VYOTE NDANI GONGA94
π₯π₯ JAMANI KAKA MUUZA MAJI USINIMWAGIE MAJI NDANIππ Sehemu ya 3
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
( shida ya maji shikamoo)
__________________________
π Nashangaa ananilamba machozi yale uku ananikuna kuna kichwa ananibembeleza jamani...π
Nasikia raha nikawa nimetulia akaniambia)
" Umekula?
" Sijala bado.
" Basi subili ule my.
( Aliniweka kwenye sofa taratibu kweli nimekaa namuwaza yeye mbona uyu anajua kujali kuliko mume wangu...alitoka nje kumbe kaenda kuninunulia wali kwa mama ntilie na kuku nusu akaniletea na juice...kweli nilikula uku ananiambia)
" Usilie nyamaza.
" Sawa.
" Niambie kisa nini mpaka amekupiga?
( Nikamwadisia mwanzo mwisho akaniambia)
" Uyo kakufukuza ila ukilala nje ni tatizo kubwa zaidi nakupenda na sitaki upate tatizo naomba urudi akakufukuze tena katoe taarifa kwa mjumbe mdanganye mjumbe unaenda kulala kwa shoga yako alafu ndio uje ulale uku Sawa.
" Sawa.
( Nilikuwa nimeshiba nikaondoka kweli uku nasema kumbe kuna vijana sio wahuni Angekuwa mwengine ndio angeona nafasi ya kunila...nikaenda nikagonga mlango mume wangu ataki kufungua tena ananiambia)
" Sifungui sitaki kukuua.
( Nikatoka nikaenda kwa mjumbe kumwambia yanayoendelea mjumbe akanichukua mpaka kwa mume wangu mjumbe ni mama mtu mzima)
" Hodi hodi hodi.
" Karibu.
( Alifungua mlango akaniona mimi na mjumbe akafunga)
" Mama kama upo na uyo wewe nenda tu kanikera sana alali humu.
( Mjumbe akaninong'oneza)
" Mumeo ni chizi kidogo au?
" Sijui.
" Muwe mnafatilia istoliya za makuzi za waume zenu uyu chizi kidogo.
" Sijui.
" Wapigie ndugu zake.
" Simu ipo humo ndani.
" Aya tunafanyaje sasa na mimi kwangu pale kuna ugeni utaenda kulala wapi?
" Nitaenda kulala kwa shoga yangu.
( Tunaongea sauti ya chini kabisa...mjumbe akapaza sauti sasa anamwambia mume wangu)
" Naondoka na mkeo ila unachofanya sio kizuri.
" Wewe nenda nae tu.
( Tulitoka na mjumbe yule uku nawaza au kweli mume wangu chizi sasa kwa kosa lipi aswa hapa...njiani mjumbe ananiambia)
" Asubuhi sana uje twende tena kama ataki ukae pale akupe simu ufanye mawasiliano na ndugu zake Sawa.
" Sawa.
" Yani mumeo nimeshindwa kumpatia jibu kama vile maji yanavyotuzingua na yeye anakuzingua wewe.
" Acha tu mjumbe.
" Sasa unaenda kulala kwa shoga yako mala usiku maji yanatoka unakuwa unamsaidia shoga yako kujaza maji uku kwako maji auna na wauza maji wanatukomesha dumu 1000.
" Yani maji ndio tatizo kubwa ila yataisha tu mvua zinakaribia.
" Sawa basi nenda ila ndio uwai kuamka mwanangu.
" Sawa.
( Niliondoka uku najua kabisa Leo siwezi kuachwa salama nilale na mwanaume mpaka asubuhi aniache ivi ivi ila kama atataka nitamuomba atumie kinga maana naweza kunasa mimba mambo yakawa mengi...natembea uku naongea mwenyewe...mpaka kwa kaka muuza maji akanifungulia mlango Nikaingia...Nilikaa kwenye kiti yeye yupo kitandani namwadisia yaliyojili akaniambia)
" Ngoja nitege alarms saa 11 alfajiri nikuamshe ywende kwa mjumbe.
" Sawa.
" Sasa njoo ulale kitandani my.
" Mimi nitalala hapa hapa kwenye sofa.
" sofa sio kitanda njoo ulale kitandani my.
" Mimi nitalala kwa Leo si nina shida.
( Akashuka kitandani akaja kunishika mkono ananipeleka kitandani)
" My kwanini ulale kwenye sofa na upo kwa mpenzi wako ninayekupenda.
" Mimi naogopa kulala kitandani.
" Unaogopa nini?
( Uku ananibeba ananiweka kitandani sijawai kubebwa na mume wangu kupandishwa kitandani naisi uyu kaka ni fundi alinishusha taratibu kitandani nikawa nishalala kitandani ananiambia)
" Umezoea kulala na taa au niizime.
( Sijui nini kimenikuta najikuta nimeropoka)
" Izime.
( Kaka muuza maji akaenda kuzima taa kukawa na giza akawasha redio mziki laini alafu sasa anakuja kitandani nawaza hapa naliwa Leo alivyopanda akaniwekea mkono kwenye kiuno ananiambia)
" Naomba unipende sitakuumiza na sitotaka ulie tena wewe ni mrembo sana nakupenda sana.
( Mkono wake autulii kwenye kiuno pale namuuliza)
" Wewe auna demu?
" Sina.
" Unaniongopea.
" Kweli sina demu ona nimekushika tu nimechafua boxsa.
( Akashika mkono wangu akaupeleka kwenye nanii yake kweli ametoa mbegu nanii ya moto ananiambia)
" Naomba niwe free kwenye mwili wako my.
( Nikubali au nikatae najiuliza hapa Dah yani)
ITAENDELEA
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi jamani-kaka-muuza-maji-usinimwagie-maji-ndani-sehemu-ya
π₯π₯ JAMANI KAKA MUUZA MAJI USINIMWAGIE MAJI NDANIππ Sehemu ya nane ( shida ya maji shikamoo)
π₯π₯ JAMANI KAKA MUUZA MAJI USINIMWAGIE MAJI NDANIππ Sehemu ya saba ( shida ya maji shikamoo)
π₯π₯ JAMANI KAKA MUUZA MAJI USINIMWAGIE MAJI NDANIππ Sehemu ya tisa ( shida ya maji shikamoo)