Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›  Sehemu ya kwanza.  Mke wangu amka basi ukaniweke maji nioge nataka niwai kazini.  " Nenda tu chooni maji yapo tayali nishamtumia sms hawa kashaweka maji tayali.
Gonga94 ยท Stories

โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜› Sehemu ya kwanza. Mke wangu amka basi ukaniweke maji nioge nataka niwai kazini. " Nenda tu chooni maji yapo tayali nishamtumia sms hawa kashaweka maji tayali.

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

" Samahani mke wangu hawa ni mtoto tu humu ndani kazi zake zipo sio kuniwekea mimi maji Jana nimeona umempa nguo zangu afue nikajua unaumwa labla Leo unamwambia akaweke maji.

" Mume wangu angekuwa mtoto wa mtu Sawa ni mwanangu kwanini niogope kumtuma mwanangu.

" Kwaiyo ni mwanao.

" Ndio mwanangu.

( Neno lilimuuzi sana mumewe...mama hawa amesisitiza ni mwanawe na ndio maana limetokea jina la simulizi mtoto wa mke wangu....karibu sana usome simulizi hii ni chombezo kama kawaida chombezo ni burudani yenye ujumbe na kusisimua mwili na akili...Samahani kwa wale wateja wangu napenda kuwafahamisha nimebadili namba ya MALIPO...zamani ilikuwa 0657774735....sasa ivi namba iyo itapatikana WhatsApp tu ila ukitaka kulipia utalipia kwa namba 0656666734...jina awadh...mtandao ni TIGO.....tuendele na simulizi yetu)

" Mke wangu mimi sipendi na kinachoendelea humu ndani kama vipi tafuta mfanyakazi awe anafanya kazi izi wewe uwezi.

" Naijua iyo kaoge uwende kazini.

( Mume akatoka akaenda kuoga anarudi anamuona mtoto wa mkewe ndio ananyosha shati la kuvaa yeye...Moyoni anaumia yeye kuandaliwa vitu na mtoto wa kufikia...akachukua Shati lile akaenda kuvaa akamaliza akamwita hawa)

" Hawa.

" Abee baba.

" Shika pesa hii wewe ndio utapanga humu ndani tule nini Leo.

( Mkewe pasipo aibu wala kumweshimu mumewe alitoa neno zito)

" Koma wewe mume wangu yani mtoto ndio umpe pesa ya kula humu ndani yeye ndio apange tule nini?

" Mke wangu kama kila kitu humu ndani anafanya yeye kwanini na hili asifanye.

" Unikome.

" Mke wangu mala ya kwanza nilijua limekutoka bahati mbaya unarudia tena neno hilo hilo nikukome.

" Tena ukomae marufuku kumpa pesa huyu yeye atafanya kazi uyu sio mdogo Atakuja kuolewa nionekane mimi sikumlea vizuri.

( Mume wake aliondoka kumuepusha shetani ila swala lile la kuambiwa koma lilimuuma sana...alifanya kazi bila kuomba ushauri popote ila anawaza ameoa mwanamke wa aina gani amekosa adabu...usiku amerudi kwake mkewe yupo kwenye sofa alafu mke anamwambia mwanawe)

" Mpoke baba yako.

" Sawa.

( Kweli akapokelewa...mume anamwangalia tu mkewe yupo bize na simu anacheka uku na yeye anachati alafu anamsikia anamwambia mtoto wake)

" Muweke chakula baba yako mezani ale alafu katandike shuka kitandani maji uliyoniwekea mimi ataenda kuoga yeye yani hapa Leo kwenye group kumedamshi.

( Mume mtu akutaka ata kumuuliza mke wangu unashindwa kunisalimia unashindwa kunipokea yeye akawa kimya alienda kuoga akarudi akala chakula sasa anaingia chumbani kwake ndio anamkuta hawa anatandika shuka)

" Hawa acha nitatandika mimi.

" Mama akikuona atanipiga mimi acha nitandike tu shuka.

" Sawa.

( Hawa akatandika shuka vizuri...uku mume wa mama yake yupo pembeni alipomaliza kutandika akatoka nje...jamaa akalala mpaka saa Saba usiku mkewe ajaja kitandani...akatoka akamuona yupo sebuleni yeye na kuchati kuchati na yeye kwenye group jamaa akamfanyia makusudi)

" Mke wangu Samahani naomba unilete maji ya kunywa.

( Jamaa akashangaa sasa mkewe anamwamsha hawa ampeleke maji ya kunywa yeye)

" Hawa hawa amka umpe baba yako maji ya kunywa.

( Jamaa akarudi ndani anawaza simu ni Bora kuliko yeye...hawa anachukua maji kwenye fliji anampelekea mume wa mama yake chumbani kweli akamkuta amekaa kitandani akampa maji...alikaa pembeni anasubili kikombe mama yake akaingia akamwambia mwanawe)

" Lala hapo kwenye sofa uyo akiamka tena akutume anachotaka mimi nipo sebuleni yani Wi-fi inaisha Kesho muda wake nataka nimalize mambo yangu Leo leo.

" Mke wangu kwa hili aliwezekani muache mtoto akalale chumbani kwake na wewe nenda kamalizie ilo Bando.

" Sawa.

( Jamaa akawa anamwangalia mkewe anavyoondoka pale chumbani uku anaongea mwenyewe...uyu mke au mkeka...hawa akaenda kulala chumbani kwake...jamaa akalala mpaka asubuhi...alijikuta peke yake kitandani akaamka akutaka kumsumbua hawa alijiwekea mwenyewe maji alioga akavaa nguo zake akaondoka kazini alimuacha mkewe kalala kwenye sofa...alifanya kazi kama kawaida kimya kimya ajamshirikisha mtu anayopitia kwenye ndoa yake...sasa jioni anarudi kwake ndio akaumia zaidi alipoona hawa anafua boxsa yake Alishika mdomo kwanza kwa mshangao)

" Mke wangu kweli akili hana kiasi hiki amempa hawa boxsa yangu afue nguo yangu ya ndani.

( Hawa yeye ajui chochote ndio kwanza anaifikicha pale katikati zinapokaa 1200)

Dah yani..

ITAENDELEA
Kama kawaida ukiona uku ujue ipo FULL kwani unazani mwisho wa picha hili itakuwaje?.

Tangazo - RUSHA SHINDA KIBABE
RUSHA SHINDA KIBABE
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜› Sehemu ya kwanza. Mke wangu amka basi ukaniweke maji nioge nataka niwai kazini. " Nenda tu chooni maji yapo tayali nishamtumia sms hawa kashaweka maji tayali.

" Samahani mke wangu hawa ni mtoto tu humu ndani kazi zake zipo sio kuniwekea mimi maji Jana nimeona umempa nguo zangu afue nikajua unaumwa labla Leo unamwambia akaweke maji.

" Mume wangu angekuwa mtoto wa mtu Sawa ni mwanangu kwanini niogope kumtuma mwanangu.

" Kwaiyo ni mwanao.

" Ndio mwanangu.

( Neno lilimuuzi sana mumewe...mama hawa amesisitiza ni mwanawe na ndio maana limetokea jina la simulizi mtoto wa mke wangu....karibu sana usome simulizi hii ni chombezo kama kawaida chombezo ni burudani yenye ujumbe na kusisimua mwili na akili...Samahani kwa wale wateja wangu napenda kuwafahamisha nimebadili namba ya MALIPO...zamani ilikuwa 0657774735....sasa ivi namba iyo...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mtoto-wa-mke-wangu-sehemu-ya-kwanza-mke-wangu-amka-basi-ukaniweke-maji-nioge-nataka-niwai-kazini-nen

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mtoto-wa-mke-wangu-sehemu-ya-kwanza-mke-wangu-amka-basi-ukaniweke-maji-nioge-nataka-niwai-kazini-nen
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

8.92K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

5.54K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.24K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tatu.  ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tatu. ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

2.18K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

1.94K
I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

1.91K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya nane.  ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya nane. ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

1.72K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

1.66K
RUNGU LA KIPOFU 21.

RUNGU LA KIPOFU 21.

1.65K
โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

1.64K
Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest