Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

KISURA WA DAMPO???????? (nilizaliwa na kichaa, nikazaa na ceo)  Sehemu ya 4
Gonga94 · Stories

KISURA WA DAMPO???????? (nilizaliwa na kichaa, nikazaa na ceo) Sehemu ya 4

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
SIMULIZI : KISURA WA DAMPO????????
(nilizaliwa na kichaa, nikazaa na ceo)

Sehemu ya 4

Basi hatukukaa sana sero tukatolewa ila wenzangu walipiogwa ila mimi niliachwa na nikamsikia mmoja wa maafande wa kike akisema, “ msimpige huyo ana mimba, ila watu wengine hata kujionea huruma hawajionei, yaan yeye mwenyewe hana hata pa kukaa ila anapanua tu…

Sikuwaelewa, ila tukatoka, ila wakati tunatoka kuna kijana alikuwa ni mtangazaji kwenye radio moja, ambae alikuwa anapambana sana kutetea haki za wasiojiweza, anaitwa nuhu suleyman, unaweza kumtafuta istagram ukampata, ni kijana ambae anapambana sana kutetea haki za watu, na alikuwa ni mtangazaji flani hivi bomba sana, alishawah kuwaahidi wenzangu kumbe siku moja atakuja kuwahoji na kulifikisha jambo letu dunian na huenda tukapata msaada ambao tulikuwa tunauhitaji……..

Akatuchukua na kutununulia mikate na juice, tulifurahi sana, maana ni mara chache sana tunakula vyakula visafi, kisha akakaa na sisi kisha akaanza kutuhoji, kuna mmoja wa kike ambae hakuwa ananipenda hjata kidogo maana alikuwa analalamika kuwa bwana ake alikuwa ananitaka bila hata kumjua huyo bwana ake ni nani, akaanza kusema…

“ najua watu wengi wanatuona sisi watoto wa mtaan kama hatuna maadili au hatuna adabu na kila siku mnatutuhumu kwa makosa ambayo mengine sio hata sisi ambayo tumeyafanya, ila naomba niwaambie watanzania kuwa, wengine tulizaliwa kwenye familia nzuri tu, ila siku zote wanaume tunawaomba muwekeze kwa wake zenu, maana siku moja mkija kutangulia mbele ya haki n I ndugu zenu wa chache sana ambao watamsaidia mke na watoto wako, hata kama wewe ukiwa umewasomesha na hizo kazi ambazo wanafanya umewatafutia wewe…

“ tulizaliwa wawili mimi pamoja na mdogo wangu, akasema Yule bint kisha akamuita yule mdogo wake na akaja mpaka walipo kisha akasema “ huyu hapa, na baba yangu alikuwa anafanya kazi bank mpoja hivi, ila nilipokuwa nina miaka saba na mdogo wangu akiwa na miaka minne, baba yangu alipata ajali, tena kwenye gari lake mwenyewe, aligongwa na lorry na kufariki hapo hapo, na hapo ndio maisha yetu yalibadilika, maana nilikuwa nasoma pale green valley na wakati huo nilikuwa darasa la pili, ila baada ya baba kufariki nikaacha kabisa shule, na ile miradi ambayp baba yangu aliifungua alifungua kwa majina ya ndugu zake, na hakuwa anamuamin kabisa mke wake, na hata nyumba ambayo tulikuwa tunaishi ilikuwa ina majina ya mdogo wake wa mwisho hivyo tukafukuzwa kama mbwa na mama yangu akawa anatulea, na kwa kuwa hakuwa na elimu, wala na ujuzi wowote ule wa biashara, akaamua kujiuza ambapo alipata ukimwi mimi nikiwa na miaka kumi na alipojua kuwa anaukimwi alikata tamaa na kukataa kutumia dawa mpaka alipofariki, na hapo ndio safari yetu ya kuwa watoto wa mitaani ikaanza….

Ingawa sikuwa nampenda huyu bint, ambae alikuwa anatoa historia yake, na alikuwa anaitwa Semeni ila nililia sana, maana kweli watoto wengi wa mtaan sio kama wanataka yale maisha ila hawana namna tu ya kuishi…

Yule mtangazaji alipoona nalia sana, akaniita na kutaka na mimi nije kutoa ushuhuda wangu, noilishindwa kuongea kwa karibu dakika kumi na tano nikawa nalia tu, maana kila nikikumbuka nimeuuza usichana wangu nikujua nitamsaidia mama yangu ila mwisho wa siku amefariki, na kila nikiwaza ile story ya semeni ndio kabisa machozi yalikataa kukauka kwenye macho yangu….

NAKUJA…..

MREMBO WA DAMPO 5
(nilizaliwa na kichaa, nikazaa na ceo)
WHATSAPP 0755090082

Basi Yule kijana mtangazaji akanisubiri nilie mpaka uchungu wangu uishe kisha nikaanza kusimulia na mimi kuwa “ kiukweli mimi simjui baba yangu, ila mama yangu alibakwa sijui na nani, maana alikuwa kichaa, yaan Yule kichaa kabisa wa kuokota makopo, na sikuwah hata kumsikia akiongea zaidi ya kucheka cheka tu, kwa hio kuanzia nazaliwa nilijikuta ni mtoto wa mtaani, nililelewa na mama yangu kichaa, na alikuwa mkali huyo balaa, yaan mtu akinigusa anaweza kumlenga na mawe mpaka akashangaa, hivyo alinilea mwenyewe tu, mpaka nakuwa bint ambae mnaniona hivi sasa, ila nilizaliwa mpwapwa na sio arusha, nikaendelea kusimulia…

“ ilikuwaje mpaka ukafika arusha kutoka mpwapwa ? akaniuliza Yule mtangazaji….
“ siku moja nikiwa nimelala na mama yangu na siku hio kulikuwa na mvua, akaja mwanaume mmoja ambae sikuwa namfahamu na hakuwa chokoraa mwenzangu, maana alikuwa amevaa vizuri na alikuwa ananukia akataka kuniingilia, ndio mama yangu akampiga ili aniachie na watu wake wakampiga mama yangu mpaka akapoteza fahamu, nikawa kama nimechanganyikiwa, nikawa natafuta msaada wa mama yangu, nimekuja kurudi namkuta mama yangu anatoa wadudu na manispaa wakamchukua kwaajili ya kwenda kumzika, na sikuwa nataka kuendelea kukaa tena pale ndio nikapandishwa kwenye lorry na wenzangu kisha nikajikuta nipo mpanda, nikasema na Yule kijana akawa anaonekana kutuonea huruma sana yaan…

Basi akamuohoji kila mmoja na kumbe maisha yetu yalirushwa kwenye moja ya page ya mtu ila haikwenda sana na haikuonekana sana ila kumbe Yule bwana kaka ambae ni mackmill aliona na kumbe alikuwa ananitafuta kwa muda mrefu bila mafanikio yoyote yale, na hapo nilikuwa nimeshajigundua kuwa nilikuwa na mimba, maana mtoto alishaanza kucheza tumbon na tumbo lilikuwa limeshakuwa kubwa tayar, na mtu yoyote Yule laiti akiniona ni dhahiri atajua kuwa nilikuwa ni mjamzito tena bila kujificha kabisa yaan…

Kumbe siku ile baada ya kutupa ile card ya benk, yule dada akaichukua, na haikuwa na million tano kama ambavyo niliambiwa, ilikuwa na zaidi ya million thelathin na Yule dada akaichukua ile card na alikuwa anaijua namba ya siri ya mackmill hivyo hakuteseka kutoa pesa na kutumia na akahama kabisa na sehemu, sasa kama tunavyojua pesa ikitolewa muhusika anatumiwa kiwango cha pesa kilichotolewa, hivyo akawa anatumia sms mara imetolewa million mbili, mara imetolewa million tano, mara imetolewa million tatu na mambo kama hayo……….

Sasa mackmill akajua kuwa nimechukua ile card na kwa matumizi ambayo nilikuwa nafanya akajua kuwa naishi maisha mazuri sana, kumbe ndio hivyo nilikuwa naishi maisha ya kuunga unga tu yaan, hayana mbele wala nyuma, ila akaja akaona ile interview, ingawa haikuwa na watu wengi ambao waliitazama, ila ni kama mungu tu alitaka mackmill aione , a;lishtuka sana kuniona na mimba, tena nmilikuwa kama chokoraa na wakati alinipa card yenye pesa nyingi sana….

Akaanza kusema kuwa anataka nitafutwe na anataka aelee mimba yake mwenyewe, hata hata mimi sina ninachoelewa kama natafutwa au laa, siku moja kulikuwa na mvua, na hata kama wale migambo walikuwa wanatujua ila walikuwa wanataka zile pesa zetu kidogo ambazo tulizipata baada ya kufanya kazi za kubeba mizigo na kusaidia watu mchana hivyo wakaanza kushika watu hovyo, na wakati huo nilikuwa naweka pesa ili angalau mwanangu apate nguo, ,maana sikuwa na pesa za kueleweka , wala sikuwa na uhakika wa kupata pesa za moja kwa moja…..

.Je nini KITAENDELEAAA!! "
ofaaa simulizi hi ipo mpk mwisho ni

Maoni

You're not logged in


Tangazo - My true love mwanzo Hadi Mwisho
My true love mwanzo Hadi Mwisho
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

KISURA WA DAMPO???????? (nilizaliwa na kichaa, nikazaa na ceo) Sehemu ya 4

SIMULIZI : KISURA WA DAMPO????????
(nilizaliwa na kichaa, nikazaa na ceo)

Sehemu ya 4

Basi hatukukaa sana sero tukatolewa ila wenzangu walipiogwa ila mimi niliachwa na nikamsikia mmoja wa maafande wa kike akisema, “ msimpige huyo ana mimba, ila watu wengine hata kujionea huruma hawajionei, yaan yeye mwenyewe hana hata pa kukaa ila anapanua tu…

Sikuwaelewa, ila tukatoka, ila wakati tunatoka kuna kijana alikuwa ni mtangazaji kwenye radio moja, ambae alikuwa anapambana sana kutetea haki za wasiojiweza, anaitwa nuhu suleyman, unaweza kumtafuta istagram ukampata, ni kijana ambae anapambana sana kutetea haki za watu, na alikuwa ni mtangazaji flani hivi bomba sana, alishawah kuwaahidi...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/kisura-wa-dampo-nilizaliwa-na-kichaa-nikazaa-na-ceo-sehemu-ya-4

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi kisura-wa-dampo-nilizaliwa-na-kichaa-nikazaa-na-ceo-sehemu-ya
KISURA WA DAMPO???????? (nilizaliwa na kichaa, nikazaa na ceo) Sehemu ya  8 na 9
KISURA WA DAMPO???????? (nilizaliwa na kichaa, nikazaa na ceo) Sehemu ya 8 na 9
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 60 & 61

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 60 & 61

1.03K
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 59

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 59

1.02K
*AFANDE MILLAN😎* *season 3*  *SEHEMU YA HAMSINI NA SITA*

*AFANDE MILLAN😎* *season 3* *SEHEMU YA HAMSINI NA SITA*

953
*AFANDE MILLAN😎* *57&58

*AFANDE MILLAN😎* *57&58

782
 SHAMIRA Sehemu ya 54&55

SHAMIRA Sehemu ya 54&55

194
*MY HOT PILOT* (rubani wangu🔥) 7 kwa 8

*MY HOT PILOT* (rubani wangu🔥) 7 kwa 8

146
MY HOT PILOT* (rubani wangu🔥) 9 na 10

MY HOT PILOT* (rubani wangu🔥) 9 na 10

122
SHAMIRA Sehemu ya58&59

SHAMIRA Sehemu ya58&59

116
SHAMIRA Sehemu ya 56&57

SHAMIRA Sehemu ya 56&57

112
Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani FIFA & Shirikisho la Mpira wa Miguu barani Afrika CAF

Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani FIFA & Shirikisho la Mpira wa Miguu barani Afrika CAF

6

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.74K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.46K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.82K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.33K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.93K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.88K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.71K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.71K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.65K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.59K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
SHAMIRA Sehemu ya58&59 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya58&59
@majario LIVE

Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media nikanunua chakura kwanza ndani.kisha kesho yake niliamkia hopitali sasa. Nilishauliwa kwanza nimkatie bima kubwa mtoto ya laki 7. Nilikakata iyo bima .kisha sasa...

SHAMIRA Sehemu ya 56&57 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 56&57
@majario LIVE

Wassap; 0742443214 Mwandishi; 0742443214 Nikapanda kitandanni nikamlaza mwananagu kisha namie nikavuta shuka nikawa nipo busy namnyonyesha.tu. aisha akawa akanasema kwaiyo unaninyanyasa kwa sababu umenipa msingi ama.asee nilisema we kumamako...

MY HOT PILOT* (rubani wangu🔥) 9 na 10 Post Mpya
MY HOT PILOT* (rubani wangu🔥) 9 na 10
@majario LIVE

MTUNZI: SMILE SHINE EP 9. Nilisaidiana na iren kutenga, walikuja kula chakula Kila mtu alikisifia, isipokuwa king,sikujali alimaliza Kila mtu akaingia kulala,nilijikuta nimemkumbuka mama angu, na Kwa muda huo nisingeweza kumpigia akiwa...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 60 & 61 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 60 & 61
@majario LIVE

Ibraa akanmbia kwanzaaa , wewe kaa na mkeo kama siku 3 kwa heshima kabisaa, na kubali tu kuwa ni mkeo na kuwa normal kwake, na uzuri mzigo si unakula basi...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 59 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 59
@majario LIVE

Kaka akasema jalia apa ni kwako, na ndo kwa mumeo feel good kuwa apa , jisikie upo kwako kabisaa, na apa ndo kwa mumeo, asikutoe apa kukupeleka kokote, na...

*AFANDE MILLAN😎* *57&58 Post Mpya
*AFANDE MILLAN😎* *57&58
@majario LIVE

Daaah basi mwanangu ibraaa ndo akanipanga hivyo kwamba, nitafuta mama yoyote uku pemba , awe anaongea na zena ,akijifanya ni mama yangu ili impe amani zena , nikaona sio suala...

*MY HOT PILOT* (rubani wangu🔥) 7 kwa 8 Post Mpya
*MY HOT PILOT* (rubani wangu🔥) 7 kwa 8
@majario LIVE

MTUNZI: SMILE SHINE EP 7. Kucheki vizuri alie nikaba kumbe ni vicram, alivyoona nimetulia akaniingiza Kuna chumba jilani, sijui ata alikiandaa saa ngap, kwani we kaka unashida Gani na Mimi? Vicram alitabasam...

 SHAMIRA Sehemu ya 54&55 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 54&55
@majario LIVE

🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀 Mwandishi; 0742443214 Mwanangu alifika mwaka ila ata kutembea alikuwa hawezi husna akanambia wewe uyu mtoto anaumwa ebu tumpeleke zakiemu hospitali kubwa. Mh nikasema sawa. Mtoto wangu ni karembo jamani yani...

Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani FIFA & Shirikisho la Mpira wa Miguu barani Afrika CAF Post Mpya
Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani FIFA & Shirikisho la Mpira wa Miguu barani Afrika CAF
@majario LIVE

wametoa kibali rasmi cha kuthibitisha kuwa uwanja Wa Hoima City uliopo Uganda, unakidhi viwango vya kimataifa vya kuandaa mechi kubwa za soka. Uwanja huo wa kisasa uliopo katika mji wa...

*AFANDE MILLAN😎* *season 3*  *SEHEMU YA HAMSINI NA SITA* Post Mpya
*AFANDE MILLAN😎* *season 3* *SEHEMU YA HAMSINI NA SITA*
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Daaah basi mwanangu ibraaa ndo akanipanga hivyo kwamba, nitafuta mama yoyote uku pemba , awe anaongea na zena ,akijifanya ni mama yangu ili impe amani zena , nikaona sio suala...

SHAMIRA 52 to 53 Post Mpya
SHAMIRA 52 to 53
@majario LIVE

🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀 Sehemu ya 52 Mwandishi; lissa wa huru media Basi bwana kesho yake asubuh husna na aisha wkaniletea uji na viazi vya rosti nilikula vizuri mana mwanangu kana nyonya mno. Basi nilipomaliza...

MY HOT PILOT* (rubani wangu🔥) 6 Post Mpya
MY HOT PILOT* (rubani wangu🔥) 6
@majario LIVE

MTUNZI: SMILE SHINE EP 6. Kumbe alikuwa ni Kingslay, jamani kanichungulia,niliona aibu nyie dah!, upande wa Kingslay aliingia Moja Kwa Moja chumbani kwake,alijikuta hisia zimempanda Ile Ile, "uyu binti jamani ni mrembo😋,...

MY HOT PILOT ZYRO ( Rubani Wangu ) 1 to 5 Post Mpya
MY HOT PILOT ZYRO ( Rubani Wangu ) 1 to 5
@majario LIVE

(Kitabu Chote) MY HOT PILOT ZYRO ( rubani wangu 🔥) MTUNZI; SMILE SHINE EP 1. Ikiwa ni majira ya saa tatu usiku, nikiwa jijini dar, maeneo ya tabata bima, Kwa Jina naitwa milembe mzaliwa wa...

SHAMIRA Sehemu ya 51 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 51
@majario LIVE

Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi na aisha hakuchelewa sna akaleta vifaa vyangu na kadi langi la clinic pale.mimi sielewi nikawa nasema jamani nipelekeni nikazae naumwa sana. Manurse...

SHAMIRA 49 to 50 Post Mpya
SHAMIRA 49 to 50
@majario LIVE

Sehemu ya 49 Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Aisha alinishauri nitafute mwanaume mmoja nimpe mimba. Nimasema wala sina mda uo. Kwanini nikamuongopee mtu kuhusu mtoto Uyu mtotot akizaliwa .mimi...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest