Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MR GENERAL : KUMBE ULINIPENDA EEE   SEHEMU YA 18
Gonga94 · Stories

MR GENERAL : KUMBE ULINIPENDA EEE SEHEMU YA 18

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

“Ehee, nikataka kujua zaidi mwamba wngu alikuja na swaga gani…

Aisee alikuwa analalamika kila siku, akawa anakuja ananiambia kuwa akilala mwenyewe anakuona, na anateseka sana, ila ubaya ulishaapa kuwa hautakaa uolewe na mjeda, hilo neno lilikuwa linamchanganya sana, ila ukweli ni kuwa bro anakupenda sana, akaendelea kusema mdogo wake…

“Sasa ilikuwaje mpaka baba yake akakubali kumsaidia, mpaka nikajua kuwa naolewa na mzee? Ikabidi na mimi niulize sasa…
“Nadhan alivyokuwa analalamika sana mzee atakuwa anamuonea huruma akaamua kujivisha mabomu, na kingine mzee yupo karibu sana na bro kuliko mimi, si unaona wameshachukuana wanaenda kupanga mipango yao, huenda hata vitu vingine watakuwa wameongea ndio maana mzee akaamua kubeba majukum, ila nisikudanganye, sijawah kumuona bro amevurugwa kama kipindi ambacho alianza kukupenda wewe, naomba mpende sana aiseee maana utakuja kumtoa roho…

Nikatabasamu kisha nikasema “Nitahakikisha hata nikimtoa roho, namtoa roho ya chuki abaki akinipenda mimi tu, akatabasamu kisha akasema “Kwa maneno hayo ni kheri achanganyikiwe…

Nikaanza kucheka
“Mnacheka cheka nini hapo? Tukasikia sauti nyuma yetu ikabidi tugeuke na shemu akawah na kusema “Kuwa na amani bro sikuibii, kisha akaondoka zake…

“Ulikuwa unaongea nini na dogo? Akauliza…
“Ni mambo yetu tu, twende tukapumzike, nikasema, akanishika mkono tukaenda mezan tukala, ilikuwa ni familia yenye upendo sana, mpaka mimi mwenyewe nilikuwa nafurahia sana kuwa karibu nao, baada ya hapo tukaenda chumban kulala, na kulipopambazuka, niliona namna ambavyo walikuwa na ushirikiano ile familia, kila mtu ameamka mapema na bila kuwaza kuwa ameshika kazi gani, yaan mimi ni mkamwana na ndio mtoto wa kike, naamka nakuta kila kitu kimefanywa, niliona aibu, ila mume wangu alikuja na kunishika mkono na kunambia “Usijisikie vibaya najua ulitaman na wewe kufanya kazi ila bado wewe ni bikra wetu, ndio nimekutoa ubikra mara ya kwanza kwa kukuleta kwetu, ukishakuwa mzoefu utafanya kazi, nikatabasamu…

Basi nikaoga kisha tukanywa chai, na baada ya hapo tukarudi nyumban na mume wangu akaitwa kazin, hakuwa anapatikana kwa karibu mwezi mzima, sijui hata hizi kazi za jeshi na kutopatikana kunakuwaga na muingiliano gani…

Sasa wakati anarudi nilikuwa siku vizuri kiafya, nilikuwa kila siku asubuh natapika na sikuwa najua ni kwanini, nilikuwa naogopa hata kwenda hospital sijui hata nilikuwa nawaza nini…

Basi aliporudi akanikuta nimedhoofu akaniangalia na kunambia “Shida nini mamaa…
“Wiki ya pili sasa natapika kila siku asubuh na sijui nina shida gani, nikashangaa mwamba kanibeba kisha akawa anashangilia, hakutaka hata nijiandae, nikashangaa tunaenda hospital akawa anasema “Mpimeni mimba huyu…

Na kwakuwa alikuwa na magwanda yake ya kijeshi, vipimo vilikuwa ni haraka haraka sana, kweli nikapimwa mimba na ninakutwa na ujauzito wa mwezi mmoja, aiseee nilishangaa mume wangu kanikumbatia kwa nguvu mpaka chozi likamtoka, na baada ya hapo akanambia “Mke wangu, sikuwah kufikiria kama utakuwa tayar kubeba mtoto wangu, na kuahidi kwa moyo na kauli zangu, nitapambana sana wewe na mtoto wetu muishi maisha mazuri sana…

Nikatabasamu tu pale, basi hao tukarudi nyumban, alikuwa ananilea vizuri sana, mpaka nikawa najihisi mwenye bahati sana, baada ya mateso ya muda mrefu ambayo nilikuwa nayapata kwa shangazi, sasa hatimae na mimi nimepata faraja, eee Mungu wangu nijalie na mimi niwe na furaha na amani kwenye maisha yangu, hio ndio ilikuwa dua yangu ya kila siku…

Basi kweli kama tunavyojua siku hazisimami , miezi tisa ilipita ingawa ilikuwa ni kwa tabu sana, maana huwa naumwa umwa sana ….
Hatimae siku ikafika nikajifungua mtoto wa kike, kama dua zangu zilijibiwa vile, maana alikuwa anafananana na mimi lakin alikuwa na rangi ya baba yake…

Basi maisha yakaenda, familia yake ni familia ya upendo sana, siku moja shangazi ananipigia ananiambia kuwa “Yule mzee amekuja kudai mahari zake bila kujua ndio mkwe wangu…

ITAENDELEA ….

Maoni

You're not logged in


Tangazo - MY Wangu season one, season two, season 3, season 4 and season 5 final
MY Wangu season one, season two, season 3, season 4 and season 5 final
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MR GENERAL : KUMBE ULINIPENDA EEE SEHEMU YA 18


“Ehee, nikataka kujua zaidi mwamba wngu alikuja na swaga gani…

Aisee alikuwa analalamika kila siku, akawa anakuja ananiambia kuwa akilala mwenyewe anakuona, na anateseka sana, ila ubaya ulishaapa kuwa hautakaa uolewe na mjeda, hilo neno lilikuwa linamchanganya sana, ila ukweli ni kuwa bro anakupenda sana, akaendelea kusema mdogo wake…

“Sasa ilikuwaje mpaka baba yake akakubali kumsaidia, mpaka nikajua kuwa naolewa na mzee? Ikabidi na mimi niulize sasa…
“Nadhan alivyokuwa analalamika sana mzee atakuwa anamuonea huruma akaamua kujivisha mabomu, na kingine mzee yupo karibu sana na bro kuliko mimi, si unaona wameshachukuana wanaenda kupanga mipango yao, huenda hata vitu vingine watakuwa wameongea ndio maana...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mr-general-kumbe-ulinipenda-eee-sehemu-ya-18

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mr-general-kumbe-ulinipenda-eee-sehemu-ya
 MR GENERAL : KUMBE ULINIPENDA EEE   SEHEMU YA 10
MR GENERAL : KUMBE ULINIPENDA EEE SEHEMU YA 10
MR GENERAL : KUMBE ULINIPENDA EEE SEHEMU YA 13
MR GENERAL : KUMBE ULINIPENDA EEE SEHEMU YA 13
MR GENERAL : KUMBE ULINIPENDA EEE   SEHEMU YA 14
MR GENERAL : KUMBE ULINIPENDA EEE SEHEMU YA 14
MR GENERAL : KUMBE ULINIPENDA EEE  SEHEMU YA 16
MR GENERAL : KUMBE ULINIPENDA EEE SEHEMU YA 16
MR GENERAL : KUMBE ULINIPENDA EEE SEHEMU YA 15
MR GENERAL : KUMBE ULINIPENDA EEE SEHEMU YA 15
 MR GENERAL : KUMBE ULINIPENDA EEE  MR GENERAL : KUMBE ULINIPENDA EEE  SEHEMU YA 19 - 20
MR GENERAL : KUMBE ULINIPENDA EEE MR GENERAL : KUMBE ULINIPENDA EEE SEHEMU YA 19 - 20
MR GENERAL : KUMBE ULINIPENDA EEE   SEHEMU YA 12
MR GENERAL : KUMBE ULINIPENDA EEE SEHEMU YA 12
MR GENERAL : KUMBE ULINIPENDA EEE SEHEMU YA 17
MR GENERAL : KUMBE ULINIPENDA EEE SEHEMU YA 17
MR GENERAL : KUMBE ULINIPENDA EEE SEHEMU YA 11
MR GENERAL : KUMBE ULINIPENDA EEE SEHEMU YA 11
MR GENERAL : KUMBE ULINIPENDA EEE    SEHEMU YA 9
MR GENERAL : KUMBE ULINIPENDA EEE SEHEMU YA 9
MR GENERAL : KUMBE ULINIPENDA EEE SEHEMU YA 8
MR GENERAL : KUMBE ULINIPENDA EEE SEHEMU YA 8
MR GENERAL : KUMBE ULINIPENDA EEE   SEHEMU YA 7
MR GENERAL : KUMBE ULINIPENDA EEE SEHEMU YA 7
MR GENERAL : KUMBE ULINIPENDA EEE SEHEMU YA 6
MR GENERAL : KUMBE ULINIPENDA EEE SEHEMU YA 6
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *12&13*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *12&13*

810
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 19

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 19

693
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 20

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 20

540
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*    *SEHEMU YA KUMI NA NNE*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *SEHEMU YA KUMI NA NNE*

533
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 21

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 21

357
BLACK BUTTERFLY 🦋 4

BLACK BUTTERFLY 🦋 4

59
Honestly, these two are such a vibe together !  Priyanka Chopra and Nick Jonas

Honestly, these two are such a vibe together ! Priyanka Chopra and Nick Jonas

2

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.47K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.24K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.76K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.22K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.61K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.56K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.47K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.45K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.45K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.44K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
BLACK BUTTERFLY 🦋 4 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY 🦋 4
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 Endelea Brayton akiwa kwenye gari alijaribuu kupiga simu Hospitali ili maandilizi mapema kwaajili ya mgonjwa anae kuja nae muda huu. Hospitali nayo hakufanya makosa tayari waliandaa kitanda...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 21 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 21
@majario LIVE

Nikamuuliza "we umejuana vipi na D??" "Yule D ni mdogo wake na Boss wangu, ni binamu yake kitu kama hicho, mie sijawahi hata kuwa na mazoea nae kabisaaa ila kuna issue...

Honestly, these two are such a vibe together !  Priyanka Chopra and Nick Jonas Post Mpya
Honestly, these two are such a vibe together ! Priyanka Chopra and Nick Jonas
@majario LIVE

really make you believe in modern-day love stories. Different countries, different cultures, totally different careers — but somehow it all just fits perfectly. What started with a simple conversation...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*    *SEHEMU YA KUMI NA NNE* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *SEHEMU YA KUMI NA NNE*
@majario LIVE

Muda huo Mwenyewe nilikua Nacheza kwa Furaha zote, lakini kitendo cha kumuona madam groly killharibu kila kitu, niliona kabisa birthday yangu inaenda kuharibika Maana huyu mama hana jema ata kidogo. "NAKUJA Alizungumza...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *12&13* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *12&13*
@majario LIVE

SONGA NAYO Nikageuka na kumuangalia ma Mdogo "Ishani umeolewa Mwanangu?" Nikamuangalia na kumwambia. "Mind your business bi mkubwa Kisha Mimi na Enzo tukaondoka kwani tayall tulishabolt Bajaji na ilikuwa ikitusubilla. Msijiulize Kwanini tunatuma Bajaji wakati Enzo...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 20 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 20
@majario LIVE

Lile joto la midomo yake ilipo gusana niliisi ulimwengu wote umenyamaza nikafumba macho Kulikuwa na joto la ajabu sijawahi kulipata Mkono wake alikuwa anaupitisha taratibu kama anahesabu kila pigo la moyo wangu,...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 19 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 19
@majario LIVE

Basi mpaka sa moja inaenda na Nusu Veda hajaja, Moyo juu juu itakuwa tu kaenda huko kwenye ma club, moyo lipu lipu muda wote kama nimemezaa kaa la moto hajabu...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 14 na 15 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 14 na 15
@majario LIVE

Basi nilipomaliza kuongea na ibraaa nikakata simu, nikaendelea kudrive kuelekea nyumbani kwangu sasa, na nilipofika nikampigia j kawa na furaha sana , anafurahia kwenda shule kesho, nikasema muache afurahi...

FROM BANGI TO BABY 💞💘   SEHEMU YA 18 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 18
@majario LIVE

Mama akanambia kuwa Veda alikuwa na huyo mke wake walifunga ndoa kabisaa kanisani, wakati huo Veda alikuwa anafanya kazi kwenye kampuni ya mturuki alikuwa kama dereva anamuendesha ile kampuni ilifirisiwa...

BLACK BUTTERFLY 🦋 3 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY 🦋 3
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 Endelea Asubuh Hiyo Mariana aliwahi kazini kama kawaida yakee na kuanza kusikia kile kilichotokea jana maana kila mmoja alizungumzia lakee “ Mariana unaitwa na madam Camilla...

Such a lovely throwback ! This pic of Raj Kapoor, Randhir Kapoor and Rishi Kapoor celebrating Holi together is pure nostalgia Post Mpya
Such a lovely throwback ! This pic of Raj Kapoor, Randhir Kapoor and Rishi Kapoor celebrating Holi together is pure nostalgia
@majario LIVE

. You can literally feel the fun and madness of a proper Bollywood Holi. All three covered in colours, smiling, enjoying the moment like one big happy family. Raj Kapoor, the...

Hongera umepata kazi ya kulinda bwawa la samaki usiku huko mkoani Iringa karibu na bonde la mlima Kitonga. Mshahara ni shilingi milioni moja kwa usiku mmoja Post Mpya
Hongera umepata kazi ya kulinda bwawa la samaki usiku huko mkoani Iringa karibu na bonde la mlima Kitonga. Mshahara ni shilingi milioni moja kwa usiku mmoja
@majario LIVE

. Kazi inaanza saa 4 kamili usiku hadi saa 12 alfajiri. Hakuna muda wa majaribio. Ukifika kazini unaanza kazi. Hivyo sikiliza masharti haya kwa makini ili uweze kufika asubuhi. Sharti...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 13 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 13
@majario LIVE

Basi nikaingia ndani, dohh nilipashangaa, yani uyu dada hakuwa na chochote cha maana cha ndani zaidi ya godoro tu, amabalo nalo wala halikuwa linalizisha kabisa,mabegi ya nguo, na ndoo za...

Zayed Khan has always been a total family man at heart. He’s married to his high school sweetheart, Malaika Parekh Post Mpya
Zayed Khan has always been a total family man at heart. He’s married to his high school sweetheart, Malaika Parekh
@majario LIVE

. They met as teenagers at Kodaikanal International School, became close friends, and eventually fell in love. After years of being together, they got married on November 20, 2005. It’s...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *SEHEMU YA KUMI NA MOJA* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*
@majario LIVE

SONGA NAYO. Ila nyie mapenzi konyo Walahi, Yaani ukimuona mtu unayempenda lazima tu Ka moyo kashtuke na kapate amani Fulani hivi Kitendo cha kumuona Enzo nilifurahi lakini pia nilijikaza tu na kumuuliza...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest