE

19 Aliingia kaka yake na Glad Mimi ndio nilikuwa namalizia kupika jikoni, G nimekuletea ice-cream 🍨🍦 unayopenda nilinyamaza kimya hadi alipokuja jikoni. Glad ametoka mara moja nipo mimi peke yangu nilikuwa namalizia...

NAKUPENDA BILA MIPAKA 141 - 144 MWISHO WA SEASON THREE Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 141 - 144 MWISHO WA SEASON THREE
@majario LIVE

:141 Nikamwambia kwa ujumbe “Boss ni usiku sana, nenda nyumbani, tutaongea kesho naomba nipumzike.” Akanijibu “sitaondoka hapa mpaka uje kunisikiliza.” Nikamuonyesha Dorice, Dorice akasema “kamsikilize Labda ni muhimu.” Nikamwambia Dorice “kusema kweli mimi roho...

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 15 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 15
@majario LIVE

Mwandishi:lissa mwalla Simu ilikatwa,nilichanganyikiwa,iv nimeskia kweli au ni mawenge yangu?keanu ananisaliti?yani maneno yake makavu yote aliyoniambia hayakua na maana sikuyajali kabisa nilijali mwanamke alieongea.nikasema hapana ngoja,nikapiga simu iliita ikakatwa,nilipiga tena ikakatwa,nikapiga...

Kinachomtisha Mgosi ni kuwa Edna Lema anawachezaji walioonekana wa kawaida Simba Post Mpya
Kinachomtisha Mgosi ni kuwa Edna Lema anawachezaji walioonekana wa kawaida Simba
@majario LIVE

ila sasa wapo kwenye kiwango cha hali ya juu kiasi cha baadhi kuitwa timu zao za taifa. Diana Mnally Ritticia Nabbosa Precious Christopher Wincate Kaari Aisha Djafar Edna Lema...

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 14 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 14
@majario LIVE

Mwandishi:lissa mwalla Mmmh nilihisi utumbo unacheza, kwa nn haruhusiwi ndoa sasa? Au ameoa? Nilijiuliza sana, keanu akasema sijakuelewa kwa nn siruhusiwi kuoa sasa? Akasema kuna mashart katika kila kanisa ili...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest