*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* * Chapter 10 "Hhh hamna nimechanganyikiwa tu kwani huyu shida nini etty Catherine?" Aliniuliza mimi nilikuwa
"Haya wewe upo kutukodolea macho tu hapa hivi huoni haya, kwanza wewe nani yake" aliuliza Catherine kana kwamba hamjui ila Catherine ni bonge la actor huyu alifaa akasomee sanaa kabisa yaaan, boss akawa anamshangaa jinsi anaongea tu "Wewe mimi sinina kuuliza kapatwa na nini huyu na wewe ni nani yake sio tunakaa hapa kumbe ndio kwa shemej ohoo, hatoki bure bure huyuu" alimtizam kwa muda naona tuzungumzie kwanza haya mambo yaliyotufanya tupo hapa and then tutaongea kuhusu mengine just like mimi ni nani kwake alisema Boss mimi ilibidi "hee wewe kwenye mambo ya vingereza hapo tutaongopeana mimi sijasoma kabisa nimeishia la nne na huyu mjinga..."
"Basi tuishie hapo nitajaribu kuongea kiswahili tafadhari tuzungumzie mambo yanayotuhusu sasa mama angu" alisema boss kwa utaratibu ila kuna wasi wasi alianza kupata maana huyu anaongea sana kama vile Catherine "haya twende kwenye point mimi mwenyew niko busy sana kwahyo naomba uongee haraka tunaenda na time" alisema huku anarusha less wigi lake
"Huyu ana tatizo la moyo, moyo wake unatundu kati kati na inaonekana hili tatizo ni la muda. sana na hamkuwahi kumpeleka hospitali kabisa yaani" alisema boss niilishtuka kwa sababu huo ugonjwa naujua ila sikuwa najua kam nina tobo kwemye moyo coz dada ndie alienambia kwamba nina huo ugonjwa ila hakusema kama ni tobo kwenye moyo
"Tunajua na tutatafuta njia ya kumtibia sisi wenyew haina haja kabisa ya kuwaza hivyoo nambie wewe ni nani kwake aliongeea Catherine yaani alijitia majukumu na kuweka ukauzu utadhani yeye sio huyo Catherine
"Sasa inapasa atibiwe mapema na huu ugonjwa wake ni unatibika na kwa hali iliofika kwa sasa anatakiwa awahishwe kutibiwa maana ugonjwa wake ni umepea sasa na tunaweza kumpoteza"alisema Boss Marquis, dada alitoa macho akasema kwa sauti.
"Careen Mungu wangu" alishika kichwa akaanza kulia kwa nguvu "jamani Careen tupo wawili tu hatuna mama hatuna baba sisi, sasa jamani ukifa itakuaje mimi ntakaa na nani nani atanistiri aibu zangu mimi na huu mdomo wangu jaamani mbona dhahma hii ntaumbuka" mama dada akaanza kulia kwa kuomboleza muda huo ashaniita Careen yaani dada jamani hapana yani mimi ni mgonjwa na nina mawazo kweli ilibidi tu nicheke jamani
"Hee wewe Careen unaumwa na unacheka yaani mimi nalia hapa" yaani dada aliongea huku analia jamni kiukweli alikuwa ananifurahisha tu maan ilikuwa sio kawaida nilijitahid kuongea kwasababu kashamwaga mpunga kwenye kuku wengi nikaamua acha nimalizie "sasa Catherine mimi unanichekesha, hebu unaliaje hivyo kama nishakufa tayari" nilimwambia Catherine kwa maana tayari alikuwa kashaniita Careen hamna siri hapo tena siri imefichuka wa kwanza kuijua ni boss, Boss alikuwa anatushangaa jinsi tunabishana sasa "wee mpuuzi wewe ukifaa yani wewe hauna akili kabisa yaani mimi napenda kuchukua vitu poa ila sio kwenye hili Careen aliongea Catherine tuliendelea kuzozana
"Nataka nijue kwanza mwanamke wangu ni yupi kati yenu, na mfanyakazi wangu ni yupi kati yenu maana nahisi kuna game mnaliplay kabisa mnacheza na akili yangu hebu niambieni"
Tulitoaa machoo maana tulikiwa tunabishana kana kwamba mule hamna mtu kabisa kumbe Marquis alikuepo, Catherine aligeuka kumjibu sasa nilijuaa kabisa hapa kumenuka maan
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
Maoni