Chombezo : Khadija Mtanuko Sehemu Ya Kwanza (1) IMEANDIKWA NA : JOE MARICK UTANGULIZI? Kila mtu ana kilevi chake kinachoweza kumsumbua
Najua kuna wengi wenu hamtafurahishwa na hili, labda kutokana na ukweli usiofichika uliopo ndani, lakini ni vitu ambavyo vipo na havikwepeki?, ila kwa faida yako utapata kujua mengi kutoka kwangu na hasara utakayoipatana ni kubaki na Upungufu wa utambuzi wa mambo na magonjwa yako utabaki nayo, ila sitakulazimisha unijue sana Dija mimi niliyefundwa na Bibi Kigalula, ? kuyatimiza yale niliyoagizwa kuyafanya hapa duniani, wala siwezi kukificha kile nilichonacho kukufaidisha wewe kimawazo na kwa afya yako kuepukana na magonjwa. ?
Na Nimeletwa Duniani ili kufanya Mapenzi na ndiyo Ulevi wangu na huwezi niambia kitu juu ya suala hili la kufanya mapenzi na jeuri ya unyago ninayo wala huwezi niambia kitu kunihusu, ila tu ntakujuza ni kipi cha kufanya Endapo tutaenda sawa mpaka mwisho.?
ENDELEA 01???
“Lily, hivi unalijua hili tatizo?, manake ntaenda kuumbuka mwenzako, wiki ijayo Tumekubaliana na Mack Kukutana kimwili, alafu isitoshe ndo siku yangu ya kwanza na nipo hivi.” ? Nilikuwa namuuliza rafiki yangu Lily niliyekuwa naishi naye nyumba za kupanga, ?
“Tatizo gani shoga yangu!” ? Lily aliniuliza na hapo kwa kuwa nilikuwa nimetoka kuoga ikabidi nimfunulie taulo aone hilo tatizo lenyewe. ?
“Khaa!, we mwanamke na ukubwa wote huo huzijui fangasi?” ? Lily aliniuliza kwa mshangao baada ya kuona uke wangu ulivyokuwa umeanza kuchubuka na kuvimba. ?
“Hapana Lily, nilikuwa nahisi ila sikuwa na uhakika na ninawashwa mpaka basi na muda mwingine ukute uchafu unanitoka tu yani nakereka mpaka basi.” ? Nilizidi kumwelekeza vile nilivyokuwa nikijisikia kwa wakati huo?.
“We naye umezidi kuvaa tight zako na vinguo vyako vya kubana hata havieleweki.” ? Lily alinijibu. ?
“Inamaana ndo umeamua kunichamba kabisa Shoga yangu badala ya kunisaidia.” ?
“Eeh!, acha nikwambie tu ukweli ubadilike, yaani na hizo sabuni zako hata sizielewagi kabisa na kila siku huwa naongea hilo hutaki kunielewa.” ?
“Basi ntaacha banaa, usinifanyie mambo ya kishujaa kiasi hiko, embu basi kama unajua dawa sema nikanunue, unataka niachike na Mack kisa Huu ugonjwa?”. ?
“Umesikia me daktari mpaka nizijue dawa?” ?
“Acha masihara yako bhanaa.” ? Nilimjibu Lily, kwani nilikuwa najua anaongea kwa matani tu. ?
“Hilo tatizo lisikutishe, kuna namba ntakupa za Mshauri wa afya, atakuelekeza chakufanya.” ? Lily alinijibu. ?
“Nipe saivi nimtafute, nishachoka kusumbuliwa na hii miwasho mimi.” ?
“Cheefuu!!, asa ulikuwa wapi siku zote kusema mpaka unaniambia leo?” ?
“Nilijua ni kitu cha muda tu kitaisha.” ?
“Mwanamke kujijali buanaa, asa ulitaka hiyo miwasho akaikune huyo sijui ndo Mack?” ? Lily alizidi kunitania, na akanipa hizo namba za huyo mtu aliyekuwa akimsema ni mshauri wa Afya na niliweza kuongea naye na kunielekeza ni wapi kwa kupata msaada wa tiba hiyo.?
Ilinibidi niahirishe ratiba zangu za siku hiyo kwani tayari nilikwisha ongea na Huyo mtu, ? na alikwisha nielekeza sehemu ya kwenda kuchukua hizo dawa?, hivyo niliamua kwanza kuujali mwili wangu uliokuwa unataka kuharibiwa na kidudu hicho, ili kuvuruga sifa nilizokuwa nazo Dija mimi. ?
Nilianza kutumia dawa nilizokuwa nimekwishapewa tayari, na nikaanza kufuata ushauri niliokuwa nimeelekezwa?, kwa wakati ule, hivyo hata ratiba ya kuweza kuonana na mpenzi wangu wa kwanza toka niwe huru baada ya kuanza maisha yangu ya kujitegemea?, ilivurugiga ilimradi tu nimalize dozi ile niliyokuwa nimeanza kutumia. ?
Kwa muda wa wiki nzima nilikuwa natumia ile dawa, na ilinisaidia kweli, ? hata nikaweza kupanga tena siku nyingine ya kuweza kuonana na Mack ili akanifumue marinda niliyokuwa nimeyatunza kwa muda wa miaka 22?, lakini mwaka wa 23 nilihisi kuwashwa mno na Mkunaji alikuwa ni Huyo Mack. ?
“Lily mwenzako naogopa kuchokonolewa na Mack sijui hata itakuwaje!” ? Nilikuwa naongea na Lily kuhusu Kukutana kwetu na Mack, siku za hapo karibuni. ?
“Ulitaka ukae hivyo mpaka lini?” ?Lily aliniuliza. ?
“Hata kama Lily, naogopa kupoteza usichana wangu, alafu sasa hata kitu chenyewe sijui kipoje, sijui ndo litakuwa ni mpini au Kibamia, yani nawaza mwenzako mpaka basi.” ?
“Yani hata liwe gogo huwezi kulikwepa, alafu mbona kawaida sana, hofu yako tu, we nenda katoe hiko chakula watu walee, unabania nini sasa.” ?
“Naogopa Lily..!” ?
“Hujajua Utamu wake ndo maana.” ?
“Mmh!, we unasema tu, yani hata unipe moyo vipi ila siwezi kukubaliana na wewe.” ? Nilimjibu Lily na tukaendelea kuongea mengi Kuhusu. ?
Siku tuliyokuwa tumepanga kukutana na Mack iliwadia, ? na sikuweza kuikwepa nililazimika kwenda kwa Mack, tena nilijipeleka mwenyewe wala sio kupelekwa na mtu?, na niliweza kuonana naye nyumbani kwake na akanipokea kwa shahuku kubwa sana, na kwa kumwangalia nilijua kabisa alikuwa amenipania sana. ?
Nilipofika alinikaribisha?, na tukawa na maongezi machache yaliyopelekea mpaka Mack kuniingiza Chumbani kwake?, na huko niliambua maumivu tu yaani haikuwa tofauti na nilivyokuwa nawaza, kwani Mack alikuwa hanijali kwa chochote, alichokuwa anakijali yeye ni kuzimaliza hamu zake tu. ?
#Usikose kabisa sehemu inayofuata, mambo yanazidi kuwa moto
Jamani twende chapu , bonyeza LIKE 150 sasa hivi ili nipost Epsod 2 ✨
Kila LIKE yenu ❤️ ndio nguvu ya kuendelea kuweka content bora zaidi kwa ajili yenu!
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
Maoni