VYOTE NDANI GONGA94
๐ฅ๐ฅ KISA KUMPA PENZI BABA MKWE๐๐ Mume wangu hili anisamehe nimpe nyuma๐ญ 1
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Sehemu ya kwanza.
Naanza na tahadhali wewe sio shabiki wa chombezo usisome ipite kama tangazo la matapeli vile maana itakukera...wale mashabiki wa chombezo karibuni tufunge mwaka.....tunaanza na simulizi yetu....
Naitwa Tina tumezaliwa wawili tu mimi na dada yangu kwetu mimi ndio mrefu alafu kwenye umbo sisemi mengi nimejaaliwa sasa sijui umbo langu ndio sababu ya kuolewa au tabia yangu wala sijui najikuta naingia kwenye ndoa na kijana mmoja wa kitajili anaitwa joji....kiufupi joji sikuwa najua anafanya kazi gani mwanzo...aliponioa akanipeleka kwao nikakae yani joji na baba yake wala awafanani baba yake amekaa kiswahiri swahiri sana...siku ya kwanza nikajua tukimaliza fungate tunaondoka kwetu kumbe ndio nitakuwa nahishi hapo usiku nilimpa mume wangu haki ya ndoa vizuri nashindwa kujiachia miguno miuno kuofia kutoka nje nitawakwaza wakwe...lakini nilikuwa naisi kama tunachunguliwa ivi ila nikaona inawezekana mawazo yangu tu....siku ya pili joji akaniambia)
" Mke wangu naenda south Africa kikazi wewe utaishi hapa na wazazi wangu sikai sana nitarudi.
" My si nikakae nyumbani ukirudi nije.
" Hapana wewe kule ushatoka upo kwangu sasa utakaa hapa.
" Sawa.
( Sasa alipoondoka mume wangu nawaza maisha ya Shikamoo ndio naanza hapa sasa nipo chumbani nasikia zogo la mama mkwe na baba mkwe)
" Hapa lazima tulete mfanyakazi mke wa mwanetu asifanye kazi.
" Mke wangu uyu ni mwanamke kama wewe aiwezekani mupo wawili alafu aongezeke mfanyakazi humu wa nini?
" Kwaiyo unataka kusema mke wa mwanao ndio akupikie au mimi nimpikie?
" Unamaanisha nini?
" Yani nikipika mimi lazima nipike cha wote mimi sasa nitakuwa nampikia mke wa mwanangu au akipika yeye lazima apike cha wote yani yeye ampikie mume wangu.
" Mbona umewaza jambo ambalo alina maana.
" Ndio maana nasema aje mfanyakazi.
" Hapana sitaki mfanyakazi.
" Kwani unamlipa wewe nitamlipa mimi.
" Sitaki nimemaliza nimefunga huu mjadala sitaki sitaki.
( Ukimya ukatanda...nasikia mlango unafunguliwa mimi kuchungulia dirishani naona mama mkwe anaondoka...nikatoka ndani namkuta baba mkwe sebuleni namwamkia)
" Shikamoo baba.
" Salama tu umeamkaje mrembo.
( Nilikaa kimya kidogo neno mrembo tena alafu nikapita nikaenda jikoni nawaza nipike nini nikamwambia baba mkwe)
" Baba naomba namba ya simu ya mama nimpigie.
" Wa nini?
" Nataka nimuulize nipike nini?
" Achana nae wewe pika unachotaka unachopenda wewe tutakula tu mrembo wewe Mungu fundi.
( Uyu baba ananiuzi kuniita mrembo japo ni sifa nzuri basi nikaamua kupika wali na nyama sasa nilikuwa nataka nipasue nazi akaniambia)
" Usije kuumiza mikono acha nije kukusaidia kuipasua hiyo nazi.
" Baba mimi naweza.
" Najua unaweza tena fundi ila naomba niipasue mimi.
( Nawaza neno najua tena fundi..fundi wa nini sasa hapa kweli nimepata baba mkwe...akachukua nazi akapasua akachukua kibao cha mbuzi baba mkwe anataka kukuna nazi namwambia)
" Baba acha nitakuna mimi.
" Acha tu nikune mimi wewe mikono yako aitakiwi kukomaa ikapoteza urembo wako umeumbwa umeumbika.
( Nilikaa kimya baba mkwe anakuna nazi anamaliza kukuna ananiletea jikoni cha ajabu akanigusa matako yangu ananiambia)
" Aya ni yenyewe au mchina maana si mchezo yamejaa vizuri kweli.
( Natamani nimkate kibao yani anagusa matuta yangu bila ruhusa yangu na anayasifia nikamwambia)
" Baba Samahani kwetu tumefundishwa baba mkwe ni Sawa na baba mzazi hichi unachofanya ni kunikosea heshima.
( Baba mkwe akanigusa mbele alafu anasema)
" Huku ndio nakosea ila sio uku umejaaliwa mwanangu kajua kuchagua ukiwa na siri nakununulia kiwanja udenda wanitoka Mie.
( Duu naona mauza uza siku ya pili kwenye ndoa yangu nawaza nimpe kibao maana nikimchekea ataniweka dole uyo wakati nawaza nimpige ni kweli naomba ananipapasa mfeleji wa matuta)
" Mkato umeenda shule kabisa huu sio kama wa mke wangu una kona Kona mrembo utajili upo mikononi kwako nipo tayari kuchunika mimi.
( Dah nipo kwenye mtihani kweli uyu baba mkwe ananitaka kweli nafanyaje hapa?)
ITAENDELEA
Hii ni ngumu kumeza.
Show show burudani ndio nyumbani kwake hapa.
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi kisa-kumpa-penzi-baba-mkwe-mume-wangu-hili-anisamehe-nimpe-nyuma
๐ฅ๐ฅ KISA KUMPA PENZI BABA MKWE๐๐ Mume wangu hili anisamehe nimpe nyuma๐ญ Sehemu ya kumi
๐ฅ๐ฅ KISA KUMPA PENZI BABA MKWE๐๐ Mume wangu hili anisamehe nimpe nyuma๐ญ Sehemu ya Saba
๐ฅ๐ฅ KISA KUMPA PENZI BABA MKWE๐๐ Mume wangu hili anisamehe nimpe nyuma๐ญ Sehemu ya tisa.
๐ฅ๐ฅ KISA KUMPA PENZI BABA MKWE๐๐ Mume wangu hili anisamehe nimpe nyuma๐ญ Sehemu ya tatu
๐ฅ๐ฅ KISA KUMPA PENZI BABA MKWE๐๐ Mume wangu hili anisamehe nimpe nyuma๐ญ Sehemu ya tano.
๐ฅ๐ฅ KISA KUMPA PENZI BABA MKWE๐๐ Mume wangu hili anisamehe nimpe nyuma๐ญ Sehemu ya 19 ep 18
๐ฅ๐ฅ KISA KUMPA PENZI BABA MKWE๐๐ Mume wangu hili anisamehe nimpe nyuma๐ญ Sehemu ya pili.