πππͺπ¬ππ₯ π‘ππ¨π ππ π πͺππ‘πππ’ SEHEMU YA 10 Nilikuwa nimejikalia zangu chumbani sina tena maumivu
"Fungua sasa mke waangu tafadhali " nilimtizama tu sikumpa jibu lake , nikalifunguaa nilikuwa ni simu na nguoo ilikuwa ni baibui zuri balaa na risiti nikaona hapa kwenye bei ya simu wamempiga mimi si nimekaa dukani kwenye simu "mhh hapa umepigwa hapa hhh" nilicheka kuona mtu kapigwa "hatimaee umeongea sasa kipenzi changu nilikiwa nataka uzungumzee " nilimtizma tu sikumjibuu wala nini nilikuwa nipo busy narekebisha setting zangu za simu yangu mpyaa iPhone 13 tena pro max jamani mhh moyoni nilifurahi ila sikutaka huyu jambazi aelewe furaha yangu wala nini , maan simpendi mimi jamani mhh
"Mke wangu unajua mimi ni mume wako nakuletea zawadi hata husemi asante wala nini kwamba hujapenda au ?" Nilimtizama " mhh Asante nimependa" nilijibu kikauzu kwakweli alinitizama "ukinuna unapendeza sana ujue ila natamani usiwe unaninua mimi hapa , natamani uwe na amani na uchangamke kama siku ya kwanza ulivyonichangamkiaa ukanijibu hovyoo, natamani unambiee nimepigwa bei kam ulivyonifanyia dukani , natamani uchangamke kam ulivyokuwa umenichangamkiaa ukinishawishi nije dukani kwako kununua simu " nilimtizama jicho baya sana nina maswali mengi kichwani ya kumuliza huyu jambazi ,maan naona kam nimetekwa
"Najuaa una chuki na mimi ila sijui kwanini , mimi niliomba kukuoa kwa amani na niliruhusiwa ila sijui kwanini hutaki kuongea na mimi hutaki kuwa huru na mimi nakuomba tafadhali sana mke wangu unizoee" nilimtizama jichoo moja baya sana
"Kwanini mimi ? , aliokwambia mimi nataka kuolewa ni nani tena na wewe mimi nilikuw nina maisha yangu yaani kwasabau etty ulimfuata direct kaka , ukajua siwezi kukataa kanilazimisha mumi sikupendi wala nini naomba unielewe sikupendii na sitakaa nikupende" alinitizama kwa huruma kweli "ila ipo siku utanipendaa mimi ndio mumeo na nimekuona unafaa una upendo unajali una kila kitu ambacho mwanaume anahitaji kutoka kwa mwanamke nakuelewa sana , kwenye hiloo " nilitabsamu moyoni nasema tutaona siwezi kukupenda jitu lenyewe lina kazi ya kuniumiza umiza sitaki mimi mtoto wa watu sijazoeaa hayo mambo " naamini hakuna mkate mgumu kwenye chai naamini hivyo mke wangu " alinisogelaa akataka kunikiss nilirudi kwa nyuma "hapana nipo period tafadhali , siwezi kufanya hivii niache" nilijitetea mawazo yangu yalinipeleka anataka pampampa huyu mjingaa maan ni jambazi alicheka sana " mhh hapana ila mimi sitaki kufanya unachofikiriaa , kama upo period kwanini usiseme sasa uletewe pedi , basi ngoja nikakununulie mke wangu" nilikubali kuepusha hili asije kushtuka kam namuongopeaa ila mimi π huyu mpuuzi kafanya niongope wakati sio kawada yangu
Basi alitoka nje akaenda kuleta pedi tena Humani cherish nilinuka nikaenda kuvaa huku huko chooni na nikaoga kabisa mhhh , nilishukuru Mungu ila jamani mhhh hizi pedi zina ubaridi jamni mhhh ,kama zinantekenya na vile sina hata hyoo period najigeuza geuza tu, zinantekenya ila alihakikisha kalala kanikumbatia basi mimi kuchukiaa jamnai sipendi kukaraishwa hajui tu huyu mjingaa hajui jinsi ananikeraa hajuii yaani simpendi mimi duuh ila sina jinsi sasa,
Itaendelea.....π₯
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
Maoni