VYOTE NDANI GONGA94
NDEFU HALAFU NENE ILA INANIKUNA SEHEMU YA 09
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Nikaganda hapo mbele nakwambia😀,waweza sema traffic kakutana na dereca mtata siku hio,nilifura balaa hapo tumbo langu halikuacha kulalama kwa njaaa.....baada ya muda kupita nikamuona kama kuna mkaka anatakankutoka hivi ila anajishauri tu...basi sikuakata tamaa nikabaki nimesimama hapohapao....cha ajabu yile mkaka sijui alyekuwepo akagoma kutika basi nakwambia kqavile ni baravara ya uswahilini na hakuna magari yanayipita mie nikakaa hapo hadi saa moja kasoro..imagine ilikuwa ni saa kumi na moja hadi saa mija?kweli jamani?kama ni dharau hizo za kiasi gani jamani ilihalia anajua kabisa ni yeye mkosaji?
Njaa ikazidi kunitafuna sasa na kama ujuavyi ule msemi ysemavuo"adui yako muombee njaa"hapo ndo mie nahisi ni hiko nilihoombewa siku ya leo....nikaona nisiwe mbishi wala mgaigai nikajinyanyua na kama supu nimeshakosa ...nikaamua kwenda kqa mama ashrafu walau anipe supu ya mapupu nipunguze njaa jamani..huyu kaka kajua kuninyoosha jamani daah🥲,basi hapo nikajilaumu kwanini nimepoteza muda na hapo ninelowa balaa daah ...basi nikaanza kujikongoja hapo...taratibu....
Chaajabu lijitu halikuniacha nikashangaa linazidi kunifuata nyumanyima kama jehu..."hivi huyu kaka vipi jamani?ananitakia njni?maji kanimwagia ,kanidharau hivi nikimfuata kumpa maneno ya uzazi nitakosea??nikajiuliza halafu sikuishia hapo nikaamua kusimama hapo huku nikimuangalia.
"Dada ingia basi kwenye gari nahitaji kuzungumza na wewe?"akazungumza.
"Hivi wewe unavyoona nipo kuzungumza hapa?kwanza umenijosea halagu unataka nini wewe?mfyuu"nikajibu kisha nikaaanza kytembea.
Sikufika mbali nikashangaa nimevutwa mgupi mgubimgubi hadi ndani ya gari.
Japo nilijitahidi kupiga kelele ila hazikusaidia....
Nakuja
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi ndefu-halafu-nene-ila-inanikuna-sehemu-ya