Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya β Gonga94 Semajambo
Gonga94 Β· Stories
27 Nov 2025
413 views
VYOTE NDANI GONGA94
LECTURER NIKIKUPA HUTONINANII Chapter 18 mtihani mkubwa sana ambao hata wewe kuusolve
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
ingekuwa ngumu mke wangu lazima ungefanya ambacho nilifanya" nilimkata hilo jicho enhee kitu gani ongea nina mambo mengi nilisema kwa hasira kweli yaani alinitizama tu akaendeleaa kuongea
"Sam alikuja akanitishia kama nikikuoaa wewe hapo ataisambaza ile video yako mtandaoni hivyoo ulipasa nikubali na alisema nisikwambie kitu mke wangu kwasababu alitaka nikuumize yaani usiniamini tena , hivyoo nikaaamua kufanya vile kulinda heshima yako mke wangu, sikufanya makusudi, ila baadae nikaja kujua kwamba yule Sam hiyo ndio kawaida yake hat kw yule mwanamke was Shurey alikuwa akimtumiaa sana kwa sababu alikuwa na video yake na alikuwa akimtishia kila siku kwamba asipomuhudumiaa na akamuacha ataisambaza ile video na hivyoo alilazimika kweny hili, na alikuwa akifanya hivyo kwasababu wadada wengi huwa wanajigonga sana kwake hivyoo anawatumia akiona ni wakishuaa anaaarekodi ili abaki kama fimbo na kipendi anakutana na wewe alikuwa anajua kuwa wewe ni wakishua pia kw amjonekano wako ndio maana hata alikufanyia vile ila na alipojua kama wewe sio wa kishuaa, akaamuaa tu kuisambaza ile video na kuongopa Iwa Shurey, ila kuna kitu kilitokeaa kwa maana Shurey alishondwa na tabiaaa za Sam licha ya kwamba anatabia mbaya ila hata huruma hanaa, akamuua kwenda kumshtaki police kwa kesi ya unyanyasaji na hivyo Sam alifungwa na kuhusu ile video imeblockiwa kitaalamu hata kwenye ambao walikuwa nazo zile video zimefutika automatically, " nilimtizama maana sikuwa na la kumjibu ila huruma iliniiingia moyoni
"Hyo ndio sababu nilifanya vile tafadhari usiniadhiri mimi na mzee wangu tunakuomba sana utuelewe mama yangu, sijui unaelewa kam nakupenda, yaani ukinisamehe mimi hata kesho kutwa nafunga ndoa na wewe mamam yang" nilimtizama nikamkubaliaa tu kwa kichwa huyu mjinga, ika kimbembe kilikuwa kwa Mama yaani hakukubali ila alieleweshwa mpaka akalainika Na ndoa ilipita ila sasa ya hivi haikuwa na watu zaidi ya watu wa kwenye kile kituo cha watoto yatima
Itaendelea...
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
π₯π₯ BOSS NAOGOPA MUMEO HATANIUAππππ Sehemu ya 17
π Sawa Nivue unifanye...π Nipo kwa ajili yako. ( Kidume nikamvua nikamwinamisha nikashika mboo nikawa naipitisha kwenye...
LECTURER NIKIKUPA HUTONINANII Chapter 18 mtihani mkubwa sana ambao hata wewe kuusolve
ingekuwa ngumu mke wangu lazima ungefanya ambacho nilifanya" nilimkata hilo jicho enhee kitu gani ongea nina mambo mengi nilisema kwa hasira kweli yaani alinitizama tu akaendeleaa kuongea
"Sam alikuja akanitishia kama nikikuoaa wewe hapo ataisambaza ile video yako mtandaoni hivyoo ulipasa nikubali na alisema nisikwambie kitu mke wangu kwasababu alitaka nikuumize yaani usiniamini tena , hivyoo nikaaamua kufanya vile kulinda heshima yako mke wangu, sikufanya makusudi, ila baadae nikaja kujua kwamba yule Sam hiyo ndio kawaida yake hat kw yule mwanamke was Shurey alikuwa akimtumiaa sana kwa sababu alikuwa na video yake na alikuwa akimtishia kila siku kwamba asipomuhudumiaa na...
π Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/lecturer-nikikupa-hutoninanii-chapter-18-mtihani-mkubwa-sana-ambao-hata-wewe-kuusolve