VYOTE NDANI GONGA94
โค MTOTO WA MKE WANGU๐๐ Sehemu ya tatu. ๐ Mama yake alisema uyu hana jina langu kwenye kadi alafu aniite Rama sio baba kumbe anayo tu kama ya mama yake๐๐...๐
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
( Jamaa udenda wa tamaa ulikuwa umemkamata anawaza ataanzaje sasa...wakati anawaza hawa akajipalia wakati amelala akaanza kukohoa....hapo jamaa akarudi ndani fasta...hawa akakohoa mpaka akaamka akaingia chumbani kwake akavaa nguo fasta ata kunawa uso ajanawa akaanza usafi yani anaishi kwa mashaka kama vile ayupo na mama yake mzazi...jamaa akatoka akamsalimia)
" Hawa ujambo.
" Sijambo baba Shikamoo.
" Marhaba.
" Samahani baba naomba umwambie mama mimi siwezi kukuita wewe Rama.
" Achana nae mama yako alikuwa na hasira zake tu.
" Sawa baba.
( Jamaa akaenda kuoga...akamuachia pesa hawa alafu akaenda kazini uku anasema kimoyoni...shetani wa matamanio toka kichwani mwangu.....akafika sasa kazini akakutana na story za watoto wa kambo)
" Rama afadhali umekuja hapa tuna swali mfano pesa yako ndogo alafu upo na mtoto wa kambo na upo na mwanao pesa inatosha suruali moja wewe utamnunulia nani?
" Sitanunua nitaitunza pesa nipate nyengine nitapotaka kununua nanunua mbili.
" Rama ngoja labla ujaelewa uyu mtoto wa kambo baba yake yupo sio kama amekufa.
" Ndio nitafanya kama nilivyokwambia.
" Kumbe Nyie ndio mmerogwa na wake zenu uyu mwenzio anasimamia misimamo kama wewe tu.
" Sasa wewe side unafanyaje?
" Namnunulia mwanangu kuishi na mtoto wa kambo kipaji yani baba yake pesa anawekeza kwenye mwili wewe unawekeza pesa kwa mtoto wake siku mkikutana sehemu ex wa mkeo kapendeza wewe umenyorodoka utaona mkeo anaenda kupasha kiporo mwenyewe ajui wewe uwezi kupendeza pesa zinaishia kwa mangi muuza unga na mchele alafu ex zinaishia kupiga pamba.
" Side ayo mawazo ya mtu mwenye roho mbaya mtoto wa kambo ni mwanao wangapi unaona wanasaidiwa na watoto waliowalea.
" Ujinga huo sina mimi kama nitalea mtoto wa kambo baba yake awe amekufa sio yupo hai.
" Duu side Muda wa kazi huu.
" Poa tupigeni kazi.
( Ni mazungumzo ya kazini ayo jamaa alipiga kazi mchana anampigia simu mkewe simu aipokelewi...akatulia...akaendelea kupiga kazi mpaka jioni anapiga tena aipokelewi....akarudi nyumbani kwake akamkuta hawa ameshamaliza kupika na kashamtengea chakula....jamaa akaenda kuoga akaona na maji kawekewa...akamaliza kuoga akamwambia hawa)
" Hawa nitafanya mpango hapa aje mfanyakazi uwe unapata Muda wa kupumzika.
" Baba Samahani naomba ukanisomeshe ujuzi wowote ule namwambia mama ananijibu nishakua nisubili mume yeye uwezo wake uliishia kidato cha nne.
" Dah Sawa wewe fikilia ujuzi gani nikulipie usome.
" Fundi cherehani.
." Sawa nitakupeleka chuo kabisa.
" Nitashukuru baba.
( Jamaa akakumbuka mkewe apokei simu...akamwambia hawa)
" Ivi simu yako ina dk.
" Zipo ila nimeifunga na lababendi mfuniko umepasuka.
" Lete nimpigie mama yako.
" Sawa.
( Akaona atumie simu ya mtoto labla itapokelewa...kweli alipopiga simu ya mkewe ikapokelewa anasikia mkewe anasema)
" Aya mwanao kapiga maana Leo unajifanya umemkumbuka kwa sababu tupo kitandani.
( Jamaa akapaza sauti)
" Mke wangu unanisaliti..
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mtoto-wa-mke-wangu-sehemu-ya-tatu-mama-yake-alisema-uyu-hana-jina-langu-kwenye-kadi-alafu-aniite-ram