Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

π—£π—˜π—‘π—­π—œ π—Ÿπ—” π—žπ—œπ—π—”π—‘π—” π—ͺ𝗔 π—žπ—œπ—›π—œπ—‘π——π—œ SEHEMU YA 13 Niligeuka kwa uoga pole pole nilishangaa kumuona Swaumu
Gonga94 Β· Stories

π—£π—˜π—‘π—­π—œ π—Ÿπ—” π—žπ—œπ—π—”π—‘π—” π—ͺ𝗔 π—žπ—œπ—›π—œπ—‘π——π—œ SEHEMU YA 13 Niligeuka kwa uoga pole pole nilishangaa kumuona Swaumu

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
akiwa kachakarika. Unajua ndugu msomaji mimi na zuri tumechakarika lakini sio kama Swaumu. Yeye kachuja mwenzetu alivyokuwa na karangi baaasi kawa wa kijani. Sikutaka kumsikiliza nikamuomba namba yake akanipa kisha nikamwambia nitamtafuta.

Nilifika hospitali, nikakabidhi vifaa na matibabu ya Zuri yakaanza haraka. Zuri alijifungua salama lakini hakuweza kuendelea kuishi. Msomaji Zuri alikufa akaniachia kitoto chake cha kike. Zuri aliambiwa na daktari kabla kama akitunza ujauzito huu atapoteza maisha au mtoto. Zuri hakutaka kuutoa ujauzito wake, aliulea na matokeo yakawa hayo.Tulifika nyumbani, na mwili wa Zuri, huku bi Ngere kamshikilia mtoto. Majirani nao pia walinishika maana nilikuwa kama zezeta hivi.
Baada ya msiba, nilianza kuwaza jinsi nitaendeleza kazi nipate maziwa ya kumpa mtoto yule. Bi Ngere, hakutaka kuniacha peke yangu. Aliniambia mtoto niwe namuacha kwake halafu nikitoka kazini nampitia. Nikawa nafanya hivo. Mtoto yule nilimpa jina la mama yake, Zuri maana walifanana sana.Miezi miwili baadae na mimi nilijifungua kitoto cha kiume. Kutokana na muonekano wake na rangi bi Ngere alijua tu kama sio wa kiafrika. Nilimwambia kila kitu na nikampa jina la Raghav. Ilibidi niache kazi kwa muda sasa. Hadi zuri akafikisha miezi 8,na Raghav akiwa na miezi 6.Nikaanza kazi. Watoto hawakusumbua maana niliwapa maziwa yakutosha na kuhakikisha wako kwenye muonekano mzuri sana.

Siku moja bana nikiwa nafanya usafi kwenye makochi yangu,nikaona kile kikaratasi nilichopewa na Swaumu siku zile. Nikakichukuwa nikaamua kumpiga kwenye namba ya marehemu Zuri.
"hello
"hey nani anaongea?
"ni mimi Ney,nadhan na wewe ni Swaumu uliwahi kunipa namba siku zile"
Basi Swaumu aliomba sana tuonane .Nikamtafuta tukaonana tukakaa kwenye mgahawa ili tuzungumze zaidi.
"mh nakusikiliza Swaumu"
"πŸ˜”Ney najua nilikukosea sana tena sana. Lakini nimelijua kosa langu na ndio maana nakuja kukuomba msamaha. Nilikupa namba muda mrefu ila umenitafuta leo tafadhali nisameheπŸ˜­πŸ™"
"Swaumu,mi nishakusamehe muda mrefu sana. Na pia kuwa na amani tu. Siku ile hatukuweza kuongea kwasababu nilikuwa naharaka ya kwenda hospitali Zuri alikuwa anajifungua. Lakini hakuweza kuishi kutokana na maradhi aliyoku nayoπŸ˜ͺ"
"jamani Zuri 😭nani atanipa msamaha wako sasa "
Swaumu aliendelea kulia ila mimi nilimnyamazisha. Akaniambia kuwa hajafanikiwa kupata ujauzito baada ya kutoa ule wa awali. Na pia Simon alimuoa Mwaju baada ya kuona mimi siwezi kuzaa.

Nilimuonea huruma sana Swaumu. Pia aliniambia Simon alifukuzwa kazi pale baada ya kugundulika ni mwizi wa pesa. Kwasasa ni fundi sim. Tukiwa pale nilisikia naitwa na mtu tena kwa mshangao sana.
"Ney😳!"

Maoni

You're not logged in

Tangazo - Distro kid Upload your music To day
Distro kid Upload your music To day
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

π—£π—˜π—‘π—­π—œ π—Ÿπ—” π—žπ—œπ—π—”π—‘π—” π—ͺ𝗔 π—žπ—œπ—›π—œπ—‘π——π—œ SEHEMU YA 13 Niligeuka kwa uoga pole pole nilishangaa kumuona Swaumu

akiwa kachakarika. Unajua ndugu msomaji mimi na zuri tumechakarika lakini sio kama Swaumu. Yeye kachuja mwenzetu alivyokuwa na karangi baaasi kawa wa kijani. Sikutaka kumsikiliza nikamuomba namba yake akanipa kisha nikamwambia nitamtafuta.

Nilifika hospitali, nikakabidhi vifaa na matibabu ya Zuri yakaanza haraka. Zuri alijifungua salama lakini hakuweza kuendelea kuishi. Msomaji Zuri alikufa akaniachia kitoto chake cha kike. Zuri aliambiwa na daktari kabla kama akitunza ujauzito huu atapoteza maisha au mtoto. Zuri hakutaka kuutoa ujauzito wake, aliulea na matokeo yakawa hayo.Tulifika nyumbani, na mwili wa Zuri, huku bi Ngere kamshikilia mtoto. Majirani nao pia walinishika maana nilikuwa kama zezeta hivi.
Baada ya...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/penzi-la-kijana-wa-kihindi-sehemu-ya-13-niligeuka-kwa-uoga-pole-pole-nilishangaa-kumuona-swaumu

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi penzi-la-kijana-wa-kihindi-sehemu-ya
 π—£π—˜π—‘π—­π—œ π—Ÿπ—” π—žπ—œπ—π—”π—‘π—” π—ͺ𝗔 π—žπ—œπ—›π—œπ—‘π——π—œ    SEHEMU YA 15 Alinisogelea kabisa na kunishika mikono huku akiliita jina langu na machozi ya furaha yakamtoka
π—£π—˜π—‘π—­π—œ π—Ÿπ—” π—žπ—œπ—π—”π—‘π—” π—ͺ𝗔 π—žπ—œπ—›π—œπ—‘π——π—œ SEHEMU YA 15 Alinisogelea kabisa na kunishika mikono huku akiliita jina langu na machozi ya furaha yakamtoka
 π—£π—˜π—‘π—­π—œ π—Ÿπ—” π—žπ—œπ—π—”π—‘π—” π—ͺ𝗔 π—žπ—œπ—›π—œπ—‘π——π—œ   SEHEMU YA 10 Kwa kweli hali niliyo kuwa nayo sikutaka hata kumjibu,alimaliza akaondoka.
π—£π—˜π—‘π—­π—œ π—Ÿπ—” π—žπ—œπ—π—”π—‘π—” π—ͺ𝗔 π—žπ—œπ—›π—œπ—‘π——π—œ SEHEMU YA 10 Kwa kweli hali niliyo kuwa nayo sikutaka hata kumjibu,alimaliza akaondoka.
π—£π—˜π—‘π—­π—œ π—Ÿπ—” π—žπ—œπ—π—”π—‘π—” π—ͺ𝗔 π—žπ—œπ—›π—œπ—‘π——π—œ SEHEMU YA 17 - 18 Mohan alitoka nje ili mkuu wa shule asijue chochote
π—£π—˜π—‘π—­π—œ π—Ÿπ—” π—žπ—œπ—π—”π—‘π—” π—ͺ𝗔 π—žπ—œπ—›π—œπ—‘π——π—œ SEHEMU YA 17 - 18 Mohan alitoka nje ili mkuu wa shule asijue chochote
π—£π—˜π—‘π—­π—œ π—Ÿπ—” π—žπ—œπ—π—”π—‘π—” π—ͺ𝗔 π—žπ—œπ—›π—œπ—‘π——π—œ SEHEMU YA 12 Hapo sikusubiri masimango na kudhalilika kwa zaidi, maana jibu alilotoa
π—£π—˜π—‘π—­π—œ π—Ÿπ—” π—žπ—œπ—π—”π—‘π—” π—ͺ𝗔 π—žπ—œπ—›π—œπ—‘π——π—œ SEHEMU YA 12 Hapo sikusubiri masimango na kudhalilika kwa zaidi, maana jibu alilotoa
π—£π—˜π—‘π—­π—œ π—Ÿπ—” π—žπ—œπ—π—”π—‘π—” π—ͺ𝗔 π—žπ—œπ—›π—œπ—‘π——π—œ SEHEMU YA 16 Niliwabembeleza watoto wakakubali kula japo kwa mbinde sana
π—£π—˜π—‘π—­π—œ π—Ÿπ—” π—žπ—œπ—π—”π—‘π—” π—ͺ𝗔 π—žπ—œπ—›π—œπ—‘π——π—œ SEHEMU YA 16 Niliwabembeleza watoto wakakubali kula japo kwa mbinde sana
π—£π—˜π—‘π—­π—œ π—Ÿπ—” π—žπ—œπ—π—”π—‘π—” π—ͺ𝗔 π—žπ—œπ—›π—œπ—‘π——π—œ SEHEMU YA 11 Kwanza nilijitoa mikononi mwa Mohan. Kisha familia ikatusogelea. Mama Mohan aliuliza kwa mshangao sana. "nini hiki Mohan?" "mama mimi siwezi

 π—£π—˜π—‘π—­π—œ π—Ÿπ—” π—žπ—œπ—π—”π—‘π—” π—ͺ𝗔 π—žπ—œπ—›π—œπ—‘π——π—œ    SEHEMU YA 19 - 20 Baada ya cake kuletwa watoto wangu wote walisogea, birthday boy
π—£π—˜π—‘π—­π—œ π—Ÿπ—” π—žπ—œπ—π—”π—‘π—” π—ͺ𝗔 π—žπ—œπ—›π—œπ—‘π——π—œ SEHEMU YA 19 - 20 Baada ya cake kuletwa watoto wangu wote walisogea, birthday boy
π—£π—˜π—‘π—­π—œ π—Ÿπ—” π—žπ—œπ—π—”π—‘π—” π—ͺ𝗔 π—žπ—œπ—›π—œπ—‘π——π—œ  SEHEMU YA 8 Nilikimbia ndani kwa Zuri na kujifungia. Aliyekuja
π—£π—˜π—‘π—­π—œ π—Ÿπ—” π—žπ—œπ—π—”π—‘π—” π—ͺ𝗔 π—žπ—œπ—›π—œπ—‘π——π—œ SEHEMU YA 8 Nilikimbia ndani kwa Zuri na kujifungia. Aliyekuja
π—£π—˜π—‘π—­π—œ π—Ÿπ—” π—žπ—œπ—π—”π—‘π—” π—ͺ𝗔 π—žπ—œπ—›π—œπ—‘π——π—œ   SEHEMU YA 7 Niligandaa baada ya kumuona Zuri akiwa mbele na Simon akiwa nyuma yake
π—£π—˜π—‘π—­π—œ π—Ÿπ—” π—žπ—œπ—π—”π—‘π—” π—ͺ𝗔 π—žπ—œπ—›π—œπ—‘π——π—œ SEHEMU YA 7 Niligandaa baada ya kumuona Zuri akiwa mbele na Simon akiwa nyuma yake
π—£π—˜π—‘π—­π—œ π—Ÿπ—” π—žπ—œπ—π—”π—‘π—” π—ͺ𝗔 π—žπ—œπ—›π—œπ—‘π——π—œ SEHEMU YA 9 Mwenzenu picha zilikuwa zile ambazo tulipigwa na Mohan
π—£π—˜π—‘π—­π—œ π—Ÿπ—” π—žπ—œπ—π—”π—‘π—” π—ͺ𝗔 π—žπ—œπ—›π—œπ—‘π——π—œ SEHEMU YA 9 Mwenzenu picha zilikuwa zile ambazo tulipigwa na Mohan
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two*    *SEHEMU YA KUMU*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMU*

901
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10

497
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜  SEHEMU YA 16

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 16

437
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8

424
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 17

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 17

316
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12

246
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL   SEHEMU YA 10

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 10

211
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23  na 25.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23 na 25.

184
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21  na 22.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21 na 22.

141
SHAMIRA sehemu ya 34&35

SHAMIRA sehemu ya 34&35

104

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.43K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.2K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.74K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.2K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.6K
MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

2.45K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.44K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.43K
I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

2.38K
MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

2.36K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
This pic from Ishq is pure 90s madness and I love it ! You’ve got Ajay Devgn with his serious, intense vibe… Kajol looking all fiery and expressive… Juhi Chawla Post Mpya
This pic from Ishq is pure 90s madness and I love it ! You’ve got Ajay Devgn with his serious, intense vibe… Kajol looking all fiery and expressive… Juhi Chawla
@majario LIVE

with that cute bubbly energy… and Aamir Khan being his mischievous, romantic self. What a combo yaar! Ishq was not just a love story, it was full on drama, comedy,...

 Ili kombora la Iran lifike Israel, linatakiwa kuvuka vikwazo vifuatavyo njiani Post Mpya
Ili kombora la Iran lifike Israel, linatakiwa kuvuka vikwazo vifuatavyo njiani
@majario LIVE

* Meli za kijeshi za Marekani zilizopo Ghuba ya Uajemi * Rada za Israel zilizopo Azerbaijan * Rada za Israel zilizopo Turkmenistan * Mifumo ya ulinzi wa anga ya vituo vya Marekani nchini...

SHAMIRA sehemu ya 34&35 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 34&35
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi nikajiiinua taratibu tukaingia bafuni. Mwanaume akanikumbatia uku tunaoga. Aseee uyu baba ananipenda ila hataki upumbavu ata kidogo na mkono wake mwepesi kupiga .na yote sababu...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi nikaona zena kamnyanyua yule mtoto kisha akambeba ,ni amefanana nae sana ,nikajua ni wa kwake tu yani ni lazima utu mtoto atakuwa ni mwanae, kisha akanigeukia...

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 17 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 17
@majario LIVE

Ikabidi nikae tu kwenye piki piki maana sura alivyokuwa kaikaza mmh asije kunipiga, Kimyaa kikatawala sasa mie nilijua tunaenda kwa Tinner na moyoni nilikuwa nimempangia hayo maneno Tinner eeh mbona...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL   SEHEMU YA 10 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 10
@majario LIVE

πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹ Maeneo ya pale pale chuoni, Salmon alikuwa amepanga nyumba kubwa ya peke yake. Wakati akiwa chuo ndo alikua anaishi hapo, ila siku za weekends kama hana mambo mengi ndo anaenda...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23  na 25. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23 na 25.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi kuanzia apo nikawa sasa kidogo naelewana na baraka. Tena mimi ndo napenda sana kuongea nae. Yani sanaaa. Napenda kucheka nae sana. Na kun jinsi...

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜  SEHEMU YA 16 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 16
@majario LIVE

Usiku wangu ulikuwa mzito sana, maneno ya D kusema kuwa Veda anatembea na wanawake wengi, niliyaamini kabisaaa Bila shakaa kwa maana Yeye tu hana mwonekano mzuri ametuna tuna hovyo anakuwa...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10
@majario LIVE

Daaah nikaona mtoto kachomoa leo mana sio powa , ana vipengele sana uyu demu , ila unyama, hatachomoa kila siku, ni suala la muda tu, mana sijawahi kumtaka mwanamke ,...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21  na 22. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21 na 22.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media BASI nikapanda kitandani kwangu. Nikijutia sana nilichokifanya mana mh . Nilikuwa nasababisha ugomvi mkubwa wa wazazi mungu wangu. Yani mama yangu alikuwa anaachwa leo...

SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.??? Post Mpya
SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.???
@majario LIVE

Hatimae jana tambo za Dabi zilipata majibu kwa timu za Simba na Yanga kutoka suluhu ya bila kufungana(0-0). Kwa maana hiyo timu zote ziliambulia pointi moja moja. Mchezo wa jana pamoja...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8
@majario LIVE

Zena akasema kwaiyo manager unataka kuniuza ama ni vp, yule manager aksema , naomba uelewe kuwa ukifanya kazi katika hii bar, mteja kukushika sehemu yoyote ya mwili wako ni kawaida,...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two*    *SEHEMU YA KUMU* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMU*
@majario LIVE

Jambo likawa lelelele, Yaani ni patashika nguo kuchanika, Kwa upande wangu Walahi nilikuwa nikifurahi tu, na amina alikuwa akilia tu nakuomba msamaha. Enzo wa watu mwaya akachukua muda wake na kumuelezea...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9
@majario LIVE

πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹ Mbali na ivyo zile zawadi alizo tumiwa Noela zilimuuma vile vile. Alihisi Noela hastahili vitu vizuri wala maisha ya kifahari. Alitaka kila kitu kiwe chake, wanaume wote wawe wake. Hata...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 6 na 7 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 6 na 7
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi bwana , mwanaume wala sikuwa na shaka, kazi zote ambazo nilibakiwa nazo pale ofisini, nikamuachia ibraaa, na ukiacha ushikaji, mi bafo ibra ni mkubwa wake wa kazi,...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest