Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

*EX ULINIACHA ILA SASAIV NATOKA NA BABAAKO* *1-3* *_________________________________________*  *SEHEMU YA KWANZA*  Mimi Naitwa Jane ni mwanafunzi wa chuo kilichopo jijini Dar es salaaam  ,nasomea  kozi ya procurement
Gonga94 · Stories

*EX ULINIACHA ILA SASAIV NATOKA NA BABAAKO* *1-3* *_________________________________________* *SEHEMU YA KWANZA* Mimi Naitwa Jane ni mwanafunzi wa chuo kilichopo jijini Dar es salaaam ,nasomea kozi ya procurement

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
and supply management .
Nina miaka 19 ,Nina boyfriend wangu uyo ni handsome na yeye nasoma nae sema yeye yupo kwenye kozi nyingine .
Siku hii ya Leo tunamtihan Niseme ni mid semester test na ndo kwanz nipo njiani sasaiv natafuta usafiri ,uyo lecturer mwenyewe ni mkali hatri sijui kisa hajaoa🤣 .Ila Mungu ni mwema nilifanikiwa kufika Kwa wakati Yan naingia Mimi tu na mtihani umekuja kuanzishwa dakika Tano mbele utasema nilimpanga aje muda gani.Mmmmh jamn ule mtihani ni mgumu au kisa Jan tulienda club ,🤣 Yan Jana tuu tumetoka kuruka majoka tukasahau kama Kuna mtihani mie na mashoga zangu ao ,apa ninavyoongea iv tupo kweny mtihan tunafanya kazi ya kuangaliana tu kama makobe 🤣.Yan yule lecture mshenzi sana yule ni ana roho mbaya limtiani gani ili katutungia jamn ,Yan nilikuwa namlahani lecturer Kwa mambo anayotufanyia ,maaan sio mara ya kwanz hii sijui hapend watu wafaulu .

Muda ukapita tukamaliza na yule lecture Hana ata maneno mengi ye ni kufanya actions tu ,akabeba test zake akaondoka zake .Nilivyotoka tu kweny mtiani moja Kwa moja nikaend Kwa boyfriend wangu anaitwa Allen .
Nilimtafuta Kwa muda mrefu Kisha baadae ndo akili ikaja kuwa Allen mara nyingi anakaaa kweny vimbweta au kanteeen ,basi nikawa najongea upande wake ili aniliwadhe Kwa kufeli mtihan kabla ata matokeo hayjaja.
Chakushangaza sasa Kwa mbali nikiwa nakaribia canteen nawaona watu wawili wamenipa mgongo mie naend Kwa nyuma Yao uyo mmoja ni Allen kabisa Yan maaana nguo zake nazijua ,na uyo mdada wapembeni yake simjui ila anasoma kozi moja na Allen Yan nimewakuta wanalishana chakula ,sikuamini macho yangu maaan Kwa ninavyompenda Allen naweza nikaua mtu maaan kwanz Allen ni handsome alafu anaela sanaaaa ata sijui anafanya kazi gani .

Sasa nilivyokaribia nikamuita ,Allen akageukia chakushangaza kageuka ila ata hakushtuka alivyoniona ndo kwanza akaendelea na akamshika kabisa yule mdada kiuno ,yule mdada akawa ananiambia ooooh Allen uyu ndo yule mpenz wako mpya ,Allen akaniangali Kwa dharau Kisha akamjibu mpenz wangu ndio babe ,Yan uyu ndo yule maskini niliekwambia toleo la mwisho katoka uko vijijini badala aiwazie familia yake inayomsomesha anajitongozesha Kwa wanaume.Yan nilikuwa na hasira ,ila Mimi nipo ivi kuongea sijui na sipend maugomvi na watu ,ila sipend mtu aniseme vibaya alafu vitu vya uongo uyo Allen anaesema nimejitongozesha yeye alinifuata tukawa marafiki ,sasa tukawa tukichat ananionesha kabisa ananipenda ila alikuwa hasemi ,mie nikaonaga ana Chelewesha mambo nikaanza kuconfess my feelings ,Yan baada tu ya Allen kulala na mie akaanza kubadilika Sanaa ndo mpaka Leo nimemfunia alafu anaongea Kwa kujiamini iv.

Ile ilikuwa ni aibu yangu ya mwaka maaan Kila mtu alikuwa kakaaa pale canteen aliskia nimemtongoza Allen ,watu wakaanza kunong'ona mara wengine wanasema nilikuwa nataka pesa mara wengine wananiambia taamaa za kimwili tuu ,Nilivyoona nazidi kuumia na maneno ya watu nikatoka eneo lile ukunakimbia ,Nilikuwa hata sijui ninapo elekea ila nilichokuwa najui ni sikutaka kukaa lile eneo ,maaaan najua ningeanz kulia kama Nina msiba ,sababu ata mama angu ananijua sipend kusemwa vibaya alafu vitu vy uongo Bora ata ingekuwa kweli.

Nikakimbia Kisha nikafika sehemu ya kupakia magari ,pale hamna watu ivo nikakaa chini ili nilie sasa Kwa kujiachia 🤣 na Kwanguvu ili maumivu yanitoke ,
Nililia Kwa nguvu sanaaa apo nalia mbele yangu Kuna gari aina ya V8 ,Nikiwa nalia pale alikuja mbaba mmoja ni handsome uyoo ,Yan yule sio Mzee nikwamba tu aliwai kuzaliwa .Maaan sio Kwa handsome uo jamn,Yan ukimuangalia tuu ananukia pesa adi nikaacha kulia Kwa muda .

Itaendelea.....


SEHEMU YA 2

Kwanz nikastuck kulia Kwa muda 🤣,adi nikajisahau yule mbaba akaniambia vipi mrembo mbona unalia ,Yan alivoniuliza tu iv nikama aliniambia mrembo mbona unalia Kwa sauti ndogo maaan nilipiga yoe ilo 🤣🤣 adi akashangaa handsome boy wawatu🤣.

Eeeeh akaona yasiwe mengi akaniinua akafungua mlango wagari lake ,jamn kumbe Ile V8 ilikuwa pale mbele yangu ndo gari ya uyu Mzee handsome 👌,alivoningiza kweny gar nikazidi kulia jamn ,Yan nililia kama sitolia Tena ,Yule baba akaondosha Gari sijui ata alikuwa ananipeleka wapi, Nikaona sehemu nzuri nibonge la mjumbaa n nzur nikaacha kwanz kulia ,pale njee kibango kimeandikwa LA CASA DE DAVID,tunaingia ndan nakuta Kuna mamaid karibia kumi ,nikamuuliza yule mbaba apa nikwako kacheka Kisha akanijibu ndio hii ni moja ya nyumba zangu .

Eeeeeeeh ,kumbe hii ni moja tuu 🤣🤣 nikaacha kulia kabisa nikaamuulz nyingine zikowapi ,akajibu kawapa wanae mtoto wake mmoja yupo marekani mwengine anasoma chuo .sikutaka kuuliza Tena maswal maaan nilijishtukia 🤣 ,Yan maswal mengi kaam namtaka .Tukashuka kweny gar kuelekea ndani sasa Yan mie kichwa kibovu kwel Yan apo napelekwa ndani Kwa mtu ambae ata simjui Yan ,nikawa najitia moyo hawezi kunifanya chochote anasura ya kiustaarabu 🤣🤣.Iv mnanielewa Mimi watu Kam sisi ndo huwa tunatekwa asubuhi peupee🤣.

Yule mbaba akanipeleka chumba kimoja ,mmmh iv mshawai ona mtu amejenga disco 🪩 ya nyumbn kwake mwenyew ndo uyu Mzee sasa ,akanikalisha Kisha akawasha mziki wa kiasi wakizungu ,Ile ya huzuni mtu ukiskia unalia 🤣,akaniwekea Kisha akanipa wine 🍷,akaniambia Aya malizia hasira zako .

Nikaanza kulia upya 🤣 ,sasa mara hii nilikuwa nalia uku naonge nasema wanaume wote ni mbwa ,hawana akili nililia wee baadae nikakaa sawa .Akaend kupunguza sauti ya mziki Kisha akaniafata na kuniambia Aya baada ya kutukana unampango gani na wewe mwenyw unarud Kwa uyo mpuuuz wako au .
Apo nikabaki namkodolea macho nisijue Nini chakujibu maaana Bado nampend Allen ,nikaanza kulia Tena 🤣Yan akinikumbusha mtu lazima nilie ,yule baba Kwa busara zake akanikombatia uku ananiongelesha masikioni .

Sasa ule umotoumoto ule wa pumzi yake na kama mnavoijua pombe haina adabu ,Ile wine ilikuwa nakilevi ,nikaona nshapat Kwa kumalizia hasira zangu maana niligeuke nikamtizama usoni yule baba nikampa juice ya matikiti 💋 ,na yeye hakuwa kazubaaa akarudishia ,ikawa nipe nikurudishie mmmh jamn Kwa yoyote aliemuacha uyu baba alaaniwe .Mzee anayaweza mambo Yan anakuna Kila idara ,na vile ilikuwa kitambo sijacheza aka kamchezo .

Yule Mzee akawa ananiambia naomba nikuoe we mtoto , apo Mimi sielewi ninakazi y kugugumia tuu Kwa utamu ulivyokolea adi kweny kisogo ,sasa muda ukapita akaniweka kwenye kiti staili ya CEO najua hamuijui 🤣🤣 hii anaijua mubaba wangu pekeake mie mwenyew sijui 🤣.Yan apo nikamuona Allen ni fala kama mafala wengine maaan kumbe hawezi kitu 🤣🤣 baadae alivyomaliza yule Mzee adi nikawa siwezi kutembea vizur nikiinuka nakuwa Kam natetemeka miguu 🤣🤣 mmmmh jaman pongezi ziende kwake🙌

Itaendelea...


SEHEMU YA 3

Yan adi nilisahau Kam nilikuwa nalia Alivyo gentleman uyo mbaba akawa ananibembeleza eti Kwa madai yake ameniumiza mpaka siwezi kutembea ,eeeeh Yan kwel wanaume wapo wengi tuu ni sisi tu wanawake tunaharakia maisha ,akaniambia embu inuka basi tukaoge nikawa nikiinuka natembea hatua moj alafu na naima Kam nilikuwa nimewekewa vibration🤣 .

Gentleman wangu akaona usiwe shida ,akaniambia kwanini uteseke malkia wakati Mimi nipo akanibeba 🥰🥰moja Kwa moja adi bafuni alafu ,nilichokigundua uyu baba han tamaaa alafu anauvumilivu maana wakat ananiogesha hata hakutaka tufanye Tena na hakunitamkia maneno ya kunitamani Tena Yan sio kama liallen lenyewe linamitamaaa kutwa anataka anipinde mtoto wa mwanaume mwenzie.Basi jamn yule Mzee akaniogesha Kisha tukaenda chumbani ,ila nikakaaa nikawaza akili yangu na moyo vikawa vinanisuta baada ya kuona picha ya mmama mzur pia na Binti wakike pale chumbani .Wakat uyo yule mbaba alafu Jina lake ni David .wakati David alivyoenda kuoga maan muda ule alikuwa akaniogesha Mimi tuu .

Nilivyoona Ile picha ,roho yangu ikaniuma Sanaa nikawa nasema kwel wanaume wote wapo sawa uku nalia nikavaa chap Kisha nikabeba virago vyangu nikaondoka zangu uku njiani nalia ,nilizani nimepata kumbe nimepatikana .
Nikatoka nikaend hostel nikakuta mashoga zangu wapo wamkaaa kihasarahasara nikaingia nikamuita Shoga angu yule kindakindaki ,msiri wangu nikawa namwambia alchokifanya allen ,akaniambia Yan shoga angu haina ya kunielezea sana maaan Kila mtu anajua .

😳😳 nikamuuliza Yan chuo chote ,akasema hapana ila kweny hostel watu wanajua karibia wote ,nikaanza kulia upya sasapo nalia na mengi 🤣 ,Shoga angu Anita yeye anajua namlilia Allen ,nililia usiku kucha.
Asubui yake nikaamka Sina mawazo Tena Yan ndo ninachokipenda Yan mie nikishalia Kwa muda kuhusu kitu kesho yake lazima nitakusahau kile kitu maumivu yote yanaisha kweny kulia 🤣 .

Kesho yake Ile siku nilivokuwa nalia Yan ukiniona kama sio mimi vile kilizi 🤣,nimefika chuo mchan ule nikapitia canteen kula kwanz nikaawaona mtu na boy wake ni yule Allen na mbuz wake ,wanajichekesha wenywe Kam machiz fresh 🤣 .Ila karoho kalikuwa kananiuma .
Tukiwa pale nikaanza skia vidada vinaongea mmmh jamn yule lecturer mpya hapana kwakwel mbona yupo vile ,very handsome ,ni Mzee ila mmmmh .Mwenzie akaitikia sio Mzee bwan yule nikijana kabisa Yani 🤣🤣🤣.
Nikatamani niwape ushuhuda wangu wa jna ,nikawa najisemea Yan awa wazee wasikuiz ,sijui ujanaa wao walikuwa wap wanakuja kuonekana uzeeeni 🤣🤣🤣

Itaendelea ..

Maoni

You're not logged in


Tangazo - For this week only
For this week only
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

*EX ULINIACHA ILA SASAIV NATOKA NA BABAAKO* *1-3* *_________________________________________* *SEHEMU YA KWANZA* Mimi Naitwa Jane ni mwanafunzi wa chuo kilichopo jijini Dar es salaaam ,nasomea kozi ya procurement

and supply management .
Nina miaka 19 ,Nina boyfriend wangu uyo ni handsome na yeye nasoma nae sema yeye yupo kwenye kozi nyingine .
Siku hii ya Leo tunamtihan Niseme ni mid semester test na ndo kwanz nipo njiani sasaiv natafuta usafiri ,uyo lecturer mwenyewe ni mkali hatri sijui kisa hajaoa🤣 .Ila Mungu ni mwema nilifanikiwa kufika Kwa wakati Yan naingia Mimi tu na mtihani umekuja kuanzishwa dakika Tano mbele utasema nilimpanga aje muda gani.Mmmmh jamn ule mtihani ni mgumu au kisa Jan tulienda club ,🤣 Yan Jana tuu tumetoka kuruka majoka tukasahau kama Kuna mtihani mie na mashoga zangu...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/ex-uliniacha-ila-sasaiv-natoka-na-babaako-1-3-_________________________________________-sehemu-ya-kw

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi ex-uliniacha-ila-sasaiv-natoka-na-babaako
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two*    *SEHEMU YA KUMU*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMU*

898
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10

480
FROM BANGI TO BABY 💞💘  SEHEMU YA 16

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 16

434
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8

413
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 17

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 17

302
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL   SEHEMU YA 10

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 10

209
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12

207
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23  na 25.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23 na 25.

181
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21  na 22.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21 na 22.

139
SHAMIRA sehemu ya 34&35

SHAMIRA sehemu ya 34&35

89

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.43K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.2K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.74K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.2K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.6K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.44K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.44K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.43K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.38K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.36K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
This pic from Ishq is pure 90s madness and I love it ! You’ve got Ajay Devgn with his serious, intense vibe… Kajol looking all fiery and expressive… Juhi Chawla Post Mpya
This pic from Ishq is pure 90s madness and I love it ! You’ve got Ajay Devgn with his serious, intense vibe… Kajol looking all fiery and expressive… Juhi Chawla
@majario LIVE

with that cute bubbly energy… and Aamir Khan being his mischievous, romantic self. What a combo yaar! Ishq was not just a love story, it was full on drama, comedy,...

 Ili kombora la Iran lifike Israel, linatakiwa kuvuka vikwazo vifuatavyo njiani Post Mpya
Ili kombora la Iran lifike Israel, linatakiwa kuvuka vikwazo vifuatavyo njiani
@majario LIVE

* Meli za kijeshi za Marekani zilizopo Ghuba ya Uajemi * Rada za Israel zilizopo Azerbaijan * Rada za Israel zilizopo Turkmenistan * Mifumo ya ulinzi wa anga ya vituo vya Marekani nchini...

SHAMIRA sehemu ya 34&35 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 34&35
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi nikajiiinua taratibu tukaingia bafuni. Mwanaume akanikumbatia uku tunaoga. Aseee uyu baba ananipenda ila hataki upumbavu ata kidogo na mkono wake mwepesi kupiga .na yote sababu...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi nikaona zena kamnyanyua yule mtoto kisha akambeba ,ni amefanana nae sana ,nikajua ni wa kwake tu yani ni lazima utu mtoto atakuwa ni mwanae, kisha akanigeukia...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 17 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 17
@majario LIVE

Ikabidi nikae tu kwenye piki piki maana sura alivyokuwa kaikaza mmh asije kunipiga, Kimyaa kikatawala sasa mie nilijua tunaenda kwa Tinner na moyoni nilikuwa nimempangia hayo maneno Tinner eeh mbona...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL   SEHEMU YA 10 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 10
@majario LIVE

🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Maeneo ya pale pale chuoni, Salmon alikuwa amepanga nyumba kubwa ya peke yake. Wakati akiwa chuo ndo alikua anaishi hapo, ila siku za weekends kama hana mambo mengi ndo anaenda...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23  na 25. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23 na 25.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi kuanzia apo nikawa sasa kidogo naelewana na baraka. Tena mimi ndo napenda sana kuongea nae. Yani sanaaa. Napenda kucheka nae sana. Na kun jinsi...

FROM BANGI TO BABY 💞💘  SEHEMU YA 16 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 16
@majario LIVE

Usiku wangu ulikuwa mzito sana, maneno ya D kusema kuwa Veda anatembea na wanawake wengi, niliyaamini kabisaaa Bila shakaa kwa maana Yeye tu hana mwonekano mzuri ametuna tuna hovyo anakuwa...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10
@majario LIVE

Daaah nikaona mtoto kachomoa leo mana sio powa , ana vipengele sana uyu demu , ila unyama, hatachomoa kila siku, ni suala la muda tu, mana sijawahi kumtaka mwanamke ,...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21  na 22. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21 na 22.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media BASI nikapanda kitandani kwangu. Nikijutia sana nilichokifanya mana mh . Nilikuwa nasababisha ugomvi mkubwa wa wazazi mungu wangu. Yani mama yangu alikuwa anaachwa leo...

SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.??? Post Mpya
SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.???
@majario LIVE

Hatimae jana tambo za Dabi zilipata majibu kwa timu za Simba na Yanga kutoka suluhu ya bila kufungana(0-0). Kwa maana hiyo timu zote ziliambulia pointi moja moja. Mchezo wa jana pamoja...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8
@majario LIVE

Zena akasema kwaiyo manager unataka kuniuza ama ni vp, yule manager aksema , naomba uelewe kuwa ukifanya kazi katika hii bar, mteja kukushika sehemu yoyote ya mwili wako ni kawaida,...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two*    *SEHEMU YA KUMU* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMU*
@majario LIVE

Jambo likawa lelelele, Yaani ni patashika nguo kuchanika, Kwa upande wangu Walahi nilikuwa nikifurahi tu, na amina alikuwa akilia tu nakuomba msamaha. Enzo wa watu mwaya akachukua muda wake na kumuelezea...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9
@majario LIVE

🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Mbali na ivyo zile zawadi alizo tumiwa Noela zilimuuma vile vile. Alihisi Noela hastahili vitu vizuri wala maisha ya kifahari. Alitaka kila kitu kiwe chake, wanaume wote wawe wake. Hata...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 6 na 7 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 6 na 7
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi bwana , mwanaume wala sikuwa na shaka, kazi zote ambazo nilibakiwa nazo pale ofisini, nikamuachia ibraaa, na ukiacha ushikaji, mi bafo ibra ni mkubwa wake wa kazi,...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest