Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* * .Chapter 18  Nulirudi Tanzania kwetu Salama salimini nilimpigia dada nilipokuwa air port, alikuja kunipokea na gari mhh
Gonga94 · Stories

*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* * .Chapter 18 Nulirudi Tanzania kwetu Salama salimini nilimpigia dada nilipokuwa air port, alikuja kunipokea na gari mhh

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
nilishangaa ila sikumuuliza alinipeleka kwenye nyumba moja hivi nzuri akashuka akaenda kufungua geti akaingiza gari, tukaingia ndani, nilijitahidi nikae sawa mbeleni mwa macho ya watu ilaa nilikuwa sipo sawa hata kidogo, sikuuliza kuhusu mabadiliko yoyote yaliyotokea upande wa nyumbani niliomba tu nipelekwe chumbani nina mchoko wa safari Catherine alinipeleka sehemu ambayo natakiwa nifikie niliweka mizigoo maana nakumbuka sikuja hata na zawadi mimi, niliomba niachwe peke yangu na Catherine alinielewa nilibaki peke yangu, naliaa sana, nililia visivyo kawaida mpaka nilihisi sasa nimeridhika, japo nilielewa ila nilikuwa nina wasi kwamba anaweza asirudi, nilipitiwa na usingizi kabisa ila nilikuja kuamka baada ya Catherine kuja kuniamsha

"Careen mbona unalia sasa, mimi naelewa kila kitu Boss alinielezeaaa kila kitu kuhusu hili jambo ambalo linakusumbua, sema sikutaka kukwambia kwasababu ya ugonjwa ulionao mama yangu tafadhal muelewe kwa hilo naomba uelewe kwenye hili sawa mrembo wangu ? alinifinya mashavu kidogo nilimkumbatia nikaanza tena kulia kwa sauti kubwa sasa Catherine mimi siogopi hilo la kufichwa nishajua kama mlikuwa mnahofia afya yangu sana, ila nina wasi wasi kam anaweza asirudi tena naogopa sana dada" aliniweka sawa akanipa moyo kwamba atarudi ndio akanambia hata hapa tunapokaa sasa hivi ni yeye binafsi na kule dukani wameongez bidhaa na ile fremu ni kwamba ni ya kwetu aliinunua kabisa na kuhusu ndoa ni baada ya hili atakuja kunioaa alinambiaa etty ananipenda, nilifurahi kwa kiasi chake na dada aliniacha nipumzike sasa yeye mwenyew akajiandae na kazini maan hakufukuzwa kile kipindi, tuliagana kabisa,

Zilipita siku na miezi mingi sasa tunawasilianaa lakini na Marquis na pia alikuwa ananipa moyo hili kidogo lilikuwa linanipa moyo sana upande wangu nikiamni atarudi tu siku japo alikuwa ananiambia kesi imshakuwa ngumu sana kwani yule mdada ameanza kuleta visa visivyo na sababu tulienda tukawa tunawasiliana, vizuri tu, ila baadae mambo yalibadilika sana mawasiliano yakawa ya shida sana yaani mhh sijui nisemaje kuna mida naongea nae na kuna muda nikikuwa nakaa hata wiki 2 bila mawasiliano yoyote na yeye ila hili lilikuwa. linanipa wasi wasi sana maan nilikuwa hata nikiongea nae ananiambia mambo bado magumu sana, nilikuwa nimemmsi ila haina jinsi ilichukua miezi takriban saba hatujaonanan kabisa maan huku mwishoni nakumbuka mawasiliano yalikata kabisa kati yetu, nilikonda sana kwa mawazo na pia nilizidisha ukimya ijapokuwa na mimi ni mkimya na mama mdogo na Catherine walikuwa wananipa moyoo ila haikusaidia kabisa

Hii siku nilikuwa nimekaa zangu nimetuliaa. nakuja kugongewa mlango na mama mdogo ananiambia etty kuna wageni wangu, nilivaa dera langu la mtandio nikashuka chini kuwasikiliza nakuta ni watu wazima wawili na mabinti wawili mimi hata siwajui yaani

Walijitambulisha kama ni wazazi wa Marquis na wamekuja kwenye swala la mahari na mambo mengine ya harusi jamani nilifurahi mimi mhhh jamani nilijikuta nauliza mume wangu yupo wapi?" Yaani nilihisi ile aibu yangu imepotea kabisa yaani alinijibu wifi aliejitambulisha anaitwa Groly "mhhh wifi mbona una haraka hivyoo jamani khaa, wewe kaka utamuona siku ya harusi yako hapa" nilitabasama huyu alikuwa mchangamfu kuliko hata Grace alikuwa anaonekana mishauo kama Catherine yaani walipanga siku ya harusi na waliipanga karibu maan walisema kutokana na mkataba inabidi asichelewe kupata mke maana katoka kuachana na yule mwanamke wake nilifurahi mimi jamani nilikuwa natamani hata iwe kesho ila ilipangwa wiki inayofuata

Ile siku ilifika tulifunga ndoaa kabisa ila hatukuwa na sherehe wala nini, wakwe zangu walinipa zawadi nyingi nyingi mhh mpaka niliishiwa pawa mini" haya sherehe hakuna, tutafanya sherehe ukiniletea mjukuu" nilicheka maan alitania ilaa utani ulikuwa wa kweli baada ya ndoa sisi tulienda hotelini na Familia ya mume wangu walienda hukoo nyumbani kwetu maan ile nyumba aliyotutafutia Marquis ilikuwa kubwa sana

Itaendelea.....

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Mwanangu Mungu ndio anae jua
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* * .Chapter 18 Nulirudi Tanzania kwetu Salama salimini nilimpigia dada nilipokuwa air port, alikuja kunipokea na gari mhh

nilishangaa ila sikumuuliza alinipeleka kwenye nyumba moja hivi nzuri akashuka akaenda kufungua geti akaingiza gari, tukaingia ndani, nilijitahidi nikae sawa mbeleni mwa macho ya watu ilaa nilikuwa sipo sawa hata kidogo, sikuuliza kuhusu mabadiliko yoyote yaliyotokea upande wa nyumbani niliomba tu nipelekwe chumbani nina mchoko wa safari Catherine alinipeleka sehemu ambayo natakiwa nifikie niliweka mizigoo maana nakumbuka sikuja hata na zawadi mimi, niliomba niachwe peke yangu na Catherine alinielewa nilibaki peke yangu, naliaa sana, nililia visivyo kawaida mpaka nilihisi sasa nimeridhika, japo nilielewa ila nilikuwa nina wasi kwamba anaweza asirudi, nilipitiwa na usingizi kabisa ila nilikuja kuamka baada ya...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/boss-chomoa-mimi-sio-jamani-chapter-18-nulirudi-tanzania-kwetu-salama-salimini-nilimpigia-dada-nilip

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi boss-chomoa-mimi-sio-jamani-chapter
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* *     Chapter 17   "Careen kuna kitu cha muhumu sana nataka nikwambie" nilimtizama
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* * Chapter 17 "Careen kuna kitu cha muhumu sana nataka nikwambie" nilimtizama
 *BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* *   Chapter 19&20  Tulivyokuwa wenyew nilimfuata mume wangu na kumkumbatia nikamuuliza mume
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* * Chapter 19&20 Tulivyokuwa wenyew nilimfuata mume wangu na kumkumbatia nikamuuliza mume
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* *      Chapter 10  "Hhh hamna nimechanganyikiwa tu kwani huyu shida nini etty Catherine?" Aliniuliza mimi nilikuwa
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* * Chapter 10 "Hhh hamna nimechanganyikiwa tu kwani huyu shida nini etty Catherine?" Aliniuliza mimi nilikuwa
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* .Chapter 12  "Unatakiwa utibiwe haraka yaani huo mshtuko ambao umeupata utakupa shida
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* .Chapter 12 "Unatakiwa utibiwe haraka yaani huo mshtuko ambao umeupata utakupa shida
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* * Chapter 9  Asubuhi ilifika ila chaa ajabu najiona naamka nipo hospitali
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* * Chapter 9 Asubuhi ilifika ila chaa ajabu najiona naamka nipo hospitali
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* Chapter 13  Search  "Hee shga angu ndio umeamua kutoka na boss mhh we kiboko mwenzangu kwanza
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* Chapter 13 Search "Hee shga angu ndio umeamua kutoka na boss mhh we kiboko mwenzangu kwanza
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* * Chapter 7  "Hamna mama yangu sifanyi tena Catherine ila naomba nikuogeshe"
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* * Chapter 7 "Hamna mama yangu sifanyi tena Catherine ila naomba nikuogeshe"
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* * Chapter 8  "Unafanana sauti na dad yako, sema yey anaongea sana, inaonekana kwenu ndio mlivyo maan hata Catherine ulikuwa mkorofi siku ya kwanza
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* * Chapter 8 "Unafanana sauti na dad yako, sema yey anaongea sana, inaonekana kwenu ndio mlivyo maan hata Catherine ulikuwa mkorofi siku ya kwanza
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

 *AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*   *15&16*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *15&16*

793
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17

570
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18

485
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20

332
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*

293
SHAMIRA sehemu ya 36&37

SHAMIRA sehemu ya 36&37

186
BLACK BUTTERFLY 🦋 5

BLACK BUTTERFLY 🦋 5

90
Some Bollywood families just have that star vibe, and Dimple Kapadia and her daughters are a perfect example

Some Bollywood families just have that star vibe, and Dimple Kapadia and her daughters are a perfect example

3

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.5K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.25K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.76K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.22K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.65K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.62K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.57K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.52K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.46K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.46K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20
@majario LIVE

Nikasema zena kweli ,na wew unafeel kama vile ambavyo mm nafeel acha masihara basi, akanambia lakini millan ,mi wewe sikujuhi vizur, ndo mana nilikuwa nataka mda kwanza wa kukufahamu ,nisije...

BLACK BUTTERFLY 🦋 5 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY 🦋 5
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 ENDELEAAA “ Brayton..” Camilla alijikuta akimuita bila kutarajiaa Brayton alimsogeleaa na kumuonyeshaa zile picha vizur tu kwenye simu yakee huku akimuulizaa “ Unawezaa kuniambia hiki nini?!?” Camilla alishangaa kwa...

Some Bollywood families just have that star vibe, and Dimple Kapadia and her daughters are a perfect example Post Mpya
Some Bollywood families just have that star vibe, and Dimple Kapadia and her daughters are a perfect example
@majario LIVE

. Dimple became a sensation with Bobby, and the same year she married superstar Rajesh Khanna. She was only 16 when she got married and became a mom at 17...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18
@majario LIVE

Yani ummy Alishangilia na kwambia aliimba nyimbo zote mpaka mama yake ndo alimnyamazisha, basi nikamwambia ummy aya mama yangu mzuri nimekuletea tv sasa uwe na amani sawa, akasema ndio...

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17* Post Mpya
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*
@majario LIVE

Sikujua kam nililala pale mpaka asubuhi, tena nimelala kana kwamba pale ni nyumbani kwetu jamni nilikuja kushtuka tena baada ya kupigiwa simu, jamni si ndio naamka najikuta nipo kwenye chumba...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi nilifika home nna hasira sana, nimechukia mnoo, yote sababu nilikuwa nimemmaind sana yule demu, yani nilimuona ana linga kinoma, nikasema bwana mi namkaushia kama.vp mana wanawake...

 *AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*   *15&16* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *15&16*
@majario LIVE

Nikatulia kwanza na kumuangalia madam groly kisha nikamuuliza. "Unamaanisha nini unavyosema hauna Furaha na hii siku 7 Sijakuelewa kwakweli nakumbuka ulikuwa ukitsubilia hi siku kwa hamu sana" Madam groly akacheka sana kisha akasogea...

SHAMIRA sehemu ya 36&37 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 36&37
@majario LIVE

Wassap:0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi mwanaume akaondoka zake na mimi ndo nikashika simu sasa .nikampigia aisha kumpa mchapo.nikasema shoga nusu niachwe mwenzio.nimeomba msamaha kama chizi.aisha akasema mh tatizo hamadi...

BLACK BUTTERFLY 🦋 4 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY 🦋 4
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 Endelea Brayton akiwa kwenye gari alijaribuu kupiga simu Hospitali ili maandilizi mapema kwaajili ya mgonjwa anae kuja nae muda huu. Hospitali nayo hakufanya makosa tayari waliandaa kitanda...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 21 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 21
@majario LIVE

Nikamuuliza "we umejuana vipi na D??" "Yule D ni mdogo wake na Boss wangu, ni binamu yake kitu kama hicho, mie sijawahi hata kuwa na mazoea nae kabisaaa ila kuna issue...

Honestly, these two are such a vibe together !  Priyanka Chopra and Nick Jonas Post Mpya
Honestly, these two are such a vibe together ! Priyanka Chopra and Nick Jonas
@majario LIVE

really make you believe in modern-day love stories. Different countries, different cultures, totally different careers — but somehow it all just fits perfectly. What started with a simple conversation...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*    *SEHEMU YA KUMI NA NNE* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *SEHEMU YA KUMI NA NNE*
@majario LIVE

Muda huo Mwenyewe nilikua Nacheza kwa Furaha zote, lakini kitendo cha kumuona madam groly killharibu kila kitu, niliona kabisa birthday yangu inaenda kuharibika Maana huyu mama hana jema ata kidogo. "NAKUJA Alizungumza...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *12&13* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *12&13*
@majario LIVE

SONGA NAYO Nikageuka na kumuangalia ma Mdogo "Ishani umeolewa Mwanangu?" Nikamuangalia na kumwambia. "Mind your business bi mkubwa Kisha Mimi na Enzo tukaondoka kwani tayall tulishabolt Bajaji na ilikuwa ikitusubilla. Msijiulize Kwanini tunatuma Bajaji wakati Enzo...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 20 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 20
@majario LIVE

Lile joto la midomo yake ilipo gusana niliisi ulimwengu wote umenyamaza nikafumba macho Kulikuwa na joto la ajabu sijawahi kulipata Mkono wake alikuwa anaupitisha taratibu kama anahesabu kila pigo la moyo wangu,...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 19 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 19
@majario LIVE

Basi mpaka sa moja inaenda na Nusu Veda hajaja, Moyo juu juu itakuwa tu kaenda huko kwenye ma club, moyo lipu lipu muda wote kama nimemezaa kaa la moto hajabu...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest