Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›  Sehemu ya nne.   ๐Ÿ‘‰ Mke wangu unanisaliti...๐Ÿ‘‡  ( Mke alikata simu na akazima...jamaa akipiga tena namba unayopiga aipatikani...chozi
Gonga94 ยท Stories

โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜› Sehemu ya nne. ๐Ÿ‘‰ Mke wangu unanisaliti...๐Ÿ‘‡ ( Mke alikata simu na akazima...jamaa akipiga tena namba unayopiga aipatikani...chozi

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
la kiume likawa linadondoka anakumbuka maneno ya side wa kazini akawa amejiinamia hawa anamuuliza)

" Baba nini kimetokea?

" Mama yako yupo na baba yako alizani wewe ndio unapiga simu akataka ampe baba yako uonge nae kinaniuma zaidi wapo kitandani.

( Hawa anaona ndoto ya kusomea ufundi inayayuka alichosema)

" Baba nyamaza nenda kalale upumzishe akili.

" Usingizi auwezi kutoka kama alikuwa anajua awezi kuachana na baba yako kwanini amekubali nimuoe ananiongopea kaenda kwenye shughuri kumbe kaenda ku๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ.

( Alishindwa kumalizia kwikwi ya hasira imemshika...hawa ametulia ajui aseme nini...jamaa akaingia ndani anatamani aonge kwa mtu aya ila anaogopa kutoa siri ya ndani...akawaza amenyimwa haki yake ya ndoa akawaza mengi sana yenye kutia hasira akalia akalala asubuhi akaamka akampa pesa hawa alafu uyo akaondoka kazini yupo na mawazo mengi sana...alifanya kazi kimya kimya Muda wa mapumziko saidi akaanza tena)

" Mimi sioi mwanamke ambaye namba za simu za ex wake bado anazo.

" Side ushaanza mada zako Jana umesema mwanamke mwenye mtoto alafu baba yake yupo umuoi.
.
" Nyie amujui tu ila wanaume sisi tuna mbinu nyingi na ususani tukiona ex kaolewa unataka kumdunga.

( Jamaa akadakia)

" Side niambie inakuwaje kuwaje hapo ex anamdunga.

" Sasa nisikilizeni kwa makini wote nyinyi na msikilize hii story kwa makini itawasaidia nyinyi mmeoa.

" Tuambie basi.

" HIVI NDIVYO JINSI MKEO ANAVYONASA KWENYE MTEGO WA EX ZAKE KIRAHISI SANA

EX: hellow, mambo!!?
MKEO: poa tu, nani..?
EX : aah! ulifuta hadi namba yangu au sababu umeolewa?
MKEO : hayo hayakuhusu, sema we nani..?
EX: mi Mcharo.
MKEO : Mungu wangu! Mzima wewe? za siku?
EX : nzuri tu, nimekumiss...
MKEO: we si uliniacha bwana...
EX : hapana, hujajua tu ninavyoumia hasa niliposikia umeolewa..
MKEO : ndo hivyo, ninegefanyeje sasa?
EX: bado unaishi kwenye moyo wangu..
MKEO : mhh!! asante.
EX : nipo mkoani kwenu hapa...
MKEO: mhh! kweli? umefikia wapi?
EX: nipo lodge flani huku chuda. nimekuja kwenye seminar mara 1..
MKEO : haya bwana karibu kwetu..
EX: mhh! namuogopa mumeo.
MKEO : hofu yako tu...
EX:njoo hata unisalimie jamani, nimekumiss sana.
MKEO: mmh! wa kunimiss ntakuwa mimi?
EX: niamini bado nakupenda, naomba uje...
MKEO:mhh! kutoka hapa ishu labda kesho mume wangu akienda kazini...
EX: poa, saa ngapi..?
MKEO: anaenda kazini asubuhi, hivyo mimi nitatoka mida ya saa nne.
EX: poa,ntakuambia chumba nilichopo.
MKEO: wee tafadhali sana babu siingii lodge mimi ni mke wa mtu usijisahaulishe.
EX:please, sitakufanya chochote...siwezi kukulazimisha usichopenda kufanya niamini.
MKEO: we...ndio mnasemaga hivyo hivyo.
EX :please, siwezi niamini.
MKEO: sawa lakini sitakaa sana..na ni story tu sitaki mambo mengine.
EX: poa, usijali my
MKEO : sawa
Hivi ndivyo ma EX wanavyoharibu ndoa za watu. Mkeo akishaanza kuchat na EX WAKE..UMEKWISHA NDUGU YANGU RAMA...ni ngumu kuushin da ushawishi wa EX labda kwa mwanamke anayejitambua nisikilizeni

BAADA YA KUONANA HIYO KESHO

MEO : ila sijapenda uliniambia hutanifanya kitu alafu umenishawishi na kuniamsha hisia mpaka tumefanya...sijapenda kwakweli.
EX: nisamehe my..nilishindwa si unajua tuliko toka...lakini asante nimeenjoy sana. Bado uko na utamu wako mamiii.
MKEO: sawa ila sijapenda, unadhani mume wangu akijua ntafanyaje?
EX: hawezi kufahamu, atajuaje sasa?
MKEO: tambua tu hivyo..(ghafla) "usitume text amekuja.."
EX: poa, usiku mwema..

BAADA YA YOYOTE KATI YENU KAMA MKEO TABIA IYO ANAYO UKIONDOKA

MKEO: nambie....
EX: poa kaondoka?
MKEO : ndio ila akija ntakuambia.
EX: poa ila mi keshokutwa naondoka, uje uniage.
MKEO: ntaangalia asipokuwepo.
EX: mhh! Jamani sasa akiwepo je?
MKEO : mhh! sijui ntaaga naenda kwa mama mdogo, ntampanga vizuri, ntakuja ila sitakaa..
EX: sawa...nakupenda sana.
MKEO: nakupenda pia..ila usirudie kuniumiza.
EX: sitaweza rudia tena dear..

Hivyo ndivyo mwanamke akiingia kwenye mtego wa ex inavyokuwa rahisi kunasa tunduni . Kumbukumbu zikirudishwa nyuma ni ngumu kuepuka huu mtego wa kufanyana. Na haya mahusiano yanaweza kuendelea kwa muda mrefu bila mume kupata ushahidi au kujua.

Ila kumbuka tu kuwa huyu ex wako ana ex wake mwingine na huyo ex wake naye ana ex wake huko. Lakini pia usisahau huyu ex wako ana mume wake ambaye naye anaweza kuwa na ex wake pia. Je usalama upo hapo?. Nyie kina Rama ukiona dalili mbaya za mawasiliano kwa mke wako...tafadhali...usisite kufanya maamuzi ya kuokoa nafsi yako hakika MUNGU atakuwa upande wako.

Na kama kuna mmoja wenu anatembea na Ex unayetembea na mke wa mtu kisa eti ni ex wako...fikiria tu mke wako anakufanyia hivyo!! Maumivu utakayopata ndiyo anayopitia mume wa ex wako akijua. Kuna jamaa anaitwa Karma huyu yuko serious sana na ana kumbukumbu ya ajabu huwa hamsahau mtu kile unachomfanyia mtu mwingine ndicho utakachofanyiwz "what goes around comes around".

Mwenyekiti nasemaje, Ubaya ni mbegu na wema ni mbegu....wema ni akiba lakini ubaya ni deni lonalolipwa kwa gharama ya riba ya juu sana. Ubaya haufi, ubaya ni mbegu. Wewe endelea kujifariji kuwa mtalaka hatongozwi, mara eti kiporo hakihitaji moto mwingi kukipasha.

Wewe Abdallah kichwa wazi hapo unayempanga huyo ex wako ambaye ni mke wa mtu tunaelewana?.

" Side ujue kuna wakati unaongea mambo ya maana sana.

" Aya tuendeleeni na kazi.

( Walifanya kazi uku jamaa anawaza amshirikishe side kwenye jambo lake au moyo ukakataa akawa anarudi kwake anafika kwake anamkuta hawa analia yupo sebuleni)

" Hawa unalia nini?

" Mama karudi kaja kunipiga tu kabadilisha nguo kaondoka.

" Kakupiga kwanini?

" Anasema kwanini nimekupa simu.

" Pole sana hawa nyamaza usilie shika elf 20 hii Kesho kanunue unachotaka usilie tena.

" Asante baba maji yapo tayali kaoge ule upumzike Pole na kazi.

" Asante hawa.

( Jamaa anaingia chumbani kwake kubadilisha nguo anakuta simu ya mkewe kitandani...akajua tu kwenye haraka yake kasahau simu akaishika kuitoa kitandani akaibonyeza anaona picha mbele ya mwanaume akatoka nayo simu chumbani anafika sebuleni anaona hawa anaongea na simu)

" Chumbani yupo baba siwezi kuingia kuichukua.

" Nakuja.

( Hawa alikata simu)

" Unaongea na nani?

" Na mama amesema amesahau simu yake kubwa niichukue nimpeleke stend.

" Hawa Samahani uyu ni nani?

( Alimwonyesha ile picha ya kwenye simu hawa akaropoka)

" Ndio baba yangu mzazi uyo.

" Sawa.

( Akaingia ndani uku anawaza amfanyaje mkewe mala mke mwenyewe anaingia mazima chumbani kamkuta mumewe kashika simu mke anasema)

" Naomba simu yangu bodaboda ananisubili nje hapo.

ITAENDELEA...

JNGEKUWA WEWE NDIO RAMA UNAFANYAJE HAPO?โคโค
Tangazo - niliona mwenyewe dada yangu anageuzwa full story
niliona mwenyewe dada yangu anageuzwa full story
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜› Sehemu ya nne. ๐Ÿ‘‰ Mke wangu unanisaliti...๐Ÿ‘‡ ( Mke alikata simu na akazima...jamaa akipiga tena namba unayopiga aipatikani...chozi

la kiume likawa linadondoka anakumbuka maneno ya side wa kazini akawa amejiinamia hawa anamuuliza)

" Baba nini kimetokea?

" Mama yako yupo na baba yako alizani wewe ndio unapiga simu akataka ampe baba yako uonge nae kinaniuma zaidi wapo kitandani.

( Hawa anaona ndoto ya kusomea ufundi inayayuka alichosema)

" Baba nyamaza nenda kalale upumzishe akili.

" Usingizi auwezi kutoka kama alikuwa anajua awezi kuachana na baba yako kwanini amekubali nimuoe ananiongopea kaenda kwenye shughuri kumbe kaenda ku๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ.

( Alishindwa kumalizia kwikwi ya hasira imemshika...hawa ametulia ajui aseme nini...jamaa akaingia ndani anatamani aonge kwa mtu aya ila anaogopa kutoa siri ya ndani...akawaza...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mtoto-wa-mke-wangu-sehemu-ya-nne-mke-wangu-unanisaliti-mke-alikata-simu-na-akazima-jamaa-akipiga-ten

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mtoto-wa-mke-wangu-sehemu-ya-nne-mke-wangu-unanisaliti-mke-alikata-simu-na-akazima-jamaa-akipiga-ten
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

8.92K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

5.54K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.24K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tatu.  ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tatu. ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

2.18K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

1.94K
I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

1.91K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya nane.  ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya nane. ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

1.72K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

1.66K
RUNGU LA KIPOFU 21.

RUNGU LA KIPOFU 21.

1.65K
โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

1.64K
Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest