Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

 ๐—ก๐—œ๐—Ÿ๐—œ๐—ฉ๐—ฌ๐—ข๐— ๐—ฃ๐—” ๐— ๐—”๐—™๐—œ๐—” ๐—•๐—ข๐—ฆ๐—ฆ ๐—•๐—œ๐—ž๐—ฅ๐—” ๐—ฌ๐—”๐—ก๐—š๐—จ ___________________________________*1 - - - - - 5*  SEHEMU YA  1 Aaaah Leo ni siku nzur sana kwangu maaana siku Kam ya Leo niliagana na tumbo
Gonga94 ยท Stories

๐—ก๐—œ๐—Ÿ๐—œ๐—ฉ๐—ฌ๐—ข๐— ๐—ฃ๐—” ๐— ๐—”๐—™๐—œ๐—” ๐—•๐—ข๐—ฆ๐—ฆ ๐—•๐—œ๐—ž๐—ฅ๐—” ๐—ฌ๐—”๐—ก๐—š๐—จ ___________________________________*1 - - - - - 5* SEHEMU YA 1 Aaaah Leo ni siku nzur sana kwangu maaana siku Kam ya Leo niliagana na tumbo

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
la mamaangu ,Yan adi naona uvivu kuamka .
Kwa majina naitwa zulfa ,Zulfa muhmatt mm ni Binti wa nje ya ndoa kwenye familia yetu ya kitajiri ya watoto wanne.Leo ni siku yangu ya kuzaliwa natimiza miaka 18 tu tangu kuzaliwa kwangu .
Siku Kam ya Leo baba angu Mzee muhmatt huwa ananiletea zawad za Kila aina hivyo Nina shauku sana ya kujua ata niletea nn siku ya Leo .

Baba angu yeye anamgodi wa kuzalisha mafuta ,hivi karibuni mgodi wake ulikuw unapitia changamoto nyingi Sanaa maaana ilitokea ajali na wafanyakaz wake karibia wote walifia ndani na kutokana na ilo alishatkiw na watu .Iyo ilimgharimu pesa nyingi sana kweny kulipia fidia Kwa familia za marehemu wote .

Hivyo ikapelekea familia yetu kutikisika kiuchumi .Mama angu wa kambo yeye alishaachana na baba angu walitengana maana yeye alikuw natamaa baada ya kuona uchumi wa baba umeyumba akaamua kwend kuolewa na mpinzan wa baba ,ivyo nyumban naishi mm ,baba ,dada zangu wawili ambao cna hata mazoea nao ,na wafanyakaz watano wandan na walinz wawili tuu .

Kama nilivyowaambia Leo ni siku yangu ya kuzaliwa
Nilivyotoka tu kupata kufungua kinywa baba akaniita Zulfa mwanangu ukimaliza kunywa chai njoo ofisini kwangu tunamaongez mazito sana .

Bac baada ya baba kusema ivo ndugu zangu wakaanza kuguna ,hasahasa Mary ambae ni dada angu mkubwa ila huwa sipatani nae ,maan sio Kwa mashauzi aliyonayo kutwa kufanya make up kupika hola๐Ÿ˜‚.

Mtoto wa kike nikapata kifuungua kinywa Nilivyomaliza nikaongoza ofisini Kwa baba maaan anachumba chake maalumu kakitenga kama ofisi ya nyumbani .

Mm apo akilini nawaza tu Yan apo baba sijui safar hii atanipa zawad gani ,Nina uhakika anaenda kunipa zawad yangu ya kutimiza miaka kumi na nane .

Mdogomdogo natembea Kwa madaha maaana jamn sio kama najisifia ila mm ni mzur sana Nina umbo flan iv na vinywele vya kiarabu MashaAllah ,uso sasa duuh si mjua jamn mtu nimetoka utotoni ndo kwanz mgeni ukubwana maana Leo mm ndo mkubwa rasmi nimetimiza miaka kumi na nane .

Nilivyofika nje ya mlango wa ofisi ya baba ,nikajiweka vizur ,kishaa nikagonga mlango baada ya kupewa ruhusa nikaingia ndani .

Baba alivyoniona tu akaanza kunisifia MashaAllah mrembo wangu ๐Ÿ˜,mm apo bichwa hilo ๐Ÿ˜‚.
Nikamsalimia vzr Kwa salamu.

Baba akaanza kuongea Binti yangu bila ya kupoteza mda ningependa tuongee vzr ,mm nae nikatega sikio langu ,kumsikiliza baba yangu mpenz .

Itaendelea
SEHEMU YA 2
Nikakaa nikawa namsikiliza baba angu Kwa umakini Sanaa ,akaanz Kwa kuniambia Binti ya Zulfa unajua umetimiza miaka mingapi.
Ikanibidi nicheke maan naanzaje kusahau Mika nilioitimiza jamn Kwan Sina akili timamu eti ๐Ÿ˜‚.
Nikamwambia Mzee muhmatt unaanza kuzeeka ushasahau kwamba Binti yako ni mwelevu na mtu mwelevu anasahauje siku yake ya kuzaliwa jamn.

Nilisems vile ilikumfurahisha baba maaana alionekana mtu mnyonge sana ,na kwel nikafanikiwa baba akatabasamu .

Baada ya tabasamu fupi baba akaniambia ,mwanangu ninaombi na ilo ombi ninalokuomba litaisaidia familia yetu yote Kwa ujumla ,na litarejesha furaha yangu.

Mimi Kwa ninavompend baba angu sikusita kumuuliza na kumwambia baba ni ombi gani ilo ,na pia nakuakikishia nitatimiza ombi lako Kwa hali na mali .

Baba akaniambia mwanangu unajua shida inayopitia mgodi wangu Leo nimepata suruhisho ya shida yetu iyo na ww ndo msaada wetu na tegemeo letu lililobak .
Inabidi uolewe na mtoto wa Mafia king wa New York ili aweze kuwekeza kwenye mgodi wetu.

Sikuamini maneno ya baba angu Yan mm mwanae mpenz annataka kunioza Kwa Makatili ingawa cmjui uyo mtoto wa Mafia king ila uyo baba ake namjua anauwezo wa kuua mtu bila kipingamizi chochote .
Baba akaniambia mwanangu tafadhr nakuomba ,tuokoe kutoka kwenye aibu hii inayonikumba mwanangu Zulfa.

Apoapo nikamuuliza Kwan baba Mimi ndo mtoto wako wa wakike wapekee mbona kina dada Mary wapo na niwakubwa wanauzoefu na haya mambo Mimi ndo kwanz nimetimiza miaka kumi na nane Leo hiii ndo nimeingia ukubwan na leoleo unatak kunioza Tena Kwa watu wakatili kwel baba .

Baada ya kuongea ivo nikaamka Kwa hasira nikawa natoka ofisini Kwa baba ,Ile nafika tu mlangoni naanza kunyonga kitasa naskia kishindo cha nguvu uko nyuma nilipotoka .

Nikageuka na kumkuta baba kaanguka chini anateteleka Kam kapigwa na shoti au kama mtu mwenye degdege ,nikapiga kelele moja ya nguvu watu wakaja mule ndani ambulance ๐Ÿš‘ ikaitwa muda uo nimepigwa na butwa sijui nifanyaje .

Familia nzima tukaelekea hospitali ,baba angu akaingizwa ICU na shida kubwa iliyokuw ikimsumbua dokta alisema ni pressure ilipanda ,Dada zangu wakawa wananisema Mimi ndo sababu ya baba kuwa katika Hali Ile wakati uo Mimi nalia tuu maaan Sina mtetezi na niliamini Mimi ndo sababu basi nililia sana .

Yakapita kama masaa matano Hali ya baba ikakaa sawa akatolewa ICU nakupelekwa kwenye wodi za kawaida .Ndugu wote wakakimbilia kwenda kumuona ,Nilivyoona Hali iyo ya baba angu niliogopa sana na kwaninavyompend baba yangu sikuwa tayar kumuacha awe kwenye hatr kabisa Yan .

Hivyo nikafanya maamuz ya kishujaa ya kukubali kuolewa na Mtoto wa Mafia king wa New York city ,Nikashauliana na halmashaur yangu ya kichwa nikakubaliana na ilo .baada ya apo nikaingia wodini alipo baba .

Nikaomba ndugu zetu watupishe tunamaongez Mimi na baba ,dada angu Mary akawa anabisha ,baba akaamulu atoke ndo akatoka uku kanuna mwenyew .

Nikapiga magoti mbele ya baba angu na kumwambia baba najua nimekukosea pakubwa Kwa kuhoji maaamuz yako na ikakupelekea kwenye Hali hii ivo kwanz naomba unisamehe baba angu mzazi ,cha pili nimekubali kuoana na mtoto wa Mafia king wa New York city ๐ŸŒ†.

Baba angu alifurahi sana baada ya kusikia ivo adi alianza kunikombatia mara mbili mbili maana hakuamini kabisa Yan .

Wakati uo baba anafuraha Mimi moyo unaniuma sana maana naend kuharibu future yangu naenda kuolewa na mwanaume nisiejua chochote kumubusu ,ila nilijikaza tu kw akucheka mbele za baba .

Baba akachukua simu ya kupiga Kwa Mafia king ,baada ya
simu kukata ,baba akaniambia mwanangu ndoa yako ni kesho asubuhi na muda uo baba anasema ayo ilinikuwa nijioni .

Eeeeeh ๐Ÿ˜ณ ,ikabidi niulize sasa baba kama ndoa ni asubuhi Mimi ntavaaa Nini ata make up artist Sina sasa itakuwaje .
Nikaambiwa ayo hayakuhusu Kila kitu kipo tayra nyumbani ni wewe tu kwenda kulala ujiandae na ndoa.

Mara ghafla nikashangaa eti baba kaamka kitandani apo hospitali ๐Ÿฅ,kabisa na kaanza kuchomoa madrip Kisha akaniambia haumwi Tena yupo tayr na ndoa ,nikabaki nashangaa ๐Ÿ˜ณ ,mambo mbona yanaenda haraka hivi

Itaendelea
SEHEMU YA 3
Tukatoka hospitali tukiwa njiani baba alifurahi sana adi akawa anaimba nyimbo mbali mbali za ndoa ๐Ÿ˜‚ alianza na zaki Oman Kisha akafata na nyimbo penda inayoimbwa
"ismit hubaktiuhalali islikhaaa shuthenkhuali hum hayat "

. Watu wote gari Zima tukawa tumshangaa uyu Mzee vipi kulikoni Tena ,si mgonjwa uyu ila hamna alieuliza maan hakukua na mtu anajua zaidi yangu mimi na baba .

Tukafika nyumbani salama baba akanipa maneno ya faraja pale Kisha akaenda kupumzika ,
mie nikabaki nalia tu ,maan Zulfa Mimi cmjui mwanaume kivyovyote nimelelewa kimayai mwanzo mwisho na sikuend shule waalimu ndo walikuwa kinifuata Mimi nyumban . Kwaiyo ,cjawai kuwa na mahusiano ata Kwa picha.

Nililia usiku mzima ila haikusaidia kitu ,asubuhi yake nikajua kuamshwa na Yaya wangu alienilea tangu udogoni na nimemchukulia kama mama akawa ananielekesha kwajuju majukumu ya mwanamke na mama kwenye familia na kuhusu mume .

Akafata mada kuhusu bikra sasa ,apo ndo nikatega sikio ,ila alisema tuu hata hakuelezea bas nikachukia๐Ÿ˜ก
.Ghafla akaingia Mary na Julia ao ni dada zangu wakaingia bila kugonga hodi ,Mary akaniambia eti ndo anaolewa na Kwataarifa yako uy mwanaume unaeend kuolewa nae ni mbovuuu hatr ni mbaya sana ,anaitwa Maiyan na anamialama ya visu usoni cjui mtakissije .
Wakaanz kunicheka mm machoz yananilengalenga๐Ÿฅบ.

Wote tukaskia kengele zinagongwa za mlango wa nje Kisha watu wakaruhusiwa kuingia ,watu ao walikuw wamevaa mangroves na walikuw wameficha nyuso zao wote ila walikuja Kwa madai wameagizwa na Mafia king kuja kuniremba ,Mimi ni Binti wa kiislamu navaa ushungi masaa 24 ila Nina uhair tofaut na dada zangu ambao ushingi kwao ni vita ya tatu y Dunia๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.

Sasa kilichonitatiza nikwambia mule ndani limeletwa shera nyeupe linaloonesha mabega yote na nila kushape ,nikavunja ukimya nikawa uliza kulikoni na hili shela jaman ,eeeeh unadhan ata nilijibiwa ๐Ÿ˜ณ ,watu wapo busy ya kazi zao mwengie. mara anishika nywele sijakaa sawa nikalazwa wakanifanyia massage ya mwili wote .

Baada ya dakika 15 Kila kitu kikawa sawa ila shida nguo ipo wazi San na kushape kimechongoka mno ns Mimi ni Binti wa kiislamu .Baba akaja bila kujali akanikombatia na kunisifia nimependeza sana ,apoapao akaniambia ninaend kufunga ndoa ya kikristo kanisani .

Nilishangaa sana na machozi yakaanza kunirenga renga ,wakati uo natia huruma nikajua basi nitahurumiwa ,eeeh wale watu wa Mafia king wakanibeba mzobemzobe adi kwenye gali ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.kama kafurush msafala ukaanz adi airport na shela langu ,apo baba nae na ndugu zangu wapo.

Eti nimepelekwa kanisani na ndege .kufika kanisani nikakuta vidada vimevaaa nguo fupi ,Yan nawaangali wao aibu naona Mimi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.apo Nina majonzi yangu .

Tukashuka kwenye ndege tukaenda adi kanisani ,watu wote baada ya kuingia kanisani Mimi nae Nikaingizwa na baba kanisani Kwa mara ya kwanx naingia kanisani .
Chakushangaza nikwamba kanisani watu wote wap pale mbele wasimamz padri ila mume hayupo๐Ÿ˜‚.

Nikapelekwa na baba adi pale mbele sasa nimefika pale na bung'abung'a tu macho maaan mume simuoini ๐Ÿ˜‚
kuangalia iv nikamuona Mafia king kwenye eti akanipigia saruti ๐Ÿซก๐Ÿซก ,jaman aibu iz Ikanibidi nigeuke upande mwengine .

Tulisubiri sana adi Mafia king akasema Kam mwanae hajafika niolewe na mdogo wa mwanae Mimi nikashangaa Kwanz awa vp awa Yan Mimi ndo kimdoli au narushwa rushwa ovyo .kabla sijatia neno nashangaa mwanga mkali unatokea mlangoni Kisha akaingia mkaka jamn ni handsome yule kaka khaaaa jamn jdman kaend ewani anamacho ya Bahar nywele sasa ,ila amekuja kanisani anamidamu kwenye shat lote ila yeye hajali Wala Nini Tena alivokuw anaingiwa wajinga wenzie wakawa wanampigia makofi ,wengine wanapiga miruzi kanisani apo jaman .

Alivoona adabu akaingia akanishika kidevu akaanza kuniita senorita ,basi apo kanisa Zima wanapiga makofi Mimi nimebak nashangaa ๐Ÿ˜‚.

kule sasa dada angu Mary wivu umemkolea maana Alizan naolewa na mdogo wake bwana harusi yule ambae ni mbaya anamialama kumbe laaah naolewa na mkaka alieend Ewan basi akaanz kumlaumu baba kwanini hakumlzimisha yeye ndo aolewe.

Itaendelea ..
SEHEMU YA 4
Ndoa ikapita kasheshe sasa Mimi nikajua ntarud nyumbani kuchukua vitu vyangu ila chakushangaza eti viapo vilivyoisha tuu nikabebwa juu juu na nilivyokadogo sasa ๐Ÿ˜ญ

Mpaka kwenye gari la mume wangu ,yeye kwenye familia Yao baada ya baba ake Mafia king anafuata yeye Mafia boss ,alafu ndo mdogo wake yule mbaya Mafia prince .
Msafara ukaanza kuondoka nikamuacha baba angu dada zangu wafanyakaz nawachungulia tu kwenye kioo uku nalia .

Mume wangu akaniuliza senorita mbona unalia shida Nini ,nikamuangaliaa nikampandisha na kumshusha Yan ndo kusema hajui shida Nini au ndo analeta hashuo tu mmmssschh .๐Ÿ˜

Maneno ayo yote nayaongelea moyoni maaana sinajeur ya kuyatamkaa ,ila chakushangaza mume wangu akaniambia ukimaliza kunitukana kimoyo komoyo chagua hoteli ya kwenda kula honeymoon ๐Ÿ˜ณ.

Eenheee ,Mimi Zulfa Leo nimekufs jaman khaaaa jamn weeeeee uwiiii apo kimoyomoyo najiongeresha ,mbaba wote uyu ,nikamuuliza eti wewe unamiaka mingap akaniambia 38 ,alivoniambia tu ivo nikazimia ๐Ÿ˜‚.

Nakuja kushtuka nipo kweny chumba kama disco vile kudadek Kila Kila aina ya taaa na rangi nikawa naangaza uku na uku cndo nikamuona mume mwenywwwww ,yupo na kitaulo na kifua waz ,jamn machozi yalipo tokea๐Ÿ˜ญ .

Nikashuka kitandani chap maaan nilikuw nimeshakaa machinjioni๐Ÿ˜‚.Ile nashuka tuu nashangaa mtu ananifuata na Mimi bila kusita nikawa narudi nyuma mdogo mdogo .
adi nikafika ukutani loooh ilijibaba lilivo halina huruma Wala akili likaanza kuzifungua shera langu .

Na alivomzoefu shera tulilo angaika nalo kulifunga yeye kalifungua Kwa sekunde 5 tu .apo nikabaki na kinguo cha juu na kichupi tu๐Ÿซฃ nikawa sielewi pakuficha jamn ,akaniangalia wee


ila akanionea huruma akasema siwez kukufanyia ivi adi wewe mwenyew ukija kutaka na kuniomba wewe mwenyew ,ila inabidi tufanye kitu apo apo akachukua kisu akajikata mkono Kisha damu akazipaka kitandani tunapolala .

Akasema ni lazima nifanye iv sababu watakuja kukagua asubuhi kabla hajamalizia tukawa tunaskia sauti nje ya mlango boss vipi umo mbona hatuskiivmiguno vp uko .
walikuw ni wafanya Kaz wake ao .

Kwel apa ninashughuli jaman ilikuje sibora ningekata kuolewa ona nilipojileta sasa ,apo nipo nawaza .

kabla cjamaliza mawazo yangu nikakatishwz na mume akaniambia Aya Senorita umeskia uko nje ay fanya inavotakiwa piga kelele la sivyo tunafanya kwel kwel .
we kusikia ivo ,nikaogopa .

kwanz nikawaza nipige kelele za Nini mwizi au ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ,nikamuuliza nipige kelele za Nini ๐Ÿ˜‚ akasema we mtoto chiz kwel Yan kelele za mke we zombie apo ndo nikawaza nikaanza kaz aaaaah mume aaamume ,baada ya kusema ivo tu nje ndo wakaondoka ๐Ÿ˜ฎโ€๐Ÿ’จ๐Ÿ˜ฎโ€๐Ÿ’จ .Yan ndo kwanz ck ya kwanz nakumbana na hii kasheshe doooh .


Nikajua nshamaliza kaz nilale eeeh nashangaa singrend Ile iliyobak ndani inachanwa na kisu ,nikageuka kuuliza eti naaniambia

ITAENDELEA.....
SEHEMU YA 5
Nikashangaa jamn kulikoni Tena uku nyuma ,eti ananimbia mke hii ni Mila nyingine lazima nikuvue nguo zako za ndani Kwa kisu ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ nikabaki nashangaa eeeh alivo Hana adabu akakata kinguo cha juu chote nikabaki nimejikinga ns mikono nisizalilike alivoona ivo akaniambia nikavualie nguo chooni alafu nizikate mwenyew apo nikapata hauweni ๐Ÿ˜‚.

Nikafanya kama nilivyoambiwa nikarudi ckumkuta mume nikakaa pale kitandani kugeuka geuka nikaona picha kubwa ya mafia boss ambae ni mume wangu chini imeandikwa jina Alberlto ndo apo nikalijua jina lake ,can u imagine unaolew na mtu hujui jina lake ndoi Mimi sasa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.

Cjui ata nilipitiwa na usingizi saa ngap apo kitandani nakuja kuamka asubuhi tayar wamekuja watumishibkibao kama ishirini wote wamekuja kunihudumia ,Mimi apo sielewi eti nawauliza nyie vp asubuhi asubuhi .

Nikajua awa ni watumishi wakama nyumbani chochote unachofanya au kusema wanatiii eeeh chaajaabu ndugu zangu awa wananijibisha kama Mimi sio mke wa kiongoz wa familia wananiambia yote hayanihusu wao wamekuja kufanya kazi zao ๐Ÿ˜ณ nikawaambia sasaiv napumzika njooni baadae unadhani wanaelewa sasa ndo kwanz wananiambia hawapangiwi maisha .

Ikanibidi nikae pembeni maaan Mimi ni mkimya uyo ,nikawa nawatizama tu wakawa wanakagua mashuka wazitama nguo zangu za ndani Kisha wakatikisa kichwa na kuondoka ,baada ya muda akaingia mdada mwengine wa makamu yule nikama anamiaka kama sio 35 basi 38 ni mzur ila sio sanaaaa. na yeye akaliangalia like shuka Kisha akaanz kucheka uku anasema kwaiyo mkajua hatutojua .

Bibie hii sio damu yako kabisa Yan .wee apoapao nikashuka kama nimepigwa shoti ,nikaamua kuuliza kama sio zangu za Nan na wewe ni nan ,akaacheka Kwa dharau Kisha akaniambia Mimi ndo mwanamke ninae toa furaha Kwa mume wangu ,eti wangu wetu sorrrrrry .

Wakat anaongea ayo akaingia mama mtu mzim akasema Jerry muache mwenzio na utoke nje yule mama mm mwenyw simjui ni Nan ila baada ya kusema ivo yule dada anaeitwa Jerry akaondoka Zake .

Nikiwa na maswali mengi kichwani ya kumuuliza Aliberto nikaona nivunhe ukimya na kuanza kumtafuta ilx jaman hii nyumba ni kubwa mnooo ,cjui nimeingilia wap maan nilitafuta sana ,Kila unaemuulzia anakujibu shombo baada ya muda mrefu nikaona chumba kimoja chenye kibao kimeandikwa Mafia boss .

Nikaona aaah Bora nimefika ๐Ÿ˜ฎโ€๐Ÿ’จ ,maan sio Kwa kuchoka uko.
Ile naingia tuu nakuta Alberto yupo na Jerry wanapigana French kiss za hatar ,kile kitendo kiliniumiza ๐Ÿฅบ,nikaamua kutoka kabla cjafika mlangoni Alberto akaniita Zulfa njoo nikawa nakaza fuvu.

Akaamua kunivuta Kisha akaanza kuniambia wewe si umenikatalia kunipa usiku Aya kaa apo uone na ujifunze ,ili upate maarifa akanikalisha kwenye kiti Kisha akanifunga na kamba mikono wao wakawa wanaendelea n mamb Yao wee mm nae sasa .

ITAENDELEA ......

Maoni

You're not logged in


Tangazo - MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
Tunao Wapenda ndio wanao tuua baba
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

๐—ก๐—œ๐—Ÿ๐—œ๐—ฉ๐—ฌ๐—ข๐— ๐—ฃ๐—” ๐— ๐—”๐—™๐—œ๐—” ๐—•๐—ข๐—ฆ๐—ฆ ๐—•๐—œ๐—ž๐—ฅ๐—” ๐—ฌ๐—”๐—ก๐—š๐—จ ___________________________________*1 - - - - - 5* SEHEMU YA 1 Aaaah Leo ni siku nzur sana kwangu maaana siku Kam ya Leo niliagana na tumbo

la mamaangu ,Yan adi naona uvivu kuamka .
Kwa majina naitwa zulfa ,Zulfa muhmatt mm ni Binti wa nje ya ndoa kwenye familia yetu ya kitajiri ya watoto wanne.Leo ni siku yangu ya kuzaliwa natimiza miaka 18 tu tangu kuzaliwa kwangu .
Siku Kam ya Leo baba angu Mzee muhmatt huwa ananiletea zawad za Kila aina hivyo Nina shauku sana ya kujua ata niletea nn siku ya Leo .

Baba angu yeye anamgodi wa kuzalisha mafuta ,hivi karibuni mgodi wake ulikuw unapitia changamoto nyingi Sanaa maaana ilitokea ajali na wafanyakaz wake karibia wote walifia ndani na kutokana na ilo alishatkiw na watu...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/nilivyompa-mafia-boss-bikra-yangu-___________________________________-1-5-sehemu-ya-1-aaaah-leo-ni-s

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi nilivyompa-mafia-boss-bikra-yangu-___________________________________
๐—ก๐—œ๐—Ÿ๐—œ๐—ฉ๐—ฌ๐—ข๐— ๐—ฃ๐—” ๐— ๐—”๐—™๐—œ๐—” ๐—•๐—ข๐—ฆ๐—ฆ ๐—•๐—œ๐—ž๐—ฅ๐—” ๐—ฌ๐—”๐—ก๐—š๐—จ SEHEMU YA  17 - 18 Nikamuuliza jamn kulikoni mbona mmenizingira iv ,shida
๐—ก๐—œ๐—Ÿ๐—œ๐—ฉ๐—ฌ๐—ข๐— ๐—ฃ๐—” ๐— ๐—”๐—™๐—œ๐—” ๐—•๐—ข๐—ฆ๐—ฆ ๐—•๐—œ๐—ž๐—ฅ๐—” ๐—ฌ๐—”๐—ก๐—š๐—จ SEHEMU YA 17 - 18 Nikamuuliza jamn kulikoni mbona mmenizingira iv ,shida
 ๐—ก๐—œ๐—Ÿ๐—œ๐—ฉ๐—ฌ๐—ข๐— ๐—ฃ๐—” ๐— ๐—”๐—™๐—œ๐—” ๐—•๐—ข๐—ฆ๐—ฆ ๐—•๐—œ๐—ž๐—ฅ๐—” ๐—ฌ๐—”๐—ก๐—š๐—จ   SEHEMU YA  19 - 20 Bila kusita nikaanza kumuuliza baba kwanini ananifanyia iv
๐—ก๐—œ๐—Ÿ๐—œ๐—ฉ๐—ฌ๐—ข๐— ๐—ฃ๐—” ๐— ๐—”๐—™๐—œ๐—” ๐—•๐—ข๐—ฆ๐—ฆ ๐—•๐—œ๐—ž๐—ฅ๐—” ๐—ฌ๐—”๐—ก๐—š๐—จ SEHEMU YA 19 - 20 Bila kusita nikaanza kumuuliza baba kwanini ananifanyia iv
๐—ก๐—œ๐—Ÿ๐—œ๐—ฉ๐—ฌ๐—ข๐— ๐—ฃ๐—” ๐— ๐—”๐—™๐—œ๐—” ๐—•๐—ข๐—ฆ๐—ฆ ๐—•๐—œ๐—ž๐—ฅ๐—” ๐—ฌ๐—”๐—ก๐—š๐—จ SEHEMU YA  16 Asubuhi na mapema Alberto akaamka
๐—ก๐—œ๐—Ÿ๐—œ๐—ฉ๐—ฌ๐—ข๐— ๐—ฃ๐—” ๐— ๐—”๐—™๐—œ๐—” ๐—•๐—ข๐—ฆ๐—ฆ ๐—•๐—œ๐—ž๐—ฅ๐—” ๐—ฌ๐—”๐—ก๐—š๐—จ SEHEMU YA 16 Asubuhi na mapema Alberto akaamka
๐—ก๐—œ๐—Ÿ๐—œ๐—ฉ๐—ฌ๐—ข๐— ๐—ฃ๐—” ๐— ๐—”๐—™๐—œ๐—” ๐—•๐—ข๐—ฆ๐—ฆ ๐—•๐—œ๐—ž๐—ฅ๐—” ๐—ฌ๐—”๐—ก๐—š๐—จ   SEHEMU YA  14 Siku ikaisha basi mie nikajua ndo nikishafanya vile ndo
๐—ก๐—œ๐—Ÿ๐—œ๐—ฉ๐—ฌ๐—ข๐— ๐—ฃ๐—” ๐— ๐—”๐—™๐—œ๐—” ๐—•๐—ข๐—ฆ๐—ฆ ๐—•๐—œ๐—ž๐—ฅ๐—” ๐—ฌ๐—”๐—ก๐—š๐—จ SEHEMU YA 14 Siku ikaisha basi mie nikajua ndo nikishafanya vile ndo
๐—ก๐—œ๐—Ÿ๐—œ๐—ฉ๐—ฌ๐—ข๐— ๐—ฃ๐—” ๐— ๐—”๐—™๐—œ๐—” ๐—•๐—ข๐—ฆ๐—ฆ ๐—•๐—œ๐—ž๐—ฅ๐—” ๐—ฌ๐—”๐—ก๐—š๐—จ    SEHEMU YA  10 Nikabaki natabasamu tu kama kachizi
๐—ก๐—œ๐—Ÿ๐—œ๐—ฉ๐—ฌ๐—ข๐— ๐—ฃ๐—” ๐— ๐—”๐—™๐—œ๐—” ๐—•๐—ข๐—ฆ๐—ฆ ๐—•๐—œ๐—ž๐—ฅ๐—” ๐—ฌ๐—”๐—ก๐—š๐—จ SEHEMU YA 10 Nikabaki natabasamu tu kama kachizi
๐—ก๐—œ๐—Ÿ๐—œ๐—ฉ๐—ฌ๐—ข๐— ๐—ฃ๐—” ๐— ๐—”๐—™๐—œ๐—” ๐—•๐—ข๐—ฆ๐—ฆ ๐—•๐—œ๐—ž๐—ฅ๐—” ๐—ฌ๐—”๐—ก๐—š๐—จ SEHEMU YA  12 Wakat nalia nikasikia sauti
๐—ก๐—œ๐—Ÿ๐—œ๐—ฉ๐—ฌ๐—ข๐— ๐—ฃ๐—” ๐— ๐—”๐—™๐—œ๐—” ๐—•๐—ข๐—ฆ๐—ฆ ๐—•๐—œ๐—ž๐—ฅ๐—” ๐—ฌ๐—”๐—ก๐—š๐—จ SEHEMU YA 12 Wakat nalia nikasikia sauti
 ๐—ก๐—œ๐—Ÿ๐—œ๐—ฉ๐—ฌ๐—ข๐— ๐—ฃ๐—” ๐— ๐—”๐—™๐—œ๐—” ๐—•๐—ข๐—ฆ๐—ฆ ๐—•๐—œ๐—ž๐—ฅ๐—” ๐—ฌ๐—”๐—ก๐—š๐—จ ___________________________________  SEHEMU YA  15 Nikamuuliza Albert unaniachaje iv Kwa mara ya kwanz akaniita mke ,
๐—ก๐—œ๐—Ÿ๐—œ๐—ฉ๐—ฌ๐—ข๐— ๐—ฃ๐—” ๐— ๐—”๐—™๐—œ๐—” ๐—•๐—ข๐—ฆ๐—ฆ ๐—•๐—œ๐—ž๐—ฅ๐—” ๐—ฌ๐—”๐—ก๐—š๐—จ ___________________________________ SEHEMU YA 15 Nikamuuliza Albert unaniachaje iv Kwa mara ya kwanz akaniita mke ,
๐—ก๐—œ๐—Ÿ๐—œ๐—ฉ๐—ฌ๐—ข๐— ๐—ฃ๐—” ๐— ๐—”๐—™๐—œ๐—” ๐—•๐—ข๐—ฆ๐—ฆ ๐—•๐—œ๐—ž๐—ฅ๐—” ๐—ฌ๐—”๐—ก๐—š๐—จ SEHEMU YA  11 Tukakaa pale Mimi na dada angu tukapiga kilaa aina ya story
๐—ก๐—œ๐—Ÿ๐—œ๐—ฉ๐—ฌ๐—ข๐— ๐—ฃ๐—” ๐— ๐—”๐—™๐—œ๐—” ๐—•๐—ข๐—ฆ๐—ฆ ๐—•๐—œ๐—ž๐—ฅ๐—” ๐—ฌ๐—”๐—ก๐—š๐—จ SEHEMU YA 11 Tukakaa pale Mimi na dada angu tukapiga kilaa aina ya story
๐—ก๐—œ๐—Ÿ๐—œ๐—ฉ๐—ฌ๐—ข๐— ๐—ฃ๐—” ๐— ๐—”๐—™๐—œ๐—” ๐—•๐—ข๐—ฆ๐—ฆ ๐—•๐—œ๐—ž๐—ฅ๐—” ๐—ฌ๐—”๐—ก๐—š๐—จ SEHEMU YA  13 Kiss lile liliamsha mengi sana mwilini mwangu
๐—ก๐—œ๐—Ÿ๐—œ๐—ฉ๐—ฌ๐—ข๐— ๐—ฃ๐—” ๐— ๐—”๐—™๐—œ๐—” ๐—•๐—ข๐—ฆ๐—ฆ ๐—•๐—œ๐—ž๐—ฅ๐—” ๐—ฌ๐—”๐—ก๐—š๐—จ SEHEMU YA 13 Kiss lile liliamsha mengi sana mwilini mwangu
๐—ก๐—œ๐—Ÿ๐—œ๐—ฉ๐—ฌ๐—ข๐— ๐—ฃ๐—” ๐— ๐—”๐—™๐—œ๐—” ๐—•๐—ข๐—ฆ๐—ฆ ๐—•๐—œ๐—ž๐—ฅ๐—” ๐—ฌ๐—”๐—ก๐—š๐—จ SEHEMU YA  9 Alberto akaniachia nikaangua mpaka chini Kisha akaondoka zake
๐—ก๐—œ๐—Ÿ๐—œ๐—ฉ๐—ฌ๐—ข๐— ๐—ฃ๐—” ๐— ๐—”๐—™๐—œ๐—” ๐—•๐—ข๐—ฆ๐—ฆ ๐—•๐—œ๐—ž๐—ฅ๐—” ๐—ฌ๐—”๐—ก๐—š๐—จ SEHEMU YA 9 Alberto akaniachia nikaangua mpaka chini Kisha akaondoka zake
๐—ก๐—œ๐—Ÿ๐—œ๐—ฉ๐—ฌ๐—ข๐— ๐—ฃ๐—” ๐— ๐—”๐—™๐—œ๐—” ๐—•๐—ข๐—ฆ๐—ฆ ๐—•๐—œ๐—ž๐—ฅ๐—” ๐—ฌ๐—”๐—ก๐—š๐—จ SEHEMU YA  7 Nikaondoka bila kujua nimemuchaje mkaka wawatu .
๐—ก๐—œ๐—Ÿ๐—œ๐—ฉ๐—ฌ๐—ข๐— ๐—ฃ๐—” ๐— ๐—”๐—™๐—œ๐—” ๐—•๐—ข๐—ฆ๐—ฆ ๐—•๐—œ๐—ž๐—ฅ๐—” ๐—ฌ๐—”๐—ก๐—š๐—จ SEHEMU YA 7 Nikaondoka bila kujua nimemuchaje mkaka wawatu .
๐—ก๐—œ๐—Ÿ๐—œ๐—ฉ๐—ฌ๐—ข๐— ๐—ฃ๐—” ๐— ๐—”๐—™๐—œ๐—” ๐—•๐—ข๐—ฆ๐—ฆ ๐—•๐—œ๐—ž๐—ฅ๐—” ๐—ฌ๐—”๐—ก๐—š๐—จ SEHEMU YA  8 Nilivyoweza tu nikajisahsu nikamfata Alberto nikamkombatia
๐—ก๐—œ๐—Ÿ๐—œ๐—ฉ๐—ฌ๐—ข๐— ๐—ฃ๐—” ๐— ๐—”๐—™๐—œ๐—” ๐—•๐—ข๐—ฆ๐—ฆ ๐—•๐—œ๐—ž๐—ฅ๐—” ๐—ฌ๐—”๐—ก๐—š๐—จ SEHEMU YA 8 Nilivyoweza tu nikajisahsu nikamfata Alberto nikamkombatia
๐—ก๐—œ๐—Ÿ๐—œ๐—ฉ๐—ฌ๐—ข๐— ๐—ฃ๐—” ๐— ๐—”๐—™๐—œ๐—” ๐—•๐—ข๐—ฆ๐—ฆ ๐—•๐—œ๐—ž๐—ฅ๐—” ๐—ฌ๐—”๐—ก๐—š๐—จ SEHEMU YA  6 Mimi sasa nikaona huu ni ujinga wa Hali ya juu sasa nikapiga kelele nikamuita Jerry we Malaya
๐—ก๐—œ๐—Ÿ๐—œ๐—ฉ๐—ฌ๐—ข๐— ๐—ฃ๐—” ๐— ๐—”๐—™๐—œ๐—” ๐—•๐—ข๐—ฆ๐—ฆ ๐—•๐—œ๐—ž๐—ฅ๐—” ๐—ฌ๐—”๐—ก๐—š๐—จ SEHEMU YA 6 Mimi sasa nikaona huu ni ujinga wa Hali ya juu sasa nikapiga kelele nikamuita Jerry we Malaya
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two*    *SEHEMU YA KUMU*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMU*

889
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 9 na 10

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 9 na 10

467
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜  SEHEMU YA 16

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 16

430
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 8

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 8

407
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 17

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 17

287
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL   SEHEMU YA 10

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 10

206
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 11 na 12

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 11 na 12

189
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23  na 25.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23 na 25.

180
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21  na 22.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21 na 22.

138
SHAMIRA sehemu ya 34&35

SHAMIRA sehemu ya 34&35

79

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.42K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.19K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.74K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.19K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.59K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tatu.  ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tatu. ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

2.44K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

2.44K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.43K
I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

2.38K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

2.36K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
This pic from Ishq is pure 90s madness and I love it ! Youโ€™ve got Ajay Devgn with his serious, intense vibeโ€ฆ Kajol looking all fiery and expressiveโ€ฆ Juhi Chawla Post Mpya
This pic from Ishq is pure 90s madness and I love it ! Youโ€™ve got Ajay Devgn with his serious, intense vibeโ€ฆ Kajol looking all fiery and expressiveโ€ฆ Juhi Chawla
@majario LIVE

with that cute bubbly energyโ€ฆ and Aamir Khan being his mischievous, romantic self. What a combo yaar! Ishq was not just a love story, it was full on drama, comedy,...

 Ili kombora la Iran lifike Israel, linatakiwa kuvuka vikwazo vifuatavyo njiani Post Mpya
Ili kombora la Iran lifike Israel, linatakiwa kuvuka vikwazo vifuatavyo njiani
@majario LIVE

* Meli za kijeshi za Marekani zilizopo Ghuba ya Uajemi * Rada za Israel zilizopo Azerbaijan * Rada za Israel zilizopo Turkmenistan * Mifumo ya ulinzi wa anga ya vituo vya Marekani nchini...

SHAMIRA sehemu ya 34&35 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 34&35
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi nikajiiinua taratibu tukaingia bafuni. Mwanaume akanikumbatia uku tunaoga. Aseee uyu baba ananipenda ila hataki upumbavu ata kidogo na mkono wake mwepesi kupiga .na yote sababu...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 11 na 12 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 11 na 12
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi nikaona zena kamnyanyua yule mtoto kisha akambeba ,ni amefanana nae sana ,nikajua ni wa kwake tu yani ni lazima utu mtoto atakuwa ni mwanae, kisha akanigeukia...

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 17 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 17
@majario LIVE

Ikabidi nikae tu kwenye piki piki maana sura alivyokuwa kaikaza mmh asije kunipiga, Kimyaa kikatawala sasa mie nilijua tunaenda kwa Tinner na moyoni nilikuwa nimempangia hayo maneno Tinner eeh mbona...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL   SEHEMU YA 10 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 10
@majario LIVE

๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹ Maeneo ya pale pale chuoni, Salmon alikuwa amepanga nyumba kubwa ya peke yake. Wakati akiwa chuo ndo alikua anaishi hapo, ila siku za weekends kama hana mambo mengi ndo anaenda...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23  na 25. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23 na 25.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi kuanzia apo nikawa sasa kidogo naelewana na baraka. Tena mimi ndo napenda sana kuongea nae. Yani sanaaa. Napenda kucheka nae sana. Na kun jinsi...

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜  SEHEMU YA 16 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 16
@majario LIVE

Usiku wangu ulikuwa mzito sana, maneno ya D kusema kuwa Veda anatembea na wanawake wengi, niliyaamini kabisaaa Bila shakaa kwa maana Yeye tu hana mwonekano mzuri ametuna tuna hovyo anakuwa...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 9 na 10 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 9 na 10
@majario LIVE

Daaah nikaona mtoto kachomoa leo mana sio powa , ana vipengele sana uyu demu , ila unyama, hatachomoa kila siku, ni suala la muda tu, mana sijawahi kumtaka mwanamke ,...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21  na 22. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21 na 22.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media BASI nikapanda kitandani kwangu. Nikijutia sana nilichokifanya mana mh . Nilikuwa nasababisha ugomvi mkubwa wa wazazi mungu wangu. Yani mama yangu alikuwa anaachwa leo...

SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.??? Post Mpya
SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.???
@majario LIVE

Hatimae jana tambo za Dabi zilipata majibu kwa timu za Simba na Yanga kutoka suluhu ya bila kufungana(0-0). Kwa maana hiyo timu zote ziliambulia pointi moja moja. Mchezo wa jana pamoja...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 8 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 8
@majario LIVE

Zena akasema kwaiyo manager unataka kuniuza ama ni vp, yule manager aksema , naomba uelewe kuwa ukifanya kazi katika hii bar, mteja kukushika sehemu yoyote ya mwili wako ni kawaida,...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two*    *SEHEMU YA KUMU* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMU*
@majario LIVE

Jambo likawa lelelele, Yaani ni patashika nguo kuchanika, Kwa upande wangu Walahi nilikuwa nikifurahi tu, na amina alikuwa akilia tu nakuomba msamaha. Enzo wa watu mwaya akachukua muda wake na kumuelezea...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9
@majario LIVE

๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹ Mbali na ivyo zile zawadi alizo tumiwa Noela zilimuuma vile vile. Alihisi Noela hastahili vitu vizuri wala maisha ya kifahari. Alitaka kila kitu kiwe chake, wanaume wote wawe wake. Hata...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 6 na 7 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 6 na 7
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi bwana , mwanaume wala sikuwa na shaka, kazi zote ambazo nilibakiwa nazo pale ofisini, nikamuachia ibraaa, na ukiacha ushikaji, mi bafo ibra ni mkubwa wake wa kazi,...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest