Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

GENERAL SILI SILALI JUU YAKO Niliwatizama waliniona ila walinipotezea kabisa kisha General aliinuka na kuondoka wale wasichana wambea wakaanza kusema:
Gonga94 · Stories

GENERAL SILI SILALI JUU YAKO Niliwatizama waliniona ila walinipotezea kabisa kisha General aliinuka na kuondoka wale wasichana wambea wakaanza kusema:

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.



WhatsApp 0742133100


SEHEMU YA 07.

Niliwatizama waliniona ila walinipotezea kabisa kisha General aliinuka na kuondoka wale wasichana wambea wakaanza kusema:


"Nancy  anabahati  sana jamani General anampenda kilamsichana hapa kambini anatamani kupata nafasi ya kuwa na gentleman kama General kiukweli Nancy anaraha sana"


Nilijikuta naumia mno na nachanganyikiwa kusikia maneno kama hayo,  nikainuka kwa hasira na kuanza kuelekea bwenini Nancy alinikimbilia na kuniita:


"Laura!.... samahani"


Nilijifanya sijamsikia kabisa ndio kwanza niliongeza mwendo,   na kuwahi bwenini kwetu nilipofika nilipanda kitandani na kujifunika shuka langu,  alikuja moja kwa moja Nancy hadi bwenini na kuja nilipokuwa nimelala,  akaanza kuniambia:



"Laura ndio nini nakusemesha umenikimbia,  mbona sikuelewi umefika sasahivi tuu na usingizi tayari umeupata,  tafadhali nisikilize basi, hembu inuka nikuambie"


Sikuinuka hata niliendelea kulala,    na wala sikumjibu kitu nilikuwa kimya,   mwisho alichoka na kuamua kuondoka zake,  kiukweli nilijikuta ninamuonea wivu roho inaniuma sana,  hasa yale maneno ya wale wambea  yaliniuma,  nilipohisi ukimya nikafumbua macho na kumtiza, alikuwa hayupo kweli  bweni  zima,   ndio nikajilaza vizuri kitandani kwangu  na kupitiwa usingizi,  wiki moja ilisonga na mimi na General  hatukuwa sawa,   yaani kilammoja alikuwa kivyake,   na maranyingi  General alikuwa bize akifanya kazi ofisini kwake,  kuonekana kwake ilikuwa marachache sana mudamwingi alikuwa bize,  siku moja  nikiwa natoka kula kantini naelekea bwenini,  alikuja General na kunishika mkono wangu  kwanguvu,   alinipeleka moja kwa moja  pembezoni mwa ukuta,  na kuniegemesha ukutani kisha alinikiss romance kwa nguvu ,   huwezi amini nilijikuta nalegea  kabisa kwanza nimemmis hatari,  nilihisi utulivu wa moyo kuwa kifuani kwake,  mala baada ya fahamu kunirudia nilimsukuma pembeni na kutaka kukimbia,   alinivuta tena mkono na kisha akaniambia:



"Utakimbia hadi  lini nijue eeh!,  huoni kuwa unaupinga ukweli wako mwenyewe Laura,  na kujua vizuri na hata hujifichi  unanipenda  unanipenda sana Laura"


"Nini? Nani kakudanganya eeh!  Nakuuliza wewe  hahahaa,    kwataarifa yako sina hata hisia nawewe wala sitarajii naona unajiogopea tuu mwenyewe,   pole sana kwahilo  na utuuzima wako nitakupeleka wapi mie"


Wakati naongea hayo yoote General alikuwa kimya tuu akinitizam,   kisha  nilipomaliza nikaanza kuondokazangu,  ile natoa mguu tuu alinivuta tena,   nahivi nilivyo chaupepo sasa,   kisha akanidaka na kuniweka tena karibu yake,   mithiri kama  anataka kuninyonya shingo yangu hiviii,   alinikumbatia vizuri sana  karibu yake nilijikuta mapigo ya moyo yananienda mbio,   nilitulia sana nilikuwa  tayari kwachochote kile,    yaani kisha General akiwa amenimaliza kabisa hapo kwa manjonjo yake  ya kimahaba,  hapo aliniambia kwa sauti yachini akiwa anafanya kama anataka kuninyonya  shingo:



"Samahani  Laura  nilikuwa nakuaga  naondoka keho alfajiri,   ninasafari ya nje ya nchi,  na  samahani kwa usumbufu wangu"


Nikashtuka hapo na kujichomoa mikononi mwa General taratibu,  kisha nilimjibu:


"Ok sawa safari njema"


Na baada ya hapo  nikaanza kuondoka kuelekea bwenini,  General akaniambia:


"Nakutakia mazoezi mema  sidhani kama nitakukuta,   kwani sirudi hivi karibuni"


Nilisimama nikasikiliza kwa umakini,   kisha nilimjibu:

"Kwani Nancy nae umemuaga,  maana ndio mtu sahihi wakumuaga"


Alitabasam kidogo General,  nakisha akanijibu:


"Ndio kakuambia eeh basi sawa nitamuaga,   usiku mwema sasa by"


General aliondoka na kwenda kwenye chumba chake,  niondoka kwenda bwenini nikiwa mithili ya mtu kawekwa zege miguuni,  ila nilijipa ujasiri na kujiambia  hawezi kuniacha ananipenda pia,   nilifika bweni  nikaingia na kupanda kitandani tayari kulala,  nililala  kwatabu sana  kwani nilikuwa nawaza hadi kulikucha alfajiri, tuliamka na kwenda mazoezini kama kawaida,   ila akilini  nilikuwa na mtafuta General tuu nimuone nijihakikishie kama yupo,  lakini wapi sikumuona hadi muda ulienda siku iliisha sikamuona labisa,  mwisho nilikata tamaa kabisa kwani siku zilienda mwezi ulikata General Ethane hakurudi kabini kwetu,  nilianza kuwa na udhuni  sikuwa naraha kabini,  nilikuwa nafanya  sana  mazoezi  hata muda wakula  sikuwa  naenda kula,  niliona  hakuna maana yakula ikiwa nimpendae hata hajali kuhusu mimi,  nilitamani arudi hata dakika moja tuu nimuambie jinsi ninavyo jisikia juu yake,  lakini haikuwezekana  kwa muda huo,  ilifikia hatua usiku nilikuwa nagara gara tuu sipati hata usingizi tena,  kisha nikizidiwa na hisia naanza  kulia  pekeangu,  nilikonda  na  nilikuwa sina raha kabisa,    hadi siku moja mkuu wa kikosi changu namba saba  aliniita ofisini kwake,  akaniuliza:


"Unatatizo gani Laura,   maana sikuhizi nakuona haupo sawa kabisa"


"Mkuu mbona sina shida nipo sawa mimi"


"Nakujua tangu unaingia kambini hadi leo hii,   nimeambiwa nawenzio  chukula huli,   na mala nyingi umekuwa mnyonge sana kunamuda unalia pekeako,  niambie tatizo nini?


"Mkuu mimi sina tatizo,   na hao walikudanganya mimi niko sawa kabisa"


Wakati tunaongea hayo na mkuu wangu wakikosi,  gafla simu iliita tukiwa wote nisimu ya mezani,  mkuu wangu akaniambia:


"Samahani napokea simu maramoja tulia hapa hapa"


Kisha akaipokea hiyo simu


"Hallow"


"Hallow  General hapa naongea"


Gafla mkuu wa kikos alipiga sarut huku akisema:


"Heshima yako mkuu General"


Nilishtuka  nikainuka  huku nikiwa naitazama simu




Je nini kitatokea hapo .............

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

GENERAL SILI SILALI JUU YAKO Niliwatizama waliniona ila walinipotezea kabisa kisha General aliinuka na kuondoka wale wasichana wambea wakaanza kusema:




WhatsApp 0742133100


SEHEMU YA 07.

Niliwatizama waliniona ila walinipotezea kabisa kisha General aliinuka na kuondoka wale wasichana wambea wakaanza kusema:


"Nancy  anabahati  sana jamani General anampenda kilamsichana hapa kambini anatamani kupata nafasi ya kuwa na gentleman kama General kiukweli Nancy anaraha sana"


Nilijikuta naumia mno na nachanganyikiwa kusikia maneno kama hayo,  nikainuka kwa hasira na kuanza kuelekea bwenini Nancy alinikimbilia na kuniita:


"Laura!.... samahani"


Nilijifanya sijamsikia kabisa ndio kwanza niliongeza mwendo,   na kuwahi bwenini kwetu nilipofika nilipanda kitandani na kujifunika shuka langu,  alikuja moja kwa moja Nancy hadi bwenini na kuja nilipokuwa nimelala,  akaanza kuniambia:



"Laura ndio nini nakusemesha umenikimbia,  mbona sikuelewi umefika sasahivi tuu na usingizi...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/general-sili-silali-juu-yako-niliwatizama-waliniona-ila-walinipotezea-kabisa-kisha-general-aliinuka-

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi general-sili-silali-juu-yako-niliwatizama-waliniona-ila-walinipotezea-kabisa-kisha-general-aliinuka-
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two*    *SEHEMU YA KUMU*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMU*

899
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10

490
FROM BANGI TO BABY 💞💘  SEHEMU YA 16

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 16

434
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8

419
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 17

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 17

307
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12

219
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL   SEHEMU YA 10

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 10

210
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23  na 25.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23 na 25.

182
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21  na 22.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21 na 22.

139
SHAMIRA sehemu ya 34&35

SHAMIRA sehemu ya 34&35

96

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.43K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.2K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.74K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.2K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.6K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.44K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.44K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.43K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.38K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.36K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
This pic from Ishq is pure 90s madness and I love it ! You’ve got Ajay Devgn with his serious, intense vibe… Kajol looking all fiery and expressive… Juhi Chawla Post Mpya
This pic from Ishq is pure 90s madness and I love it ! You’ve got Ajay Devgn with his serious, intense vibe… Kajol looking all fiery and expressive… Juhi Chawla
@majario LIVE

with that cute bubbly energy… and Aamir Khan being his mischievous, romantic self. What a combo yaar! Ishq was not just a love story, it was full on drama, comedy,...

 Ili kombora la Iran lifike Israel, linatakiwa kuvuka vikwazo vifuatavyo njiani Post Mpya
Ili kombora la Iran lifike Israel, linatakiwa kuvuka vikwazo vifuatavyo njiani
@majario LIVE

* Meli za kijeshi za Marekani zilizopo Ghuba ya Uajemi * Rada za Israel zilizopo Azerbaijan * Rada za Israel zilizopo Turkmenistan * Mifumo ya ulinzi wa anga ya vituo vya Marekani nchini...

SHAMIRA sehemu ya 34&35 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 34&35
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi nikajiiinua taratibu tukaingia bafuni. Mwanaume akanikumbatia uku tunaoga. Aseee uyu baba ananipenda ila hataki upumbavu ata kidogo na mkono wake mwepesi kupiga .na yote sababu...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi nikaona zena kamnyanyua yule mtoto kisha akambeba ,ni amefanana nae sana ,nikajua ni wa kwake tu yani ni lazima utu mtoto atakuwa ni mwanae, kisha akanigeukia...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 17 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 17
@majario LIVE

Ikabidi nikae tu kwenye piki piki maana sura alivyokuwa kaikaza mmh asije kunipiga, Kimyaa kikatawala sasa mie nilijua tunaenda kwa Tinner na moyoni nilikuwa nimempangia hayo maneno Tinner eeh mbona...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL   SEHEMU YA 10 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 10
@majario LIVE

🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Maeneo ya pale pale chuoni, Salmon alikuwa amepanga nyumba kubwa ya peke yake. Wakati akiwa chuo ndo alikua anaishi hapo, ila siku za weekends kama hana mambo mengi ndo anaenda...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23  na 25. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23 na 25.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi kuanzia apo nikawa sasa kidogo naelewana na baraka. Tena mimi ndo napenda sana kuongea nae. Yani sanaaa. Napenda kucheka nae sana. Na kun jinsi...

FROM BANGI TO BABY 💞💘  SEHEMU YA 16 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 16
@majario LIVE

Usiku wangu ulikuwa mzito sana, maneno ya D kusema kuwa Veda anatembea na wanawake wengi, niliyaamini kabisaaa Bila shakaa kwa maana Yeye tu hana mwonekano mzuri ametuna tuna hovyo anakuwa...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10
@majario LIVE

Daaah nikaona mtoto kachomoa leo mana sio powa , ana vipengele sana uyu demu , ila unyama, hatachomoa kila siku, ni suala la muda tu, mana sijawahi kumtaka mwanamke ,...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21  na 22. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21 na 22.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media BASI nikapanda kitandani kwangu. Nikijutia sana nilichokifanya mana mh . Nilikuwa nasababisha ugomvi mkubwa wa wazazi mungu wangu. Yani mama yangu alikuwa anaachwa leo...

SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.??? Post Mpya
SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.???
@majario LIVE

Hatimae jana tambo za Dabi zilipata majibu kwa timu za Simba na Yanga kutoka suluhu ya bila kufungana(0-0). Kwa maana hiyo timu zote ziliambulia pointi moja moja. Mchezo wa jana pamoja...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8
@majario LIVE

Zena akasema kwaiyo manager unataka kuniuza ama ni vp, yule manager aksema , naomba uelewe kuwa ukifanya kazi katika hii bar, mteja kukushika sehemu yoyote ya mwili wako ni kawaida,...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two*    *SEHEMU YA KUMU* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMU*
@majario LIVE

Jambo likawa lelelele, Yaani ni patashika nguo kuchanika, Kwa upande wangu Walahi nilikuwa nikifurahi tu, na amina alikuwa akilia tu nakuomba msamaha. Enzo wa watu mwaya akachukua muda wake na kumuelezea...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9
@majario LIVE

🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Mbali na ivyo zile zawadi alizo tumiwa Noela zilimuuma vile vile. Alihisi Noela hastahili vitu vizuri wala maisha ya kifahari. Alitaka kila kitu kiwe chake, wanaume wote wawe wake. Hata...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 6 na 7 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 6 na 7
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi bwana , mwanaume wala sikuwa na shaka, kazi zote ambazo nilibakiwa nazo pale ofisini, nikamuachia ibraaa, na ukiacha ushikaji, mi bafo ibra ni mkubwa wake wa kazi,...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest