🥺🥺 *MKAKA KAUZU HUYU JAMANI* *1-5* *SEHEMU YA KWANZA* Call me Anaya, last born kwenye familia ya watoto wanne uku wanawake tukiwa wawili na wanaume wakiwa wawili.
Aaaah Nyumbani kwetu Bwana Pesa ipo, Yaani maisha ni shwafiiii na salama kabisa, makuzi yangu Nimekuwa nikiwa ni Binti Fulani hivi, Mtulivu sana, Binti ambaye sipendi mambo Mengi Mengi, na hali hii ilipelekea mimi kukosa ata marafiki.
Sio kwamba sikuwa na marafiki kabisa hapana, Yaani nilikuwa nao lakini sio wale wa kusema ni wa kufa na kuzikana marafiki nilikuwa nikakutana nao shuleni, na ata chuoni kipindi ambacho mimi nilikuwa nikisoma chuoni.
Nyumbani kwetu tumelelewa kwenye maadili mema sana, lakini pia Nyumbani kwetu kuna taratibu zake ambazo kila mtu lazima azifuate.
Kati ya karatibu ambazo baba yangu Aliweka moja wapo ni hii ya kutokutoka Nyumbani mpaka uolewe au uowe, kuna muda nacheka sana Naona sasa kama hatutakuja kutoka hapa Nyumbani, Kaan mpaka sasa watoto wote wanne tupo tu hapa Nyumbani na imagine mpaka dada na kaka zangu ambao ni wakubwa tu bado wapo Nyumbani.
Anyway najua mnataka kujua mambo Mengi sana lakini sitaki kuzungumza sana wacha niwape kisa changu na kaka kauzu
Ikiwa ni siku yangu ya kwanza kazini, Kama kawaida Anaya Mini Binti wa kupenda kupendeza, nilipigilia mavazi yangu vizuri kabisa, Ka wigi kangu pambe kabisa, pochi moja Kali sana ambapo nakumbuka hiyo pochi nilipatiwa na kaka yangu Kama zawadi kwenye kumbukumbu ya siku yangu ya kuzaliwa.
Nilifika ofisini na kama kawaida Mimi ni introvert Jamani, Yaani muda wote nataka Kuwa Mwenyewe tu, siwezi kujichanganya na watu kabisa.
Nilifika kazini na kwa aibu sana nikamsogelea Mdada wa mapokezi na kumsalimia.
"Za asubuhi dada....."
Dada huyo ambaye alionekana Kuwa na dharau ya hali ya juu, aliniangalia kwa kuninyali na kuniuliza.
"Unataka nikusaidie nini??"
Nilimuangalia na kuzungumza kimoyomoyo.
"Sasa unanilingia nini na upo kwenye position ya kupokea wageni Binti? Ona na kope zake Kama fagio la shughuli ya fagia uwanja"
"Kwahiyo haijui umefata nini au?"
Mdada huyo wa mapokezi aliniuliza uku akiniangalia kwa dharau ya hali ya juu.
"Naitwa Anaya mi mfanyakazi Mpya hapa, aaah nimezungumza na boss amesema nikifika nizungumze na wewe ili unioneshe ofisi yangu"
"Sina taarifa zako Binti "
Alijibu mdada huyo kisha akaendelea na kazi yake.
"Unauhakika?"
Nilimuuliza ili kupata Uhakika wa Maneno anayozungumza.
"Sina taarifa zako msichana Mbona uelewi wewe jamani, sikiliza Saa hizi ni asubuhi na sitaki uniharibie siku yangu kabisa, Sina taarifa yoyote ile kuhusu wewe, unaweza kwenda nje "
"Jamani, Mbona nimeongea nae nikiwa hapo nje tu inakuwaje unasema hauna taarifa zangu"
Kabla secretary huyo ajajibu kitu, muda huo huo sauti ya boss ikasikika ikiita Jina langu.
"Ooooh Anaya, Karibu sana"
Niligeuka nikiwa na tabasamu pana sana nikiwa na Lengo la kumwambia mambo ambayo secretary wake amenifanyia maana wananiona Mimi Kama matako Yao-
Lakini kabla sijafanya kitu chochote kile, secretary akazungumza akiwa na tabasamu pana usoni mwake.
"Anaya, Karibu sana, wacha nikakuoneshe sehemu ambapo ofisi yako ipo
Kwanza nikimgeukia na kumuangalia.
Aaaah niwaambie kitu my zangu, Mimi ni mtu mmoja Mtulivu sana lakini ni mtu ambaye najua sana kujitetea, Yaani sijaawai Kuwa mnyonge kabisa.
muda huo huo Nikadakia.
"Vipi umenikumbuka baada ya boss kufika au ?"
Mdada wa watu akajikuta akishtuka san boss akaniangalia na kuniuliza.
"Kwani kuna nini?"
Chizi Mimi sasa Nikamuangalia secratry wa watu ambaye kwa muda huo alikuwa akitililikwa na jasho tu la uwoga.
"Aaaah huyu
Kabla sijamaliza sentence yangu, gafla akatokea..........
*SEHEMU YA PILI*
Gafla akatokea msichana mrembo sana na moja kwa moja akaenda kumkumbatia boss na kwa sauti ya kudeka na nyororo kabisa akazungumza.
"Oooooh daddy jamani, I missed you
"I miss you too dota, umekuja Saa ngapi"
Kabla msichana huyu ajajibu swali aliloulizwa na baba yake, akanigeukia mimi na kuniambia.
"You are so beautiful girl"
Weeeeh unacheza na kusifiwa wewe, nilijikuta nikitabasamu kWa aibu tu uku nikiangalia chini.
"Aaaah mi mfanyakazi Mpya hapa ofisini anaitwa..........
Kabala sijamalizia kutaja Jina langu boss akadakia...
"Aaah flora, Twende ofisini tutaongea, lakini huyu ni mfanyakazi wetu Mpya anaitwa Anaya"
"Nashukuru kukufafahamu Anaya
Alizungumza msichana huyo ambaye nilimjua kWa Jina la flora lakini pia nilijua Kuwa ni Mtoto
wa boss, Walahi kuna watu Wala awalingi, imagine flora ana kila sababu ya kunivimbia lakini amenipokea kwa raha mustarehe halafu kuna Huyu Mdada, mjinga mmoja tu wa kupokea wageni anaanza kunivimbia pasi na kujua Mimi
ni Nani kiundani undani.
"Naomba unioneshe ofisi yangu ilipo"
Nilimwambia Mdada wa mapokezi, Mdada huyo akaniangalia kwa dharau sana lakini mwisho hakuwa na chaguo zaidi ya kunipeleka ofisini kwangu.
Majila ya saa 4 asubuhi, ulikuwa ni muda wa kwenda kupata kifungua kinywa lakini sasa, na hivi nilikuwa mgeni, nilijikuta nikikaa tu ofisini. sikuwa ata najua naanzia wapi namalizia wapi.
Nikiwa bize ofisini naendelea kupitia baadhi ya taarifa ambazo zilikuwa ni muhimu sana kwa upande wangu, gafla flora akaja, aaaah huyu Bwana ni Mtoto wa boss nawakumbusha Tena
kwa Mara nyingine.
"Binti Mbona utoki nje kwenda kula ni muda wa kifungua kinywa huu"
Alizungumza flora akiwa amenichangamkia sana mpaka Mwenyewe nikaanza kujisikia raha.
"Oooooh nilikuwa ata Sijui Naanzia wapi namalizia wapi "
"Aaah usijali Mimi ndio mwenyeji wako kWa sasa Sawa? Nyanyuka hapo"
Kwa haraka nikaweka kila kitu changu Sawa kisha huyo mimi na flora tukatoka nje kwaajili ya kwenda kupata chochote kitu..
"Yaani unajua sichoki kukuangalia Anaya "
Alizungumza flora muda huo Mimi Na yeye tayali tulikuwa tukipata kifungua kinywa, nilimuangalia kWa muda na kumuuliza.
"Kwanini uchoki kunitazama ?"
"Wewe ni mrembo sana. Sawa nimekutana na watu wa zuri Mara nyingi, nimekutana na watu wanavutia kuliko kawaida, lakini kuna Namna unavutia sana Walahi"
"Asante sana, Ila ata wewe ni mzuri sana"
Aaaaah flora ni msichana Fulani powa sana, ambaye ilinchukua muda mfupi Mimi kumuelewa lakini pia kuitaji awe Rafiki yangu.
Tukiwa tunaendelea kupata kifungua kinywa na kupiga story Mbili Tatu, gafla simu ya flora ikaita. haraka akapokea na kuzungumza na alipomaliza tu akaniambia.
"Patina wako amefika"
Kwanza nilishtuka na kumuuliza.
"Partiner "
"Ndio partiner wako, mtu ambaye upо пае kitengo kimoja, lakini pia mtakuwa mkishare ile ofisi kwani baba hakukuambia ?"
"Ameniambia lakini hakuwa amefafanua vizuri sana"
"Oooooh usijali, si unajua kampuni ni kubwa sana hii na kwenye upande wa Pesa awezi Kuwa mtu mmoja hivyo Utakuwa wewe na kaka yangu
Weeeeh kwanza nilishtuka na kwa sauti ya mshtuko wa hali ya juu nikamuuliza.
"Kaka yako?"
"Ndio kaka yangu
"Yaani partiner wangu ni mwanaume ??"
Nilimuuliza kWa Mara ya pili Tena kwa msisitizo wa hali ya juu.
"Ndio Mbona Kama umeshtuka sana kuna shida wewe kufanya kazi na mwanaume ?"
"Hapana"
Nilijibu uku nikijichekesha tu maana yoooooh Sijui niwaambie nini lakini mwanaume
ambaye mimi naweza kukaa nae ni kaka zangu. tu na baba yangu, Yaani Mimi sijawai ata Kuwa na mahusiano Yaani Nipo Nipo tu Kama Sipo
"Haya turudi Ndani shoga Angu
Alizungumza flora kisha kwa pamoja tukanyanyuka na kwenda Ndani, muda huo mapigo yangu ya moyo yalikuwa yakienda kasi sana, nilikuwa naweza nawezaje mimi kufanya
kazi na huyu kaka.
Hatimaye tulifika ofisin kwangu nyieeeeh macho yalinitoka baada ya kumuona huyo mkaka.
"Weweeeeeh"
Alishtuka mkaka huyo baada ya kuniona Mimi.
Je Kwanini ameshtuka kiasi hiko. ? Tukutane sehemu
*SEHEMU YA TATU*
Mkaka wa watu alijikuta akinyanyuka kabisa kwenye kiti na kubaki akiniangalia
My zangu iko hivi, Mimi na huyu mkaka hii sio mara ya kwanza tunakutana, Mara ya kwanza, niliwai kukutana nae chuoni Tena library, Mimi nilienda kwaajili ya kusoma Vitabu na yeye pia Nilimuona akisoma KITABU, sasa Bwana siku hiyo Mimi na mkaka huyu tulichukua vitabu Sawa pasi na mimi kujua, kuna muda nilitoka na kwenda kujisaidia uwani na niliporudi kwenye meza ambayo niliacha vitu vyangu kWa Bahati mbaya KITABU changu sikukikuta, katika kupepesa macho uku na uku ndio nikakiona kWa huyo mkaka hivyo pasi na kujiuliza Mara Mbili Mbili nikamsogelea na kwenda kumpokonya KITABU chake.
Mkaka wa watu alijitaidi sana kujielezea lakini kwa upande wangu sikumuelewa kabisa ikafikia hatua nikamtandika na kibao kabisa Tena mbele za watu, mkaka wa watu akaacha KITABU na kuondoka zake
Baada ya kujua Kuwa nimemkosea na mtu ambaye alichukua KITABU changu kujitokeza, kilijitaldi kumtafuta kwaajili ya kumuomba msamaha lakini sikuweza kumuona na hatimaye.
Leo nakutana nae hapa kwenye ofisi ya baba yake mzazi na Nimekuja hapa kama mfanyakazi
"Mnajuana au?"
Flora alituuliza, kwa haraka Nikadakia.
"Na Nani? Akuuuh Simjui mtu
Flora akatuangalia kwa muda kisha akaendelea.
"Anyway jamani, aaah kaka Frank, huyu anaitwa Anaya, ndio partner wako ambaye baba amekuandalia
Kisha flora akanigeukia mimi na kunitambulisha pla
"Anaya, huyu ni kaka yangu anaitwa frank, lakini pia ni partner wako kwenye kazi yako hii Mpya, niwatakie kazi njema"
Alimaliza flora kisha pasi na kupoteza muda akatoka zake nje na kutuacha Mimi na frank.
"Utaendeelea kusimama au?"
Frank aliniuliza baada ya kuona nimesimama tu na Ninamshangaa Kama Nimeona kitu cha ajabu vile.
"Aaaah, eeeeh"
Nilibaki nikijichekesha tu kisha huyo nikasogea kwenye meza yangu na kukaa.
"Nafurahi Kuwa partner wako"
Nilimwambia frank uku nikiwa na sauti ya wasiwasi sana maana yoooh, ni aibu kwakweli, Imagine mtu umemkosea halafu Leo hil mambo yanakuwa Kama hivi Yalivyo.
"Ebu sogeza kiti chako hapa kuna mambo muhimu ya Kukuelekeza
Alizungumza frank ambaye kwa muda huo
mfupi niligundua kuwa ni mkaka Fulani hivi
ambaye nikauzu sana Tena sana, Yaani Sijul niwaambie kitu gani lakini frank ni huyu mtu wa sicheki na yeyote Yaani shoga yenu nimeyakanyaga siku ya kwanza kazini
Basi nikiwa na utulivu wa hali ya juu nikasogeza kitu yangu na nikakaa Karibu na kiti cha frank na moja kwa moja tukaanza kufanya kazi
Hatimaye muda wa kurudi Nyumbani ulifika
sasa Picha linaanza muda umefika lakini frank yuko bize tu na kazi ya kunielekeza yaani ashtuki kabisa Kama ni muda wa kwenda Nyumbani, kWa wakati huo nilikuwa nimeshachoka sana tu lakini nilikuwa nikiogopa ata kumwambia
"Hapo Sijaelewa"
Nilizungumza ikiwa ni sehemu ya kutaka kumjulisha Kuwa muda wa kwenda Nyumbani umefika, frank akaniangalia na kuzungumza.
"Nilijua tu Kama hautanielewa maana nakuelekeza hapa lakini akili yako haipo na Mimi ata kidogo Una shida gani kwani ?"
"Aaah hakuna"
Nilijibu kwa sauti ya chini..
Muda huo huo flora akaingia kwa bashasha la kutosha na kuzungumza.
"Eeeeh kwani ninyi hamuondoki au? Ebu fungeni Bwana Twendeni "
Hapo kidogo niliona sasa muda wa mimi kwenda Nyumbani ndio huu, lakini gafla frank akadakia.
"Kuna kazi kubwa sana hivyo tutaendelea Kuwa hapa"
Weeeh macho yalinitoka Nikabaki nikimuangalia tu frank ambaye kwa muda huo nilikuwa namuona Kama mchawi hivi.
"Eeeh frank nawe, ndio kwanza siku ya kwanza Leo kwa Anaya Kwanini unataka kumuweka muda mrefu si mtaendelea kesho tu
Frank akanyanyua uso wake na kumuangalia kisha akaniuliza.
"Umechoka unataka kuondoka au ?"
my zangu Ebu mje mnisaidie kupata. confidence jamani Mbona kama Mdomo umegoma kuzungumza mbele ya huyu kaka, nilijikuta nikibaki nikiwa nimemtolea macho tu
Kama mjusi aliyebanwa na mlango.
"Kama kumechoka unaweza kuongozana na mwenzio mkaondoka"
Alizungumza frank akionesha Kuwa na hasira. kwa kiasi Fulani hivi., Nikamuangalia flora na kwa sauti ya sitaki nikajibu.
"Aaaah flora Mimi bado Nipo naitaji kufanya kazi kwanza hata hivyo Sina cha kufanya uko Nyumbani"
"Haya muwe na jioni njema wacha nimuwal Mtoto wangu"
Alizungumza flora kisha akaondoka.
"Kwani flora ana Mtoto?"
Nilimuuliza frank pasi na kutalajia.
"Ajafika mbali fungua mlango umfate. ukamuulize" Alijibu frank akiwa serious kabisa.
Ila ill likaka nalo jamani, Sawa nimewal kumkosea ndio anifanyie mambo Kama hivi jamani si kunitesa uku Mtoto wa mwenzie
*SEHEMU YA NNE*
Frank akanyanyuka kwa hasira akanyanyua kila kilichokuwa cha kwake kisha akaondoka pasi na kuniaga.
"Huyu nae Chizi nini sasa hizi hasira anamuoneshea Nani? Limenikela mimi, kwanza nafurahi Kuwa ata niliwal kukupiga kibao mbwa wewe"
Nilizungumza kimoyomoyo kisha nikaanza kukusanya vitu vyangu tayali kwaajili ya kuondoka
Nikiwa naweka baadhi ya vitu vyangu kwenye pochi, gafla frank akafungua mlango na kuzungumza.
"Utalala hapa hapa au?"
Haraka nikanyanyua pochi yangu na kutoka nje kwa mwende wa kukimbia, Ila huyu kaka Ndani
ya siku hii moja tu amejua kuninyoosha, nilijikuta nikiwa ni mtu Mwenye hasira sana hivyo nilivyotoka tu kwenye chumba cha ofisi moja kwa moja nikatoka nje kwaajili ya kwenda kutafuta usafiri maana sikuwa Nimekuja na gari kwa siku hiyo ya kwanza.
Nikiwa bize naendelea kuangalia Namna ya kupata usafiri wa kwenda Nyumbani, gafla frank akatokea na kuzungumza.
"Kuna email Nimekutumia WhatsApp utaipitia na uhakikishe unaifanya Leo ili kesho tuipeleke sehemu husika"
Frank hakusubili ata jibu langu zaldi alishika njia na kutaka kuondoka nikajikuta nikijibu.
"Me sifanyi nimeshachoka
Frank akarudi nyuma na kuniuliza.
"Umesemaje?"
"Sijasema kitu Mimi"
Nilijibu kwa kujiamini sana maana niliona huyu kaka tayali anaanza kunipanda kichwani mimi. "Tutaonana kesho "
Alizungumza frank kisha akasogea kwenye gari yake na kupanda na pasi na kunifikilia Mimi akaondoka zake.
"Lione kwanza limeniweka mpaka muda huu halafu ata kunipatia lifti ameshindwa "
Nililalamika, lakini mwisho nikapata usafiri na nikaondoka Nyumbani.
Hatimaye mwezi mzima uliisha uku nikiendelea Kuwa mfanyakazi kwenye ofisi hiyo ambayo changamoto yangu kubwa ilikuwa ni huyu frank, Yaani huyu mkaka alijua kuniendesha Mtoto wa mwenzie, kuna muda nilikuwa naona Kama anafanya makusudi lakini kadri siku zilivyoenda nikaanza kujua Kuwa ndio tabia zake.
Frank ni mwanaume ambaye yuko bize na kazi, Yaani hana ata mambo na watu, ni Kama Mimi tu lakini bora Mimi kwa sasa nina Rafiki yangu ambaye ni flora, Yaani Mimi na dada wa frank tumekuwa ma bff kabisa na kuna Namna naona kabisa life style yangu imebadilika kwa asilimia kubwa sana.
My zangu Naomba niwakumbushe Kuwa Anaya Mimi sikuwai Kuwa na mahusiano katika ukuaji wangu wote huu, lakini pia Mimi ni Bikra kabisa, Yaani bikra Sijui Kama mnanielewa lakini, sijawai ata kushikwa nyonyo na mwanaume na hii ni kutokana na life style ambayo Nimekuwa nayo.
Kitu kingine ni kwamba, ni Kama akili yangu imeanza kumfikilia sana frank ambaye kWa muda huo tayali nilikuwa Nikimuita kaka kauzu pasi na yeye kujua.
Kuna Namna nilianza kumuwaza frank mpaka Mimi Mwenyewe nikawa sijielewi kabisa, Imefikia hatua nimeanza ata na kumuota mwenzenu
"Hivi frank kwenye Social media unatumia Jina gani?"
Nilijitosa na kumuuliza frank, muda huo akili yangu ilikuwa inawaza kupata Picha za frank tu ili niwe namuangaliaga tu
Frank akaniangalia na kunijibu.
"RK COMPANY"
Nilimuangalla kisha Nikatabasamu na kumwambia.
"Hiyo si account ya ofisi jamani, nataka account yako binafsi "
"Nina account ya ofisi tu
Alijibu frank uku akiendelea kufanya kazi zake.
"Kwahiyo wewe hauna account za social media ? Yaani wewe ata instagram tu Hauna ?"
"Account muhimu kwangu ni ya bank tu, hizi zingine sio mambo yangu kabisa"
"Kwanini sasa?"
Frank akaniangalia na kunijibu.
"Endelea na shughuli zako Binti Mdogo usianze kunizoea"
Kuna Namna nilijisikia raha sana vile ambavyo ananijibu hivyo nikajikuta nikiendelea kupata nguvu ya kumuuliza na kumchokoza.
"Ni Kama unaishi kwenye miaka ya 70 uko nyuma
"Anaya toka nje"
Frank alınifokea aliona ni Kama naanza kumpanda kichwani hivi.
"Lakini nakuambia ukweli, sasa hivi tupo kwenye ulimwengu wa digital lakini mwenzetu Sijui unaishi dunia ya peke yako hivi"
Frank akaniangalia kisha akasogea kwenye meza yangu na kunisogelea Karibu kabisa kisha akaniuliza.
"Kwani umetumwa kuja kunikela siku ya Leo au 7
"Wala Mimi Leo nimejitolea tu kuongea na wewe, unajua frank umekuwa mkimya sana na ni Jambo ambalo sio zuri kabisa kwa upande wako"
"Kumbe"
"Ndio Yaani unatakiwa kujichanganya na watu, aswa kwenye social media utainjoy sana"
Ila nyieeeehh upwiru na ku fall in love sio Jambo zuri kabisa, imagine Leo hii Mimi ndio najiongelesha kiasi hiki kwa frank si aibu hili.
Frank wa watu akaniangalia kwa kunisogelea Karibu kabisa kisha akataka kuondoka, shoga
yenu sasa Sijui ndio nilipagawa kwa wakati huo nilijikuta nikimvuta frank kwa nguvu kabisa na pasi na kupoteza muda nikajitosa na kuangukia kwenye kiss moja la kizungu.
Weeeh huyu kaka ni kauzu kweli kweli Walahi, alinisukuma kwa nguvu sana na pasi na kupoteza muda akanitandika kibao kimoja cha Shavu nika.......
*SEHEMU YA TANO*
Kitendo cha frank kunipiga kibao ni Kama ndio kliniamsha hivi kutoka kwenye ujinga mkubwa ambao nilikuwa nikiufanya, Walahi nilijikuta nikiona aibu sana lakini kwaajili ya kufunika aibu yangu, gafla tu nikaangua kilio na kuanza kulia
Frank Akaganda kwa muda akiniangalla mwisho akaniangalia kwa makini sana na kugundua Kuwa nilikuwa nalia ukweli ukweli maana machozi yalikuwa yakinitililika.
"Kumbe unalia kweli jamane"
Alizungumza frank uku akiangaika mimi niweze kumuangalia usoni
"Niache
Nilizungumza uku nikiwa na hasira na kumpushi. "Pole Kama nimekuumiza lakini Mimi sijapenda
ujinga ambao umenifanyia"
Alizungumza frank akimaanisha ujinga wa Mimi kumkisa Kama vile ambavyo nimefanya
"Auna lolote lia ulikuwa unalipiza kwakuwa niliwal kukupigaa kibao kipindi kile"
Hayo unayawaza wewe Anaya, Mimi
niiishapotezea kila kitu Wala Sina mawazo na ika kitu, yote kwa yote Naumba Nisamehe sana sikuwa nimekusudia kukupiga kibao kalma hivyo ni mkono wangu na hasira za gafla tu ambazo nikizipata
"Nimesema Niache"
Nilijikuta nikumfokea zaidi
Frank wa watu akajiangalla mwisho Kana mwanaume akaninyanyua kinguvu
kunikumbatia ili aweze kunituliza maana muda hue shoga yenu machozi yalikuwa Goja gaja, sro kwakuwa nilikuwa alinipigla Kibao, hapana Yaani
ilikuwa ni kuficha aibu ya kile ambacho
nilikifanya mbele yake.
"Ama sorry"
Alizungumza frank kwa sauti ya utulivu na nzito sana na hapo akazidi kunichanganya Anaya Mimi ukija kuchanganya na kukumbatiwa ndio
kabisa, nilijikuta nilitamani kuendelea kuegemea
vile vile kwenye six pack zake ambazo zilikuwa zimejipangilia vizuri kabisa mwilini mwake.
"Adhabu yangu kwa hiki nilichokufanyia ni
kukupeleka Nyumbani kwenu"
Alizungumza frank, kwanza nilishtuka kidogo na kumuangalia usoni, nyleeeh mapenzi nyoko nilisahau kabisa Kuwa nilikuwa kwenye
maigiza ya kulla gafla tu nikamuuliza.
"Ukweli au?"
"Yaaaah mtakupeleka ikiwa Kama ni sehemu yangu ya mimi kukuomba msamaha"
Nikamuangalia
vizuri
nikaatabasamu na kumwambia.
"Nimekusamehe Habibi
Kabisa
kisha
Nilijikuta tu nikimulta hivyo na frank pla
akatabasamu, saaah alayı nilijikuta nikijisikia raha ambayo sikuwai kufikilia ata siku moja Yaani Sijui niwaambie nini lakini nilijikuta
nikisikia raha sana Tena sana
Siku hiyo nilijikuta nikiwa bize kwenye kuhesabu masaa tu uku nikiwa makini kwaajili ya muda wa kwenda Nyumbani
Hatimaye muda wa kwenda Nyumbani ulifika na
Kama kawaida flora akaja ofisini kwaajili ya
kutaka kuongozana na Mimi.
"Aaaah flora tangulia tu kuna kazi Mimi na frank
tunamalizia"
Nilijikuta nikimdanganya flora ambaye Mara nyingi amekuwa akinipa lifti kwenda Nyumbani Ingawa hakuwa akinifikisha mpaka nyimumbani
kwetu.
Muda huo frank alikuwa akiniangalia kwa makini
sana wazi Kuwa hakuwa tayali kunipeleka Nyumbani ni vile tu alijiongelesha kwa muda ule.
"Haya jamani kazi njema
Alijibu flora kisha pasi na kupoteza muda
akaondoka zake na kuniacha Mimi na frank
"Kuna kazi gani ambayo unamalizia?"
Frank aliniuliza boada ya dakika Tano kupita
tangu flora aondoke.
"Hakuna Sina kazi tunaweza kwenda
Frank akaniangalia kisha akaniuliza.
"Kwahiyo fora ulimdanganya au? Na Kwanini undanganye si uwa anakupa lifti kila siku
"Kwahiyo unavurga ahadi yako ya kunipeleka
Nyumbani au
Nilimuuliza frank ambaye alibaki akirsiangalia na
kujisonya Sonya mwisho akaniambia.
"Kama hauna cha kufanya, weka.m vitu vyako
sawa tuondoke me utanikuta nje
"Kwahiyo umu Ndani unaniacha Mwenyewe au 7
Kama utaki kuongozana na Mimi Basi
Nyumbani kwetu nitaenda Mwenyewe
Ila Mimi jamani he attitude nimeltoa wapi jamani Mbona Kama nataka kuanza kumuendesha kaka wa watu ambaye alionesha
wazi kabisa Kuwa afurahishwi na ujinga ambao
namfanyia
"Anaya utanikuta nije usiniletee ujinga Mimi
Alizungumza frank kwa hasira kosha huyo
akatoka nje
Kwa upande wangu nilijikuta Kama mshindi hivi
nikiona Kuwa nimemuweza sana frank ambaye muda wote uwa anajifanyaga mwamba sana.
Basi nikakusanya kila kilichokuwa cha kwangu
kisha huyo nikatoka nje nikiwa na furaha Kama
yote
La haulaaaaaaaah nimeechwaaah mwenzenu
Imagine Yaani Natoka nje na gari ya frank
ndio inakata kona kuingia kwenye Mtaa wa pili, Yaani frank ameniona mimi kama Mtoto Mdogo
halafu ameniacha
"kaka jamani sasa ndio nini hi
Nililalamika uku nikipiga piga miguu yangu chini, Anaya Mimi sikuwa Tena cha kufanya
zaidi ya kutumia Pesa yangu kupata usafiri wa kunifikisha Nyumbani kwetu
Siku iliyofuata Kama kawaida nikaingia zangu
kazini lakini siku hii Bwana niliingia na style
Mpya kabisa, nilikuwa mtu serious sana na hii
yote ni kutokana na frank kuniacha siku illyopita
baada ya kunipa ahadi zake za uongo
"Morning frank
Nilimsalimia frank baada ya kufika ofisini lakini nilimasalimia nikiwa serious sana kisha kisha
moja kwa moja nikaenda kwenye meza yangu na
kuanza kufanya kazi zangu za kila siku.
"Kuna email Nimekutumia hapo unatakiwa
kuljaza halafu unitumie Tena ikiwa na kila kitu
muhimu
Alizungumza Frank akiniambia Mimi
"Nimeshaljaza na nimeshakutumia"
Nilimjibu pasi na kumuangalia, aaah siku hiyo
frank aliona kabisa Kuwa Nimekuwa serious sana kuliko kawaida, Yaani sitaki shobo nasimshobokei mtu kila mtu afanye mambo
yake
Hatimaye muda wa kifungua kinywa ulifika, siku hiyo ata nje sikutoka, fora wa watu akanifuata lakini pia nikamkatalia kwa kumfanganya Kuwa siku hiyo nilikuwa nafunga kwaajili ya Naombi
yangu maalumu
"Uko Sawa kweli Leo?"
Frank aliniuliza
Nilimuangalia tu na kujibu
"Ndio, halafu kuna email nyingine hapo Nimekutumia jaza kisha nipatie nikaprint nataka niipeleke kwa boss moja kwa moja
Nilijibu vyote hivyo lakini bado sikuwa nikimtazama Franik.
Kwa mwendo wa polepole frank akanyanyuka na
kusogelea mlango kisha akafunga na kunisogelea Mimi na kwa sauti nzito ya utulivu
akaniuliza.
"Uko Sawa kweli?"
"Kwani nilikuambia naumwa au?
Nilimjibu nikiwa na kisllani cha hali ya juu.
"Hii ni hasira ya Jana eti
Frank allnuuliza nikimuangalia kwa kumkazia
macho kisha nikajibu.
"Jaza hiyo email haraka kaka Angu Nina kazi
nyingi za kuzingatia kwa wakati hou
frank Sijui lilishajua udhaifu wangu jamani,
polepole akanisogelea na kuja Karibu yangu na
pasi na kupoteza muda akanishika mabega
yangu kwa style ya Kama Anayafanyia massage
hivi
"Frank unafanya nini?"
Nilimuuliza lakini kwa sauti ambayo ilitoka kwa tabu sana
Frank akaendelea kufanya alichokuwa akifanya
na kwakuwa ndugu yenu nilikuwa
nishachanganyikiwa na frank, nilijikuta nikinjoy
sana tuna Nikabaki nikijiachia
Ukoniiliza ilikuwaje kuwaje mpaka bikra Mimi
nikaliwa ofisini na frank Wala Sitakuwa na
majibu sahihi maana frank aliniweza Tena aswaah nilikua kushtuka pale ambapo alikuwa
akiangaika na kuvunja usichana ambao
nimeutunza kwa muda mrefu sana, my zangu
Kwanini samkuniambia Kama ndio uwa inauma
kiasi hiki, Walahi raha iligeuka na Kuwa kilio cha
hali ya juu na kusababisha wafanyakazi kışa
mlangoni na kutugongea ili kutaka kujua ni kitu gani kinaendelea.
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
Maoni