Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* *     Chapter 17   "Careen kuna kitu cha muhumu sana nataka nikwambie" nilimtizama
Gonga94 · Stories

*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* * Chapter 17 "Careen kuna kitu cha muhumu sana nataka nikwambie" nilimtizama

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
jicho baya kweli ma'am alikuwa kashanikera mno kama kuna siku alishawahi kunikela basi ni leo, nilimtizama nikasema "enhe sema nakusikiliza"

"Inatakiwa urudi Tz, kuna tatizo inabidi nilisolve kwanza umesikia" nilimtizama kwa jicho la kwamba endelea nakusikiliza "ujue mimi hapa nilioa lakini kimkataba wa kazi, maaana kuna issue ilitokea kwenye kazi kuachana na ile kampuni kuna mradi wa kuzalisha vitu mbali mbali nilitaka kuuufungua lakini nilikuwa sina vigezo lazima niwe na cheti cha ndoa na niliamua kutafuta yule mwanamke nikamlipa ili mambo yaendeleee lakini...." kabla hajamalizia alichokuwa anataka kuongea nikamadakia juu kwa juu yaani nilikuwa kama simuelewi flani hivii yaani kam sasa alitaka kucheza na akili yangu kwahyo ulioaa na hukutaka kunambia toka mwanzo? Kama ulioaa kimkataba si ndio na kama ulioaa sasa kwanini ulikutana na mimi mhhh?" Nilikuwa naongea kwa panic yaaani hapo nikifikiria nilikuwa nataka naniliu yangu lakini kaninyima basi unaambiwa hasira zilizidi mara 10 yake yaani nilikuwa natamani kummeza kwa jinsi nimekasirika hapo

"Hapana Careen mpenzi wangu, usiseme hivyoo mimi zile zilikuwa ni hisia ujue mimi sikiwahi kuwa na hisia kama ambazo ninazo kwako kwa muda sasa ujue mamy," nilimtizama mhh yaani natamani nimtukane hapo huo mtusi ila nikaona hauto muuma kama mimi ninavyoumia hapa nilitamani niliee, yaani soo kwamba nilikuwa nataka nilie etty yeye kuuoa kwa mkataba hapana yaani nilikuwa nataka nilie kwanini hakuniambia sasa mapema kama yeye amewahi kuoa japo kwa ajili ya kazi enhe kwanini hukunambia muda wote Marquis?" Alinitizama tu maan hili lilikuwa gumu kidogo kwake kujibu alimeza mate kwanza ndio akanijibu. alinisogelea akanishika bega nikausukuma huo mkono wake maana nilikuwa naona sasa mazoea yamezidi

"Ujue ile siku nilijikuta tu nimefanya vile mke wangu kwanza nilikiwa nina muda sana sijakutana na mtu kwenye hilo swala afu tayari nilikuwa nina hisia na wewe ila mimi sikutaka kufanya vile ni wewe tatizo mamy ulinikumbatia jamani, na wewe ulivyohot nikashindwa nifanye nini,nisamehe etty" mhh yaani nilitukana kichwani ila mdomoni sikusema kitu hata nilimkata jicho kali kinoma "nimekuuliza swali umeanza kuleta hadithi nijibu swali langu kwanza, wee mwanaume" alinitizama kwa macho ya huruma kweli kana kwamba ananionea huruma

"Ujue baada ya ile siku mimi nilitaka nikwambiee , ila tukaenda hospitali umesahau mke wangu?, na daktari alisema usiambiwe kitu ambacho kitakupa mstuko kipenzi changu sawa madam wangu, niliogopa na nilitaka ukipona ndio nikwambiee, ila kuna emergency kwasababu niliwambia wazazi wangu kuhusu wewe na walikubali ila walisema kwanza nifuatilie jambo la taraka mahakamani mpenzi wangu, ndio hapa mama kanitafuta amesema kashapata wakili tayari wakusimamia hili swala na hakitochukua muda hivyoo nilitaka urudi kwanza Tanzania mimi ninaondoka naenda South Africa kwanza halafu nikimalizana na hili nakauhidi mpenzi kila jambo litakaa sawa nakuombaa na hata mtalaka wangu hana shida asee hili lilinipa mawazo sana sijui kwanini ila nilikuwa na wasiwasi sana kwamba huu ndio utakuwa mwisho wa mahusiano yetu haki ya Mungu, ila ilibidi tu nikubali, mood yangu yote ya lile jambo ilikata kabisa nikalala tu na nilikatiwa ticket ya kesho asubuhi nilipanda na kurudi zangu Tz kwetu ila nilirudi peke yangu

Itaendelea

Maoni

You're not logged in

Tangazo - Mimi sikuachi fully stories
Mimi sikuachi fully stories
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* * Chapter 17 "Careen kuna kitu cha muhumu sana nataka nikwambie" nilimtizama

jicho baya kweli ma'am alikuwa kashanikera mno kama kuna siku alishawahi kunikela basi ni leo, nilimtizama nikasema "enhe sema nakusikiliza"

"Inatakiwa urudi Tz, kuna tatizo inabidi nilisolve kwanza umesikia" nilimtizama kwa jicho la kwamba endelea nakusikiliza "ujue mimi hapa nilioa lakini kimkataba wa kazi, maaana kuna issue ilitokea kwenye kazi kuachana na ile kampuni kuna mradi wa kuzalisha vitu mbali mbali nilitaka kuuufungua lakini nilikuwa sina vigezo lazima niwe na cheti cha ndoa na niliamua kutafuta yule mwanamke nikamlipa ili mambo yaendeleee lakini...." kabla hajamalizia alichokuwa anataka kuongea nikamadakia juu kwa juu yaani nilikuwa kama simuelewi flani hivii yaani kam...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/boss-chomoa-mimi-sio-jamani-chapter-17-careen-kuna-kitu-cha-muhumu-sana-nataka-nikwambie-nilimtizama

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi boss-chomoa-mimi-sio-jamani-chapter
 *BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* *   Chapter 19&20  Tulivyokuwa wenyew nilimfuata mume wangu na kumkumbatia nikamuuliza mume
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* * Chapter 19&20 Tulivyokuwa wenyew nilimfuata mume wangu na kumkumbatia nikamuuliza mume
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* * .Chapter 18  Nulirudi Tanzania kwetu Salama salimini nilimpigia dada nilipokuwa air port, alikuja kunipokea na gari mhh
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* * .Chapter 18 Nulirudi Tanzania kwetu Salama salimini nilimpigia dada nilipokuwa air port, alikuja kunipokea na gari mhh
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* *      Chapter 10  "Hhh hamna nimechanganyikiwa tu kwani huyu shida nini etty Catherine?" Aliniuliza mimi nilikuwa
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* * Chapter 10 "Hhh hamna nimechanganyikiwa tu kwani huyu shida nini etty Catherine?" Aliniuliza mimi nilikuwa
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* .Chapter 12  "Unatakiwa utibiwe haraka yaani huo mshtuko ambao umeupata utakupa shida
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* .Chapter 12 "Unatakiwa utibiwe haraka yaani huo mshtuko ambao umeupata utakupa shida
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* * Chapter 9  Asubuhi ilifika ila chaa ajabu najiona naamka nipo hospitali
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* * Chapter 9 Asubuhi ilifika ila chaa ajabu najiona naamka nipo hospitali
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* Chapter 13  Search  "Hee shga angu ndio umeamua kutoka na boss mhh we kiboko mwenzangu kwanza
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* Chapter 13 Search "Hee shga angu ndio umeamua kutoka na boss mhh we kiboko mwenzangu kwanza
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* * Chapter 7  "Hamna mama yangu sifanyi tena Catherine ila naomba nikuogeshe"
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* * Chapter 7 "Hamna mama yangu sifanyi tena Catherine ila naomba nikuogeshe"
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* * Chapter 8  "Unafanana sauti na dad yako, sema yey anaongea sana, inaonekana kwenu ndio mlivyo maan hata Catherine ulikuwa mkorofi siku ya kwanza
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* * Chapter 8 "Unafanana sauti na dad yako, sema yey anaongea sana, inaonekana kwenu ndio mlivyo maan hata Catherine ulikuwa mkorofi siku ya kwanza
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

 *AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*   *15&16*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *15&16*

795
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17

570
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18

485
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20

333
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*

294
SHAMIRA sehemu ya 36&37

SHAMIRA sehemu ya 36&37

186
BLACK BUTTERFLY 🦋 5

BLACK BUTTERFLY 🦋 5

90
Some Bollywood families just have that star vibe, and Dimple Kapadia and her daughters are a perfect example

Some Bollywood families just have that star vibe, and Dimple Kapadia and her daughters are a perfect example

3

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.5K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.25K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.76K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.22K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.65K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.62K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.57K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.52K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.46K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.46K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20
@majario LIVE

Nikasema zena kweli ,na wew unafeel kama vile ambavyo mm nafeel acha masihara basi, akanambia lakini millan ,mi wewe sikujuhi vizur, ndo mana nilikuwa nataka mda kwanza wa kukufahamu ,nisije...

BLACK BUTTERFLY 🦋 5 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY 🦋 5
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 ENDELEAAA “ Brayton..” Camilla alijikuta akimuita bila kutarajiaa Brayton alimsogeleaa na kumuonyeshaa zile picha vizur tu kwenye simu yakee huku akimuulizaa “ Unawezaa kuniambia hiki nini?!?” Camilla alishangaa kwa...

Some Bollywood families just have that star vibe, and Dimple Kapadia and her daughters are a perfect example Post Mpya
Some Bollywood families just have that star vibe, and Dimple Kapadia and her daughters are a perfect example
@majario LIVE

. Dimple became a sensation with Bobby, and the same year she married superstar Rajesh Khanna. She was only 16 when she got married and became a mom at 17...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18
@majario LIVE

Yani ummy Alishangilia na kwambia aliimba nyimbo zote mpaka mama yake ndo alimnyamazisha, basi nikamwambia ummy aya mama yangu mzuri nimekuletea tv sasa uwe na amani sawa, akasema ndio...

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17* Post Mpya
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*
@majario LIVE

Sikujua kam nililala pale mpaka asubuhi, tena nimelala kana kwamba pale ni nyumbani kwetu jamni nilikuja kushtuka tena baada ya kupigiwa simu, jamni si ndio naamka najikuta nipo kwenye chumba...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi nilifika home nna hasira sana, nimechukia mnoo, yote sababu nilikuwa nimemmaind sana yule demu, yani nilimuona ana linga kinoma, nikasema bwana mi namkaushia kama.vp mana wanawake...

 *AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*   *15&16* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *15&16*
@majario LIVE

Nikatulia kwanza na kumuangalia madam groly kisha nikamuuliza. "Unamaanisha nini unavyosema hauna Furaha na hii siku 7 Sijakuelewa kwakweli nakumbuka ulikuwa ukitsubilia hi siku kwa hamu sana" Madam groly akacheka sana kisha akasogea...

SHAMIRA sehemu ya 36&37 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 36&37
@majario LIVE

Wassap:0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi mwanaume akaondoka zake na mimi ndo nikashika simu sasa .nikampigia aisha kumpa mchapo.nikasema shoga nusu niachwe mwenzio.nimeomba msamaha kama chizi.aisha akasema mh tatizo hamadi...

BLACK BUTTERFLY 🦋 4 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY 🦋 4
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 Endelea Brayton akiwa kwenye gari alijaribuu kupiga simu Hospitali ili maandilizi mapema kwaajili ya mgonjwa anae kuja nae muda huu. Hospitali nayo hakufanya makosa tayari waliandaa kitanda...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 21 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 21
@majario LIVE

Nikamuuliza "we umejuana vipi na D??" "Yule D ni mdogo wake na Boss wangu, ni binamu yake kitu kama hicho, mie sijawahi hata kuwa na mazoea nae kabisaaa ila kuna issue...

Honestly, these two are such a vibe together !  Priyanka Chopra and Nick Jonas Post Mpya
Honestly, these two are such a vibe together ! Priyanka Chopra and Nick Jonas
@majario LIVE

really make you believe in modern-day love stories. Different countries, different cultures, totally different careers — but somehow it all just fits perfectly. What started with a simple conversation...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*    *SEHEMU YA KUMI NA NNE* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *SEHEMU YA KUMI NA NNE*
@majario LIVE

Muda huo Mwenyewe nilikua Nacheza kwa Furaha zote, lakini kitendo cha kumuona madam groly killharibu kila kitu, niliona kabisa birthday yangu inaenda kuharibika Maana huyu mama hana jema ata kidogo. "NAKUJA Alizungumza...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *12&13* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *12&13*
@majario LIVE

SONGA NAYO Nikageuka na kumuangalia ma Mdogo "Ishani umeolewa Mwanangu?" Nikamuangalia na kumwambia. "Mind your business bi mkubwa Kisha Mimi na Enzo tukaondoka kwani tayall tulishabolt Bajaji na ilikuwa ikitusubilla. Msijiulize Kwanini tunatuma Bajaji wakati Enzo...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 20 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 20
@majario LIVE

Lile joto la midomo yake ilipo gusana niliisi ulimwengu wote umenyamaza nikafumba macho Kulikuwa na joto la ajabu sijawahi kulipata Mkono wake alikuwa anaupitisha taratibu kama anahesabu kila pigo la moyo wangu,...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 19 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 19
@majario LIVE

Basi mpaka sa moja inaenda na Nusu Veda hajaja, Moyo juu juu itakuwa tu kaenda huko kwenye ma club, moyo lipu lipu muda wote kama nimemezaa kaa la moto hajabu...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest