Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MZUNGU TULIA MOYO HAUNA RANGI  SEHEMU YA 1
Gonga94 · Stories

MZUNGU TULIA MOYO HAUNA RANGI SEHEMU YA 1

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

"Sasa hivi unataka kusema kuwa kazi umepata pale eti?" nilimuliza shoga yangu nikiwa amshangao kidogo😳.

"Love, kwani huelewi au? Nimepata kazi ya kutengeneza juice bana, tena kwanza nawe ungekuja kujaribu bahati yako huenda utapata," Sada aliniambia.

Jamani, naitwa Loveness, naishi na rafiki yangu ambaye tulitoka wote kijijini na kuja mjini kutafuta maisha... Sikuwa na ndugu huko kijijini maana niliambiwaga tu kama niliokotwa na mama yake Sada.

Baada ya sote ku-fail shule, tuliamua kuja mjini... Mi nilijishughulisha na kazi ya kupika vitumbua, lakini Sada alikuwa kama anadharau hivi, hakutaka kufanya kazi hiyo.

Alitafuta kazi na bahati nzuri alipata kwenye hotel moja kubwa hapo mjini... Nikaona tu bora nitatafuta na mimi nijaribu bahati yangu.

Asubuhi alijiandaa na kuondoka huku akiwa na furaha sana... Na mimi kama kawaida yangu nilipika vitumbua na kuanza kutembeza mtaa kwa mtaa.

(Loveness! Loveness!) niligeuka kutazama nani ananiita... Alikuwa ni jirani yetu Fredy.

"Aaah, yani wewe ukishakuwaga na ndoo yako ya vitumbua, masikio sijui unaachaga wapi!" alisema Fredy akiwa ananitazama.

"😁 Hamna bana, nivile nilikuwa busy na kuwaza... Ehein, unasemaje?" nilisema na kutabasamu.

"Hamna hata, niliona unaelekea nyumbani nikasema tuongozane," Fredy alisema kisha tukaanza kuondoka huku tukipiga story moja mbili tatu hivi...

Niliwasili nyumbani, nikaanza kuoga kwanza kisha nikawasha jiko nianze kukalangiza dagaa nipike na ugali, mchana upite...

Baada ya shughuli hiyo, nililala zangu... Nikiwa hapo, nilisikia mtu akibisha nikamruhusu...

Aliingia binti mmoja hivi, alikuwa mdogo wake Fredy... " Asante mwaya! Naona umejilaza," alisema binti huyo akiwa anakaa kitandani.

"Ndio... Lakini Kasie, hivi unawaza nini kuvaa mavazi kama hayo?" nilimuuliza maana kavaa nguo fupi sana...

"Ushaanza sasa! Hivi we ndio unatarajiwa na kaka kuwa wifi yangu kweli? Utanimaliza sasa! Kuna joto wifi," alisema Kasie hadi nikashtuka😳...

"Hein, uwifi huo wa toka lini? Wifi yako ni Sada sio mimi," nilisema nikiwa serious sana...

"Eh sawa, ila mi huyo Sada hata simjui, na anajipendekeza kwa kaka tu," Kasie alisema kisha akaondoka...

Msomaji, Fredy ananipendaga tu sana... Ila mimi hata sinaga mawazo nae... Lakini sasa Sada anampendaga sana Fredy... Na Sada anajua kabisa kuwa Fredy ananitakaga ila mi simtaki...

Mida ya jioni nikiwa namalizia kupika ugali, Sada aliingia akiwa kachangamka sana... Akaingia ndani akavua nguo, akavaa kanga zake mbili kisha akanikuta kibarazani...

"Ehee, kulikoni bi dada na heka heka hizo?" nilimuuliza hivo...

"Khaaa we mtoto wewe! Leo ninafuraha hadi basi💃... Kuna nini?" nilimuuliza nikiwa natabasamu pia🙂...

Boss leo kaja na tumemuona jamani khaaaa... Ni mzuri, handsome, halafu ni mzungu," Sada aliongea kwa uchu...

"Umalaya utakuponza kipenzi mmh," nilisema kwasababu nishamzoea...

"Haya sawa basi! Ila kesho kunatakiwa mfanyakazi, naomba uwahi weye iyo nafasi," alisema Sada akiwa kauvuta mdomo...

"Aah, lakini Sada! Si maandazi haya napika na napate pesa," nilisema kama sitaki hiyo kazi...

"Usinitibue maana nimeshamwambia msimamizi kama unakuja wewe," Sada alisema na kuingia ndani...

Tulilala usiku huo... Asubuhi alihakikisha haniachi, kipengele ni kwenye nguo sasa... Mi nguo zangu ni ma gauni tu, tena marefu ya stara jamani... Hasa ma dera nimejaza...

Ila Sada yeye baada ya kufika mjini, mshahara wake wa 1 alinunua nguo za kila aina yani... Nikachukuwa dera langu moja zuri kweri nikatupia...

Tukaanza kuondoka... Tulitumia daladala kufika hapo... Hotel ilikuwa kubwa sana... Wafanya kazi walipendeza sana...

Sada aliniacha kwenye kiti hapo akisema anaenda kuvaa uniform pia amtaarifu mkuu wao kuwa nimefika...

Nikiwa pale nashangashangaa sasa ghafla ehee... " Hey! Who are you?" ilikuwa ni sauti iliyonifanya ninyanyue macho yangu kumtazama...

Alikuwa msichana wa kizungu akiwa na chai mkononi... Nikiwa namtazama, alinimwagia chai ile na kufoka...

"I am talking to you! Unajua mi ninani eeh?" alisema mdada huyo...

Nilinyanyuka kwa hasira sasa 😠... " Kwa hiyo hata ukiwa mtoto wa raisi hujafunzwa jinsi ya kuongea na watu? Nilitaka nishangae usipo mwaga hiyo chai, na ulivyoshiba ukahisi tu uvivu kupeleka jikoni ukaona bora unimwagie! Kingereza nakijua sana ila sikitumii kunyanyasa watu," nilikuwa nikisema kwa hasira sana...

"Love, ebu acha basi!" hapo watu walikuwa wamejaa na Sada alikuwa akijaribu kunizuia...

"Stop! What's going on here?" hiyo ni nyingine sauti ilitokea juu kwenye ngazi... Sote tuligeuka kutazama huku sasa Sada akitetemeka kwa uoga sana😥...

To be continued ......💥
Tangazo - Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Mwanangu Mungu ndio anae jua
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MZUNGU TULIA MOYO HAUNA RANGI SEHEMU YA 1

"Sasa hivi unataka kusema kuwa kazi umepata pale eti?" nilimuliza shoga yangu nikiwa amshangao kidogo😳.

"Love, kwani huelewi au? Nimepata kazi ya kutengeneza juice bana, tena kwanza nawe ungekuja kujaribu bahati yako huenda utapata," Sada aliniambia.

Jamani, naitwa Loveness, naishi na rafiki yangu ambaye tulitoka wote kijijini na kuja mjini kutafuta maisha... Sikuwa na ndugu huko kijijini maana niliambiwaga tu kama niliokotwa na mama yake Sada.

Baada ya sote ku-fail shule, tuliamua kuja mjini... Mi nilijishughulisha na kazi ya kupika vitumbua, lakini Sada alikuwa kama anadharau hivi, hakutaka kufanya kazi hiyo.

Alitafuta kazi na bahati nzuri alipata kwenye hotel moja kubwa hapo mjini... Nikaona...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mzungu-tulia-moyo-hauna-rangi-sehemu-ya-1

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mzungu-tulia-moyo-hauna-rangi-sehemu-ya
MZUNGU TULIA MOYO HAUNA RANGI   SEHEMU YA 4
MZUNGU TULIA MOYO HAUNA RANGI SEHEMU YA 4
MZUNGU TULIA MOYO HAUNA RANGI   SEHEMU YA 5
MZUNGU TULIA MOYO HAUNA RANGI SEHEMU YA 5
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

10K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.2K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.46K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

2.52K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.29K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.09K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.06K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.01K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

1.96K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

1.93K
Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest