Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

 π—£π—˜π—‘π—­π—œ π—Ÿπ—” π—žπ—œπ—π—”π—‘π—” π—ͺ𝗔 π—žπ—œπ—›π—œπ—‘π——π—œ   SEHEMU YA 10 Kwa kweli hali niliyo kuwa nayo sikutaka hata kumjibu,alimaliza akaondoka.
Gonga94 Β· Stories

π—£π—˜π—‘π—­π—œ π—Ÿπ—” π—žπ—œπ—π—”π—‘π—” π—ͺ𝗔 π—žπ—œπ—›π—œπ—‘π——π—œ SEHEMU YA 10 Kwa kweli hali niliyo kuwa nayo sikutaka hata kumjibu,alimaliza akaondoka.

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Mohan naye aliingia na kunikuta nikiwa nalia sana. Dadimaa bibi akaingia na kukaa karibu yangu.
"binti yangu najua unapitia mengi sana lakini sasa ni wakati sahihi wa kila mtu kubeba mzigo wake"
"unamaanisha nini Dadimaa?"
"namaanisha kila mtu atakula alichokipanda si ndio Mohan?"
Sote hapo tulishtuka baada ya bibi kumuita Mohan. Halafu bibi akasimama na kuondoka.
"Mohan sitaki kuwa chanzo cha kugombanisha familia .Naomba uniache niondoke tafadhaliπŸ™"
"Naima huondoki na mwanangu kama unataka kuondoka , ondoka lakini mwanangu niachie"
Mohan aliondoka kwa hasira sana.

Msomaji siku zilizidi kusogea na tumbo lilivyoanza kuonekana nikaenda kuishi kwa Zuri. Nae pia tumbo lilikuwa kubwa kuzidi langu. Tukapelekwa ilipo ile nyumba ya Mohan, na tukatafutiwa mdada wa kazi kisha tukaanza kuishi hapo. Siku moja kabla ya harusi ya Mohan na Antara, Simon alipiga sim na kutaka tuonane. Alinipa location nikamfuata.
"Ney nimekuuliza mimba niya nani? na unaishi wapi?"
"yaani Simon bana🀦maswali ya kuniulizia kwenye simu ndio unanileta hapa? ni hivi: mimba haikuhusu chochote we shuhulika na mimba ya Zuri"baada ya kusema hivo nikaondoka.Ile nafika tu nyumbani ghafla nakutana na Mohan."unatoka wapi?"hapo sasa nikamtazama Zuri nijue kasemaje huko ."nakuuliza unatoka wapi saa hizi saa tatu usiku wewe😠"Nilipokuwa najitayarisha kujibu ghafla nikavutwa nashangaa nipo chumbani. Mohan alianza kupunguza nguo zake. Mi niliogopa maana anachotaka kunifanyia akiwa na hasira anaweza kuniulia kitoto changu cha mwisho.
"Mohan,tafadhali tuongee jamani!"
"we si unapenda kurukaruka au?"
Nilivyoona anaendelea kubisha, nilianza kuwa mkali sasa.

"Mo, naomba uniache kama nilivyo maana wewe si mume wangu wala baba angu. Unajali mtoto wako sasa subiri azaliwe nikupe, kwanza wewe si unaowa kesho au? halafu bado unajifanya kuwa na wivu " nami

Nilivyosema hivo nikama nilimkumbusha kitu ,aliondoka kwa hasira sana. Zuri aliingia ndani hapo.
"we Ney hujanaumia au?"
"mh we subutu!sema leo nimemfungukia,nijue nafasi yangu lakini hajajibu aliondoka tu kwanza nimpigie Raj maana ninasiku za kutosha hata simsikii"
"hello Ney!usione kimya wangu kuna vitu naweka sawa"
Tuliongea sana na Raj na Zuri pia akaongea nae mi nikawapisha maana najua sana kama wanadate.

Siku inayofuata nilikuwa mnyonge sana.Simu niliweka silence sikutaka usumbufu. Zuri alijua nini kinanisibu .Alizidi kunipa moyo na maneno ya faraja sana. Ghafla sim yake ikaita.Mpigaj ni Raj. Akapokea kish akaweka loudspeaker.
"Zuri hivi Ney mpo nae hapo?"
"ndio yupo hapa kwan kun shida?"
"na Mohan mpo nae karibu au?"

Kabla hajatoa majibu, tulishangaa kumuona Mohan anaingia na nguo zake za harusi.
"Mohan nini shida?"
"ahaah shemeji si umetakiwa kuowa leo au?"
Mohan hakujibu zaidi aliniamuru tuondoke. Tukaondoka hadi nje ya jumba la kina Mohan.
"jamani mama Mohan haonekani itakuwaj kuhusu harusi ya dada Antara sasa?"
"eh Mungu mlinde mjukuu wangu!"
"yaaani Mohan ndie mkubwa lakini.."
" mimi huyu"wote waligeuka kututazama.

Itaendelea

Maoni

You're not logged in

Tangazo - Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Mwanangu Mungu ndio anae jua
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

π—£π—˜π—‘π—­π—œ π—Ÿπ—” π—žπ—œπ—π—”π—‘π—” π—ͺ𝗔 π—žπ—œπ—›π—œπ—‘π——π—œ SEHEMU YA 10 Kwa kweli hali niliyo kuwa nayo sikutaka hata kumjibu,alimaliza akaondoka.

Mohan naye aliingia na kunikuta nikiwa nalia sana. Dadimaa bibi akaingia na kukaa karibu yangu.
"binti yangu najua unapitia mengi sana lakini sasa ni wakati sahihi wa kila mtu kubeba mzigo wake"
"unamaanisha nini Dadimaa?"
"namaanisha kila mtu atakula alichokipanda si ndio Mohan?"
Sote hapo tulishtuka baada ya bibi kumuita Mohan. Halafu bibi akasimama na kuondoka.
"Mohan sitaki kuwa chanzo cha kugombanisha familia .Naomba uniache niondoke tafadhaliπŸ™"
"Naima huondoki na mwanangu kama unataka kuondoka , ondoka lakini mwanangu niachie"
Mohan aliondoka kwa hasira sana.

Msomaji siku zilizidi kusogea na tumbo lilivyoanza kuonekana nikaenda kuishi kwa Zuri. Nae pia tumbo lilikuwa kubwa kuzidi langu. Tukapelekwa ilipo ile nyumba ya...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/penzi-la-kijana-wa-kihindi-sehemu-ya-10-kwa-kweli-hali-niliyo-kuwa-nayo-sikutaka-hata-kumjibu-alimal

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi penzi-la-kijana-wa-kihindi-sehemu-ya
 π—£π—˜π—‘π—­π—œ π—Ÿπ—” π—žπ—œπ—π—”π—‘π—” π—ͺ𝗔 π—žπ—œπ—›π—œπ—‘π——π—œ    SEHEMU YA 15 Alinisogelea kabisa na kunishika mikono huku akiliita jina langu na machozi ya furaha yakamtoka
π—£π—˜π—‘π—­π—œ π—Ÿπ—” π—žπ—œπ—π—”π—‘π—” π—ͺ𝗔 π—žπ—œπ—›π—œπ—‘π——π—œ SEHEMU YA 15 Alinisogelea kabisa na kunishika mikono huku akiliita jina langu na machozi ya furaha yakamtoka
π—£π—˜π—‘π—­π—œ π—Ÿπ—” π—žπ—œπ—π—”π—‘π—” π—ͺ𝗔 π—žπ—œπ—›π—œπ—‘π——π—œ SEHEMU YA 17 - 18 Mohan alitoka nje ili mkuu wa shule asijue chochote
π—£π—˜π—‘π—­π—œ π—Ÿπ—” π—žπ—œπ—π—”π—‘π—” π—ͺ𝗔 π—žπ—œπ—›π—œπ—‘π——π—œ SEHEMU YA 17 - 18 Mohan alitoka nje ili mkuu wa shule asijue chochote
π—£π—˜π—‘π—­π—œ π—Ÿπ—” π—žπ—œπ—π—”π—‘π—” π—ͺ𝗔 π—žπ—œπ—›π—œπ—‘π——π—œ SEHEMU YA 12 Hapo sikusubiri masimango na kudhalilika kwa zaidi, maana jibu alilotoa
π—£π—˜π—‘π—­π—œ π—Ÿπ—” π—žπ—œπ—π—”π—‘π—” π—ͺ𝗔 π—žπ—œπ—›π—œπ—‘π——π—œ SEHEMU YA 12 Hapo sikusubiri masimango na kudhalilika kwa zaidi, maana jibu alilotoa
π—£π—˜π—‘π—­π—œ π—Ÿπ—” π—žπ—œπ—π—”π—‘π—” π—ͺ𝗔 π—žπ—œπ—›π—œπ—‘π——π—œ SEHEMU YA 16 Niliwabembeleza watoto wakakubali kula japo kwa mbinde sana
π—£π—˜π—‘π—­π—œ π—Ÿπ—” π—žπ—œπ—π—”π—‘π—” π—ͺ𝗔 π—žπ—œπ—›π—œπ—‘π——π—œ SEHEMU YA 16 Niliwabembeleza watoto wakakubali kula japo kwa mbinde sana
π—£π—˜π—‘π—­π—œ π—Ÿπ—” π—žπ—œπ—π—”π—‘π—” π—ͺ𝗔 π—žπ—œπ—›π—œπ—‘π——π—œ SEHEMU YA 11 Kwanza nilijitoa mikononi mwa Mohan. Kisha familia ikatusogelea. Mama Mohan aliuliza kwa mshangao sana. "nini hiki Mohan?" "mama mimi siwezi

 π—£π—˜π—‘π—­π—œ π—Ÿπ—” π—žπ—œπ—π—”π—‘π—” π—ͺ𝗔 π—žπ—œπ—›π—œπ—‘π——π—œ    SEHEMU YA 19 - 20 Baada ya cake kuletwa watoto wangu wote walisogea, birthday boy
π—£π—˜π—‘π—­π—œ π—Ÿπ—” π—žπ—œπ—π—”π—‘π—” π—ͺ𝗔 π—žπ—œπ—›π—œπ—‘π——π—œ SEHEMU YA 19 - 20 Baada ya cake kuletwa watoto wangu wote walisogea, birthday boy
π—£π—˜π—‘π—­π—œ π—Ÿπ—” π—žπ—œπ—π—”π—‘π—” π—ͺ𝗔 π—žπ—œπ—›π—œπ—‘π——π—œ SEHEMU YA 13 Niligeuka kwa uoga pole pole nilishangaa kumuona Swaumu
π—£π—˜π—‘π—­π—œ π—Ÿπ—” π—žπ—œπ—π—”π—‘π—” π—ͺ𝗔 π—žπ—œπ—›π—œπ—‘π——π—œ SEHEMU YA 13 Niligeuka kwa uoga pole pole nilishangaa kumuona Swaumu
π—£π—˜π—‘π—­π—œ π—Ÿπ—” π—žπ—œπ—π—”π—‘π—” π—ͺ𝗔 π—žπ—œπ—›π—œπ—‘π——π—œ  SEHEMU YA 8 Nilikimbia ndani kwa Zuri na kujifungia. Aliyekuja
π—£π—˜π—‘π—­π—œ π—Ÿπ—” π—žπ—œπ—π—”π—‘π—” π—ͺ𝗔 π—žπ—œπ—›π—œπ—‘π——π—œ SEHEMU YA 8 Nilikimbia ndani kwa Zuri na kujifungia. Aliyekuja
π—£π—˜π—‘π—­π—œ π—Ÿπ—” π—žπ—œπ—π—”π—‘π—” π—ͺ𝗔 π—žπ—œπ—›π—œπ—‘π——π—œ   SEHEMU YA 7 Niligandaa baada ya kumuona Zuri akiwa mbele na Simon akiwa nyuma yake
π—£π—˜π—‘π—­π—œ π—Ÿπ—” π—žπ—œπ—π—”π—‘π—” π—ͺ𝗔 π—žπ—œπ—›π—œπ—‘π——π—œ SEHEMU YA 7 Niligandaa baada ya kumuona Zuri akiwa mbele na Simon akiwa nyuma yake
π—£π—˜π—‘π—­π—œ π—Ÿπ—” π—žπ—œπ—π—”π—‘π—” π—ͺ𝗔 π—žπ—œπ—›π—œπ—‘π——π—œ SEHEMU YA 9 Mwenzenu picha zilikuwa zile ambazo tulipigwa na Mohan
π—£π—˜π—‘π—­π—œ π—Ÿπ—” π—žπ—œπ—π—”π—‘π—” π—ͺ𝗔 π—žπ—œπ—›π—œπ—‘π——π—œ SEHEMU YA 9 Mwenzenu picha zilikuwa zile ambazo tulipigwa na Mohan
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two*    *SEHEMU YA KUMU*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMU*

901
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10

497
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜  SEHEMU YA 16

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 16

437
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8

424
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 17

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 17

317
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12

250
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL   SEHEMU YA 10

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 10

211
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23  na 25.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23 na 25.

184
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21  na 22.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21 na 22.

141
SHAMIRA sehemu ya 34&35

SHAMIRA sehemu ya 34&35

104

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.43K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.2K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.74K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.2K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.6K
MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

2.45K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.44K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.43K
I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

2.38K
MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

2.36K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
This pic from Ishq is pure 90s madness and I love it ! You’ve got Ajay Devgn with his serious, intense vibe… Kajol looking all fiery and expressive… Juhi Chawla Post Mpya
This pic from Ishq is pure 90s madness and I love it ! You’ve got Ajay Devgn with his serious, intense vibe… Kajol looking all fiery and expressive… Juhi Chawla
@majario LIVE

with that cute bubbly energy… and Aamir Khan being his mischievous, romantic self. What a combo yaar! Ishq was not just a love story, it was full on drama, comedy,...

 Ili kombora la Iran lifike Israel, linatakiwa kuvuka vikwazo vifuatavyo njiani Post Mpya
Ili kombora la Iran lifike Israel, linatakiwa kuvuka vikwazo vifuatavyo njiani
@majario LIVE

* Meli za kijeshi za Marekani zilizopo Ghuba ya Uajemi * Rada za Israel zilizopo Azerbaijan * Rada za Israel zilizopo Turkmenistan * Mifumo ya ulinzi wa anga ya vituo vya Marekani nchini...

SHAMIRA sehemu ya 34&35 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 34&35
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi nikajiiinua taratibu tukaingia bafuni. Mwanaume akanikumbatia uku tunaoga. Aseee uyu baba ananipenda ila hataki upumbavu ata kidogo na mkono wake mwepesi kupiga .na yote sababu...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi nikaona zena kamnyanyua yule mtoto kisha akambeba ,ni amefanana nae sana ,nikajua ni wa kwake tu yani ni lazima utu mtoto atakuwa ni mwanae, kisha akanigeukia...

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 17 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 17
@majario LIVE

Ikabidi nikae tu kwenye piki piki maana sura alivyokuwa kaikaza mmh asije kunipiga, Kimyaa kikatawala sasa mie nilijua tunaenda kwa Tinner na moyoni nilikuwa nimempangia hayo maneno Tinner eeh mbona...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL   SEHEMU YA 10 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 10
@majario LIVE

πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹ Maeneo ya pale pale chuoni, Salmon alikuwa amepanga nyumba kubwa ya peke yake. Wakati akiwa chuo ndo alikua anaishi hapo, ila siku za weekends kama hana mambo mengi ndo anaenda...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23  na 25. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23 na 25.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi kuanzia apo nikawa sasa kidogo naelewana na baraka. Tena mimi ndo napenda sana kuongea nae. Yani sanaaa. Napenda kucheka nae sana. Na kun jinsi...

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜  SEHEMU YA 16 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 16
@majario LIVE

Usiku wangu ulikuwa mzito sana, maneno ya D kusema kuwa Veda anatembea na wanawake wengi, niliyaamini kabisaaa Bila shakaa kwa maana Yeye tu hana mwonekano mzuri ametuna tuna hovyo anakuwa...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10
@majario LIVE

Daaah nikaona mtoto kachomoa leo mana sio powa , ana vipengele sana uyu demu , ila unyama, hatachomoa kila siku, ni suala la muda tu, mana sijawahi kumtaka mwanamke ,...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21  na 22. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21 na 22.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media BASI nikapanda kitandani kwangu. Nikijutia sana nilichokifanya mana mh . Nilikuwa nasababisha ugomvi mkubwa wa wazazi mungu wangu. Yani mama yangu alikuwa anaachwa leo...

SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.??? Post Mpya
SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.???
@majario LIVE

Hatimae jana tambo za Dabi zilipata majibu kwa timu za Simba na Yanga kutoka suluhu ya bila kufungana(0-0). Kwa maana hiyo timu zote ziliambulia pointi moja moja. Mchezo wa jana pamoja...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8
@majario LIVE

Zena akasema kwaiyo manager unataka kuniuza ama ni vp, yule manager aksema , naomba uelewe kuwa ukifanya kazi katika hii bar, mteja kukushika sehemu yoyote ya mwili wako ni kawaida,...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two*    *SEHEMU YA KUMU* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMU*
@majario LIVE

Jambo likawa lelelele, Yaani ni patashika nguo kuchanika, Kwa upande wangu Walahi nilikuwa nikifurahi tu, na amina alikuwa akilia tu nakuomba msamaha. Enzo wa watu mwaya akachukua muda wake na kumuelezea...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9
@majario LIVE

πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹ Mbali na ivyo zile zawadi alizo tumiwa Noela zilimuuma vile vile. Alihisi Noela hastahili vitu vizuri wala maisha ya kifahari. Alitaka kila kitu kiwe chake, wanaume wote wawe wake. Hata...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 6 na 7 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 6 na 7
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi bwana , mwanaume wala sikuwa na shaka, kazi zote ambazo nilibakiwa nazo pale ofisini, nikamuachia ibraaa, na ukiacha ushikaji, mi bafo ibra ni mkubwa wake wa kazi,...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest