Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

Chombezo....Oooh anko Mudy usichomoe..   Dar es salaam  SEHEMU YA KUMI NA TISA   ENDELEA. . .       Akiwa ndani ya chumba cha binti yake mama ashura alikuwa akitoa machozi
Gonga94 · Stories

Chombezo....Oooh anko Mudy usichomoe.. Dar es salaam SEHEMU YA KUMI NA TISA ENDELEA. . . Akiwa ndani ya chumba cha binti yake mama ashura alikuwa akitoa machozi

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
tu alijiuliza maswali mengi yaliyokosa majibu hakujua nini afanye baada ya tafakari ya masaa karibuni mawili mwishowe alipata jibu

“ Sasa huyu mshenzi si anajifanya mjanja yani mimi nime msitiri alipotoka jela nika muamuni kama ndugu nimemuacha akae na binti yangu nikidhani atampa malezi kama mzazi kumbe yeye alikuwa na lengo lake kwahiyo haya ndio malipo anayo amua kunilipa sawa tutaona kati ya mimi na yeye nani mjanja ”

mama ashura aliongea peke yake huku aki nyanyuka akazipiga hatua kuelekea chumbani kwake mkononi alikuwa na kipande cha karatasi aliyo ioata kwenye kabati la chupi la ashura ambayo ilikuwa ni barua ya mapenzi aliyo andika mjomba kwa mpwa wake . .

Ilipotimu majira ya saa moja usiku ndio mtu na mjomba wake ndio walikuwa wakirejea kutoka kwenye mizunguko yao huku wakioneakana kuwa hoii walimkuta mama ashura akiwa ameketi sebuleni akiwasubiri

“ shikamoo mama ”
“marhaba ”
“ za saa izi dada”
“ salama tu kaka vp mbona mme chelewa sana ?

“ aaah si unajua tena huyu mwanao ali ng'ang'ania kuogelea ikabidi nimsubiri tu ”
“ ndio mama hahaha ”

ashura alionekana kuwa tofauti pombe alizokunywa zilimfanya azidi kuchangamka na hivi aliketi karibu na mama yake ilimfanya mama ashura kugundua kuwa mwanae alikunywa pombe kutokana na harufu iliyokuwa inatoka mdomoni

“ wewe alafu mbona una nuka pombe umekunywa pombe ashura ?

ashura alikosa jibu la kumpa mama yake alibaki kimya tu

“ we mshwnzi si naku uliza ww nani amekunywesha pombe ...? kaka wewe ndio umempa pombe si ndio.? ”

“ sikiliza dada nikwambie”
“ nisikilize nn yani kaka unataka kuni haribia mtoto wangu si ndio ”

mzozano kati ya ndugu wawili ulitokea maneno ya kejeli na dharau ndio yali chukua nafasi mama ashura alikumbuka kuwa kaka yake ndio anae muharibu mwanae hasira ndio zilimpanda zaidi ashura alishtukia akishushiwa kichapo cha nguvu na mama yake

zilipita siku tatu na mambo yakawa shwari lkn moyoni mama ashura alisha zidi kuwa na mashaka na kaka yake alianza kufanya upepelezi wa siri alitaka kuthibitisha ni kweli ashura na mjomba wake wana mahusiano ama la

Wahenga wanasema mjaa asili haachi asili yake tabia ya mjomba muddy kutoka chumbani kwake nyakati za usiku na kuingia ndani ya chumba cha binti haiku koma

kama desturi ilikiwa ni usiku mmoja wa manane pindi watu wakiwa wamelala mjomba muddy aliamka na kuanza kunyata taratibu kutoka chumbani kwake

alifungua mlango na kuzipiga hatua za taratibu kuelekea chumba cha binti alivyofika nje ya chumba kwa tahadhari alisukuma mlango na kutaka kuingia ndani kwani kwa kawaida ashura huacha mlango wa chumba chake wazi ili mjomba wake asipate tabu ya kuingia alipokuwa kwenye harakati hizo gafla alisikia sauti

“ we kaka unafata nini huko kwenye chumba cha mtoto..?

sauti ile ili mshtua mjomba muddy na kubaki ameduwaa tu

Itaendelea. . .

Maoni

You're not logged in


Tangazo - boss Enzo fully stories
boss Enzo fully stories
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

Chombezo....Oooh anko Mudy usichomoe.. Dar es salaam SEHEMU YA KUMI NA TISA ENDELEA. . . Akiwa ndani ya chumba cha binti yake mama ashura alikuwa akitoa machozi

tu alijiuliza maswali mengi yaliyokosa majibu hakujua nini afanye baada ya tafakari ya masaa karibuni mawili mwishowe alipata jibu

“ Sasa huyu mshenzi si anajifanya mjanja yani mimi nime msitiri alipotoka jela nika muamuni kama ndugu nimemuacha akae na binti yangu nikidhani atampa malezi kama mzazi kumbe yeye alikuwa na lengo lake kwahiyo haya ndio malipo anayo amua kunilipa sawa tutaona kati ya mimi na yeye nani mjanja ”

mama ashura aliongea peke yake huku aki nyanyuka akazipiga hatua kuelekea chumbani kwake mkononi alikuwa na kipande cha karatasi aliyo ioata kwenye kabati la chupi la ashura ambayo ilikuwa ni barua...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/chombezo-oooh-anko-mudy-usichomoe-dar-es-salaam-sehemu-ya-kumi-na-tisa-endelea-akiwa-ndani-ya-chumba

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle #BeautyBattle #AfricaVsWorld #Tanzania #Kenya #Congo #Rwanda #Burundi #SouthAfrica #USA #VoteNow #DebateTime #Trending 🐓 Follow the ommy khan Tanzania channel on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029VbCg0JyFsn0hCN1ByD44

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi chombezo-oooh-anko-mudy-usichomoe-dar-es-salaam-sehemu-ya-kumi-na-tisa-endelea-akiwa-ndani-ya-chumba
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 85

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 85

1.34K
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 86 na 87

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 86 na 87

1.28K
LETICIA Sehemu ya 17 na 18

LETICIA Sehemu ya 17 na 18

335
IN LOVE WITH ZURI*   *Chapter 9&10*

IN LOVE WITH ZURI* *Chapter 9&10*

155
IN LOVE WITH ZURI* Chapter 8

IN LOVE WITH ZURI* Chapter 8

146
💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO💋  11....15

💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO💋 11....15

93
😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 11

😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 11

17
😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋  Sehemu ya 15

😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 15

17
😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋  Sehemu ya 14

😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 14

15
😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋  Sehemu ya 13

😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 13

12

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.96K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.65K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.89K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.55K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

3.05K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

3K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.85K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.83K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.71K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.69K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO💋  11....15 Post Mpya
💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO💋 11....15
@majario LIVE

Sawa mke wangu kipenzi nashukuru kwa kunijali, Denis aliondoka hadi gari 🚙 lilivyokata kona na mimi nikaingia ndani nilibadilisha nguo nilizovaa nikaenda sokoni kununua nyama na mchele nikaja kupika chakula...

😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋  Sehemu ya 15 Post Mpya
😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 15
@mjukuu LIVE

😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 15 (🔞) (HII NI SIMULIZI YA WAKUBWA TU NA WAKUBWA WENYEWE WALE WAPENZI WA CHOMBEZO) Alex anazidi kumshindua kungwi kwa raha zake mpaka na yeye akakojoa... Alex alikaa kwa kungwi...

😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋  Sehemu ya 14 Post Mpya
😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 14
@mjukuu LIVE

(🔞) (HII NI SIMULIZI YA WAKUBWA TU NA WAKUBWA WENYEWE WALE WAPENZI WA CHOMBEZO) Mke wangu umeenda kijijini kumpa mwanangu mimba?. ( Yani aliongea uku amemkwida mama asma...na hapo akatokea msamalia mwema akamshika...

😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋  Sehemu ya 13 Post Mpya
😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 13
@mjukuu LIVE

(🔞) (HII NI SIMULIZI YA WAKUBWA TU NA WAKUBWA WENYEWE WALE WAPENZI WA CHOMBEZO) Siku ambayo kwakweli nilifanya mapenzi na asma kwa raha sana nilimlamba kila Kona na kiu aliitoa na yeye...

😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋  Sehemu ya 12 Post Mpya
😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 12
@mjukuu LIVE

(🔞) (HII NI SIMULIZI YA WAKUBWA TU NA WAKUBWA WENYEWE WALE WAPENZI WA CHOMBEZO) 👉 Asma akasogea yupo tayari kuvuliwa nguo nimpe utamu, Dah yani....👇 Kidume sikutaka kuchelewa maana penzi la wizi wizi hili, Nilimvua...

😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 11 Post Mpya
😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 11
@mjukuu LIVE

(🔞) (HII NI SIMULIZI YA WAKUBWA TU NA WAKUBWA WENYEWE WALE WAPENZI WA CHOMBEZO) 👉 Unajua mbwana yule mjumbe anatoa...👇 Ushilikiano kitandani utasema kijana yani uno kama lote mpaka nasema kimoyoni enzi ya...

IN LOVE WITH ZURI*   *Chapter 9&10* Post Mpya
IN LOVE WITH ZURI* *Chapter 9&10*
@majario LIVE

SONGA NAYO........ Upande wangu nilikuwa zangu chumbani, nikijiandaa kwa ajiri ya kutoka kwenda kurefresh kidogo, nikiwa najiandaa mara Ethan huyu hapa alikuwa mnyinge kweli "Vipi tena??" Nilimuuliza baada ya kumuona amekuwa mnyonge gafla "Acha...

IN LOVE WITH ZURI* Chapter 8 Post Mpya
IN LOVE WITH ZURI* Chapter 8
@majario LIVE

SONGA NAYO...... Ethan akazungumza "Hakuna cha kukata tamaa, kwani we nani amekwambia kuwa ameolewa..??" "Ni mama.." Nilimjibu huku nikiwa nimekata tamaa zaidi "Sasa mama wewe unamuamini vipi??, kama amekuongopea?? We cha kufanya anza kumtoa mtoto...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 86 na 87 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 86 na 87
@majario LIVE

Basi mimi sasa apo nikampigia kwanza mkuu wangu kazini, mana sijaenda kazini kama siku 3 na sikuwa nimetoa sababau kabisaa, nikamuelezea kuwa nna matatizo mengi ya kimafimilia kwaiyo sipo sawa...

LETICIA Sehemu ya 17 na 18 Post Mpya
LETICIA Sehemu ya 17 na 18
@majario LIVE

Nikiwa nimelala usiku nikashangaa mlango unafunguliwa. Mmh nikainuka chapu uzuri sizimagi taa ,si namuona polela jamni loooh nilichukia mno jamani nikasema wewe umefwata nini umu .akasema taratibu mummy...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 85 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 85
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Aseeee mi nikatulia pale sebleni, et amam akaenda kuchukua nguo zake akasema naenda pemba ushasahau kuwa mm nimekuzaa ww kabisa , na ndo mana huna adabu kabisa, mi...

NAKUPENDA BILA MIPAKA 96 - 100 MWISHO SEASON TWO Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 96 - 100 MWISHO SEASON TWO
@majario LIVE

:96 Yeye akawa tu anaendesha kama vile hakuna kitu amezungumza. Mimi hapo tena naona tu kesho ifike tu nipelekwe tu hiyo sehemu. Sijui hata ni kuchinjwa au nikutekwa mimi tayari tu nipo...

MFALME KIPOFU Sehemi..ya............14 Post Mpya
MFALME KIPOFU Sehemi..ya............14
@majario LIVE

Ilipoishia sehemu iliyopita.... Huyo hawezi kuishi bira wewe mana haoni na nafasi ya mwisho ni kuondoka katika huu ufalme nisione sura zenu tena hapa...... ENDELEA NAYO........ Mfalme Tengu aliwafukuza Prince Yao na Lindiwe...

NAKUPENDA BILA  MIPAKA 87 - 95 SEASON TWO Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 87 - 95 SEASON TWO
@majario LIVE

:87 Nikacheka na kusema “sasa nikufiche nini, lakini sasa Dokta kama anampenda boss bora amwambie anateseka bure.” Dada Maria alicheka na kusema “wewe unawajua wanaume, wanaume hawana hata muda nakuambia, na vile...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 83 na 84 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 83 na 84
@majario LIVE

Namtak uyo maraya wako, namtaka nasema, mh nikajua apa kumekucha nikawaambia wanangu, nendeni chumbai kwenu haraka, kweli ummy akachukua mdogo wake arshaina wakaingia chumbani, mm.nikamsogelea mama.nikasema.mma ni ustaarabu gani, mama.mi.nilikuwa...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest