Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya β Gonga94 Semajambo
Gonga94 Β· Stories
07 Nov 2025
488 views
VYOTE NDANI GONGA94
π£ππ‘ππ ππ πππππ‘π πͺπ πππππ‘ππ Itaendelea.... SEHEMU YA 14 Swaumu pia alishtuka akakimbia. Mi
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
nilipogeuka,hamuwezi amini nilikutana uso kwa uso na Raj. Alinikumbatia kwa furaha na kunitazama akasikitika sana. Jamani wasomaji kulea watoto wawili sio mchezo. Nilifubaa nikakonda. Akakaa na kutaka tuzungumze. Mimi hapo mawazo sasa yameishia kumuwaza tu Swaumu kwanini akimbie baada ya kumuona Raj.
"Ney jamani umekuwa mama nani vile"
"mama Zuri au mama Raghav"
"π³π₯°wow kumbe umejifungua mapacha!"
"hapana Raj, Zuri ni mtoto wa Zuri aliniachia baada ya kufariki. Na Raghavu ndiye mwanangu"
"unasemaje Ney?!"
Hapo Raj alianza kulia na kufunguka kuwa alimpenda Zuri ila hakujua pakumpata ili niishi nae tafadhali Ney naomba unionyeshe mtoto wa Zuri"
Raj aliniomba sana na mimi nikakubali baada ya kuona atajaza watu. Wahindi hua wana pipa la maji machoni. We akiachwa analia, akitukanwa katusi kadogo analia,akipoteza kitu sio hata mtu kitu analia, Akipewa zawadi analia.Haya na mimi nimemzaa Raghav wacha nione kama anapipa la machozi auπ.
Basi tuliondoka na Raj hadi walipo watoto aliwaona alifurahi akalia sana. Majirani walipomuona moja kwa moja wakajua Raghav ni mwanae. Baadae tulikuwa kwenye gari lake tukiongea. Hapo nilimaliza kumpa story ilivokuwa.
"ndio hivo Raj. Sasa nimesahau kukuuliza: ulipoteaga nyumbani muda mrefu sana Mpaka nikaondoka sijakuona,na Swaumu alivyokuona alikimbia kuna nini kati yenu?"
Hapo Raj alinihadithia kwamba: Swaumu alimtekaga akiwa na Mwaju na Simon alitishia familia kuhusu pesa na hapo walipewa milion 100. Wakaniachia na leo ndio nilikuwa namuona.
"duuh pole sana Raj"
"Asante. Na ungejitahidi ujue hali ya broo anateseka sana Antara anamnyanyasa. Dadimaa aliondokaga nchini na mama. Hivi pale tumabaki sisi kama watoto tu"
Msomaji sikutaka kujua habari za huyo mpuuzi nilifungua mlango nikatoka. Raj aliniacha maana alijua kila kitu.
Miaka ilipita, na watoto wangu walizidi kukuwa. Zuri alifikisha umri wa miaka 7 na Raghav alikuwa na miaka 7 maana walipishana miezi miwili tu. Raj hakuacha kututembelea na kunisihi nihame pale akanipangie apartment nilikataa. Siku moja sasa nikiwa nawapeleka watoto wangu shule,nilikutana na Mwaju nae akiwa anampeleka mwane shule. Raghav na Zuri walipomuona walijificha nyumba yangu.
"ooh Ney! hatimae tumekutana tena! mwambie Zuri namsalimia sana na mwanae ni yupi hapo?"
niliwaacha watoto wakaingia kisha nikabaki na Mwaju mlangoni.
"Mwaju haya nimaisha mengine kabisa ya watoto ambao hawana hatia. Kwahiyo tafadhali acha kunisumbua"
"sasa mimi na wewe nani anamsumbua mwenzie? wewe hii shule ni ya watu wa chini nashangaa unamleta mwanao hapa unataka nini labda?"
tukiwa kwenye mabishano,ilikuja gari nakuita kwa upole sana.
"mama watoto! emu tuondoke na huyo nii.."
Alishindwa kuendelea mtu yule baada ya kuniona mimi pale. Alinitazmana na kushuka kwenye gari.
Itaendelea......
Maoni
You're not logged in
X
Login
X
signup
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
MY WANGUβ€οΈ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma
Nyieeeee nilinuka.na deraa tu ndani nilivaa chupi tu nilitoka peku peku. Dooh rahul ana balaa et alienda na wenzie kuch...
49 MPAKA 50 π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘ Basi nilimuacha kama mwez lemi anendeelee kumfatili...
π£ππ‘ππ ππ πππππ‘π πͺπ πππππ‘ππ Itaendelea.... SEHEMU YA 14 Swaumu pia alishtuka akakimbia. Mi
nilipogeuka,hamuwezi amini nilikutana uso kwa uso na Raj. Alinikumbatia kwa furaha na kunitazama akasikitika sana. Jamani wasomaji kulea watoto wawili sio mchezo. Nilifubaa nikakonda. Akakaa na kutaka tuzungumze. Mimi hapo mawazo sasa yameishia kumuwaza tu Swaumu kwanini akimbie baada ya kumuona Raj.
"Ney jamani umekuwa mama nani vile"
"mama Zuri au mama Raghav"
"π³π₯°wow kumbe umejifungua mapacha!"
"hapana Raj, Zuri ni mtoto wa Zuri aliniachia baada ya kufariki. Na Raghavu ndiye mwanangu"
"unasemaje Ney?!"
Hapo Raj alianza kulia na kufunguka kuwa alimpenda Zuri ila hakujua pakumpata ili niishi nae tafadhali Ney naomba unionyeshe mtoto wa Zuri"
Raj aliniomba sana na mimi nikakubali baada ya kuona atajaza...
π Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/penzi-la-kijana-wa-kihindi-itaendelea-sehemu-ya-14-swaumu-pia-alishtuka-akakimbia-mi
Maoni