SIMULIZI : KISURA WA DAMPO????????
(nilizaliwa na kichaa, nikazaa na ceo)
Sehemu ya 8 na 9
“ najua haunitaki ila hata kama haunitaki haupaswi kunambia maneno ya ajabu kama hayo, nikasema kwa sauti ya kilio, na mack akabaki ametoa macho maana hakuwa anaelewa hata nilichokuwa nakimaanisha muda huo, ikabidi aniulize tena kuwa nilikuwa nalia nini…
“ kwa hio unaona mimi nikila kama nitamuharibu mwanao, kwanini unaniambia kuwa sitakiwi kula, najua matajiri mnamasimango na sitaki tena chakula chako, nikasema hapo nina hasira balaa…
na kiukweli sikuwa najua hata hizo hasira zinatokea wapi, maana kuanzia najiafahamu sijawah kujua kama nina hasira kiasi kile, na hata wale machokoraa wenzangu wananiitaga mama huruma, kwa maana ndio nilikuwa nawapatinisha watu wakigombana na mambo kama hayo…
Mack akanisogelea kisha akanikiss kwenye paji la uso na baada ya hapo akalibusu tumbo ;langu na kusema “ usikatae kula mamaa, utanitesa siunajua namna ninavyokupenda, naomba unisamehe na nataka mwanangu nae anisamehe kwa kumkosea mama yake, akasema…
Yaan alipokuwa ananibembeleza nikawa ndio nazidi kuwa na hasira, yaan mimba hizi ukishawakuwa na mtu wa kukuzingatia ndio zinazidisha madeko ila nilipokuwa napambanaga pekee yangu sikmuwah kuchagua chakula wala kugombana na mtu hata mara moja ila nimempatra mack ananibembeleza kila wakati ndio najikuta nakuwa na hasira vibaya mno yaan…..
Basi nikalala zangu kwa hasira, na mack alikuwa anapambana kunibembeleza ila nikawa kama simsikii mpaka nikapitiwa na usingizi, nimekuja kuamka ni asubuh kabisa na nikaanza kusikia harufu nzuri ya chakula, nilipoangaza nikamkuta mack anakunywa zake chai, sijui kisirani kilitoka wapi nikaanza kulia tena, nikaona mack hasikii ninavyolia nikaanza kulia kwa sauti mpaka akaja nilipo kisha akasema “ vipi mamaa ni kwamba umeota ndoto mbaya au unaumwa?....
“ nilijua tu wewe ni mchoyo, unajua kabisa mimi sijala alafu unaamka unakula mwenyewe, haya endelea kula mimi nitakufa zangu na njaa nikaanza kusema huku nalia….
Akanisogelea kisha akaanza kunibembeleza na kusema “ sikua nakula bana hichi ni chakula nilikuwa na onja tu, nilikuletea wewe, kisha akaanza kunilisha, yaan nilikuwa najisikia vizuri sana, maana kuanzia nazaliwa sijawah kulishwa chakula yaan nilikuwa najisikia vizuri kupita maelezo ya kawaida…..
Basi nikala pale na alipomaliza kunilisha akanifuta mdomo nikawa naona kama naota vile yaan, nikawa natabasamu tabasamu tu kila wakati, na vyombo vilivyokuja kuondolewa akanifata kisha akawa ananiangalia, na kusema “ nakutaman sana ila nakuonea huruma na hali yako…
Sasa aliposema nakutaman sikumuelewa nikajikuta nimeropoka na kusema “ si umekataa kula mwenyewe alafu unaanza kujifanya unataman taman haya usile, nikashangaa mtu anaanza kucheka, yaan alicheka sana kisha akasema “ wewe kweli bado mtoto akaenda zake kukaa kwenye sofa na kuendelea na shughuli zake…
Sasa kuna muda akatoka na wakati huo nilikuwa nasikia baridi sana, na alinionesha sehemu ya kuleta joto, sijui kama ndio ilikuwa imeharibika ila nilibonyeza sehemu isio sahihi, maana nilikuwa nasikia joto vibaya mno, nikaanza kutoka jasho mpaka kwenye kope, na sikupata akili hata ya kwenda kubonyeza sehemu nyingine,kumbe nimeweka sauna mode, sasa kama mnavyojua mimba na joto namna vilivyo maadui, nikaanza kupunguza nguo, nikabaki na kinguo chepesi nikasahau kabisa kama mack anakuja chumban muda wowote, kweli mara akaingia, na aliponiona akatoa macho kisha akameza funda la mate , kisha taratibu nikashangaa anaanza kunisogelea akiwa anatoka jasho balaa, nikajua labda anaenda kuzima ila akanisogelea mpaka nilipo kisha akafunga macho kwa sekunde kadhaa kisha akaa….
NAKUJA…………..
KISURA WA DAMPO 9
(nilizaliwa na kichaa, nikazaa na ceo)
Mwandishi HURU MEDIA
Akanisogelea na kuanza kunikiss, nikajikuta naogopa sana, nikakumbuka yale maumivu ya siku ya kwanza, nikajua na siku hio basi nitaumia sana, ila mambo hayakuwa kama nilivyofikiria, alipoona naogopa akamibeba kisha tukaingia bafuni, yaan namna ambavyo alikuwa ananiogesha nilikuwa nasisimka mwenyewe, maana anakusugua sehemu kama anakupapasa vile…
Ila kwa kuwa nilikuwa muoga sana sikuonesha dalili yoyote kama nimesisimka, basi tukaoga tumemaliza, akanibeba na kuniweka kitandani kisha akasema “ nilikuwa nakuonea huruma kwa sababu ya ujauzito ila kwanini haujavaa nguo mamaaa, unajua ni kiasi gani nakutaman sana?...
Mimi nikawa kimya, ila nikamuomba akapunguze joto, akasimama na kwenda kuweka hali ya hewa ya kawaida, sasa mimi nikajilaza kumbe paja lilikuwa wazi, aiseee alikuja na kuanza kunipapasa, akaanza kuniandaa sasa, yale maandalizi nikajikuta naanza kutoa miguno bila kutaka, ndio kama nikaanza kumvuruga..
Alipoona kisima kimetoa oil ya kutosha akaanza kujipimia, nikaanza kuogopa, akaniangalia kisha akasema “ mamaa leo hautaumia kabisa, naomba usibane mapaja, ila sikumuelewa, si ndio mzee akazama chumvini, yaan nilipata bao nikajikuta natetemeka kama jenerotor nikawa nataka mwenyewe sasa, maana nilizidiwa kuliko kawaida…
Aisee mwanaume anajua mapenzi huyu, yaan alivyokuwa ananipa nikawa sichoki, na yeye alikuwa kama kavurugwa analalamika, inabana mara inajoto sana, kumbe mtu akiwa na mimba ndio ya moto hivi, unatakiwa unizalie kila mwaka mamaa, mimi nipo kimya, yaan mwamba amalizi, akawa anafanya kazi ya kuunganisha magoli tu, kila akitaka kuachia nyama anajikuta anaanza kutaman tena, na kwa namna ambavyo alikuwa amejipanga hata sikuwa nachoka, yaan alikuwa anakupa kama hataki, na kila dakika anakuandaa ili nisije kusema naumia, yaan tulijikuta tunapeana karibu masaa matatu, mpaka nikaomba poo….
“ mamaa wewe ni mtamu sana, naomba usivae vibaya tena, maana sina uhakika kama nitaweza kuhimili hisia zangu, wewe ni wa moto yaan najikuta nakutamani kila dakika, nakupenda sana, naomba ukiojifungua tufunge ndoa, maana siwez kuishi bila wewe mamaa, siwez kuishi bila ww, najua ulikuwa na maisha magumu sana ,ila naomba unipe nafasi ya kuyabadilisha maisha yako na kukufanya mwanamke wa thamani na mwenye bahati sana kwenye hii dunia, nakupenda sana husqer nakupenda mno, yaan hakuna kiumbe kwenye hii dunia ambacho kitaweza kunitenganisha na wewe, akawa anaendelea kusema …
Basi tukawa tumekaa pale na kila dakika ananipapasa, mara anikiss yaan iolikuwa ni tafran tu, ila ni kama alikuwa anajizuia kunitaka kila dakika kutokana na hali yangu, akanambia kuwa tunaenda dar kesho yake, nikashangaa maana nilijua kuwa alikuwa anaishi mpanda, ila akanambia yeye haishi mpanda, ila alienda kule kwa sababu mungu alitaka nikutane nae tu ila anaishi osterbay dar es salam, so tujiandae tunaenda kiupanda ndege…
Nilishtuka sana niliposikia kupanda ndege, yaan kitu kinapita juu wewe kuweza, kikidondoka je, yaan nife na nipotelee kabisa huko, nikawa nawaza…
“ una waza nini mke wangu? Akaniuliza..
“ mimi siwez kupanda ndege, nikasema..
“ kwanini? Na yeye akaniuliza…
“ yaan unataka ukanitupe si ndio, kitu kipo juu vile alafu unataka mimi nikakae huko juu nikidondoka je, nikaendelea kulalamika……
Je nini KITAENDELEAAA!! "
ofaaa simulizi hi ipo mpk mwisho ni 1000 TU
WAHI WHATSAPP 0755090082.