Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MAMBO YA KUFANYA PALE AMBAPO MWENZA WAKO ANAPOKUNUNIA /MWENZA WAKO ANAPOKAA KIMYA TU BILA SABABU ZOZOTE ZA MSINGI
Gonga94 · Stories

MAMBO YA KUFANYA PALE AMBAPO MWENZA WAKO ANAPOKUNUNIA /MWENZA WAKO ANAPOKAA KIMYA TU BILA SABABU ZOZOTE ZA MSINGI

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
MAMBO YA KUFANYA PALE AMBAPO MWENZA WAKO ANAPOKUNUNIA /MWENZA WAKO ANAPOKAA KIMYA TU BILA SABABU ZOZOTE ZA MSINGI
Mwanamke huwa kiumbe ambaye anakuwa na mabadiliko ya hisia ghafla (mood swings) Kwa maana dakika moja anakupenda sana kisha dakika inayofuata anakuchukia hataki hata kukuona.

Lakini hivi sasa wapo wanaume wenye kuonyesha tabia hizo za kununa, kususa, kugoma kulala, kulala mzungu wa nne,kukaa na hasira kupitiliza kwa muda mrefu bila sababu zozote za msingi.

Kwa wanaume wenye mood swings ukifanya uchunguzi utakuta wengi wamekulia familia ambazo hakuna mwanaume imara ambaye ni mfano bora wa kuigwa hivyo wao hujikuta wanaiga hulka ya kununa, kususa,kukunja sura kwa ghadhabu,kuwa na gubu pamoja na kisirani kutoka kwa mama zao na dada zao.

Hivyo leo tuangalie muhtasari wa namna ya kukabiliana na tabia ya gubu, kisirani,kununa, kususa, kugoma kutoa unyumba,kugoma kulala pamoja,kulala mzungu wa nne ambapo tabia hizo mwenza wako akiwa nazo zinaweza kukusumbua.

Je imekuwa kawaida kuona tabia zifuatazo kwa mwenza wako?
-Anakata mawasiliano ghafla bila sababu zozote za msingi na endapo ukiuliza kuhusu mabadiliko ya tabia zake atakugeuzia kibao kisha unazuka ugomvi mkubwa sana.

-Atakuomba fedha nyingi sana kuliko uwezo wako kisha ukisema hauna fedha ananuna, anaanza kulalamika,anadai haumpendi,anatishia muachane,anakutangaza vibaya.

-(mwanamke),anagoma kupika, kufua, kufanya usafi wa nyumba, kutandika kitanda,kuandaa watoto kwenda shule,anatoroka kwenda nyumbani kwao kusingizia ananyanyaswa,anabamiza mlango kwa ghadhabu,au anapopika anaunguza chakula,au akinyosha nguo zako anaunguza kwa makusudi kisha anasingizia bahati mbaya .

-Mwenza wako anakuwa na hasira kupitiliza, huzuni, majonzi, upweke kupitiliza,kila juhudi za kumfurahisha zinazidisha hasira zake.

-Mara kwa mara mnakuwa kwenye majibizano, kutukanana, kudharauliana, kushutumiana, kufokeana,kupeana vitisho, kutishia kujiua, kutishia kukudhuru,kutishia kukupokonya zawadi zake alikununulia.

-Imekuwa mara kwa mara unapiga magoti,unaomba msamaha mara kwa mara, kumbembeleza,kumpa ushauri, kumkumbusha wema ambao umemfanyia,kuanza kulia ili kumshawishi mwenza wako abadili tabia..

Kwanini watu hupenda kuwanunia wenza wao ?
FAHAMU SABABU ZENYE KUCHOCHEA WENZA KUNUNIANA.
Zifuatazo ni sababu zenye kufanya watu kuwanunia wenza wao.
1.Kushindwa kufikia muafaka.
Kama mwanaume na mwanamke wameshindwa kufikia muafaka labda kuhusu kuzaa,kusomesha watoto, matumizi ya uzazi wa mpango,malezi ya watoto, matumizi ya fedha,kutoka pamoja "Out",kukatazwa kwenda nyumbani kusalimia wazazi (mwanamke) husababisha mwanamke au mwanaume kuamua kununa, kususa, kugoma kutoa unyumba, kugoma kulala pamoja,kulala mzungu wa nne,kukaa kimya kama bubu muda wote,kujitenga kila wakati mmoja wao anapotaka kujenga ukaribu.

2.Safari kuahirishwa,au kunyimwa fedha ,au kukataliwa kitu chochote kwa mfano mwanaume anataka mwanamke amchukulie mkopo kwa kuweka dhamana kazi au mali zake ambazo mwanaume hajachangia hata senti tano kisha mwanamke amekataa,au mwanamke anataka kusomeshwa lakini mwanaume amekataa,au mwanamke anataka anunuliwe gari,au apewe mtaji lakini mwanaume amekataa hivyo husababisha hisia za chuki,wivu,kinyongo,kuitana majina ya wanyama kama mbwa na nguruwe kama kisasi cha maumivu ya kukataliwa.

3.Kukaa kimya kama shinikizo la mabadiliko ya tabia.Kwa mfano mwanaume anataka mapenzi kinyume na maumbile kisha mwanamke amekataa hivyo mwanaume anaweza kuhama nyumba,au kuongea na michepuko mbele ya mke wake,au anasusia chakula,kugoma kulipa ada za watoto,kugoma kuhudumia familia kama njia ya kulipiza kisasi.Lengo la yote hayo ni kumshinikiza binti akubali kuingiliwa kinyume na maumbile.

4.Kujilinda kihisia.
Kuna watu ambao tangu utotoni walijifunza kukaa kimya kama silaha ya kujilinda dhidi ya mateso kutoka kwa wazazi.kwa mfano mtoto anafokewa, kutukanwa, kujibiwa vibaya, kupelekeshwa,kutishiwa kuuawa hivyo kama anajua akiongea atakuwa kwenye matatizo ikiwemo kipigo,kunyimwa chakula,kulazwa nje huamua kujilinda dhidi ya kipigo cha mzazi kwa kukaa kimya kwa sababu anajua baba au mama ni mtuwa hasira kupitiliza hivyo kujibu matusi ya mzazi kunaweza kumletea matatizo zaidi.
Wengine walijifunza kukaa kimya utotoni kama njia ya kushinikiza kupewa mahitaji yao kutoka kwa wazazi wao.

5.Kukaa kimya ili kuepuka ugomvi.Baadhi ya watu wanajijua wapo na hasira kupitiliza vilevile huwa na desturi ya kuropoka hovyo hivyo huamua kukaa kimya ili kuepuka kuongea kitu kibaya kisha baadaye aingie kwenye mikono ya sheria.Mtu mwengine anajua akiongea tu ghafla majibizano, kutukanana, kudharauliana, kushutumiana, kufokeana, kupeana vitisho,kupeana kashfa,kuvujisha siri za faragha kunaweza kujitokeza.

6.Kukaa kimya kama adhabu kwa mwenza au mtoto Baadhi ya watu tangu utotoni walijifunza kukaa kimya kama adhabu kwa wakosaji wao.Kwa mfano mzazi anakaa kimya haongei na mtoto kwa sababu mtoto amefeli masomo, mwengine anakaa kimya kama njia ya kuepuka usije kuomba fedha za matumizi,mwengine anakaa kimya ili kupunguza ukaribu na wewe,mwengine anakaa kimya tu ili umuombe msamaha,uanze kulia,upige magoti,umnyenyekee.

7.Kukaa kimya kama njia ya kutafuta kisingizio cha kuvunja mahusiano.Mtu mwengine anakuacha ghafla kimyakimya haongei chochote anafanya "Ghosting) kwa maana anapotea ghafla,simu hapokei, ukituma sms hajibu, usipomtafuta hakutafuti,ukikaa kimya anakaa kimya hata miezi sita (6) huyu anafanya hivyo ili ukate tamaa muachane lakini baadaye atarudi kusingizia shetani alimpitia hivyo anataka mrudiane lakini anakuwa na "Target " zake umpe faraja na msaada wa kifedha tu ili aondoke zake kwenda kwa mwenza wa HADHI yake.

MADHARA YA KUNUNIANA/KUKALIANA KIMYA
UNapoamua kununa, kususa, kugoma kutoa unyumba, kugoma kulala pamoja, kulala mzungu wa nne, kukaa kimya kama bubu muda wote bila sababu zozote za msingi jiandae kwa matoleo yafuatayo
1.MAELEWANO KUKOSEKANA
Wewe au mwenza wako mmoja atakuwa na hasira kupitiliza,hisia za kisasi, chuki, kinyongo,upweke kupitiliza, kupoteza hisia za mapenzi, kupoteza hamu ya kula au kula sana bila mpangilio, kukonda,kushindwa kufanya kazi.

2.UPWEKE KUONGEZEKA
Mmoja au nyote wawili,upweke kupitiliza utajitokeza.
Unaweza kuelemewa na majukumu pale ambapo mwenza wako hakupi ushirikiano wowote.Kwa mfano mwanamke akigoma kupika, kufua, kufanya usafi wa nyumba, kutandika kitanda, kuandaa watoto kwenda shule huku anakaa kimya tu haongei chochote ,au yupo busy kuchati tu,au anatoroka kwenda nyumbani kwao kusingizia ananyanyaswa mara kwa mara husababisha hisia za upweke kupitiliza.

3.UGOMVI KUONGEZEKA
Pale ambapo mnakaa kimya bila kuongea chochote,sio kila mtu ni mvumilivu.
Mmoja anaweza kuanza kuporomosha matusi ya nguoni,kisha mtaaanza kutukanana, kudharauliana, kushutumiana, kufokeana, kupeana vitisho, kutishia usalama wa kila mmoja,tishio la kuachana,mmoja ataonekana mbishi,mbabe,mtemi, mjuaji, hashauriki, haambiliki,mtu wa misimamo mikali sana.

4.Manyanyaso kuongezeka.
Mwanaume au mwanamke mwenye wivu wa mapenzi kupindukia ataamua kumtawala mwenzake kimabavu kwa kumpokonya simu, kumnyang'anya ATM card,kumpangia marafiki,kumtangaza vibaya mwenzake,kumlaza nje,kumlaza chooni,kumnyima chakula,kumnyima huduma za matibabu, kumpokonya hati miliki, kumchafua,kuhamasisha mwenza wake kutengwa na jamii.

Ufumbuzi wake
Kuna nja nne (4) za ufumbuzi wake.Kwa muhtasari
1.Pata utulivu wa akili-Epuka kutegemea faraja ya mwenza wako,epuka kupiga simu mfululizo, kutuma sms mfululizo, kujitumisha zawadi na fedha,epuka kuanza kulia,epuka kumbembeleza.Ishinde hofu ya mahusiano kuvunjika.

2.Mpe mwenza wako nafasi
Kama mwenza wako akianzisha mahusiano mapya kipindi umempa nafasi ya kupata utulivu wa kiakili basi achana naye.Uguza kidonda chako anza upya.

3.Tumia lugha fasaha yenye kueleweka na heshima,eleza unataka nini na hautaki nini.Kama ukifanya makosa omba msamaha,kama mwenza wako hataki kusamehe basi muachane kwa amani.
4.Weka mipaka.Tambua tabia gani unaweza kuvumilia na tabia gani hauwezi kuvumilia.
haya yapo ndani ya kitabu cha JINSI YA KUPONA MAUMIVU MAKALI SANA MOYONI.

#Spirit_Warrior
#Wounded_Healer
????????

Kama tatizo lako ni kubwa zaidi tunaweza kuwasiliana kwa ajili ya Counselling session na ufafanuzi wa kilichoandikwa hapo juu na utaona mabadiliko na kujisikia nafuu ndani ya muda mfupi baada ya mazungumzo.(Counseling kwa njia ya simu gharama Tshs 30000 , kuonana uso kwa uso Tshs 40000

Kwa wapenzi wa kusoma vitabu unaweza kupata nakala zangu orodha ipo chini ????

Kupata kitabu cha
1.JINSI YA KUPONA MAUMIVU MAKALI SANA MOYONI - (Softcopy Tsh 30000)
2.UTULIVU WA AKILI KIPINDI KIGUMU (Softcopy)
3.FIKRA ZAKO FURAHA YAKO (softcopy)
4.TIBA YA MSONGO WA MAWAZO (by & Softcopy)
5.MALEZI YA UBONGO KISAYANSI( hardcopy & softcopy)
6.TABIA ZA WATU WALIOFANIKIWA (Hardcopy & softcopy)
7.MISINGI 10 YA FURAHA SIKU ZOTE (hardcopy &softcopy)
8.BADILI FIKRA ZAKO BADILI MAISHA YAKO
BEI Kitabu kimoja softcopy 5000 isipokuwa kitabu namba 1 bei yake ni Tsh 30000, hardcopy moja 10000

Mawasiliano
+255766862579
+255622414991

Imeandikwa na Psychologist
Said Kasege
Temeke,Dar es salaam

Maoni

You're not logged in


Tangazo - boss Enzo fully stories
boss Enzo fully stories
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MAMBO YA KUFANYA PALE AMBAPO MWENZA WAKO ANAPOKUNUNIA /MWENZA WAKO ANAPOKAA KIMYA TU BILA SABABU ZOZOTE ZA MSINGI

MAMBO YA KUFANYA PALE AMBAPO MWENZA WAKO ANAPOKUNUNIA /MWENZA WAKO ANAPOKAA KIMYA TU BILA SABABU ZOZOTE ZA MSINGI
Mwanamke huwa kiumbe ambaye anakuwa na mabadiliko ya hisia ghafla (mood swings) Kwa maana dakika moja anakupenda sana kisha dakika inayofuata anakuchukia hataki hata kukuona.

Lakini hivi sasa wapo wanaume wenye kuonyesha tabia hizo za kununa, kususa, kugoma kulala, kulala mzungu wa nne,kukaa na hasira kupitiliza kwa muda mrefu bila sababu zozote za msingi.

Kwa wanaume wenye mood swings ukifanya uchunguzi utakuta wengi wamekulia familia ambazo hakuna mwanaume imara ambaye ni mfano bora wa kuigwa hivyo wao hujikuta wanaiga hulka ya kununa, kususa,kukunja sura...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mambo-ya-kufanya-pale-ambapo-mwenza-wako-anapokununia-mwenza-wako-anapokaa-kimya-tu-bila-sababu-zozo

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mambo-ya-kufanya-pale-ambapo-mwenza-wako-anapokununia-mwenza-wako-anapokaa-kimya-tu-bila-sababu-zozo
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*AFANDE MILLAN😎* *Sehemu ya 51 na 52*

*AFANDE MILLAN😎* *Sehemu ya 51 na 52*

1.08K
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 53

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 53

854
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 54 na 55

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 54 na 55

475
SHAMIRA Sehemu ya 48

SHAMIRA Sehemu ya 48

164
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 41  na 42.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 41 na 42.

81
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 43  na 44.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 43 na 44.

71
#TBT 2014 nilijiunga na SAHARA MEDIA GROUP LTD. January niliripoti ofisi za Adda

#TBT 2014 nilijiunga na SAHARA MEDIA GROUP LTD. January niliripoti ofisi za Adda

7

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.69K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.43K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.82K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.31K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.91K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.85K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.7K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.69K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.64K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.57K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 43  na 44. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 43 na 44.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Aseeee kwanza apa kwenye paji nilishonwa nyuzi 6.ni ngumi iyo .yani mkono wa mwanaume tu. Msenge alijua kuniweka alama. Basi nasehemu zengine nilipata mikwaruzo. Nilivimba...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 41  na 42. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 41 na 42.
@majario LIVE

41 MPAKA 42 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Basi sasa kuanzia apo. Ndo ukawa mchezo wa baraka kuja kunichukua kinguvu. Yani akinitaka hana maelezo wala ombi. Asubuh nikiamka tu namkuta getini...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 54 na 55 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 54 na 55
@majario LIVE

Daah yani asubuh ile sa 10 ndo nikamwambia basi mke wangu pumzika na mtoto.sasa, zena akanambia sawa mpenzi, na wewe upumzike sasa, nikasema sawa nakupenda sana zena , wewe...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 53 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 53
@majario LIVE

Basi mtoto akiwa anaendelea kunishika shika, daah simu inaitaa, alafu nacheki zena ndo anagonga call ,ahaa nikanyanyuka chapu, nikavuta simu, nikamwambia jalia samahani naomba kuongea na simu, ni simu...

#TBT 2014 nilijiunga na SAHARA MEDIA GROUP LTD. January niliripoti ofisi za Adda Post Mpya
#TBT 2014 nilijiunga na SAHARA MEDIA GROUP LTD. January niliripoti ofisi za Adda
@majario LIVE

Estaste, Kinondoni baada ya HR Mkuu Mzee Shilatu na msimamizi Steven Diallo kuning'oa kutoka Ebony FM, Iringa. Nikapokelewa na Tom Chilala, Wiltrudies Mutembei @wiltrudiesmutembei kisha wakanikabidhi kwa "Semaji"...

*AFANDE MILLAN😎* *Sehemu ya 51 na 52* Post Mpya
*AFANDE MILLAN😎* *Sehemu ya 51 na 52*
@majario LIVE

Daaaah nilishangaaaa sana kwamba aya mambo yamekujaje kujaje, na mbona sielewi, nikasema mama sijaelewa yani kwamba umesema? , mama akanmbia nilishaongea sana na wewe millan, juu ya suala la wewe...

SHAMIRA Sehemu ya 48 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 48
@majario LIVE

Wassap;0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Akasema mimi pia nimekula njoga nikaoge basi chapi chapu. nikase​ma sawa. Kweli mwanaume akaenda kuoga nikabaki nimetulia tu na baada ya mda akatoka akanifata...

Enzi zetu Radio Free Africa ilikuwa ndiyo bonge moja la station yani unapata full vibe hakuna kubadilisha station. Post Mpya
Enzi zetu Radio Free Africa ilikuwa ndiyo bonge moja la station yani unapata full vibe hakuna kubadilisha station.
@majario LIVE

Binafsi nilikuwa napenda sana vipindi vitatu pale RFA , 1 - Sindano 3 za moto, asubuhi na Fredwaa...!! 2 - Sitosahau na Sky Woker 3 - Showtime bongo moja ya show za...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39  na 40 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39 na 40
@majario LIVE

39 MPAKA 40 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Nilitukana kweli kweli kwemye gari umo. Ila barka hakunijibu alikuwa busy na kuendesha gari. Akawa ananipeleka mlandizi ukoo. Nikasema wewe mjinga unaenfa...

BARUA ZA KAKA YANGU; Nikikupenda Mimi Inatosha! Post Mpya
BARUA ZA KAKA YANGU; Nikikupenda Mimi Inatosha!
@majario LIVE

Nikikupenda mimi inatosha, acha kuwa na presha, acha kuhangaika na ndugu zangu, kama wakikupenda ni ziada tu lakini haibadilishi chochote! Nani alikudanganya kuwa wanapaswa kukupenda! Mimi mwenyewe sina uhakika kama...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Basi bwana penzi likanoga mpaka mwezi ukakata, apo zena alikuwa na wasi wasi kuwa ntamuacha ,ila mi wala sikuwa na ayo mawazo kichwani kwangu ata kidogo, kila siku namuona...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Basi bwana penzi likanoga mpaka mwezi ukakata, apo zena alikuwa na wasi wasi kuwa ntamuacha ,ila mi wala sikuwa na ayo mawazo kichwani kwangu ata kidogo, kila siku namuona...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 48 na 49 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 48 na 49
@majario LIVE

Daaah mchumba ndo kashanikatia simu mi nafanyaje sasa ,basi nikaweka simu pembeni tu, kisha nikapanda kitandani, nikavuta shuka , nikapumzika na asubih sana nikaamkia kazin na mwanangu lbraa,ibra akaniuliza...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 38  na 39. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 38 na 39.
@majario LIVE

kipande cha 38 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Basi ndo hivyo . Nikaikosa ndoa na bwana barka.na nikawa busy na maisha yangu . Na mambo yangu. Na nikazidisha mapenzi tu kwa...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 36 na 37 namba zilikosewa endelea kusoma. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 36 na 37 namba zilikosewa endelea kusoma.
@majario LIVE

36 MPAKA 37 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Maua akasema khaaa yani unanitukana mimi. Kwaiyo mimi naweza kuolewa na kaka yangu. Nikasema yaa unaweza sasa kisebengo cha nini. Nakuona sana tangu...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest