Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

Shemu Kautaka SEHEMU YA 09
Gonga94 · Stories

Shemu Kautaka SEHEMU YA 09

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

?
?"Shee...meji…" Rahma aliongea kwa sauti ya hofu, moyo ukimdunda kwa nguvu kama ngoma ya mdumange.
?"Shhh... niache nishughulikie... lakini mlango ni wa nani tena?" Ramadhani alijibu kwa sauti ya kukatika-katika, akiwa bado amemshikilia shemeji yake kwa uzito wa tamaa isiyo na breki.
?
?Hatua nzito zilisikika nje ya mlango wa jikoni, zikisogea kwa mwendo wa kawaida lakini mzito kwao. Ilikuwa ni sauti ya viatu vya Richard mume wa Rahma.
?
?Ramadhani na Rahma walitazamana kama watoto waliokamatwa wakila sukari kwa siri. Kwa haraka ya ajabu, Ramadhani aliruka kuokota shati lake lililokuwa sakafuni na kukimbia kimyakimya kuelekea chumbani kwake.
?
? Alipita kona ya korido kama mwizi
?, akakimbilia kujifungia chumbani kwake, akavuta pumzi ndefu ya mshtuko. Jasho lilikuwa likimtoka si kwa joto la jiko, bali kwa joto la hatari aliyokwepa kwa unywele.
?
?Rahma naye alijikakamua kuokota sahani zilizodondoka wakati wa mzozo wa mapenzi, akajifanya anaandaa meza. Uso wake ulijaa mchanganyiko wa hofu na aibu, lakini alijitahidi kujituliza.
?
?Richard aliingia jikoni huku akiimba kwa furaha:
?"Leo kazi kazi… wife wangu uko wapi jamani?"
?
?Aliingia kwa tabasamu pana, akiwa na mkoba wake wa ofisini begani. Ukimya kidogo ulitawala, halafu Rahma akasema kwa sauti ya juu, huku akijitahidi kuiondoa hofu kwenye sauti yake:
?
?"Honey! Umerudi kwa kuchelewa sana!"
?
?Richard alisimama mlangoni, akamtazama mkewe kisha akatabasamu kwa mapenzi.
?
?"Nimemiss harufu ya chakula chako... mbona kuna joto hapa jikoni?" aliuliza kwa mshangao wa kawaida.
?
?Rahma alicheka kimasikitiko, akijaribu kuifanya hali ionekane ya kawaida kabisa.
?
?"Jiko limewaka sana leo… labda oven!" alijibu kwa haraka.
?
?"Mmmh… chakula chako kina harufu nzuri sana. Nimechoka balaa leo ofisini, lakini nikikumbuka nyumbani kuna wewe, moyo unachangamka."
?
?" huyu jamaa yangu yuko wapi?
?" shem yuko chumbani kwake"
?Mh! Huyu jamaaa na chumbani kama amechanjiwa hivi"
?" yaani we acha tu yeye ni kula na kulala tu "
?"inabidi hata azunguke atafute marafiki "
?" nimemwambia sana labda ukimshauri wewe ndugu yake"
?" huyu jamaa ni mtata sana ujuwe"
?" mh! Hadi kwa ndugu yake yake jamani "eeeh ! Akili zake anazijuwa yeye, anyway tuyaache umeshindaje"
?" salama babaanguh"
?" nimelimis tunda wife "
?" mmmh! Baba unalitaka na umechoka'
?" nimechoka akili"
?" Na sio? "
?" Na sio kiungo?'
?" haha! Ila babe wewe"
?" unanifanya niwe na amani kwa hilo asante sana mpenzi wangu"
?" ni jukumu langu"
?
?Rahma alitabasamu kwa kuzuga , lakini ndani ya moyo wake kulikuwa na vita kubwa dhamira ikimpiga mweleka. Alimkaribisha mumewe akae, akamwandalia maji ya kunywa huku macho yake yakimkwepa.
?
?Chumbani kwa Ramadhani, bado alikuwa hajajua ni vipi aliweza kukwepa mtego huo. Alijilaza kitandani, akijiuliza kwa sauti ya ndani:
?"Hii mchezo inaelekea wapi? Nilikuwa sekunde moja kutoka kupoteza kila kitu… lakini tunda hilo linanivutia zaidi ya maelezo."
?
?Lakini alikuwa hajui, Rahma naye alikuwa chumbani kwake usiku ule, hawezi kulala. Maneno ya Ramadhani, mikono yake, midomo yake vyote vilikuwa bado vikiwaka mwilini mwake. Alijua alikosea. Lakini kwa namna isiyoeleweka, hakujuta... bado alitamani arudiwe tena.
?
?Muda huo usiku kama kawaida Richard anaigusa mali tatizo la Richard anakula tunda kwa pupa .ndo maana licha ya Rahma tunda kuliwa akili zake zipo kwa Ramadhani ...
?
?Siku iliyofuata asubuhi na mapema . Richard alioga na kujiandaa kwenda kazini
?" mume wangu tai umevaa vibaya"
?" ndo niweke vizuri mpenzi "
?"mmh! Usikae hovyo wakati mkeo npo"
?" asante kwa kunijali ,mke wangu "
?Kisha akambusu kwenye paji la uso na kutoka kuelekea kazini .....
?
?Rmadhani baada ya kuona Richard katoka alitabasamu na kutoka nje haraka cha ajabu alimkuta Rahma mlangoni kwake naye alikuwa anamsubir amtoo.... Je na leo watafeli???

Mjiunge na hii channel kama unawatsap jiunge haraka sasa cha kumi naweka huko tu ......
?????????????

https://whatsapp.com/channel/0029Vaw5SzK7YSd3RKAO8G46

Maoni

You're not logged in


Tangazo - SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
Wimbo wenye ubunifu imechanga kiarabu kiswahili na amapiano wimbo wa kushukuru kwa maisha na upendo Sasa sikiliza na ku download hapa gonga94.com
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

Shemu Kautaka SEHEMU YA 09


?
?"Shee...meji…" Rahma aliongea kwa sauti ya hofu, moyo ukimdunda kwa nguvu kama ngoma ya mdumange.
?"Shhh... niache nishughulikie... lakini mlango ni wa nani tena?" Ramadhani alijibu kwa sauti ya kukatika-katika, akiwa bado amemshikilia shemeji yake kwa uzito wa tamaa isiyo na breki.
?
?Hatua nzito zilisikika nje ya mlango wa jikoni, zikisogea kwa mwendo wa kawaida lakini mzito kwao. Ilikuwa ni sauti ya viatu vya Richard mume wa Rahma.
?
?Ramadhani na Rahma walitazamana kama watoto waliokamatwa wakila sukari kwa siri. Kwa haraka ya ajabu, Ramadhani aliruka kuokota shati lake lililokuwa sakafuni na kukimbia kimyakimya kuelekea chumbani kwake.
?
? Alipita kona ya korido kama mwizi...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/shemu-kautaka-sehemu-ya-09

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi shemu-kautaka-sehemu-ya
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23

643
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25

519
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7

205
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 8

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 8

144
SHAMIRA sehemu ya 38&39

SHAMIRA sehemu ya 38&39

128
AMIRAH WANGU   Sehemu ya 01

AMIRAH WANGU   Sehemu ya 01

122
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 11

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 11

90
UTANIITA SHEMEJI.   SEHEMU YA 17

UTANIITA SHEMEJI. SEHEMU YA 17

83
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 12

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 12

44
MASWALI YA BILIONEA WA FALME ZA KIARABU, KHALAF AHMAD AL HABTOOR KWA RAIS WA MAREKANI |

MASWALI YA BILIONEA WA FALME ZA KIARABU, KHALAF AHMAD AL HABTOOR KWA RAIS WA MAREKANI |

5

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.54K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.28K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.77K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.24K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.74K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.63K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.63K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.56K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.5K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.47K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 12 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 12
@majario LIVE

🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Mr. Marvel akaendelea “Niliendelea kufanya kazi na wakati mwingine nilikuwa nambeba Salmon na kwenda naye kazini. Kwa sababu hiyo, nilipoteza baadhi ya kazi kwa sababu haikuruhusiwa kufanya kazi na mtoto....

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 11 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 11
@majario LIVE

🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Noela alipoondoka hakujua hata aende wapi. Alitembea polepole barabarani, machozi yakimtoka na wala hakujali. Aliumia kwa sababu alisalitiwa na watu wawili muhimu sana kwenye maisha yake💔. Alikumbuka dalili alizowahi kuona kwamba...

SHAMIRA sehemu ya 38&39 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 38&39
@majario LIVE

🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀 Mwandishi; lissa wa huru media Nikasema hapana sijafanywa hivyo akanmbia nini wewe umegawa namba kwa wanume zako wanatuma sms unajifanya kushaangaaa unanichukuliaje wewe. Kwanini unanidhalilisha shamira mpka najuta kuwa...

MASWALI YA BILIONEA WA FALME ZA KIARABU, KHALAF AHMAD AL HABTOOR KWA RAIS WA MAREKANI | Post Mpya
MASWALI YA BILIONEA WA FALME ZA KIARABU, KHALAF AHMAD AL HABTOOR KWA RAIS WA MAREKANI |
@majario LIVE

1- Mheshimiwa nani alikupa ruhsa kuingiza Ukanda wetu katika vita dhidi ya Iran na kwa gharama gani uliwaza kuwa watu wa kwanza kuteseka ni nchi za Ukanda huu ambao ndio...

UTANIITA SHEMEJI.   SEHEMU YA 17 Post Mpya
UTANIITA SHEMEJI. SEHEMU YA 17
@majario LIVE

SONGA NAYO............... Mda ulienda jioni ilipofika akatoka kazin ,baada ya kufika nyumbani tu salamu ya kwanza aliingia chumbani na kufungua kioo na kutoka kwenye kibalaza kilicho pembezoni mwa chumba chake . Alifika...

AMIRAH WANGU   Sehemu ya 01 Post Mpya
AMIRAH WANGU   Sehemu ya 01
@majario LIVE

Tunaanza... Asubuhi na mapema, Sheikh Abdullah alimuita binti yake, Amirah, ambaye alikuwa na umri wa miaka ishirini na tatu. Amirah alitoka chumbani kwake na kumfuata baba yake ili kumsikiliza....

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 8 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 8
@majario LIVE

SONGA NAYO...... Madam hakuwa na maneno mengine ya kuongea zaidi alijiinamia kama mtu anaefikiri kitu, ili kuepuka kesi mtoto wa mama Mira mie nikaamka na mwanangu haoo mpaka chumbani kwetu na...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25
@majario LIVE

Nikafunga gari ,kisha nikashika mkono akawa bado hayupo sawa kakasilika sana, ila niliona kidogo hasira yake imepungua pale ambapo ibra alipiga simu na kusikia maongezi ya ibraa, basi bwana...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23
@majario LIVE

Nikasema mama.nisikilize, unasikia mke wangu, haipo kama unavyowaza wewe. ,mi yule.sio mwanamke wangu, yule.ni shemeji yangu, ni mwanamke wa ibraa, na tulikuwa tunakutana wote jioni hiiii, mi uyu demu nimekutana...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7
@majario LIVE

SONGA NAYO..... Hatimae ule mda wa kuwasili huyo mkaka wa kuitwa Anfrey ulifika walimpokea kwa furaha sana wazazi kama wazazi walimzawadia kijana wao gari ya milioni 80 Mimi nilikuwa kwa mbali natazama...

AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *19&20* Post Mpya
AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *19&20*
@majario LIVE

Huo Ndio ukawa mwanzo Mpya wa upendo kati yangu Mimi na madam groly, Yaani mimba tu na kukaa nae Ndani ya miezi miwili tu tayali madam groly aliona utofauti wangu. Kwa...

KWAKO RUSHINE DE REUCK. Post Mpya
KWAKO RUSHINE DE REUCK.
@majario LIVE

Nikiwa kama mpenzi na shabiki mwanachama wa Simba niliyenyooka ninajikuta nina wajibu wa kusema ukweli pale panapohitajika ili kama kuna hatua za kuchukuliwa zichukuliwe mapema na mhusika kabla jambo...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 21 na 22 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 21 na 22
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Mwandiishi; LISSA Basi bwana rasmi tukaanza aya mahusiano bubu sasa, ambayo mimi binafsi sikuwa nimeyaafik kabisaaa, na wala sikuwa nayafurahia ata kidogo ,ila mchumba si kaamua basi powa, nikaona ngoja...

Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom Tanzania Post Mpya
Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom Tanzania
@majario LIVE

Kutokana na ongezeko la watumiaji wa Safaricom M-Pesa wanaohitaji kutuma pesa kwenda Vodacom M-Pesa Tanzania, nimeamua kuandika makala hii ili kuwasaidia wale ambao hawafahamu jinsi ya kufanya muamala huo. Tuma...

UTANIITA SHEMEJI.* *SEHEMU YA 16* Post Mpya
UTANIITA SHEMEJI.* *SEHEMU YA 16*
@majario LIVE

SONGA NAYO............. Zilipita dakika kadhaa nikatoka na kumfuata sebleni , akataka kuendeleza story zake nikamwambia aaah 🤚nioneshe kazi za kufanya kwanza ,kama ni maongezi baadae. Hakuwa na shida akaanza kunionesha mazingira yote...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest