Ingia

Sema Jambo 2025

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  gonga94 official track

UTAMU WA MABOSS Sehemu 23~24

28th Aug, 2025 Views 118



"Una uhakika uko tayari kufanya hivi, upo tayari kujiunga na BBC"Oscar alimuuliza Bryan na akaitikia tena kwa kichwa

"Usiitikie kwa kichwa tu, lazima uongee" akasema Oscar kwa ukali...

"Ndiyo bwana" alisema Bryan kwa haraka
"Kwa hiyo unaweza kunipa nini" Oscar aliuliza
"Bwana haujaniambia kama mimi ni sehemu ya kundi au la" aliongea na Oscar akamtazama kwa mshangao.
Huyu jamaa ni mwerevu sana, nilijua ni mtu mwerevu tangu nilipokutana naye mara ya kwanza,akawaza Oscar
"Sawa Bryan, simama, wewe ni mmoja wetu sasa," Oscar alisema na yeye akasimama
“Nifuate” alimwambia kisha akamfuata brayan ofisini.
Ni ofisi ndogo tu aliyojiwekea.
"Basi niambie" akasema Oscar
"Linda msichana unayemtafuta, namfahamu, ni msaiduzu binafsi wa Alex si ndio " alisema Oscar mara baada ya brayan kusema shida yake
"Alex? Mrithi wa FLC" aliuliza Oscar
"Ndio na yeye pia ni mpenzi wake" akasema Brian
"Wow huyo panya ameenda mbali sana" Kwahiyo una mpango gani cos nataka pia nilipize kisasi "akasema Brian
"Kuna ulichopanga? Akaulzia Brian na Oscar akajibu kuwa hawana ila atampigia amwambie walichopanga baadae"
"Ok. Bye bwana" alisema Brian na kuondoka.
Linda kuwa unanitarajia hivi karibuni.
Ah ah ah aha aha!!!!! Akawa anajisemea Brian
***************


"Baby twende kwenye date yetu ya pili" Alex alisema na linda akatabasamu
"Sawa" alisema na haraka akaingia bafuni.
Walimaliza kujiandaa na
Kuondoka nyumbani.

*********

“Unaenda wapi” Cynthia, rafiki yake debby aliuliza
"Naenda kwa Alex bila shaka, hutarajii nitakaa na wewe siku nzima," alisema Debby na kuchukua begi lake.
"Ninaonekanaje" aliuliza Debby huku akigeuka geuka....

"Sio mbaya lakini usifikiri unamdanganya Daniel" Cynthia alisema na Debby akamzomea.
"Daniel mguu wangu, simpendi Daniel. Naelewa niliwahi kumpenda Daniel lakini sio tena kwa kuwa nina Alex " akasema Debby

"Utamtongoza tena" akauliza Cynthia

"Ona unanikera sasa"
" Samahani " akajibu Cynthia
"Sitamtongoza, nataka kumwambia kuhusu hisia zangu kwake" akasema Debby
"Sina uhakika na hili"
"Kwanini" Debby akauliza

"Itakuwaje asipo.....infact ngoja ninyamaze tu" akasema Cynthia
"Ndio nyamaza tu" Debby alisema na kumkazia macho kabla ya kumzomea.


****************

Linda Alimkazia macho Alex akiwa anatafuna nyama zake pale mgahawani, Alex alimshika akimtazama na akatabasamu ambalo lilimfanya Linda azidi kupagawa.
"I just love this guy, tabasamu lake, midomo, dimples, cute, gosh na kwamba kitu yake kwa nini ni kubwa sana, akawaza linda

Mara akasimsikia Alex akisafisha koo na kumtoa Linda kwenye mawazo yake.
"Unapenda nini kwangu" aliniuliza na Linda akatabasamu
"Macho yako, midomo, dimples, urembo, kila kitu haswa ilegeza midomo yako " alisema linda na akailegeza midomo yake kisha Linda akacheka.
"Kwa hiyo unapenda nini kwangu," Linda nae akauliza
"Kwanza ujinga wako" alisema na Linda akamdhihaki
"Seriously" Linda alisema na kunywa kinywaji chake
"Basi sura ya mwili wako na ujasiri wako" akasema Alex
"Mmmmh ni nzuri" Linda alisema kisha akanywa kinywaji chake chote.

Linda mara akahisi kuna kitu kwenye midomo yake, akadhani ni dawa lakini alishtuka baada ya kutema...
"Pete, pete ya almasi.
Alipiga kelele na.watu wakaanza kumshangaa.
Alifunika macho yake kwa kiganja chake na mara akamuona Alex akiwa amepiga magoti.
Alimtazama bila kusema kitu, oh Mungu wangu machozi tayari yanadondoka.
"Linda kuna wakati huwa nawaza juu yako na hata kufanya mambo bila wewe,mapenzi yangu kwako yana nguvu sana hata ndege iendayo kasi haiwezi hata kukutana na mapenzi yangu kwako, mapenzi yangu kwako ni kama mwili usio na roho coz siwezi kuishi bila wewe. Kwa hivyo sasa nakuuliza, Linda Smith upo tayar kuwa mke wangu, na mwananke wangu wa pekee" alisema Alex na Linda akakosa Cha kusema .

"hayo maneno aliyoyasema ni ya kimahaba kweli kweli, infact natamani tukae hivi milele, akawaza linda

"Linda Smith, jibu lako ndilo tunalolisubiri sote. Angalia huku na kule utaona kuwa sote tunasubiri jibu lako" akasema Alex huku kijasho baridi kikimtoka kwenye paji la uso wake.
Linda akitazama huku na huko na ndipo nilipogundua kuwa watu wanangojea jibu lake, akamtazama Alex na kutabasamu.
"Ndio Alex, ndio nitakuwa Mrs Shaw wako" Linda alisema na Alex akatabasamu kisha akamvalisha Pete kwenye kidole chake haraka.
Walikumbatiana huku watu wakipiga makofi, wakishangilia na Kuwapongeza.


**************

Debby alienda ofisin kwa Alex na kumkuta secretary wake..

"Samahani mama lakini Mr Alex hayupo kwenye ofisi yake" sekretari alisema mara moja
"Inamaana Alex hayupo" Debby aliuliza na secretary akaitikia kwa kichwa
"Sawa asante" alisema na kuondoka.

"Labda niende nyumbani kwake, nina uhakika atakuwa huko,akawaza Debby

nilichukua taks na kwenda nyumbani kwake lakini mlinzi alisema alitoka pia.

Alienda wapi? kwa nini "leo nataka kumwambia kuhusu hisia zangu kwamba hayupo? Labda nitamwambia kesho, akawaza Debby bila kujua Alex kuna mtu anamchumbia huko...

"Asante bwana" alimjibu mlinzi na akaitikia kwa kichwa kisha akapanda teksi kurudi nyumbani kwake.

Alipofika kwake akamkuta rafik yake Cynthia. Na kuanza kulalamika.

"Baby siamini nimevaa vizur leo nimepoteza pesa na muda" Debby alimwambia Cynthia.
"Nilikuambia" Cynthia Alisema kisha akatoka kuelekea chumbani kwake huku akibonyeza simu yake.

Debby alibadilisha chaneli aipendayo akakaa vizuri, tumbo lake likatoa sauti ya kunung'unika ndipo alipokumbuka hajala.
"Cynthia kuna chakula nyumbani" alipiga kelele lakini hakupata jibu.
Alienda jikoni na kujihudumia.

*****Siku iliyofuata** 9am

"Ndio mpango huo" Bryan aliuliza huku akiichezea bunduki aliyopewa.
Oscar tayari aliniambia kuhusu mpango aliokuja nao ambao ulikuwa mzuri kwa kweli.
"Ndio, sawa na safi na tafadhali usiache athari yoyote," alisema oscar na Bryan akaitikia kwa kutikisa kichwa.

"Ndio Oscar" alisema Brian na kuondoka mara moja.
"samahani Linda lakini lazima nifanye hivi ikiwa hautakuwa mpenzi wangu, akawaza Brian

*************

"Habari za asubuhi bwana, habari za asubuhi Linda" Alex alisalimia na Linda akatabasamu..

Linda alinyanyua simu yake kutoka mkononi mwake mwa Alex kukimbilia ofisini kwake.

"Linda naomba unipe simu yangu" Alisema akigonga mlango.
Linda alitaka aitizame simu yake kuangalia anachofanya lakini tayari ilikuwa imefungwa.
Nenosiri?nenosiri?nenosiri????
Nilijaribu jina lake, kampuni, jina langu, Mabel, mama yake, baba yake lakini simu yake haikutoka password.

"Ameenda sasa na nimechoka, simu gani ambayo haiwez kutika password akawaza linda ...

Akiwa anapumzisha kichwa chake kwenye dawati lake na ujumbe unatokea kwenye kompyuta yake ndogo. Aliitazama na ilikuwa ni meseji kutoka kwa Alex.....
   

X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

UTAMU WA MABOSS Sehemu 23~24  >>> https://gonga94.com/semajambo/utamu-wa-maboss-sehemu-23-24

#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 

Maoni

You're not logged in
Click here to login and comments
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork
profile
majario 28 Aug 2025 20:58
MY LUNA 🎭💕 🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 SEHEMU YA : 22 >>> https://gonga94.com/semajambo/my-luna-sehemu-ya-22

#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war
profile
majario 28 Aug 2025 16:34
UTAMU WA MABOSS Sehemu 23~24
gonga94 official track
ZETU
SIMULIZI NA SAUTI ZETU
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork
Kama wewe hujatimiza miaka 18+ usije nasema usije kabisa ni wakubwa tu
Kama wewe hujatimiza miaka 18+ usije nasema usije kabisa ni wakubwa tu

RATIBA YA SIMULI ZETU

Hakuna ratiba iliyopangwa kwa sasa.


Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest