Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* Chapter 13  Search  "Hee shga angu ndio umeamua kutoka na boss mhh we kiboko mwenzangu kwanza
Gonga94 · Stories

*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* Chapter 13 Search "Hee shga angu ndio umeamua kutoka na boss mhh we kiboko mwenzangu kwanza

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
umeanzaje shga?" Nilimtizama tu nikacheka zangu maaana nilikuwa naona aibu balaaa mimi mtoto wa wat "Mhh kwahyo huyu ndie alikutoa bikra, maan mimi najua mwenzangu hujawahi" nilimtizama tu nikafunga macho "wee nae si uniambie bhana ilivyokuwa kipenzi changu maan wewe nae, aibu zako hukoo hapo enyewe wee sasa hivi ni mtu mzima hapa usivunge ntakubutuwa ujue mhhh we haya" nilimtizama tu nikajivuta nikakaa

"Yaani we dada bhan sasa hapo usichoolewa nini hapa? Catherine kila kitu kipo wazi bhna me niache nilale me naona aibu kuhadithia bhana" nilimwambia Catherine yaani huyu ni mmbea khaa basi akanilazimisha sikumwambia hata kilichotokeaa maan alikuwa anataka kuhadithiwa ilivyoanza mpak tulivyomaliza kukamiana jamani anatabia mbaya huyu kha mpaka alinuna yaani huyu jamni ikabidi nianze kumtekenya tu aakaanza kucheka kucheka nikajua nishampatia kabisa huyuu mdada

"Haya shga angu nikipona ntakupa umbea trust me madam" hapo nilimpata akazidi kutabasam huyu chaumbea wangu jamni "hapo sawa shga kwahyo unampenda huyo boss kivurugee hili lilikuwa swali gumu sana kwangu nilimtizama tu sikumjibu maana mimi hata sikuambiwa kama napendwa nillinaniliu hata sijui kam nampenda au laa jamani niliamua tu kuflash mada "mhh shga angu imekuaje bado amesema anakufukuza kazi ?" Alinitizama akaanza kucheka kwa nguvu "Hhhhh anaweza kunifukuza mimi shemeji yake mama gubu wee tulia mtoto wa juzi ushapata kimshepa boss wangu, na ushukuru bila mimi kukwambia ukakae kazini ungekutana nae huyoo, yaani nusu tu angekuwa wangu, ilaa mimi mhhh simuwezi shga angu mimi nina gubu kabisa afu mambo mengi mwanaume mmoja sina na siwezi kuwa nae na ndio maana siwezi kuolewa mimi" nilimtizama tu nikacheka tu "yaani dada rizki ilipangwa kwangu sasa nani angeichukua hata isingekuwa kwa njia hii ingepatikana tu shga angu" alinitizama akatabasam

Hatukukaa muda sana akaja boss Marquis alikuja na watu kama watau wakaja na zile meza za kupanga ikapangwa pale wakaweka chakula mezani awe Catherine hajakaribishwa akainuka mbio mbio hee jamani vitu adimu hivii mhh aibu naona mimi hhhh jamani sio powa yaani haya sijui mambo ya KFC nilikuwa naona raha tu kulishwa na marafiki zangu wakishuaa haya wee mgonjwa hebu sogea hapa ukute hata hujawahi kula haya mambo nilimtizama tu bila nikatabasamu na Marquis alicheka, aliomba anilishe alinilisha chakula dada sasa ni kunitania tuu jamani mpaka nikawa naona aibu mimi sasa maana ilikuwa too much maan alikuwa ananilisha nikijichafua ananifuta kwa mikono hatimaee tulimaliza na wale wahudumu waliondoka na vyombo navyoo Catherine nae aliomba atangulie kwa Mama mdogo wangu kule wakaandae mazingira ya ugeni, mimi nae nilibaki kusubiri muda wa kuruhusiwa, ulifika muda wa mimi kuruhusiwa niliruhusiwa na akasema tunaenda kwa Mama mdogo kwanza kuomba ruhusa na mengine yaendelee na mimi ndio nilikuwa namuelekeza njia, hatimaee Mama mdogo alitupokeaa tulikuwa na furaha sana

Maoni

You're not logged in

Tangazo - My true love mwanzo Hadi Mwisho
My true love mwanzo Hadi Mwisho
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* Chapter 13 Search "Hee shga angu ndio umeamua kutoka na boss mhh we kiboko mwenzangu kwanza

umeanzaje shga?" Nilimtizama tu nikacheka zangu maaana nilikuwa naona aibu balaaa mimi mtoto wa wat "Mhh kwahyo huyu ndie alikutoa bikra, maan mimi najua mwenzangu hujawahi" nilimtizama tu nikafunga macho "wee nae si uniambie bhana ilivyokuwa kipenzi changu maan wewe nae, aibu zako hukoo hapo enyewe wee sasa hivi ni mtu mzima hapa usivunge ntakubutuwa ujue mhhh we haya" nilimtizama tu nikajivuta nikakaa

"Yaani we dada bhan sasa hapo usichoolewa nini hapa? Catherine kila kitu kipo wazi bhna me niache nilale me naona aibu kuhadithia bhana" nilimwambia Catherine yaani huyu ni mmbea khaa basi akanilazimisha sikumwambia hata kilichotokeaa maan alikuwa...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/boss-chomoa-mimi-sio-jamani-chapter-13-search-hee-shga-angu-ndio-umeamua-kutoka-na-boss-mhh-we-kibok

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi boss-chomoa-mimi-sio-jamani-chapter
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* *     Chapter 17   "Careen kuna kitu cha muhumu sana nataka nikwambie" nilimtizama
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* * Chapter 17 "Careen kuna kitu cha muhumu sana nataka nikwambie" nilimtizama
 *BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* *   Chapter 19&20  Tulivyokuwa wenyew nilimfuata mume wangu na kumkumbatia nikamuuliza mume
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* * Chapter 19&20 Tulivyokuwa wenyew nilimfuata mume wangu na kumkumbatia nikamuuliza mume
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* * .Chapter 18  Nulirudi Tanzania kwetu Salama salimini nilimpigia dada nilipokuwa air port, alikuja kunipokea na gari mhh
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* * .Chapter 18 Nulirudi Tanzania kwetu Salama salimini nilimpigia dada nilipokuwa air port, alikuja kunipokea na gari mhh
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* *      Chapter 10  "Hhh hamna nimechanganyikiwa tu kwani huyu shida nini etty Catherine?" Aliniuliza mimi nilikuwa
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* * Chapter 10 "Hhh hamna nimechanganyikiwa tu kwani huyu shida nini etty Catherine?" Aliniuliza mimi nilikuwa
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* .Chapter 12  "Unatakiwa utibiwe haraka yaani huo mshtuko ambao umeupata utakupa shida
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* .Chapter 12 "Unatakiwa utibiwe haraka yaani huo mshtuko ambao umeupata utakupa shida
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* * Chapter 9  Asubuhi ilifika ila chaa ajabu najiona naamka nipo hospitali
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* * Chapter 9 Asubuhi ilifika ila chaa ajabu najiona naamka nipo hospitali
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* * Chapter 7  "Hamna mama yangu sifanyi tena Catherine ila naomba nikuogeshe"
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* * Chapter 7 "Hamna mama yangu sifanyi tena Catherine ila naomba nikuogeshe"
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* * Chapter 8  "Unafanana sauti na dad yako, sema yey anaongea sana, inaonekana kwenu ndio mlivyo maan hata Catherine ulikuwa mkorofi siku ya kwanza
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* * Chapter 8 "Unafanana sauti na dad yako, sema yey anaongea sana, inaonekana kwenu ndio mlivyo maan hata Catherine ulikuwa mkorofi siku ya kwanza
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

 *AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*   *15&16*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *15&16*

793
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17

570
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18

485
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20

333
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*

293
SHAMIRA sehemu ya 36&37

SHAMIRA sehemu ya 36&37

186
BLACK BUTTERFLY 🦋 5

BLACK BUTTERFLY 🦋 5

90
Some Bollywood families just have that star vibe, and Dimple Kapadia and her daughters are a perfect example

Some Bollywood families just have that star vibe, and Dimple Kapadia and her daughters are a perfect example

3

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.5K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.25K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.76K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.22K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.65K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.62K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.57K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.52K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.46K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.46K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20
@majario LIVE

Nikasema zena kweli ,na wew unafeel kama vile ambavyo mm nafeel acha masihara basi, akanambia lakini millan ,mi wewe sikujuhi vizur, ndo mana nilikuwa nataka mda kwanza wa kukufahamu ,nisije...

BLACK BUTTERFLY 🦋 5 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY 🦋 5
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 ENDELEAAA “ Brayton..” Camilla alijikuta akimuita bila kutarajiaa Brayton alimsogeleaa na kumuonyeshaa zile picha vizur tu kwenye simu yakee huku akimuulizaa “ Unawezaa kuniambia hiki nini?!?” Camilla alishangaa kwa...

Some Bollywood families just have that star vibe, and Dimple Kapadia and her daughters are a perfect example Post Mpya
Some Bollywood families just have that star vibe, and Dimple Kapadia and her daughters are a perfect example
@majario LIVE

. Dimple became a sensation with Bobby, and the same year she married superstar Rajesh Khanna. She was only 16 when she got married and became a mom at 17...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18
@majario LIVE

Yani ummy Alishangilia na kwambia aliimba nyimbo zote mpaka mama yake ndo alimnyamazisha, basi nikamwambia ummy aya mama yangu mzuri nimekuletea tv sasa uwe na amani sawa, akasema ndio...

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17* Post Mpya
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*
@majario LIVE

Sikujua kam nililala pale mpaka asubuhi, tena nimelala kana kwamba pale ni nyumbani kwetu jamni nilikuja kushtuka tena baada ya kupigiwa simu, jamni si ndio naamka najikuta nipo kwenye chumba...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi nilifika home nna hasira sana, nimechukia mnoo, yote sababu nilikuwa nimemmaind sana yule demu, yani nilimuona ana linga kinoma, nikasema bwana mi namkaushia kama.vp mana wanawake...

 *AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*   *15&16* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *15&16*
@majario LIVE

Nikatulia kwanza na kumuangalia madam groly kisha nikamuuliza. "Unamaanisha nini unavyosema hauna Furaha na hii siku 7 Sijakuelewa kwakweli nakumbuka ulikuwa ukitsubilia hi siku kwa hamu sana" Madam groly akacheka sana kisha akasogea...

SHAMIRA sehemu ya 36&37 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 36&37
@majario LIVE

Wassap:0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi mwanaume akaondoka zake na mimi ndo nikashika simu sasa .nikampigia aisha kumpa mchapo.nikasema shoga nusu niachwe mwenzio.nimeomba msamaha kama chizi.aisha akasema mh tatizo hamadi...

BLACK BUTTERFLY 🦋 4 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY 🦋 4
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 Endelea Brayton akiwa kwenye gari alijaribuu kupiga simu Hospitali ili maandilizi mapema kwaajili ya mgonjwa anae kuja nae muda huu. Hospitali nayo hakufanya makosa tayari waliandaa kitanda...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 21 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 21
@majario LIVE

Nikamuuliza "we umejuana vipi na D??" "Yule D ni mdogo wake na Boss wangu, ni binamu yake kitu kama hicho, mie sijawahi hata kuwa na mazoea nae kabisaaa ila kuna issue...

Honestly, these two are such a vibe together !  Priyanka Chopra and Nick Jonas Post Mpya
Honestly, these two are such a vibe together ! Priyanka Chopra and Nick Jonas
@majario LIVE

really make you believe in modern-day love stories. Different countries, different cultures, totally different careers — but somehow it all just fits perfectly. What started with a simple conversation...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*    *SEHEMU YA KUMI NA NNE* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *SEHEMU YA KUMI NA NNE*
@majario LIVE

Muda huo Mwenyewe nilikua Nacheza kwa Furaha zote, lakini kitendo cha kumuona madam groly killharibu kila kitu, niliona kabisa birthday yangu inaenda kuharibika Maana huyu mama hana jema ata kidogo. "NAKUJA Alizungumza...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *12&13* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *12&13*
@majario LIVE

SONGA NAYO Nikageuka na kumuangalia ma Mdogo "Ishani umeolewa Mwanangu?" Nikamuangalia na kumwambia. "Mind your business bi mkubwa Kisha Mimi na Enzo tukaondoka kwani tayall tulishabolt Bajaji na ilikuwa ikitusubilla. Msijiulize Kwanini tunatuma Bajaji wakati Enzo...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 20 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 20
@majario LIVE

Lile joto la midomo yake ilipo gusana niliisi ulimwengu wote umenyamaza nikafumba macho Kulikuwa na joto la ajabu sijawahi kulipata Mkono wake alikuwa anaupitisha taratibu kama anahesabu kila pigo la moyo wangu,...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 19 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 19
@majario LIVE

Basi mpaka sa moja inaenda na Nusu Veda hajaja, Moyo juu juu itakuwa tu kaenda huko kwenye ma club, moyo lipu lipu muda wote kama nimemezaa kaa la moto hajabu...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest