Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

CHIMBA CHA MPANGAJI SEHEMU YA 28,
Gonga94 Β· Stories

CHIMBA CHA MPANGAJI SEHEMU YA 28,

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


CHIMBA CHA MPANGAJI SEHEMU YA 28,

ILIPOISHIA.....
"""" Nasraaaaaa!!! Nikikushika nakuuua mjinga weweeee....
Aliongea Rehema huku analia na kufungua mlango wa gari lake..

Rehema aliondoka pale kituoni akiwa kama amechanganyikiwa...
Alifika katikakati ya mji na kupaki gari kwanza huku anawaza ni upande gani aende..

Alisoma mshale wa mafuta ya gari ulikuwa umeshuka sana..
Aliamua kupitia sheli na kujaza mafuta,
Taratibu alieondoa gari lake kuelekea nyumbani alipouacha Mwili wa mama yake saidi..

*****
Rehema alifika na kukuta geti lipo wazi ikimaanisha kuna gari liliingia mule ndani muda si mrefu,
Alishtuka sana Rehema na kupaki gari lake njee kisha yeye kuingia ndani kwa kujihami akiwa ameshika silaha yake mkononi..

Alifika na kusukuma mlango wa sebuleni kisha kuingia ndani.. Alitazama kila pande na kuona matone tu ya Damu lakini mwili wa mama yake Saidi haukuwepo..

"" "" Mungu wangu... Huu mwili umeenda wapi tena jamani...
Aliongea Rehema kwa mshtuko huku ameshika mdomo wake..

""" Kama kuna mtu humu ndani ajisalimishe upesi....
Aliendelea kuongea Rehema kwa hofu huku anatetemeka sana...

Rehema alipiga hatua hadi kwenye mlango wa kingia chumbani kwa saidi,
Aliusukuma na kuingia ndani, alitazama kila pande na kukuta kupo sawa tu,

*****
Alitoka na kwenda kwa Nasra....
Alisukuma pia mlango kwa hukihami na Hofu nyingi sana...

Aliingia ndani akiwa ameitanguliza bastola yake..
Alitazama kila pande lakini hakukuta kitu chochote mule ndani..

Chumba kilikuwa cheupe utadhani hakukuwa na mtu aliewahi kuishi mule ndani.

****
"" " Au huyu binti ni jini jamani.?? Aliwaza Rehema huku anatetemeka na kuufunga ule mlango wa Nasra...

Alienda kwa Saidi kisha kufunga mlango pia..

****
Alifunga na Mlango lwa sebuleni kisha kutoka na kufunga geti...

Alichukua funguo zote na kuondoka nazo..

Rehema alienda kwanza nyumbani kwake Area C na kuoga kisha kubadili nguo..

Alivaa Top Nyekundu na Skin-jeans ya blue kisha kuweka nywele zake sawa na kutoka kwenda maeneo ya Starehe kwanza kupeleleza kama angepata habari zozote kuhusu tukio..

Mara nyingi wahalifu baada ya tukio huwa wanakimbilia sehemu za Sterehe. Alimini lazima huko angepata tu taarifa zozote...

******
Baada ya Rehema kutoka tu nyumbani kwake, breki yake ya kwanza ilikuwa ni Royal Vilage ambapo kulikuwa na Live band kwa usiku ule..

*****
Baada ya Kudifa, Rehema alipaki Gari na kujiweka sawa kisha kuingia ndani...

Rehema alienda kaunta na kuagiza Chupa ndogo ya konyagi na Soda aina ya Siprite, ilikuwa ni soda baridi ili kupunguza makali ya pombe ile..
Alipewa na kulipia kisha kwenda kukaa kwenye kona huku anatazama bendi na mazingira yalivyokuwa....

****
Rehema alimimina unywaji wake kwenye glass na kuanza kunywa taratibu..

Baadhi ya watu walianza kumtazama Rehema wakishangaa ni Binti wa namna gani anakunywa konyagi kwa kujiamini kiasi kile...

Konyagi ilikuwa ni pombe kali mithili ya Gongo, ni nadra sana kuona binti akinywa pombe kali za namna ile.

*****
Kuna mtu mmoja alikuwa amekaa pembeni,
Baada ya kumuona tu Rehema, yule mtu alishindwa kuangalia Bend na kujikuta anamtazama tu Rehema..

Rehema pia alijua hilo na yeye pia alianza kumuangalia yule kaka kwa jicho la kuibia...

******
Yule jamaa alimuita muhudumu na kumnong'oneza huku akimuonyesha upande alipokuwa amekaa Rehema..
*

Baada ya kuelekezwa, yule dada alijiweka sawa na kwenda kumfuata Rehema..

****
"" " Dada Samahani.. Kuna yule kaka mwenye Shati ya Draft kaniagiza, anasema kama hautojali anaomba aje kukaa na wewe meza moja au unae mgeni unamsubiri.???
Aliongea muhudumua huku anamtazama Rehema..

" "" Bila shaka.. Mwambie aje tu, alijibu Rehema na kujiweka sawa...

****

Muhudumua alitabasama n kurudi kwa yule jamaa..

Alimuelekeza na jamaa alitoa noti moja ya Elfu kumi na kumpa muhudumu kama Asante..

***
Yule jamaa aliinuka na kwenda kukaa pembeni ya Rehema na kumuagizia konyagi nyingine kichupa kidogo kama kile cha mwanzo...
Aliagiza na kuku mzima wa kuchomwa kisha kuanza kupiga story na Rehema..
*******

"" " Dada, kwa majina naitwa 'Leonidas Msechu'.. Sijui wewe unaitwa nani Dadaangu..
Aliongea yule kaka

" "" Mimi naitwa Rachel Marco
Alijibu Rehema akidanganya jina lake.....

"" " Unajina zuri sana pia nimevutiwa na unywaji wako dadaangu..
Unajiamini sana na upo mwenyewe alafu unakunywa vinywaji vikali kiasi hiki, je ukizidiwa nani atakupeleka nyumbani??
Aliongea yule kaka..

*
" "" Hahhaahahha.. Ni kawaida tu, mbona huwa nakunywa lile kubwa na silewi.. Nimeanza kunywa muda mrefu sana ndio maana hazinipi shida..
Nakushangaa wewe mwanaume unakunywa Serengeti Lite, unalewa kweli au umekuja kupoteza muda.???

Aliongea Rehema huku anatazama sana Shati la yule kaka baada ya kuona matone kama matatu ya damu kwenye sehemu ya shati upande wa kushoto mwa kifua cha yule kaka....

"" "
Hapana bana.. Mimi nakunywa sana tu sema hapa nimeanza tu kulainisha koo.. Na leo nimepiga dili la pesa ndefu sana kwahiyo nipo tayari tunywea na ikiwezekana tuondoke pamoja tukatulie sehemu dadaangu au unasemaje.???
Aliendelea kuongea yule kaka...
.....

""" Kwani umepiga dili gani.??
Alidakia Rehema kutaka kujua kiundani zaidi.. Alishaanza kuhisi huenda kuna jambo anajua yule jamaa..

Dodoma ni mji mdogo sana ni rahisi kwa mhalifu kukamatwa kwa muda mfupi tu...

*****
"" " Hahaahha.. Ni dili za kiume tu, mtoto wa kike hupaswi kujua bana..
Wewe unatakiwa kula pesa tu, hutakiwi kujua zilipo toka..
Aliongea yule kaka..

" "" "
Hahahahahah. Jamani we kaka. Lakini kweli, wadada kazi yetu ni kula tu kwasababu hata kutafuta pesa hatuwezi acha tudange tu..
Aliongea Rehema na kufungua kichupa kipya cha konyagi kwasababu kile cha mwanzo alisha kimaliza..

Alimimina kidogo kwenye glass yake na nyingine alimimina kwenye glass ya jamaa kisha kumchanganyia na bia...

INGIA KWENYE CHANEL SOMA YOTE MWANZO MWISHO BURE CHA KUFANYA BONYEZA HAPA KWENYE LINK KISHA FOLLOW

https://whatsapp.com/channel/0029VaArYXf1NCrOwbZvYu2x

Maoni

You're not logged in


Tangazo - SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
Wimbo wenye ubunifu imechanga kiarabu kiswahili na amapiano wimbo wa kushukuru kwa maisha na upendo Sasa sikiliza na ku download hapa gonga94.com
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

CHIMBA CHA MPANGAJI SEHEMU YA 28,



CHIMBA CHA MPANGAJI SEHEMU YA 28,

ILIPOISHIA.....
"""" Nasraaaaaa!!! Nikikushika nakuuua mjinga weweeee....
Aliongea Rehema huku analia na kufungua mlango wa gari lake..

Rehema aliondoka pale kituoni akiwa kama amechanganyikiwa...
Alifika katikakati ya mji na kupaki gari kwanza huku anawaza ni upande gani aende..

Alisoma mshale wa mafuta ya gari ulikuwa umeshuka sana..
Aliamua kupitia sheli na kujaza mafuta,
Taratibu alieondoa gari lake kuelekea nyumbani alipouacha Mwili wa mama yake saidi..

*****
Rehema alifika na kukuta geti lipo wazi ikimaanisha kuna gari liliingia mule ndani muda si mrefu,
Alishtuka sana Rehema na kupaki gari lake njee kisha yeye kuingia ndani kwa kujihami akiwa ameshika silaha yake mkononi..

Alifika na...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/chimba-cha-mpangaji-sehemu-ya-28

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi chimba-cha-mpangaji-sehemu-ya
CHIMBA CHA MPANGAJI SEHEMU YA 28,
CHIMBA CHA MPANGAJI SEHEMU YA 28,
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23

638
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25

510
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7

203
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 8

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 8

144
SHAMIRA sehemu ya 38&39

SHAMIRA sehemu ya 38&39

126
AMIRAH WANGU   Sehemu ya 01

AMIRAH WANGU   Sehemu ya 01

118
UTANIITA SHEMEJI.   SEHEMU YA 17

UTANIITA SHEMEJI. SEHEMU YA 17

82
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 11

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 11

82
MASWALI YA BILIONEA WA FALME ZA KIARABU, KHALAF AHMAD AL HABTOOR KWA RAIS WA MAREKANI |

MASWALI YA BILIONEA WA FALME ZA KIARABU, KHALAF AHMAD AL HABTOOR KWA RAIS WA MAREKANI |

5

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.54K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.28K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.77K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.24K
MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

2.74K
MY WANGU❀️ sehemu ya 108

MY WANGU❀️ sehemu ya 108

2.63K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.63K
MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

2.56K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.5K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.47K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 11 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 11
@majario LIVE

πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹ Noela alipoondoka hakujua hata aende wapi. Alitembea polepole barabarani, machozi yakimtoka na wala hakujali. Aliumia kwa sababu alisalitiwa na watu wawili muhimu sana kwenye maisha yakeπŸ’”. Alikumbuka dalili alizowahi kuona kwamba...

SHAMIRA sehemu ya 38&39 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 38&39
@majario LIVE

πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€ Mwandishi; lissa wa huru media Nikasema hapana sijafanywa hivyo akanmbia nini wewe umegawa namba kwa wanume zako wanatuma sms unajifanya kushaangaaa unanichukuliaje wewe. Kwanini unanidhalilisha shamira mpka najuta kuwa...

MASWALI YA BILIONEA WA FALME ZA KIARABU, KHALAF AHMAD AL HABTOOR KWA RAIS WA MAREKANI | Post Mpya
MASWALI YA BILIONEA WA FALME ZA KIARABU, KHALAF AHMAD AL HABTOOR KWA RAIS WA MAREKANI |
@majario LIVE

1- Mheshimiwa nani alikupa ruhsa kuingiza Ukanda wetu katika vita dhidi ya Iran na kwa gharama gani uliwaza kuwa watu wa kwanza kuteseka ni nchi za Ukanda huu ambao ndio...

UTANIITA SHEMEJI.   SEHEMU YA 17 Post Mpya
UTANIITA SHEMEJI. SEHEMU YA 17
@majario LIVE

SONGA NAYO............... Mda ulienda jioni ilipofika akatoka kazin ,baada ya kufika nyumbani tu salamu ya kwanza aliingia chumbani na kufungua kioo na kutoka kwenye kibalaza kilicho pembezoni mwa chumba chake . Alifika...

AMIRAH WANGU   Sehemu ya 01 Post Mpya
AMIRAH WANGU   Sehemu ya 01
@majario LIVE

Tunaanza... Asubuhi na mapema, Sheikh Abdullah alimuita binti yake, Amirah, ambaye alikuwa na umri wa miaka ishirini na tatu. Amirah alitoka chumbani kwake na kumfuata baba yake ili kumsikiliza....

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 8 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 8
@majario LIVE

SONGA NAYO...... Madam hakuwa na maneno mengine ya kuongea zaidi alijiinamia kama mtu anaefikiri kitu, ili kuepuka kesi mtoto wa mama Mira mie nikaamka na mwanangu haoo mpaka chumbani kwetu na...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25
@majario LIVE

Nikafunga gari ,kisha nikashika mkono akawa bado hayupo sawa kakasilika sana, ila niliona kidogo hasira yake imepungua pale ambapo ibra alipiga simu na kusikia maongezi ya ibraa, basi bwana...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23
@majario LIVE

Nikasema mama.nisikilize, unasikia mke wangu, haipo kama unavyowaza wewe. ,mi yule.sio mwanamke wangu, yule.ni shemeji yangu, ni mwanamke wa ibraa, na tulikuwa tunakutana wote jioni hiiii, mi uyu demu nimekutana...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7
@majario LIVE

SONGA NAYO..... Hatimae ule mda wa kuwasili huyo mkaka wa kuitwa Anfrey ulifika walimpokea kwa furaha sana wazazi kama wazazi walimzawadia kijana wao gari ya milioni 80 Mimi nilikuwa kwa mbali natazama...

AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *19&20* Post Mpya
AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *19&20*
@majario LIVE

Huo Ndio ukawa mwanzo Mpya wa upendo kati yangu Mimi na madam groly, Yaani mimba tu na kukaa nae Ndani ya miezi miwili tu tayali madam groly aliona utofauti wangu. Kwa...

KWAKO RUSHINE DE REUCK. Post Mpya
KWAKO RUSHINE DE REUCK.
@majario LIVE

Nikiwa kama mpenzi na shabiki mwanachama wa Simba niliyenyooka ninajikuta nina wajibu wa kusema ukweli pale panapohitajika ili kama kuna hatua za kuchukuliwa zichukuliwe mapema na mhusika kabla jambo...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 21 na 22 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 21 na 22
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Mwandiishi; LISSA Basi bwana rasmi tukaanza aya mahusiano bubu sasa, ambayo mimi binafsi sikuwa nimeyaafik kabisaaa, na wala sikuwa nayafurahia ata kidogo ,ila mchumba si kaamua basi powa, nikaona ngoja...

Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom Tanzania Post Mpya
Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom Tanzania
@majario LIVE

Kutokana na ongezeko la watumiaji wa Safaricom M-Pesa wanaohitaji kutuma pesa kwenda Vodacom M-Pesa Tanzania, nimeamua kuandika makala hii ili kuwasaidia wale ambao hawafahamu jinsi ya kufanya muamala huo. Tuma...

UTANIITA SHEMEJI.* *SEHEMU YA 16* Post Mpya
UTANIITA SHEMEJI.* *SEHEMU YA 16*
@majario LIVE

SONGA NAYO............. Zilipita dakika kadhaa nikatoka na kumfuata sebleni , akataka kuendeleza story zake nikamwambia aaah 🀚nioneshe kazi za kufanya kwanza ,kama ni maongezi baadae. Hakuwa na shida akaanza kunionesha mazingira yote...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 6 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 6
@officialgonga LIVE

SONGA NAYO..... nilipokaribia kumfikia nilimsikia akizungumaza "Sawa baba basi wacha sie tufanye maandalizi kidogo..." Niliweza kumsikia madam akiongea hivyo, kwakuwa mimi huyu mama namuona boya sikutaka kumjali nilimpita nikaelekea chumbani lakini nikiwa katika...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest