Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

Chombezo....Oooh anko Mudy usichomoe.24   Dar es salaam  SEHEMU YA ISHIRINI NA NNE   ENDELEA. . .       Muddy ali yashuhudia hayo mbele ya macho yake
Gonga94 · Stories

Chombezo....Oooh anko Mudy usichomoe.24 Dar es salaam SEHEMU YA ISHIRINI NA NNE ENDELEA. . . Muddy ali yashuhudia hayo mbele ya macho yake

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
alipigwa na bumbuwazi macho yalimtoka ni kama alidata mala taswira na nuru ya macho yake ikaanza kupotea na papo hapo alianguka na kupoteza fahamu si yeye tu bali ofisi nzima walibaki wameduwaa walichanga nyikiwa wasijue la kufanya

“ Shiiiiiitttttt ujinga gani huu ”

mkurugenzi mkuu wa kampuni alipiga ngumi juu ya meza kwa jazba alizokuwa nazo alikuwa akihema juu juu chini hapa kukalika jasho lilianza kum tiririka gafla hasira zilifika ukomo wake ni dhahiri tangu kampuni ianzishwe hawakuwahi kuoata hasara kubwa kama hii

“ mpelekeni huyu mbwa hospitali akiamka lazima awe na maelezo ya kina ya kunipa ”

mkurugenzi alitoa oda kisha akafungua mlango kwa hasira na kutoka nje. . kikosi chote cha ulinzi kilicho husika kwenda kuchukua mzigo ule kili shukiliwa chini ya mikono ya polisi ali subiliwa bwana Mohamed azinduke ili atoe maelezo ya kina

baada ya nusu saa kupita bwana mohamed alikuwa amezinduka alijikuta juu ya kitanda chenye mashuka meupe kumaanisha alikuwa hospitali alipotupa macho upande wa kushoto alikutana na askari wapatao watano wakiwa wameketi juu ya sofa hapo ndipo alivuta kumbu kumbu vizuri

Daaa machozi yalianza kumtoka baada ya kukumbuka jinsi mashine ya kuhesabia fedha ilivyokuwa inatema mamilioni ya pesa alizokuja nazo kutoka benki kuu ya mkoa alijua wazi ana maswali ya kujibu mbele ya kizimba cha polisi lkn akifikilia kuwa hajui lolote kuhusiana na upotevu huo wa fedha alibaki kulia tu alijua wazi huo ndio mwisho wa maisha yake ya ulaiyani alijua yeye ni mtu wa kuozea jela tu

“ aaah bwana mohamed umezinduka habari yako bwana ” ili sikika sauti ya askari mmoja kati ya wale waliokaa aki msabahi . .haukupita muda uongozi wa hospitali ulifika kwa ajili ya kuangalia maendeleo ya mgonjwa wao

“ aaah sasa ndugu zangu nadhani mmeona kuwa mgonjwa na mtuhumiwa wenu amesha zinduka lkn bado ana onekana hayupo sawa kiafya hivyo niwaombe mtupatie walau siku mbili ili tuendelee kumchunguza afya yake ”

“ aaah sawa docta sisi hatuna shida hapo kikubwa ni kuongea na mkuu wa kituo inspecta Kibona ili yeye ndio awape ruhusa ”

basi baada ya mazungumzo mwishowe pande zote mbili wali kubaliana kuwa mgonjwa abaki kwanza hospitali akiwa chuni ya uangalizi wa madocta na polisi mpk pale atakapo kaa sawa

Zilipita siku mbili hatimae bwana mohamed alikuwa chini ya mikono ya polisi alifikishwa kwanza mahabusu kusubiri siku ya kupelekwa mahakamani kwa ajili ya kusomewa kesi

Siku ilipo wadia Familia nzima ya bwana muddy ikiongozwa na baba yake mzazi pamoja baadhi ya ndugu bila kusahau mke wake

bwana Muddy akiambatana na walinzi watatu walikuwa ndani ya kizimba cha mahakama wakisubiri kusomewa mashitaka yao . .

jaji alifika mbele ya mahakama na sasa wote walipaswa kunyanyuka kwa ajili ya kutoa heshima baada ya taratibu zote kufatwa kesi ilianza na shitaka lili somwa

“ Bwana Mohamed Kg unashtakiwa kwa tuhuma za ubadilishaji wa fedha halali kwa fedha bandia ulio ufanya mnamo siku ya juma nne tarehe 03 majira ya saa saba mchana ukiambatana na walinzi watatu wa kampuni ya kisongo security je una kubali shitaka hili..?”

“ hapana siku baliani nalo ”

baada ya kukana shitaka wakili wake nae alikazia kwa ajili ya kutoa utetezi kwa mteja wake lkn utetezi huo hauku saidia kitu kwani sahihi ilionekana ni ya bwana muddy akithibitisha kuwa pesa alizopokea zilikuwa ni za halali sasa iweje afikishe pesa bandia

pia uwepo wa cctv camera uli saidia kuonyesha mienendo ya pesa tangu ina sainiwa mpk ina ingizwa kwenye gari sasa swali je ni wapi pesa zili badilishwa na nani ali badilisha hapo hata muddy mwenyew alishindwa kuelewa

kwa asilimia kubwa kesi ile ilimbana bwana muddy kwa kila secta baada ya kesi kuunguruma takribani miezi sita hatimae siku ya hukumu ili wadia

“ Bwana Mohamed mzombe kwa mujibu wa kifungu cha sheria namba 34 ibara ya 15 katika kifungu cha pili na kwa idhini niliyopewa kisheria una hukumiwa kifungo cha miaka kumi na Tano jela pia mali zako zoote zita taifishwa kufidia hasara uli ingiza kampuni kesi imefungwa na haina rufaa ”

Ilikuwa ni siku ya majonzi kwa Familia ya bwana mohamed nguzo ya familia ilikuwa ime anguka hata wakilia haita saidia kitu bwana muddy alienda jela na huku nyuma mali zake zote zili taifishwa ikiwemo nyumba gari na shamba pesa iliyo patikana walipewa kampuni kama fidia ya hasara waliyo ipata. .

Miaka kumi na tano jela kumbuka hapo bwana mudi alikuwa na miaka therasini na mbili sasa uki jumlisha na miaka kumi na tano jela mpk akitoka atakuwa na miaka arobaini na saba ni karibu na utu uzima

itaendelea. . . .

Maoni

You're not logged in

Tangazo - Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Enzi zetu
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

Chombezo....Oooh anko Mudy usichomoe.24 Dar es salaam SEHEMU YA ISHIRINI NA NNE ENDELEA. . . Muddy ali yashuhudia hayo mbele ya macho yake

alipigwa na bumbuwazi macho yalimtoka ni kama alidata mala taswira na nuru ya macho yake ikaanza kupotea na papo hapo alianguka na kupoteza fahamu si yeye tu bali ofisi nzima walibaki wameduwaa walichanga nyikiwa wasijue la kufanya

“ Shiiiiiitttttt ujinga gani huu ”

mkurugenzi mkuu wa kampuni alipiga ngumi juu ya meza kwa jazba alizokuwa nazo alikuwa akihema juu juu chini hapa kukalika jasho lilianza kum tiririka gafla hasira zilifika ukomo wake ni dhahiri tangu kampuni ianzishwe hawakuwahi kuoata hasara kubwa kama hii

“ mpelekeni huyu mbwa hospitali akiamka lazima awe na maelezo ya kina ya kunipa ”

mkurugenzi...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/chombezo-oooh-anko-mudy-usichomoe-24-dar-es-salaam-sehemu-ya-ishirini-na-nne-endelea-muddy-ali-yashu

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle #BeautyBattle #AfricaVsWorld #Tanzania #Kenya #Congo #Rwanda #Burundi #SouthAfrica #USA #VoteNow #DebateTime #Trending 🐓 Follow the ommy khan Tanzania channel on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029VbCg0JyFsn0hCN1ByD44

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi chombezo-oooh-anko-mudy-usichomoe
Chombezo....Oooh anko Mudy usichomoe..7   Dar es salaam  SEHEMU YA SABA  ENDELEA    Ashura alipiga kelele za maumivu kutokana na ukubwa wa mboo ya mjomba...
Chombezo....Oooh anko Mudy usichomoe..7 Dar es salaam SEHEMU YA SABA ENDELEA Ashura alipiga kelele za maumivu kutokana na ukubwa wa mboo ya mjomba...
Chombezo....Oooh anko Mudy usichomoe..2  Dar es salaam  SEHEMU YA PILI   ENDELEA,.    Baada ya kumaliza kuvua nguo za juu ashura ndipo aliangusha sketi yake...
Chombezo....Oooh anko Mudy usichomoe..2 Dar es salaam SEHEMU YA PILI ENDELEA,. Baada ya kumaliza kuvua nguo za juu ashura ndipo aliangusha sketi yake...
Chombezo....Oooh anko Mudy usichomoe..3  Dar es salaam  SEHEMU YA TATU  ENDELEA  “Anko wangu huyo.Subilia nikutumie”
Chombezo....Oooh anko Mudy usichomoe..3 Dar es salaam SEHEMU YA TATU ENDELEA “Anko wangu huyo.Subilia nikutumie”
Chombezo....Oooh anko Mudy usichomoe..8   Dar es salaam  SEHEMU YA NANE  Siku hiyo ashura alikuwa zake ndani akijisomea kwani ilikuwa ni karibu
Chombezo....Oooh anko Mudy usichomoe..8 Dar es salaam SEHEMU YA NANE Siku hiyo ashura alikuwa zake ndani akijisomea kwani ilikuwa ni karibu
Chombezo....Oooh anko Mudy usichomoe..15   Dar es salaam  SEHEMU YA KUMI NA TANO   ENDELEA  Ilikuwa ni majira ya saa sita mchana mjomba akiwa ameketi sebleni
Chombezo....Oooh anko Mudy usichomoe..15 Dar es salaam SEHEMU YA KUMI NA TANO ENDELEA Ilikuwa ni majira ya saa sita mchana mjomba akiwa ameketi sebleni
Chombezo....Oooh anko Mudy usichomoe..18  Dar es salaam  SEHEMU YA KUMI NA NANE   ENDELEA. . .    Akiwa ana waza na kuwazua mama ashura
Chombezo....Oooh anko Mudy usichomoe..18 Dar es salaam SEHEMU YA KUMI NA NANE ENDELEA. . . Akiwa ana waza na kuwazua mama ashura
 Chombezo....Oooh anko Mudy usichomoe..20 SEHEMU YA ISHIRINI   ENDELEA. . .    Sauti ile ili mshtua mjomba muddy na kubaki ame duwaa tu
Chombezo....Oooh anko Mudy usichomoe..20 SEHEMU YA ISHIRINI ENDELEA. . . Sauti ile ili mshtua mjomba muddy na kubaki ame duwaa tu
 Chombezo....Oooh anko Mudy usichomoe.   SEHEMU YA ISHIRINI NA TANO  ENDELEA. . .   BAADA YA MIAKA KUMI NA TANO
Chombezo....Oooh anko Mudy usichomoe. SEHEMU YA ISHIRINI NA TANO ENDELEA. . . BAADA YA MIAKA KUMI NA TANO
Chombezo....Oooh anko Mudy usichomoe..17   Dar es salaam  SEHEMU YA KUMI NA SABA   ENDELEA    Mama ashura alikuwa ndani kwake akitafakari mengi
Chombezo....Oooh anko Mudy usichomoe..17 Dar es salaam SEHEMU YA KUMI NA SABA ENDELEA Mama ashura alikuwa ndani kwake akitafakari mengi
Chombezo....Oooh anko Mudy usichomoe..   Dar es salaam  SEHEMU YA KUMI NA TISA   ENDELEA. . .       Akiwa ndani ya chumba...
Chombezo....Oooh anko Mudy usichomoe.. Dar es salaam SEHEMU YA KUMI NA TISA ENDELEA. . . Akiwa ndani ya chumba...
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 85

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 85

1.34K
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 86 na 87

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 86 na 87

1.28K
LETICIA Sehemu ya 17 na 18

LETICIA Sehemu ya 17 na 18

335
IN LOVE WITH ZURI*   *Chapter 9&10*

IN LOVE WITH ZURI* *Chapter 9&10*

155
IN LOVE WITH ZURI* Chapter 8

IN LOVE WITH ZURI* Chapter 8

146
💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO💋  11....15

💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO💋 11....15

93
😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 11

😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 11

17
😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋  Sehemu ya 15

😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 15

17
😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋  Sehemu ya 14

😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 14

15
😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋  Sehemu ya 13

😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 13

12

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.96K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.65K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.89K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.55K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

3.05K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

3K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.85K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.83K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.71K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.69K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO💋  11....15 Post Mpya
💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO💋 11....15
@majario LIVE

Sawa mke wangu kipenzi nashukuru kwa kunijali, Denis aliondoka hadi gari 🚙 lilivyokata kona na mimi nikaingia ndani nilibadilisha nguo nilizovaa nikaenda sokoni kununua nyama na mchele nikaja kupika chakula...

😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋  Sehemu ya 15 Post Mpya
😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 15
@mjukuu LIVE

😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 15 (🔞) (HII NI SIMULIZI YA WAKUBWA TU NA WAKUBWA WENYEWE WALE WAPENZI WA CHOMBEZO) Alex anazidi kumshindua kungwi kwa raha zake mpaka na yeye akakojoa... Alex alikaa kwa kungwi...

😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋  Sehemu ya 14 Post Mpya
😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 14
@mjukuu LIVE

(🔞) (HII NI SIMULIZI YA WAKUBWA TU NA WAKUBWA WENYEWE WALE WAPENZI WA CHOMBEZO) Mke wangu umeenda kijijini kumpa mwanangu mimba?. ( Yani aliongea uku amemkwida mama asma...na hapo akatokea msamalia mwema akamshika...

😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋  Sehemu ya 13 Post Mpya
😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 13
@mjukuu LIVE

(🔞) (HII NI SIMULIZI YA WAKUBWA TU NA WAKUBWA WENYEWE WALE WAPENZI WA CHOMBEZO) Siku ambayo kwakweli nilifanya mapenzi na asma kwa raha sana nilimlamba kila Kona na kiu aliitoa na yeye...

😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋  Sehemu ya 12 Post Mpya
😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 12
@mjukuu LIVE

(🔞) (HII NI SIMULIZI YA WAKUBWA TU NA WAKUBWA WENYEWE WALE WAPENZI WA CHOMBEZO) 👉 Asma akasogea yupo tayari kuvuliwa nguo nimpe utamu, Dah yani....👇 Kidume sikutaka kuchelewa maana penzi la wizi wizi hili, Nilimvua...

😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 11 Post Mpya
😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 11
@mjukuu LIVE

(🔞) (HII NI SIMULIZI YA WAKUBWA TU NA WAKUBWA WENYEWE WALE WAPENZI WA CHOMBEZO) 👉 Unajua mbwana yule mjumbe anatoa...👇 Ushilikiano kitandani utasema kijana yani uno kama lote mpaka nasema kimoyoni enzi ya...

IN LOVE WITH ZURI*   *Chapter 9&10* Post Mpya
IN LOVE WITH ZURI* *Chapter 9&10*
@majario LIVE

SONGA NAYO........ Upande wangu nilikuwa zangu chumbani, nikijiandaa kwa ajiri ya kutoka kwenda kurefresh kidogo, nikiwa najiandaa mara Ethan huyu hapa alikuwa mnyinge kweli "Vipi tena??" Nilimuuliza baada ya kumuona amekuwa mnyonge gafla "Acha...

IN LOVE WITH ZURI* Chapter 8 Post Mpya
IN LOVE WITH ZURI* Chapter 8
@majario LIVE

SONGA NAYO...... Ethan akazungumza "Hakuna cha kukata tamaa, kwani we nani amekwambia kuwa ameolewa..??" "Ni mama.." Nilimjibu huku nikiwa nimekata tamaa zaidi "Sasa mama wewe unamuamini vipi??, kama amekuongopea?? We cha kufanya anza kumtoa mtoto...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 86 na 87 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 86 na 87
@majario LIVE

Basi mimi sasa apo nikampigia kwanza mkuu wangu kazini, mana sijaenda kazini kama siku 3 na sikuwa nimetoa sababau kabisaa, nikamuelezea kuwa nna matatizo mengi ya kimafimilia kwaiyo sipo sawa...

LETICIA Sehemu ya 17 na 18 Post Mpya
LETICIA Sehemu ya 17 na 18
@majario LIVE

Nikiwa nimelala usiku nikashangaa mlango unafunguliwa. Mmh nikainuka chapu uzuri sizimagi taa ,si namuona polela jamni loooh nilichukia mno jamani nikasema wewe umefwata nini umu .akasema taratibu mummy...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 85 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 85
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Aseeee mi nikatulia pale sebleni, et amam akaenda kuchukua nguo zake akasema naenda pemba ushasahau kuwa mm nimekuzaa ww kabisa , na ndo mana huna adabu kabisa, mi...

NAKUPENDA BILA MIPAKA 96 - 100 MWISHO SEASON TWO Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 96 - 100 MWISHO SEASON TWO
@majario LIVE

:96 Yeye akawa tu anaendesha kama vile hakuna kitu amezungumza. Mimi hapo tena naona tu kesho ifike tu nipelekwe tu hiyo sehemu. Sijui hata ni kuchinjwa au nikutekwa mimi tayari tu nipo...

MFALME KIPOFU Sehemi..ya............14 Post Mpya
MFALME KIPOFU Sehemi..ya............14
@majario LIVE

Ilipoishia sehemu iliyopita.... Huyo hawezi kuishi bira wewe mana haoni na nafasi ya mwisho ni kuondoka katika huu ufalme nisione sura zenu tena hapa...... ENDELEA NAYO........ Mfalme Tengu aliwafukuza Prince Yao na Lindiwe...

NAKUPENDA BILA  MIPAKA 87 - 95 SEASON TWO Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 87 - 95 SEASON TWO
@majario LIVE

:87 Nikacheka na kusema “sasa nikufiche nini, lakini sasa Dokta kama anampenda boss bora amwambie anateseka bure.” Dada Maria alicheka na kusema “wewe unawajua wanaume, wanaume hawana hata muda nakuambia, na vile...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 83 na 84 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 83 na 84
@majario LIVE

Namtak uyo maraya wako, namtaka nasema, mh nikajua apa kumekucha nikawaambia wanangu, nendeni chumbai kwenu haraka, kweli ummy akachukua mdogo wake arshaina wakaingia chumbani, mm.nikamsogelea mama.nikasema.mma ni ustaarabu gani, mama.mi.nilikuwa...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest