Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

Chombezo : Penzi La Jesca  Sehemu Ya : Kwanza (1)  IMEANDIKWA NA  ENOCH LIBERATUS  Alikuwepo jamaa mmoja ambaye kwa jina aliitwa Mr Abby jamaa huyo alikuwa na mpenzi
Gonga94 · Stories

Chombezo : Penzi La Jesca Sehemu Ya : Kwanza (1) IMEANDIKWA NA ENOCH LIBERATUS Alikuwepo jamaa mmoja ambaye kwa jina aliitwa Mr Abby jamaa huyo alikuwa na mpenzi

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
wake ambaye alimpenda sana jina lake aliitwa Jesca,mapenzi yao yaliweza kudumu kwa muda mrefu toka walipo kuwa wakisoma shule ya sekondari, wapenzi hao walikuwa wakiishi katika jiji la Arusha ,wote walikuwa wakisoma sekondari na walipo hitimu tu Elimu yao ya sekondari, Mungu si Athumani wote walifanikiwa kufaulu masomo yao na kuwaruhusu kuendelea hatua nyingine ya elimu.

Mr Abby alifanikiwa kwenda chuo moja kwa moja alienda kusoma chuo cha Ualimu kilichokuwa kinapatikana Mwanza ila kwa upande wa Jesca yeye alifanikiwa kwenda kidato cha tano nakumalizia kidato cha sita mkoani Tabora,baada ya kumaliza kidato cha sita alifanikiwa kwenda chuo kikuu kinachoitwa UDSM kilichopo Jijini Dar es salaam

Ingawa walikuwa mbalimbali ila walizidi kupendana na kuwasiliana mara kwa mara pale walipo weza kupata muda, Baada ya miaka mitatu Mr Abby aliweza kuhitimu masomo yake ya chuo kwasababu alikuwa amesomea diploma ya ualimu, Baada ya miezi Saba mbele Mr Abby alifanikiwa kuajiliwa katika shule ya serikali iliyokuwa ikipatikana jiji la mwanza ,huku kwa upande wa Jesca yeye alikuwa bado akiendelea na masomo yake.

Jesca alikuwa mwanamke mzuri sana ambaye alikuwa na kila sifa zenye kumvutia mwanaume ambaye siyo rijali,Jesca mungu alimjalia sura nzuri na ngozi yake ilikuwa yenye rangi nyeupe na yakuvutia amabayo ilikuwa kivutio kikubwa sana kwa wanaume wengi, pia Jesca alikuwa na umbo maata shepu namba 8 na macho mazuri ya kulembua , kila mwanaume aliyemtazama alivutiwa nae kutokana na uzuri aliokuwa nao kwani avae dela au gauni nyuma palitoa umbo la kutetemeka kama mtu aliyepigwa shoti.

Mizizi ya mapenzi kati Jesca na Mr Abby iliendelea kukuwa zaidi bila kujali umbali waliokuwa nao , mapenzi yao yalikuwa mazuri sana tena kwakuwa Mr Abby alikuwa amesha mtambulisha mchumba wake kwa wazazi wake vivyo hivyo kwa upande wa Jesca alikuwa amekwisha mtambulisha mpenzi wake huyo kwa wazazi wake,huku wote wakiweza kuahidiana ahadi kemu kemu kuwa wangeweza kufunga ndoa baada ya Jesca kuhitimu masomo yake ya chuo kikuu .

Jesca aliendelea kufanya vizuri katika masomo yake hatimae alifika mwaka wa mwisho wa masomo yake ikiwa ni mwaka wa tatu akiwa hapo chuoni,katika kipindi chote Jesca alipokuwa hapo chuoni aliweza kusumbuliwa na vijana wengi wakiwemo walimu na wanachuo wenzake ila hakuna aliyefanikiwa kulipata penzi la Jesca wanaume wengi walimtamani kimapenzi, na baadhi yao walidiliki kumlazimisha Jesca ila aweze kuwakubalia kwa kuweza kuwa nao katika mahusiano huku wengine wakimuahidi kuwa wangeweza kumuhudumia na kumpa kila kitu atakachokitata huku wengine wakidiliki kumlazimisha Jesca Kufanya mapenzi hata kabla hawajakubaliwa.

Wanaume wote walio msumbua Jesca hakuna mwanaume hata mmoja aliyepata bahati ya kuwa na Jesca katika mahusiano ya kimapenzi kila Mwanaume aliyemfata Jesca ,Jesca hakuwa mtu wa kuuficha ukweli alikuwa akiwaambia kuwa anampenzi wake tayari na anampenda sana,hivyo hawezi kumsaliti kwa kutoka kimapenzi na mwanaume mwingine kwakuwa alikuwa na upendo wa dhati kwa Mr Abby.

Ilikuwa ni mwanzo mwa mwaka ikiwa ni mwezi wa pili mwaka 2018 , kwa Jesca kuwepo hapo chuoni ,mwaka huo ulikuwa ni mwaka ulioambatana na misukosuko na majaribu mengi kwa upande wa Jesca ,Mkuu wa chuo aliyeitwa Amoni Saimon aliweza kumleta mwalimu mpya katika chuo hicho ambapo aliweza kumtambulisha mwalimu huyo mbele ya wanachuo wote ili waweze kumfahamu,wanachuo wote waliitwa ili kuweza kumpokea mwalimu huyo

Mkuu wa chuo Amoni Saimon aliweza kumkaribisha mwalimu huyo mgeni ili aweze kujitambulisha mbele ya wanachuo wote ,mwalimu huyo alisimama na kuanza kujitambulisha kwanza aliwasalimia kisha akasema""Mimi naitwa Mwalimu John Charles,ninatokea Singida ila ninaishi hapa Dar es salaam nitakuwa pamoja na nyie kwa muda wote nitakao kuwa hapa, wanachuo wote walimpigia makofi kama ishara ya kumkaribisha .

Mwalimu Charles alikuwa mrefu na mwenye mwili wa wastani,kwa kumuangalia tu alionekana mtu aliyekuwa akijipenda sana,siku alikuwa amevalia,T-shirt,suruali aina ya kadeti na raba nyeupe,mwalimu huyo alikuwa mzuri kweli kwa sura,kwa kumuangalia alionekana bado kijana mdogo sana kutokana na jinsi alivyokuwa akijipenda na mwili aliokuwa nao wa wastani,baada ya Mwalimu John Charles kujitambulisha aliwashukuru kwa ukaribisho wao kisha wanachuo wote wakawa wametawanyika kuendelea na majukumu yao.

Ujio wa mwalimu John Charles katika chuo hicho ndio ulikuwa mwanzo na chanzo cha Jesca kuishi maisha magumu kwasababu mwalimu John alikuwa akimsumbua sana ,kwakuwa baada ya kufika hapo chuoni alitokea kumpenda sana mtoto mzuri Jesca, hivyo alijaribu kutumia kila mbinu ili kuweza kumteka kimapenzi mtoto mzuri Jesca, bila kujali ni mara ngapi amemfata Jesca kumtongoza na kukataliwa ila kwakuwa Mwalimu John alikuwa ameshadata kwa Jesca hakuwa tayari kumkosa.

Jesca alijitahidi kumwambia ukweli kuwa yeye ana mpenzi wake ambaye anampenda sana kupita kiasi na hawezi kumsaliti ila kwa maneno Jesca aliyokuwa akimwambia Mwalimu John,hayakuweza kusaidia kitu na hayakuweza kumzuia Mwalimu John kuendelea kumfuatilia.

Usikose kabisa sehemu inayofuata, mambo yanazidi kuwa moto

Jamani twende chapu , LIKE 150 nipost nyingine kali zaidi ✨

Kila LIKE yenu ❤️ ndio nguvu ya kuendelea kuweka content bora zaidi kwa ajili yenu!

Maoni

You're not logged in


Tangazo - For this week only
For this week only
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

Chombezo : Penzi La Jesca Sehemu Ya : Kwanza (1) IMEANDIKWA NA ENOCH LIBERATUS Alikuwepo jamaa mmoja ambaye kwa jina aliitwa Mr Abby jamaa huyo alikuwa na mpenzi

wake ambaye alimpenda sana jina lake aliitwa Jesca,mapenzi yao yaliweza kudumu kwa muda mrefu toka walipo kuwa wakisoma shule ya sekondari, wapenzi hao walikuwa wakiishi katika jiji la Arusha ,wote walikuwa wakisoma sekondari na walipo hitimu tu Elimu yao ya sekondari, Mungu si Athumani wote walifanikiwa kufaulu masomo yao na kuwaruhusu kuendelea hatua nyingine ya elimu.

Mr Abby alifanikiwa kwenda chuo moja kwa moja alienda kusoma chuo cha Ualimu kilichokuwa kinapatikana Mwanza ila kwa upande wa Jesca yeye alifanikiwa kwenda kidato cha tano nakumalizia kidato cha sita mkoani Tabora,baada ya kumaliza kidato cha sita alifanikiwa kwenda chuo kikuu kinachoitwa UDSM...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/chombezo-penzi-la-jesca-sehemu-ya-kwanza-1-imeandikwa-na-enoch-liberatus-alikuwepo-jamaa-mmoja-ambay

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi chombezo-penzi-la-jesca-sehemu-ya-kwanza
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 14 na 15

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 14 na 15

682
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *12&13*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *12&13*

647
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 19

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 19

637
FROM BANGI TO BABY 💞💘   SEHEMU YA 18

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 18

543
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 20

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 20

433
BLACK BUTTERFLY 🦋 3

BLACK BUTTERFLY 🦋 3

119
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*    *SEHEMU YA KUMI NA NNE*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *SEHEMU YA KUMI NA NNE*

40
Such a lovely throwback ! This pic of Raj Kapoor, Randhir Kapoor and Rishi Kapoor celebrating Holi together is pure nostalgia

Such a lovely throwback ! This pic of Raj Kapoor, Randhir Kapoor and Rishi Kapoor celebrating Holi together is pure nostalgia

8

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.46K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.23K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.75K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.21K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.61K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.54K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.46K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.45K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.45K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.4K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*    *SEHEMU YA KUMI NA NNE* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *SEHEMU YA KUMI NA NNE*
@majario LIVE

Muda huo Mwenyewe nilikua Nacheza kwa Furaha zote, lakini kitendo cha kumuona madam groly killharibu kila kitu, niliona kabisa birthday yangu inaenda kuharibika Maana huyu mama hana jema ata kidogo. "NAKUJA Alizungumza...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *12&13* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *12&13*
@majario LIVE

SONGA NAYO Nikageuka na kumuangalia ma Mdogo "Ishani umeolewa Mwanangu?" Nikamuangalia na kumwambia. "Mind your business bi mkubwa Kisha Mimi na Enzo tukaondoka kwani tayall tulishabolt Bajaji na ilikuwa ikitusubilla. Msijiulize Kwanini tunatuma Bajaji wakati Enzo...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 20 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 20
@majario LIVE

Lile joto la midomo yake ilipo gusana niliisi ulimwengu wote umenyamaza nikafumba macho Kulikuwa na joto la ajabu sijawahi kulipata Mkono wake alikuwa anaupitisha taratibu kama anahesabu kila pigo la moyo wangu,...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 19 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 19
@majario LIVE

Basi mpaka sa moja inaenda na Nusu Veda hajaja, Moyo juu juu itakuwa tu kaenda huko kwenye ma club, moyo lipu lipu muda wote kama nimemezaa kaa la moto hajabu...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 14 na 15 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 14 na 15
@majario LIVE

Basi nilipomaliza kuongea na ibraaa nikakata simu, nikaendelea kudrive kuelekea nyumbani kwangu sasa, na nilipofika nikampigia j kawa na furaha sana , anafurahia kwenda shule kesho, nikasema muache afurahi...

FROM BANGI TO BABY 💞💘   SEHEMU YA 18 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 18
@majario LIVE

Mama akanambia kuwa Veda alikuwa na huyo mke wake walifunga ndoa kabisaa kanisani, wakati huo Veda alikuwa anafanya kazi kwenye kampuni ya mturuki alikuwa kama dereva anamuendesha ile kampuni ilifirisiwa...

BLACK BUTTERFLY 🦋 3 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY 🦋 3
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 Endelea Asubuh Hiyo Mariana aliwahi kazini kama kawaida yakee na kuanza kusikia kile kilichotokea jana maana kila mmoja alizungumzia lakee “ Mariana unaitwa na madam Camilla...

Such a lovely throwback ! This pic of Raj Kapoor, Randhir Kapoor and Rishi Kapoor celebrating Holi together is pure nostalgia Post Mpya
Such a lovely throwback ! This pic of Raj Kapoor, Randhir Kapoor and Rishi Kapoor celebrating Holi together is pure nostalgia
@majario LIVE

. You can literally feel the fun and madness of a proper Bollywood Holi. All three covered in colours, smiling, enjoying the moment like one big happy family. Raj Kapoor, the...

Hongera umepata kazi ya kulinda bwawa la samaki usiku huko mkoani Iringa karibu na bonde la mlima Kitonga. Mshahara ni shilingi milioni moja kwa usiku mmoja Post Mpya
Hongera umepata kazi ya kulinda bwawa la samaki usiku huko mkoani Iringa karibu na bonde la mlima Kitonga. Mshahara ni shilingi milioni moja kwa usiku mmoja
@majario LIVE

. Kazi inaanza saa 4 kamili usiku hadi saa 12 alfajiri. Hakuna muda wa majaribio. Ukifika kazini unaanza kazi. Hivyo sikiliza masharti haya kwa makini ili uweze kufika asubuhi. Sharti...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 13 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 13
@majario LIVE

Basi nikaingia ndani, dohh nilipashangaa, yani uyu dada hakuwa na chochote cha maana cha ndani zaidi ya godoro tu, amabalo nalo wala halikuwa linalizisha kabisa,mabegi ya nguo, na ndoo za...

Zayed Khan has always been a total family man at heart. He’s married to his high school sweetheart, Malaika Parekh Post Mpya
Zayed Khan has always been a total family man at heart. He’s married to his high school sweetheart, Malaika Parekh
@majario LIVE

. They met as teenagers at Kodaikanal International School, became close friends, and eventually fell in love. After years of being together, they got married on November 20, 2005. It’s...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *SEHEMU YA KUMI NA MOJA* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*
@majario LIVE

SONGA NAYO. Ila nyie mapenzi konyo Walahi, Yaani ukimuona mtu unayempenda lazima tu Ka moyo kashtuke na kapate amani Fulani hivi Kitendo cha kumuona Enzo nilifurahi lakini pia nilijikaza tu na kumuuliza...

This pic from Ishq is pure 90s madness and I love it ! You’ve got Ajay Devgn with his serious, intense vibe… Kajol looking all fiery and expressive… Juhi Chawla Post Mpya
This pic from Ishq is pure 90s madness and I love it ! You’ve got Ajay Devgn with his serious, intense vibe… Kajol looking all fiery and expressive… Juhi Chawla
@majario LIVE

with that cute bubbly energy… and Aamir Khan being his mischievous, romantic self. What a combo yaar! Ishq was not just a love story, it was full on drama, comedy,...

 Ili kombora la Iran lifike Israel, linatakiwa kuvuka vikwazo vifuatavyo njiani Post Mpya
Ili kombora la Iran lifike Israel, linatakiwa kuvuka vikwazo vifuatavyo njiani
@majario LIVE

* Meli za kijeshi za Marekani zilizopo Ghuba ya Uajemi * Rada za Israel zilizopo Azerbaijan * Rada za Israel zilizopo Turkmenistan * Mifumo ya ulinzi wa anga ya vituo vya Marekani nchini...

SHAMIRA sehemu ya 34&35 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 34&35
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi nikajiiinua taratibu tukaingia bafuni. Mwanaume akanikumbatia uku tunaoga. Aseee uyu baba ananipenda ila hataki upumbavu ata kidogo na mkono wake mwepesi kupiga .na yote sababu...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest