Nilishangaa ananiambia, tena kwa sauti ya kumaanisha. Nakumbuka aliniambia “Ndeana wangu, njoo nakusubiri, nipo hapa jirani na nyumbani kwenu. Ukitoka tu utaona gari yangu.”
Nikashtuka na kumuuliza “Unasemaje?”
Akaniambia kwa furaha “Sitanii totoo, nakusubiri, mimi sijui umenipa nini ila siwezi kwenda kulala bila kukuona, njoo basi.”
Nikamtazama dada yangu, kisha nikazuga nikisema “nakuelewa sawa nakuelewa.”
Akacheka kidogo akisema “Nakusubiri totoo!!”
Simu ilikatwa na nikabaki hata sijui namuaga vipi dada kwa maana kitu ambacho sikutarajia ni kuambiwa boss yupo mitaa ya nyumbani. Sikuwa nimetarajia kabisa kwasababu wala hapafahamu nyumbani.
Nilimtazama dada yangu kwa wasiwasi, dada yeye alikuwa anatabasamu tu, alikuwa anasuburi nizungumze. Hivyo nami nikajikaza na kusema “dada samahani, nitarudi sio muda mrefu.”
Dada yangu alinitazama akatabasamu na aliniambia “sawa kabisa mdogo wangu, hakuna shida.”
Kwa mara ya kwanza dada yangu ananipa uhuru bila maswali, maajabu maana yeye huwa hajawahi kuisha maswali kabisa.
Nilitoka kweli, nilitembea kidogo sana, huyu mwanaume wala hata hakuwa mbali na nyumbani. Nilitazama huku na kule kuona kama watu wananitazama. Kama ilivyo hilo sio jambo rahisi kuthibitisha kama hakuna aliyekuwa ananitazama au yupo.
Ila aliponiona tu alishuka akafungua mlango wa gari na kusogeza pembeni kidogo bila kuzungumza kitu. Na baada ya kusimamisha gari alisema “kwenu ni pazuri sana. Nimepapenda sana. Lini utanikaribisha?
Nikamtazama na kisha nikamuuliza “umepajuaje huku?”
Akatabasamu na kusema “Hivi mtu anayekupenda unawezaje kumuuliza swali rahisi hivyo totoo.Nimekufuatilia nikapafahamu nyumbani.”
Nlimtazama na kuvuta pumzi nikisema “karibu mtaani kwetu, eenh kuna tatizo.”
Boss akanitazama na kusema “tatizo lipo, kubwa sana Ndeana. Kubwa.”
Nikashtuka na kumuuliza “kubwa gani tena, niambie tafadhali.”
Aliniambia kwa kunitazama akisema “tatizo ni kwamba siwezi kukaa mbali na wewe, tatizo ni kwamba siwezi kulala bila busu na tabasamu lako, tatizo ni kuwa umeziteka sana hisia zangu
𝐉𝐀𝐌𝐀𝐍𝐈 𝐁𝐎𝐒𝐒 𝐌𝐈 𝐍𝐀𝐎𝐍𝐀 𝐀𝐈𝐁𝐔 🍒🙈💞: 61
Mimi sielewi kama ninakukera au vipi, ila nataka niwe karibu yako muda mwingi. Nimekuja kufuata busu lako wewe, nimekuja kukuona tu nifurahi na roho yangu.
Na si unajua leo umenipa furaha sana, umenipa furaha ambayo sijapata kwa muda mwingi sana katika maisha yangu. Wewe ndiyo furaha yangu.”
Nikamtazama na kusema kwa kumshangaa “Yaani wewe, lakini huku ni nyumbani tunaweza kuonekana ujue.”
Alinitazama kwa upole akisema “ina maana utaficha kama nakupenda mpaka lini?. Hata mimi mwanzo nilifikiri ni rahisi kuigiza kama sikufahamu. Ila sio kitu kidogo. Ndeana ninakupenda kiukweliukweli. Pengine mwanzo nilikutamani, ila sasa nakuambia nimechanganyikiwa. Unajua sielewi kitu kwako.”
Nikatabasamu na kumuuliza “kwahiyo ulitaka kuchezea usichana wangu eenh.”
Alinitazama na kisha alianza kucheka na mimi nikacheka sana huku akisema “muone huyu mtoto. Ndeana umenichekesha sana unajua.”
Nikacheka nikisema “eenh maana unasema hukujua kama ungenipenda hivi.”
Tulicheka sana na kisha aliniambia “Totoo sikia, nimekuja hapa nikiwa na maana kubwa sana. Kila muda nina kushukuru ila bado naona haitoshi, kila mara nimesema asante ila haitoshi. Asante kwa kuja katika maisha yangu Ndeana.
Umebadilisha vingi sana. Hata Hotel ilikuwa na hali mbaya sana kiuchumi. Ila kupitia wewe tumepata bonge la dili nono. Na najua huu ni mwanzo tu, huu ni mwanzo Ndeana. Tutapata wateja wengi sana, tutawapata si ndiyo eenh.”
Nilimtazama na kusema “Kila jambo linawezekana. Nitafanya bidii, nitafanya mpango, nitahakikisha kila kitu kinakuwa sawa. Mungu atusaidie tu.”
Nikatabasamu na yeye akatabsamu akisema “hujui tu kwa familia yangu umefanya nini?”
Nikacheka tu kidogo.
Kisha aliniambia “Sikia sikuwa nimekupa pesa ya kuanzia kazi. Na sasa nikasema tena ujiandae vizuri ili siku hiyo upendeze na si unajua inaanza wiki hili tu. Ndeana nimekuletea pesa. Sio nyingi kwa mji huu ila najua unaweza kujibana. Sasa hivi vumilia kidogo sana. Nitakufurahisha.”
𝐉𝐀𝐌𝐀𝐍𝐈 𝐁𝐎𝐒𝐒 𝐌𝐈 𝐍𝐀𝐎𝐍𝐀 𝐀𝐈𝐁𝐔 🍒🙈💞: 62
Kisha akavuta laki tano akanipatia akisema “hii laki tano, sijasema ule hii pesa, sijasema utunze kwaajili ya kesho yako. Nimesema hivi ujiandae tu kwaajili ya kuwahudumia wale watu wazito. Umenielewa Totoo.”
Nilimtazama na kumuuliza “pesa zote hizi ni zangu mimi?, unasema kweli?”
Akatabasamu na kusema “chochote kile kwa mwanamke wangu wa kwanza kumpenda.”
Nikamtazama na kutabasamu huku nikitazama pesa na kisha nikasema “Ni nyingi sana, na umesema haupo vizuri ungepunguza.”
Alitabasamu akisema “sipo vizuri ila kukupa hiyo hainifanyi niwe maskini. Umenielewa sasa.”
Nilitamani kulia kusema ukweli. Alinikumbatia na kisha aliniambia “wewe unatakiwa kunibusu.”
Nikambusu kwenye paji la uso. Akatabasamu na kusema “Ndeana acha masihara, hili ni busu la wagonjwa, faraja na marafiki wakati mwingine au dada na kaka. Mimi nataka letu, lile maalumu kwaajili yetu.”
Nikamtazama tu, nikafumba macho yangu na taratibu nilianza kumsogelea kabla sijafika aliushika uso wangu kwa mikono yake miwili. Nilisema mwanzo kuhusu ustadi wake wa sekta hii, nami nikifika hapo nakua rojorojo siwezi kusema kitu.
Mwanaume anajua na ana hisia sana. Aliporidhika aliniachia akashusha pumzi ndefu sanaaaa, akaniambia “Nimekumiss sana, siwezi kukuacha uende, siwezi nimekukumbuka sana.”
Kabla sijajibu akaendesha gari akasogeza sehemu salama zaidi, ilikuwa ni sehemu kama bar hivi, wanasimamisha pale gari nyingi sana. Akajipenyeza kupata nafasi na kisha nikamuuliza “Unafanya nini sasa?”
Akanitazama na kusema “Nisamehe Ndeana, ila kwako nashindwa kuwa mpole, nakuomba sana please, kidogo tu.”
Nikasema kwa kushangaa “Boss!!”
Akanitazama nikasema tena “Kwenye gari?”
Akaniambia kwa sauti ya huruma “hutojutia, trust me utafurahia sana. Utafurahia.”
Kabla sijajibu tayari alinivuta mwilini mwake, alifanya analoweza nguo yangu ikapandishwa, nguo ya ndani sijui alitupa wapi. Ila alinipakatia, Nikiwa mapajani mwake nakula busu tena busu haswa, na fimbo yake ikiendelea kurindima.
𝐉𝐀𝐌𝐀𝐍𝐈 𝐁𝐎𝐒𝐒 𝐌𝐈 𝐍𝐀𝐎𝐍𝐀 𝐀𝐈𝐁𝐔 🍒🙈💞: 63
Ngoma inapigwa, nami nacheza ngoma kwa madaha mbele ya mwana mfalme ili niondoke naye. Tena siku hii utamu wa ngoma haukuwa mdogo, ulikuwa ni mkubwa sana, nilijikuta nacheza ngoma tofauti na nilivyocheza mara ya kwanza. Viti uwanjani ni kama tuving’oe tutupe nje ya uwanja ila haiwezekani. Kwa vurugu zetu, tukalaza tu.
Kusema ukweli, ninazidi kufurahia, ninazidi kumuweka moyoni. Ameanza kunifundisha tabia ambazo mimi sikuwahi kuwa nazo, kama hii ni mpya sikujua kuwa mambo haya hata nje ya nyumba hufanyika. Ninaanza kuzama na kuwa chini juu yake. He is so sweet, haelekezeki.
Yaani siwezi kabisa kumuelezea. Hata tulipomaliza kwa ujasiri, nilimtazama usoni, akaniuliza “Hujapenda Yondo sister.”
Kwa aibu nikasema “umeona sasa?”
Akacheka akisema “Ray c hakufikii, kwani mama ina nini?”
Nikashtuka na kuuliza “kitu gani?”
Akanionesha kwa sura tu, akijaribu kuchungulia na akisema “kama ina asali ndani yake na ndiyo maana wewe ni honey pot, my sweet person. Wewe mtamu sana, mtamu wa sauti, matendo, tabia, kazi na kila kitu chako pia. Sikia ni kwa moto sana.”
Nikashusha gauni na kukaa kwa siti nikisema “unanichanganya, wapi kwa moto sana.”
Akacheka akisema “Tanuri lako, limekoza moto. Thanks honey pot, Nakupenda na nashukuru kwa kunitoa jasho.”
Nikatabasamu na kusema “asante pia. Nimependa.”
Akacheka akisema “sasa kumbe.”
Nilipumzika kidogo kisha nikatabasamu na kusema “Naweza kusema usiku mwema?”
Na yeye alinitazama na kusema “Ndeana, naweza kukuambia how i love you?”
Nikacheka na kusema “Yaani wewe upoje lakini, haya niambie basi.”
Akaniambia akitabasamu “Nakupenda wewe totoo, waambie wadau wakae sawa.”
Nikajikuta nacheka kwa sauti, nikisema “naomba niende humalizi wewe.”
Akasema “simalizi kweli, kama nikuoe leoleo.”
Nikacheka tu, na kusema “unajua wengi wakiolewa ndoa zao zinaboa.”
Akawa anawasha gari akisema “Ukiona hivyo ujue hapo hawapendani. Unakumbuka nilikuambia mkielewana everything becomes sweet eenh.
𝐉𝐀𝐌𝐀𝐍𝐈 𝐁𝐎𝐒𝐒 𝐌𝐈 𝐍𝐀𝐎𝐍𝐀 𝐀𝐈𝐁𝐔 🍒🙈💞: 64
Sasa mnatakiwa kupendana kila siku, mkihisi kuchokana mnatakiwa kujiupdate tena na tena. Kusema ukweli nitakuwa tu mume mzuri kwako. Na vile sitaki kukukosa.”
Nikacheka nikisema “maneno yenu kabla ya kupata sasa.”
Aliniambia kitu, alinitazama na kisha akaondoa gari akisema “Hakuna kitu kibaya kwenye mapenzi kama kuwa na wasiwasi na mwenza wako, kutokujiamini, kuwa na imani ndogo juu ya mwenzako.
Kuwa na mawazo hasi juu ya uhusiano wenu. Ndeana unatakiwa kufikiria raha, furaha, imani, mapenzi na vitu vizuri vyote kwasababu hivyo ndiyo unastahili. Unajua watu wengi wanalalamika kuhusu ndoa mbaya, ndoa vile na hivi kiasi hata wale wenye ndoa nzuri wakiongea wanaonekana waongo. Ndeana, utakuwa watu kati ya wale wenye furaha kwenye ndoa zao. Niombee, Haki ya Mungu, I wilii Marry you.”
Nilimtazama tu na kuvuta pumzi.
Aliendesha gari mpaka sehemu karibu na nyumbani, akaniacha hapo. Kisha aliniaga akisema “kesho ifike haraka nikuone tena.”
Nikacheka nikisema “Byee.”
Na yeye akawa ananibusu kwa mkono wake kisha ananioneshea akisema “Byee my Sweet Person. Nakupenda.”
Hakika nilikuwa nasikia raha sana, nilikuwa ninasikia raha mno. Nikawa natembea nageuka nyuma bado yupo ananitazama tu, natembea nageuka nyuma basi hivyohivyo mimi natabasamu tu.
Nikafika nyumbani, nilipoingia tu nilikutana na dada yangu. Nikataka nipitilize chumbani kwanza nikisema “dada nitarudi ngoja nikabadili nguo.”
Dada aliniambia kwa upole “njoo mara moja mdogo wangu.”
Nikamtazama na kwenda kukaa karibu na yeye. Kisha alinitazama na kuniambia “najua huwezi kunificha mimi. Eenh niambie kuhusu boss, nini kinaendelea.”
Nikamtazama na kisha nikatabasamu nikisema “Jamani dada hakuna kitu, ni mtu mzuri sana. “
Dada alitabasamu na kuniuliza “Ni mtu wako, yaani ni mpenzi wako?”
Nikashtuka na kusema “dada nawezaje sasa, hapana hata sio.”
Dada alisema kwa upole “sikia mdogo wangu. Wewe sio mtoto hata nikuambie muache au huyo ana faa au hafai. Nataka utambue kuwa unao uhuru wa kuwa na yeyote yule unayempenda.
𝐉𝐀𝐌𝐀𝐍𝐈 𝐁𝐎𝐒𝐒 𝐌𝐈 𝐍𝐀𝐎𝐍𝐀 𝐀𝐈𝐁𝐔 🍒🙈💞: 65
Kikubwa mdogo wangu nimetaka nikukanye kama mdogo wangu. Kama ulivyosema, ni boss wako, ni mtu mkubwa ni tajiri. Hatujui tabia zake, kama ni mtu mzuri au mtu mbaya.
Ila ninaweza kukuambia kwa ujumla wao. Watu hawa kwanza huwa wanafamilia zao, chunguza hilo kwanza mdogo wangu usije kuwa na mume wa mtu, na kama sio hivyo watu hawa ni wabinafsi sana kimapenzi yaani kwasababu wana pesa wanahisi wanaweza kulala na mwanamke yeyote yule.
Na wengi wao ni wagonjwa sana tu. Mdogo wangu usitoe haraka mwili wako bila kuthibitisha mambo kadhaa utakuja kujuta. Maboss wengi maneno mengi na kutumia pesa zao ili unase kwenye mitego yao kisha akija mwanamke mwingine wewe tena hakutaki anaweza hata kukufukuza kazi, au anaweza kukufanya mdoli wake wa kukutana naye kimwili bila kujali unataka au hutaki na kumuacha unashindwa kwasababu tu ndiyo boss wako. Nataka kujua kitu, mdogo wangu kipenzi Unampenda?, tafadhali niambie ukweli usifanye tu kwasababu ya kazi.”
Maneno ya dada yalinichoma sana, haswa anaponiambia ni wagonjwa, usitoe mwili haraka wakati mimi nimenogewa nishakutana naye kimwili mara mbili zote. Nilijikuta nainamisha kichwa changu chini. Ndipo dada aliniuliza tena “Mdogo wangu, unampenda huyo mwanaume?”
Nikamtazama na kusema “kusema kweli dada ninampenda sana. Naona ni mwanaume mzuri. Lakini sijamuonesha kama ninampenda kwa kiwango kikubwa sana kama ambavyo ninakuambia kwa maana naogopa kuumia. Dada ninampenda sana. Kuna muda nashindwa jizuia sijui nifanye nini?”
Dada alitabasamu na kusema “Kumpenda mtu sio kosa, ila nakuombea umpende mtu sahihi utafurahia maisha yako. Kitu kingine kabla ya chochote kitu. Mkapime afya zenu. Ndeana kama wewe hutaki fanya kwaajili yetu. Tupo wawili tu, tunatakiwa kulindana. Na baba Yetu kama unavyomuona. Anaumwa, na mimi unajua afya yangu. Kwahiyo jitunze na uwe mzima.”
Nikatabasamu na kusema “aliniletea pesa, kwaajili ya kujiandaa na ile kitu nimekusimulia.”
𝐉𝐀𝐌𝐀𝐍𝐈 𝐁𝐎𝐒𝐒 𝐌𝐈 𝐍𝐀𝐎𝐍𝐀 𝐀𝐈𝐁𝐔 🍒🙈💞: 66
Dada alitabasamu na kusema “upo huru mdogo wangu wala hutakiwi kuniambia una shilingi ngapi, umetoa wapi. Najua unajua kutafuta na una akili. Wewe niambie huzuni zako tusaidiane, furaha zako tufurahi pamoja. Nakupenda sana.”
Nilisema kwa upole “nashukuru sana dada.”
Dada alisema “haya nenda zako ukajiweke sawa na uje kula kwa maana leo nimepika vitu unavyopenda.”
Nikasema usiniambie “ndizi nyama nyingi.”
Dada akacheka akisema “ndizi kidogo nyama kibao.”
Tukacheka pamoja huku nikielekea chumbani.”
Nilipofika chumbani nikawa nachekacheka tu, yaani kama sio mimi ambaye nilikuwa nasema hata nikilala naye nipate kazi sitaki mazoea. Ni mimi nilikuwa nasema hata kulala naye sitaki na kazi basi tena. Ila ninazidi kunogewa. Mwanaume ana maneno matamu huyu, mwanaume anajua kupenda, anakuonesha anakupenda mpaka unasikia raha.
Katikati ya kucheka nikakumbuka maneno ya dada kuwa huyu mtu humjui vizuri, usitoe mwili kwanza mkapime. Nikajikuta navuta pumzi kisha najiuliza “anaweza kuwa muathirika etu?, hapana na anavyonipenda hivyo kweli, hawezi si ndiyo eenh. Mungu wangu kama nimempima kwa macho nitakuwa nimeisha. Hawezi, hawezi ni mzima.”
Ninajifariji mwenyewe, mara nikakumbuka Joan alitaka kusema kitu, meneja alikatisha. Nikamtafuta haraka haraka nikampigia. Na yeye alipokea na kusema “rafiki yangu umefika?, ilikuwa nikutumie ujumbe hapa maana nimefika hoi.”
Nikacheka nikisema “nashukuru sana rafiki yangu nimefika poa kabisa. Nilikupigia tu nikuambie nimefika.”
Akaniambia kwa upole “sawa rafiki yangu.”
Nikasema “kesho tuwahi kipenzi. Kwa maana kuna kazi tunatakiwa tukafanye mwambie na huyo mwingine uliyemchagua.”
Joan aliniambia “hilo limeisha.”
Nikatamani niulize ila nashindwa nikasema “basi kesho shoga yangu.”
Na yeye akaniambia “sawa kipenzi.”
Kabla sijakata nikajifanya ndiyo nakumbuka, nikasema “eenh shoga, nimekumbuka muda ule Boss alipopita ulitaka kuniambia kitu ila meneja alikatisha.”
𝐉𝐀𝐌𝐀𝐍𝐈 𝐁𝐎𝐒𝐒 𝐌𝐈 𝐍𝐀𝐎𝐍𝐀 𝐀𝐈𝐁𝐔 🍒🙈💞: 67
Akacheka na kusema “nilishasahau, tutaongea tu vizuri. Ila nilitaka nikuambie ana dharau sana yule Boss. Sio dharau hizi za kawaida kwasababu ana pesa. Hapana, ila wanawake sijui anawachukuliaje, wanawake kibao pale kazini mpaka wanapigana, ila yeye akikulala mara moja hakurudii na wanasema yupo vizuri balaa.”
Moyo wangu ukaingia ganzi, hata Joan aliniita “Ndeana unanisikia?”
Nikasema kwa kujishtukia “mtandao kipenzi, aisee kwahiyo yeye halali na mwanamke mara mbili, na hao wanaomgombania ni wafanyakazi?”
Akasema “nani tena wengine, na wengine nje ya ofisi si unajua watu wenye pesa shoga, kwahiyo kuwa makini na ulivyo mzuri shoga usije liwa na ukaachwa mataa.”
Nikatamani kulia, na nilitamani kumuuliza kuhusu yeye. Ila kama mtu ameniambia hivyo ina maana hata yeye kawahi kulala naye au hajawahi. Mimi ilinibidi nimuage tu. Moyo wangu uliniuma mno, uliumia sana. Ndani yangu nikasema “kumbe ni malaya, kumbe ataniacha tu. Sasa kwanini, kwanini sasa.”
Nilikuwa nimeweka simu pembeni, naumia sana. Nakumbuka maneno yake na nyakati chache ambazo tumekua pamoja. Naumia sana kwa maana mimi tayari nimempenda sana. Na kama analala na wanawake wengi namna hiyo ina maana usalama wa afya yake ni mdogo sana. Ninaogopa, hofu imetanda ndani ya moyo wangu. Nimeingiwa ubaridi na woga mkubwa sana.
Ujumbe uliingia kwa simu yangu. Nilichukua simu ili kuusoma. Alikuwa ni dada Martha ameniuliza swali “Are you Dating Him?(una mahusiano naye?)”
Nikashangaa, kisha nami nikamjibu “wewe sio ndiyo uliniambia ananipenda niwe naye sasa mbona unaniuliza?”
Martha akanitumia “🙄🙄🙄upo naye mpaka leo hii?”
Nikamjibu kwa kushangaa “dada sikuelewi kwani kuna nini?”
Martha aliniambia “haiwezekani!!, Stewart hana muda na mwanamke katika maisha yake. Imekuaje kwako. Mdogo wangu nisamehe kama nitakuwa navuka mipaka. Nataka kujua ushakutana naye mara ngapi?”
Nikaguna na kusema “unajua unashangaza dada Martha. Mara mbili?”
Soma muendelezo kwa sh 1000
Njoo WhatsApp 0743433005.
   
Hakuna ratiba iliyopangwa kwa sasa.