Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

UTAMU WA MABOSS PART 12  Mabel  ALIKUWA anashughulika  na maandalizi ya maadhimisho ya miaka kadhaa ya NDOA
Gonga94 · Stories

UTAMU WA MABOSS PART 12 Mabel ALIKUWA anashughulika na maandalizi ya maadhimisho ya miaka kadhaa ya NDOA

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
ya wazaz wake pamoja na Bryan.
"Keki tutakayotumia iko njiani, akasema Brian mara baada ya Mabel kumuuliza.

"OMG! nilisikia kaka yangu analeta mpenzi wake leo na siwezi kusubiri kumuona, akasema Mabel
****

Alex
Alikaa chumbani kwake huku Linda akibadilisha nguo chumba cha kubadilishia nguo, Linda alitoka akiwa amevalia gauni fupi jekundu ambalo lilimchonga vyema na Alex akatabasamu kishetani.

"Kwanini amevaa gauni jekundu na fupi ? Hajui kuwa nguo nyekundu inatamanisha? , akawaza Alex Kisha akamsogelea Linda
"Oh mpenzi wangu, mimi nimekutaman tayari,
"No no no si wakati huu Argh,aliwaza Alex maana alijikuta amemtaman sana Linda.

Akaanza kumsogelea Linda , huku akimuangalia kwa jicho la matamanio ya na Linda . Alirudi nyuma kana kwamba anajua anachotaka kufanya Alex.

"Nini.....unafanya nini...unafanya nini" aliuliza Linda akionekana kuogopa.

"Unatakiwa kulipa kwa ulichonufanyia Jana, Alex Alisema

"Nini" aliuliza tena linda.

"Gosh midomo hiyo, napenda jinsi ilamba. midomo midogo ya waridi, nataman kuibusu, akawaza Alex
Akamsogelea kwa ukaribu sana na kuinamisha kichwa chake mpaka usawa wa lips za kinda
na linda akafumba macho yake kwa nguvu.

Alex alitoa kibanio ambacho Linda alitumia kufunga nywele zake na nywele zake zilianguka kwa uhuru kisha Alex akasimama wima na Linda alianza kufumbua macho yake kwa uangalifu na Hatimaye alifungua na Alex akatabasamu.

"Ulikuwa unawaza nini? unafikiri nitakubusu" Alex alimuuliza Linda huku akiwa anacheka.

"Kwanini ... kwanini nifikirie hivyo" akasema Linda

"kwanini ulifumba macho niliposogeza uso wangu kwako sasa hivi" akasema Alex

"Kuna Kitu kilianguka machoni mwangu, ndiyo sababu" akajibu Linda
"Acha uongo baby" Alisema Alex huku akiendelea kusogea mbele huku Linda akirudi nyuma hadi mgongo wake ukakutana na ukuta.
Alex Aliweka mikono yake miwili ukutani, akimtazama Linda na hapohapo akakumbuka kitu alichomfanyia Linda ofisini juzi na akajikuta amepatwa na hasira, maana zile makeup alizomfanyia zilimfanya aonekane kama mdoli.

"Kubali kwamba mimi ni handsome na nitakuacha peke yako," alisema Alex
"Hapana, hata nyani ni mzuri kuliko wewe" akajibu Linda kwa kiburi

"Haya baby, maneno yako hayanikeri hata kidogo, kubali tu kuwa mimi ni handsome, akasema Alex "

Akawa anajishangaa Kwann anataka Linda amuiye handsome.

"Wewe ni mbaya" akajibu Linda
"Ukiniambia hivyo, nitakubusu" akasema Alex

"Ngoja nikuone ukijaribu kukataa kuwa mm ni mzuri namna ambavyo utalifurahia busu langu tamu" alisema Alex na linda ndio akawa anajisogeza vizuri ili kumbusu Alex na Alex akaausogeza uso wake karibu ili kumbusu Linda lakini....

Mara ghafla wakasikia mlango ukigongwa
"Sheet nani anagonga, Alex alifika" akiwa na hasira

Mjakazi aliingia na kuinama kidogo.
"Wazazi wako walisema nikwambie wewe na mkeo kuwa wameshaondaka" Alisema mfanyakazi ila Alex alijikuta anaanza kutabasamu baada ya kusikia neno mke na kutikisa kichwa kisha mfanyakazi akaondoka.

Alienda hadi ilipo simu yake na kuchukua simu yake kitandani kabla ya kugeuka ili aondoke alisimama na kumgeukia Linda Kisha akasema
"Unapaswa kubadilisha gauni lako,"

"Samahani? Ninaweza kuvaa chochote ninachochagua" akasema Linda

"Si unajua kuwa rangi nyekundu inavutia kwa hio unataka ukatingozwe" akasema Alex

"Sawa labda unitongoze wewe na sio kwa watu wengine" Alisema Linda na Alex akaitikia kwa kichwa kabla ya kuondoka.

"Huyu mjinga ana shida alitaka kunibusu na sasa ananiambia kuwa
nilichovaa kinatega wanaume,Je, nibadilishe au nisibadilishe? labda nivae tu, ilinichukua muda sana kwangu kufunga zipu ya nguo hii, akawa anajisemea linda.

Alishuka kujumuika Alex kwani Alex alikuwa anamsubiri akiwa hajabadili lile gauni na wakaanza kwenda kwenye party

"Umesubiri nini?" Aliuliza Alex mara alipomuona Linda akija.

Hakumjibu kitu kwa sababu hakutaka kugombana na Alex .
Linda akaingia kwenye gari na Alex pia akaungana nae kisha Sam akaondoa gari.

Walifika huko na wazazi wa Alex wakuanza kumtambulisha Linda kwa mabilionea fulani huko Chicago. Linda alitaman kushangilia MAANA hakuwah kumfikiria kama anaweza kukutana na watu wakubwa na wenye pesa hata Siku Moja katika maisha yake.
kelele mara moja lakin akakumbuka kuwa yuko kwenye mishen hivyo anatakiwa kutulia.
.
Alex alimchukua akaketi na kusema kuna mtu anaenda kumfata na atakuja kukaa na Linda hivi karibuni.

dakika chache baadaye Alex alirudi na Angela, mwanamitindo maarufu zaidi huko Chicago. Alikuwa na shape nzuri sana, ambapo nikisema nilingamishe basi ni Mimi mara mbili.
.
"Oh my gosh is this you Angela" India aliuliza kwa furaha na Angela akaitikia kwa kutabasamu
"Nimefurahi kukutana nawe Linda," alisema Angela na Linda
Alidhani Alex alimwambia jina langu.

alex alikuja na kukaa pembeni ya linda.
"Umepata mpenzi mzuri" alisema na linda akatabasamu.

"Laiti angejua mimi ni mpenzi wake bandia, Wala asingefurahia kiasi kile, Linda aliwaza

Maoni

You're not logged in


Tangazo - For this week only
For this week only
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

UTAMU WA MABOSS PART 12 Mabel ALIKUWA anashughulika na maandalizi ya maadhimisho ya miaka kadhaa ya NDOA

ya wazaz wake pamoja na Bryan.
"Keki tutakayotumia iko njiani, akasema Brian mara baada ya Mabel kumuuliza.

"OMG! nilisikia kaka yangu analeta mpenzi wake leo na siwezi kusubiri kumuona, akasema Mabel
****

Alex
Alikaa chumbani kwake huku Linda akibadilisha nguo chumba cha kubadilishia nguo, Linda alitoka akiwa amevalia gauni fupi jekundu ambalo lilimchonga vyema na Alex akatabasamu kishetani.

"Kwanini amevaa gauni jekundu na fupi ? Hajui kuwa nguo nyekundu inatamanisha? , akawaza Alex Kisha akamsogelea Linda
"Oh mpenzi wangu, mimi nimekutaman tayari,
"No no no si wakati huu Argh,aliwaza Alex maana alijikuta amemtaman sana Linda.

Akaanza kumsogelea...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/utamu-wa-maboss-part-12-mabel-alikuwa-anashughulika-na-maandalizi-ya-maadhimisho-ya-miaka-kadhaa-ya-

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi utamu-wa-maboss-part
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

 *AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*   *15&16*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *15&16*

855
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17

609
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18

534
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20

434
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*

315
SHAMIRA sehemu ya 36&37

SHAMIRA sehemu ya 36&37

189
BLACK BUTTERFLY 🦋 5

BLACK BUTTERFLY 🦋 5

95
Some Bollywood families just have that star vibe, and Dimple Kapadia and her daughters are a perfect example

Some Bollywood families just have that star vibe, and Dimple Kapadia and her daughters are a perfect example

3

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.5K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.26K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.76K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.22K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.66K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.62K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.58K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.53K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.47K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.46K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20
@majario LIVE

Nikasema zena kweli ,na wew unafeel kama vile ambavyo mm nafeel acha masihara basi, akanambia lakini millan ,mi wewe sikujuhi vizur, ndo mana nilikuwa nataka mda kwanza wa kukufahamu ,nisije...

BLACK BUTTERFLY 🦋 5 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY 🦋 5
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 ENDELEAAA “ Brayton..” Camilla alijikuta akimuita bila kutarajiaa Brayton alimsogeleaa na kumuonyeshaa zile picha vizur tu kwenye simu yakee huku akimuulizaa “ Unawezaa kuniambia hiki nini?!?” Camilla alishangaa kwa...

Some Bollywood families just have that star vibe, and Dimple Kapadia and her daughters are a perfect example Post Mpya
Some Bollywood families just have that star vibe, and Dimple Kapadia and her daughters are a perfect example
@majario LIVE

. Dimple became a sensation with Bobby, and the same year she married superstar Rajesh Khanna. She was only 16 when she got married and became a mom at 17...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18
@majario LIVE

Yani ummy Alishangilia na kwambia aliimba nyimbo zote mpaka mama yake ndo alimnyamazisha, basi nikamwambia ummy aya mama yangu mzuri nimekuletea tv sasa uwe na amani sawa, akasema ndio...

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17* Post Mpya
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*
@majario LIVE

Sikujua kam nililala pale mpaka asubuhi, tena nimelala kana kwamba pale ni nyumbani kwetu jamni nilikuja kushtuka tena baada ya kupigiwa simu, jamni si ndio naamka najikuta nipo kwenye chumba...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi nilifika home nna hasira sana, nimechukia mnoo, yote sababu nilikuwa nimemmaind sana yule demu, yani nilimuona ana linga kinoma, nikasema bwana mi namkaushia kama.vp mana wanawake...

 *AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*   *15&16* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *15&16*
@majario LIVE

Nikatulia kwanza na kumuangalia madam groly kisha nikamuuliza. "Unamaanisha nini unavyosema hauna Furaha na hii siku 7 Sijakuelewa kwakweli nakumbuka ulikuwa ukitsubilia hi siku kwa hamu sana" Madam groly akacheka sana kisha akasogea...

SHAMIRA sehemu ya 36&37 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 36&37
@majario LIVE

Wassap:0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi mwanaume akaondoka zake na mimi ndo nikashika simu sasa .nikampigia aisha kumpa mchapo.nikasema shoga nusu niachwe mwenzio.nimeomba msamaha kama chizi.aisha akasema mh tatizo hamadi...

BLACK BUTTERFLY 🦋 4 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY 🦋 4
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 Endelea Brayton akiwa kwenye gari alijaribuu kupiga simu Hospitali ili maandilizi mapema kwaajili ya mgonjwa anae kuja nae muda huu. Hospitali nayo hakufanya makosa tayari waliandaa kitanda...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 21 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 21
@majario LIVE

Nikamuuliza "we umejuana vipi na D??" "Yule D ni mdogo wake na Boss wangu, ni binamu yake kitu kama hicho, mie sijawahi hata kuwa na mazoea nae kabisaaa ila kuna issue...

Honestly, these two are such a vibe together !  Priyanka Chopra and Nick Jonas Post Mpya
Honestly, these two are such a vibe together ! Priyanka Chopra and Nick Jonas
@majario LIVE

really make you believe in modern-day love stories. Different countries, different cultures, totally different careers — but somehow it all just fits perfectly. What started with a simple conversation...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*    *SEHEMU YA KUMI NA NNE* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *SEHEMU YA KUMI NA NNE*
@majario LIVE

Muda huo Mwenyewe nilikua Nacheza kwa Furaha zote, lakini kitendo cha kumuona madam groly killharibu kila kitu, niliona kabisa birthday yangu inaenda kuharibika Maana huyu mama hana jema ata kidogo. "NAKUJA Alizungumza...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *12&13* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *12&13*
@majario LIVE

SONGA NAYO Nikageuka na kumuangalia ma Mdogo "Ishani umeolewa Mwanangu?" Nikamuangalia na kumwambia. "Mind your business bi mkubwa Kisha Mimi na Enzo tukaondoka kwani tayall tulishabolt Bajaji na ilikuwa ikitusubilla. Msijiulize Kwanini tunatuma Bajaji wakati Enzo...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 20 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 20
@majario LIVE

Lile joto la midomo yake ilipo gusana niliisi ulimwengu wote umenyamaza nikafumba macho Kulikuwa na joto la ajabu sijawahi kulipata Mkono wake alikuwa anaupitisha taratibu kama anahesabu kila pigo la moyo wangu,...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 19 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 19
@majario LIVE

Basi mpaka sa moja inaenda na Nusu Veda hajaja, Moyo juu juu itakuwa tu kaenda huko kwenye ma club, moyo lipu lipu muda wote kama nimemezaa kaa la moto hajabu...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest