UDHAIFU WA MR CEO (dawa ya nini wakati kwako napona)*_____________________________________* *SSEHEMUYA 3 na 4
mwamba kama anaanza Nikashangaa kunogewa vile, maana akawa ananikiss huku anahema juu juu kama mtu ambae amepoteza muelekeo, nikaona huyu anaelekea kutaka zaidi ya busu, nikajitoa mwilini kwake, akaniachia ila mnara ulishasoma zamani sana, akaniangalia kisha akatabasamu na kusema unaweza. kwenda sasa..
Nilikurupuka na kuondoka, sikutaka kupoteza muda kuendelea kukaa pale, asije kunibadilishia mada bila kutegemea, nikaondoka zangu..
Basi nimeyoka pale na mawazo ya kutosha, nikawa nawaza imekuwaje, mpaka kwanza akawa anaogopa kelele kiasi kile, na kwanini amelala na mimi na hali ya kuwa hata hanijui, nilikuwa nataman kumlaan, nataman kumtukana ila sikuwa najua hata naanzia wapi, maana kwanza nilikuwa namtegemea kwenye field yangu, nikaenda nyumban ninapo kaa, nilikuwa nimefikia kwa shoga yangu, hata niliporudi asubuh hakunihoji sana maana anajua mimi ni mtu mzima, nikaanza kujiandaa na mara baada ya kumaliza kujiandaa tu nikaanza kwenda zangu kazini, nafika kazin nashangaa kila mtu. ananishangaa na sio kawaida...
"kuna nini, ikabidi niulize mara baada ya kuona kama sielewi yanayoendelea..
" una mahusiano gani na boss? Yule niliemuuliza nay eye akaniuliza...
" hamna sina mahusiano nae yoyote yale, kwani
kuna kitu gani kimetokea?...
"yaan kama tunavyojua boss wetu huwa sio mtu wa watu, hata kama sisi ni wafanyakazi wake ila kumuona ni ngumu sana, sasa leo amekuja anakuulizia wewe, ndio maana kila mtu anashangaa maana sio kawaida yake. kumuulizia mtu, au ameshaanza kukupenda hautuambii, maana kwanza amesema ukifika tu uende ukamuone ofisini kwake, na si unajua mtu pekee ambae huwa anaruhusiwa kuingia ofisini kwake ni Yule msaidizi wake, hivyo inashangaza na wewe leo uende ofisini kwake, akanambia huyo aliekuwa ananiuliza....
Sikutaka kuhoji sana, nikaanza kwenda kwenye ofisi ya boss, alikuwa amesimama mlangoni kwake akiwa anazunguka zunguka kana. kwamba kuna kitu alikuwa anakisubiri, aliponiona hata hakuvunga akanisogelea na kunikumbatia kwa nguvu kisha akasema mbona umechelewa hivi kazini, unajua nilikuwa nimekuja mapema sana nakuulizia wew..
Nikashangaa ananiulizia mimi kwa minajili ipi, maana kwanza mimi sio chochote kwake, "kwanini ulikuwa unamuulizia mfanyakazi ambae hana cheo chgochote kile kwenye kampuni yako, ambae hana maana kwenye maisha yako, embu nambie ulikuwa unaniulizia kwa sababu gani?.. Akaniangalia kwa sekunde kadhaa kisha akajikoholesha na kusema "wewe upo hapa kwa ajili ya kupimwa ila nashangaa unachelewa, unafikiri nitakutafuta kwa sababu gani zaidi ya kukuonea huruma tu, mkufunzi wako akafika alafu wewe haupo...
Nikaona sababu zake hazina mashiko yoyote, nikamuangalia na mimi kwa sekunde kadhaa. kisha nikasema " naomba nikaendelee na majukum yangu, ukinihitaji kwa kazi yoyote unaruhusiwa kuja kuniita, kisha nikawa. naondoka zangu, ila ni kama hakuwa anataka niondoke kabisa, ila hakuwa anajua anaweza vipi kunizuia, nikashangaa anaanza kujikohoza kana kwamba amepaliwa, na kwakuwa nilikuwa mimi pekee yangu pale ofisini, nikaanza kumtafutia maji, kisha nikampelekea, ila nilipofika aliponikampa glass ila hakuishika na badala yake glass ikaanguka na akaanza kunikiss kwa fujo, ikabidi nijitoe mwilini mwake, Ila akawa anivuta kana kwamba alikuwa amenipania sana, ila nikamskuma kumuweka kibao, kisha nikaanza kumuambia "wewe sijui ni mwanaume wa aina gani, yaan kila nikikusaidia kwa lolote unataka kunilipa kwa kunifanyia ubaya, una shida gani na mimi, au ni kitu gani nimekukosea mpaka unataka kunikwaza, ila hata hakunijibu kabisa akawa zake kimya na mimi nikaondoka zangu.....
Basi mkufunzi akaja na nikaassesiwa na baada ya hapo nikashangaa mkufunzi ananipongeza na kunambia hongera hakika una bahati sana. kisha akaondoka zake...
Basi baada tu ya kufanyiwa usalli baada ya kama siku tano nikawa natakiwa kurudi chuo nashangaa ceo hataki, alikuwa anaitwa Edward marco, mfanya biashara maarufu sana kwenye jiji la dar es salam, yaan hauwez kutaja biashara bila kutaja jina lake kama ambavyo alivyo bwana vunja bei kwa zama hizi....
*SEHEMU YA NNE*
"Naweza kukuajiri moja kw amoja naomba usirudi chuoni, nikaona sasa huyu kachanganyikiwa,naweza vipi kubaki kwenye kampuni yake na wakati sikuwa nimemaliza mtihani wa mwisho, nikakataa akaanza kuniweka vipingamizi vya hapa na pale ila havikufua dafu maana hakuna mtu ambae angemuelewa maana yale ni maslaha yangu, ingawa kishingo upande ila alikubali nikarudi chuo, sasa kule chuoni kuna kijana ambae tulikuwa kwneye hatua za mwanzo zq mahusiano hayakuwa mahusiano rasmi, nikaona nimkubali, kumbe mwamba alikuwa ananifuatilia bila mimi kujua, siku moja niko zangu chuo sijui hili wala lile mara nikatumiwa location ya moja ya mgahawa maarufu snaa kwneye mkoa ambao nipo, nikaambiwa nifike haraka sana kuna jambo la msingi natakiwa kuliona, sikutaka kupuuza, nikaenda mpaka eneo husika nikamkuta mwanaume wangu alikuwa analishana kimahaba na mwanamke mwingine....
Roho iliniuma sana kwa maana nilikuwa nimeshaanza kumpenda alafu anakuja kufanya mambo ya ajabu kiasi kile, nikaona sio fungu langu, nikataka nikalete vurugu ila nikaona kama sistahili kufanya hivyo, ila nafsi yangu ikagoma kutulia, nikawa naenda wanione hata kama sitafanya jambo lolote lile, kweli nikaw anaenda ila kabla sijafika nikashangaa nashikwa mkono na mtu kisha akanambia" wewe ni bint mrembo sana na mwanaume yoyote Yule ambae ana akill timamu hawez kukuacha mwanamke mrembo kama wewe, sasa kwanini unamlilia mwanaume...
Nikageuza macho nikashangaa nakutana na Edward, nilishangaa sana, maana katoka dar mpaka nilipo kwa sababu gani, ila kwakuwa alikuwa ni mfanya biashara mkubwa nikaamin kuwa alikuwa amekuja kwa ajili ya kikazi, kumbe mwamba moja haishiki mbili haikamati anataka kunipata, kwa kuwa nilimuangalia kwa mshangao akajua na kunambia usifikri nimekufata, wewe mwenyewe unajua mimi ni mfanya biashara hivyo nimekuja kwenye maswala yangu ya biashara ila kwa bahati nikakuona ndio maana nikaja hapa, ila kama hautajali unaweza kunitumia kwa ajili ya kumuumiza huyo boyfriend wako mpumbavu...
Sikutaka kumjibu maana nilikuwa nina hasira sana, mara nashangaa namuona boyfriend wangu na huyo mwanamke wake wanatoka, na walikuwa hawajui kama nilikuwa pale, boyfriend wangu aliponiona akashtuka sana kisha akaniita kwa sauti ya mshangao" shimena....
Nikamgeukia kwa hasiram nilikuwa nataman kumtafuna, na Edward alijua hilo, akanigeuza kisha akasema kwa sauti kidogo maana nilijua dhahiri kuwa alikuwa anataka kusikika kuwa kila nikiziona lips zako sijui kwanini nataman kuzikiss, kisha akanivuta na kunipa kiss moja la moto balaa...
Kiukweli sikutyegemea kabisa kupewa busu na kupelekea mimi mwenyewe kubaki kwenye mshangao, Yule mwanaume wangu akasema mbona kama unasaliti maana unaonekana kama haujiamini, sasa Yule mwanamke wake akauliza "mbona kama unafuatilia mambo yasiyo kuhusu kabisa, kwani unamjua huyu mwanamke...
ndio anamjua vizuri sana, rafiki yake aliwaaminisha kuwa alikuwa ni mchumba wa huyu binti kumbe sio kweli alikuwa anamtaka tu, na shimena mimi ndio mwanaume wake na tuna miaka miwili sasa, akasema Edward na Yule mwanaume akashusha pumzi kisha akamshika mwanamke wake mkono na wakawa wanaondoka ila ni dhahiri walikuwa wana hasira sana...
JE NINI KITAENDELEAAA!! "
OFAAAA KUPATA YOTE NI 1000 TU
Namba ya malipo 0755090082 mpesa jina la usajili zainabu sungita
UKISHALIPIA NJO INBOX
WHATSAP 0755090082
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
Maoni