Jimmy akimsindikiza kwa macho mpaka alipopotea kisha akasema yani kuku yuko bandani kwangu alafu
nashindwa vipi kumchinja? Siku nikitaka nitafanya nitafanya tu hata hivyo hakuna mwanamke mgumu kwangu ipo siku mwenyewe atanivulia nguo. Alisema Jimmy kisha akarudi chumbani kwake aliwakuta wale wanawake
bado wamelala chini ya zuria, aliwaangalia huku
akiwa kashika kiuno chake Badae alianza kuwaamsha huku akiwapigia piga mabegani
Mnalalaje kama mpo kwenu 7 Amkeni muondoke kazi yenu imeshaisha Wale wanawake walinyanyuka huku wakiwa na uchovu wa pombe walijinyoisha kivivu kisha wakaondoka. Jimmy akienda bafuni kuoga alipotoka akijiandaa na kuelekea kazini.
Prisca alikuwa amekaa kwenye mgahawa wa
chuo na mawazo yake yalikuwa mbali sana alikuwa anafikiria vitimbi anavyofanyiwa na Jimmy
Kweli di limenigeukia yangu nimeingia ukubwani kwa lazima Leo hii mimi Prisca najulikana kama mke wa mtu na huyo mume
sasa anafanya mambo ya aibu, hivi watu
wanasoma tabia zake za kubadili wanawake si watakuwa wananiona mimi ndio mwanamke wa ajabu nisieweza kumdhibiti mwanaume wangu? Wakati akiendelea kuwaza na kuwazuia alifika
Linda na kukaa pembeni yake.
Wenzako walioolewa wananenepa na kufurahia ndoa zao sijui wewe una watoa nini mpaka Inalinda kiasi hicho? Prisca alimuangalia kisha akaguna na kusema. Hii ndoa ya dili imegeuka kuwa mwiba kwangu
Kwanini?
Hivi unaniuliza kwanini kwani hujul Linda?
"Ningejua nisingekuuliza kipenzi *Hivi ni ndoa gani haina mapenzi hata kidogo?
Jimmy ananikomoa na kutaka kuniumiza kihisia, jane usiku kaka na wanawake wawili kaenda kulala nao chumbani kwake mpaka asubuhi
alafu asubuhi ananifuata na kunitaka na mimi. Duuu hayo kweli makusudi lakini Prisca wewe kweli umeshindwa kumkomoa huyo mwanaume.
Naweza ila sitaki kushindana na mtu
mpumbavu. Ila kuna jambo nitafanya mpaka natoka pale kwake atakuwa Kapata funzo kuwa wanawake wa kitanzania huwa hazitaishia ujinga.
Mida ya mchana jimmy na Patrick walikuwa
wapo kwenye mgahawa wakipata lunch. Lakini
Jimmy alikuwa mbali sana kimawazo.
Vipi mbona unawaza sana 7 Acha niwaze yani nilijua natafuta tatizo kumbe ndio kwanza naanzisha tatizo lingine. Kivipi?
Jana nilienda na wanawake wawili nyumbani ili
kumuaminisha Prisca kuwa mimi ni mwanaume. sina ninachoshindwa na hakuna wa kunizuia Sasa hiyo njia yako umefanya kazi? Najihisi kama mjinga tu na kujivunjia heshima
yangu
Na Prisca atazidi kukudharau
Sijali ninachosngalia heshima yangu tu. Kwa matendo yako ya kutokumfikia heshima yako lazima itashuka.
Mvumilie Prisca mpaka atakapomaliza chuo ataondoka kwenda kutafuta maisha yake na wewe utabaki na maisha yakon Wakiendelea kula huku kimnya kilitawala kwa
muda
la prisca ni binti mrembo sana sijui kwanini hutaki kumpa nafasi kwenye moyo wako.
Mimi na yeye hatupendani na isitoshe sina
muda wa kupoteza kwenye mapenzi
Siku zilienda prisca akawabize na mambo yake
aliwahi kutoka nyumbani na kuchelewa kurudi ili kuepukana na kero za Jimmy pamoja na maudhi
madogo madogo
Siku moja prisca aliondoka na hakurudi nyumbani kabisa.
Siku hiyo Jimmy alikosa amani akishindwa kupata usingizi kila mara alienda dirishani kwake
kuchungulia nje
Mwisho alimpigia simu Patrick
Patrick alipokea simu usiku wa saa nane huku akiwa na wasiwasi huenda kuna tatizo limetokea.
Hallow
Patrick nina tatizo,
Tatizo gani, umepatwa na nini? Prisca hajarudi nyumbani mpaka muda huu. Aliongea Jimmy kwa wasiwasi. "Umemfanya nini mtoto wa watu, ameenda wapi.
usiku huu?
Sijafanya chochote na sijui alipo. Umeharibu kumtafuta kwenye simu? Sina namba zake za simu.
jimmy, Jimmy yani unakaa na mtu alafu huna namba yake ya simu. Hayo ni maisha gani
anayoishi?
Huu sio muda wa kulaumiana kama unayo
namba yake naomba tafadhali Nitakuwa je namba yake sasa? Sikiliza wewe lala tutajua kesho Nawezaje kulala Patrick?
Patrick hakuwa na jibu wala msaada kwa muda
ule alikata simu akalala. Jimmy aliendelea kuzunguka pale chumbani kwake huku akiwa kashika simu yake mkononi.
Kulipokucha Patrick alienda nyumbani kwa Jimmy alimtafuta Mike kwenye simu kwaajili ya kumuomba namba za simu za Prisca lakini Mike hakuwa anapatikana.
Mike hapatikani.
Qooh Mungu wangu! Nitasema mimi kwa yule kaka yake kichaa mshika mapanga? Patrick huyu msichana anataka kupasua hiki kichwa
changu
Subiri yapite masaa 24 alipopatikana tutaenda polisi.
Masaa 24 tumekaa tu kumbuka yule ni mtu. Patrick
Najua sasa tutumie nila gani kumpata? Walikaa huku wakiwa wanasubin huenda
atarudi
Baada ya kama lisaa limoja kupita Prisca alirudi. Patrick na Jimmy walinyanyuka macho yao kumuangalia, Jimmy alimuangalia kwa jicho kali. Habari mr Patrick
Salama Prisca
Baada ya kutia salamu prisca alitaka kuelekea chumbani. Hey wewe msichana ulikuwa wapi usiku kucha? Prisca alisimama na kumuangalia
Hil ya kuulizana imeanza lini? Umesahau sheria zako ilizoweka? Crazy girl unataka kushindana na mimi
mwanaume?
Wewe ni mwanaume tu kama wanaume wengine ila sio mwanaume wangu hivyo angalia yanayokihusu
Patrick allona hapo kuna kazi ni bora awaache wenyewe wamalizane Jimmy acha niende mambo yenu mmalizane
wenyewe.
Patrick alivyoondoka Prisca nae akawa anaenda chumbani kwake jimmy alimfuata nyuma waliofika mlangoni Prisca alisimama na kugeuka kumuangalia
Unaenda wapi?
Prisca huwezi kuinyima usingizi alafu unakuja na kuingia kwenye nyumba yangu kama vile
danguro
"Baba una jerouse au nini kinakusumbua? Siwezi kuwa na wivu na mtu kama wewe Basi tulia nafsi mimi nilikuwa kwa mwanaume.
wangu, hata siku nyingine niliporudi wewe
endelea na mambo yako usiniwaze kabisa. Prisca alingia chumbani kwake na kubamiza
mlango Taratibu na nyumba yangu Jimmy aliondoka pale mlangoni akaenda kukaa
sebleni Siku hiyo hakuwa sawa kabisa ni wazi
swala la Prisca kulala nje ya nyumbani kilimuumiza kwa kiasi flan mpaka mwenyewe akawa hajielewi maana haijawahi kutokea huu
baada ya muda mrefu.
Haiwezekani mtoto wa kike aniletee zarau kiasi kikubwa hivi, yani nimlishe, nimsomeshe na kila
kitu ni juu yangu bado anaenda kulala na
wanaume wengine huko, haiwezekani natakiwa kuweka heshima anaiheshimu kama mwanaume.
Jimmy alinyanyuka pale na kuelekea chumbani kwa Prisca, aligonga mlango kwa fujo Prisca fungua mlango.
Unataka nini wewe mwanaume? Umesahau kuwa tulisema hakuna mtu kwenda chumbani kwa mwenzie?
Hii ni nyumba yangu huwezi kuniwekea.
mipaka
Prisca alienda kufungua mlango lakini hakufungua mlango wote wakati huo alikuwa ametoka kuoga alikuwa akifunga taulo. Jimmy alimsukuma mlango akazamia ndani na kufunga
mlango
"Unataka nini wewe?
Nataka kukuonyesha tofauti ya mwanaume na
mwanamke, nataka heshima yangu. Aliongea Jimmy huku alianza kuvua shati na kutupia pembeni, Prisca alianza kuwa na hofu alirudi nyuma na kuchukua nguo na kutaka
kuvaa lakini hakuwahi Jimmy alimfuata na kumsukuma kitandani kisha akampatia kwa juu.
Full 1000
Whatsp 0784468229.
Hakuna ratiba iliyopangwa kwa sasa.
Maoni
Click here to login and comments