Daah tumeumaliza mwendo salama ligi kuu Tanzania Bara, mara yetu ya kwanza kushiriki ligi kuu ila tumejifunza vyema.
@officiallhabibu KenGold Sc
Ndugu zangu wana mbeya tunashukuru kwa Sapot yenu kubwa kwa team changa kutoka chunya mekuwa nasi nyakati ngumu kwenye ligi kuu bila kuchoka.
Shukrani za dhati ziende kwa fans wote kutoka Chunya kwani walikuwa bega kwa bega na temu yao ya Chunya.
Yes tunarudi rasmi Championship, tumeenda ligi kuu kujifunza tutareje kwa wakati mwingine.
Naamini tunajifunza kwa walio tutangulia waliowai kupanda na kushuka kama Ihefu na temu zingine hata kwa mtibwa ambao tunamini wanarejea ligi kuu kwa mara nyingine.
Tunakili wazi hatukujipanga mwanzoni mwa msimu kwani kuna vitu vingi vilikwamisha mafanikio yetu.
Binafsi yangu naamini Coach wa kwanza baada ya kupanda daraja Fikiri Bakari nae atakua miongoni mwa waliofelisha temu yetu.
Aliomba kuachiwa kufanya sahiji za wachezaji anaowataka mwisho wa siku nusu ya msimu mzima tukashinda mechi moja pekee.
Yote kwa yote msimu ujao tunaamini tunairejesha team hii kutoka chunya ligi kuu na tutatumia Uwanja wa Nyumbani CHUNYA kwenye mechi zetu za Championship ????????
Thank You NBC ????.