Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 8 "Mke wangu usinichukiee sasa nisamehe ika , mimi ndio mmeo wa kufa na kuzikana sawa mke wangu"
Gonga94 Β· Stories

π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 8 "Mke wangu usinichukiee sasa nisamehe ika , mimi ndio mmeo wa kufa na kuzikana sawa mke wangu"

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
alinambia mwanasheria Kabil nilimtizaama tu nikajifunika shuka nikalala sikuwa na haja ya kuona aibu tena kulala na taulo maana tayari ashanichunguliaa haina namna , nilimtizama tu nikaendelea zangu kulala sitaki shida mie , alikuja kwa nyuma akanikimbatiaa kwa nyuma sikutaka kumtoaa wala nini nikamuacha alale hapo kanikumbatia ila moyoni mwangu chuki ilikiwa ya hali yaa juu na kali kweli , nilizidi kuwa na chuki na familia yangu na huyu anaejiita mume wangu yaani nilijikuta namchukiaa hata huyu mwanaume wangu kwakweli ,hasira ilinizidi moyoni

Usiku haukukaaa daima palikucha hatimae na ilikuwa asubuhi nilianza kuamka mimi hapa na sikuwa na kitu cha kufanya maan hata kuinuka nilikiwa siwezi kufanya chochote kile niliamka nikakaa maan hata simu yangu sikuwa nayo kwasababu kaka alimpatia Kabil , nilikaa zangu tu nimetuliaa , nashangaa shangaa nilikaa kwa muda kidogo nikiwa mpweke na mwenye mawazo mengi sana , nilikuwa mbali kimawazo kwakweli , mume wangu na yeye pia akawa ameamka sasa mimi nipo namshangaaa tu yaani moyoni nilikuwa nina hasira nae vilivyoo yaani kama kuna siku ushawahi kuamka una hasira na mtu basi ni mimi, huyu ndio sababu ya kila kitu kwenye maisha yangu kubadilika haraka haraka na kwenda ambavyo sijapanga mimi , nilimtizama sikumsalimiaa wala nini

"Mke wangu una hasira na mimi kwani mbona unantizama sana" nilimuangaliaa tu sijujibu "sawa shika simu yako , hii hapa ila ntakubadilisha kwa sasa wewe sio wa kutumiaa hii Samsung A 12 , una hadhu kubwa ya kutumiaa iPhone kama mimi hapa mumeo , leo jioni ntakuleteaa ila naomba unizoee , mimi ndio rafiki yako kwa sasa na huna rafiki mwingine mke wangu nizoee tu" nilintizama nikaonyesha tabasamu la kinafki "sawa mke wangu ngoja mimi nikajiandaee leo nina kazi kubwa sana japo ni siku yangu ya kwanza ya ndoa yangu , nakuomba baki salama, kila kitu nishawapa maelezoo wahudumu watakuhudumia sawa mke wangu" nilimtizama nikatikisa kichw aaliinuka akanikisss kwenye paji la uso , nilitabasam tu kuonyesha nimepeenda ila binafsi hakuna kitu kilichokua kinanifurahisha hata kidogo mbele yake huyu mwanaumee , nilitamani aondoke haraka,

Basi akaona anibebe na mimi , maan nilikiwa sijiwezi akaendaa kuniogesha akaniogesha nilikuwa naona aibu ila sina la kufanya alimaliza akanivisha kwanziaa nguo ya ndani mpaka ya juu kabisa , mwisho alijiandaa na yeye akaondoka hapo nilishusha pumzi , nikashusha pumzi nikashika sasa simu yangu niiwashe sasa niangalie mambo yanaendelea duniani maan pale kwenye ile hotel ilikuaawa ni paparot hotel palikuwa na free WiFi jamani , mhhh hilo tu nililopenda kwa sababu mimi na maswala ya kufanya challenge na tik tok ni mtu na ndugu yake achaa niangaliee kwanza #trending song zilizovuma huko tik tok ,nikaanza kujichekea zangu tu kama vile mwenye kuchanganyikiwa nikasahu kabisa kuhusu maumivu yangu , na wahudumu walikuwa wananipa kula kitu ninachokitaka kwa wakati sahihi , nikaamua sasa nimpigiee shoga yangu Fatma

Itaendelea......πŸ”₯

Maoni

You're not logged in

Tangazo - Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Enzi zetu
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 8 "Mke wangu usinichukiee sasa nisamehe ika , mimi ndio mmeo wa kufa na kuzikana sawa mke wangu"

alinambia mwanasheria Kabil nilimtizaama tu nikajifunika shuka nikalala sikuwa na haja ya kuona aibu tena kulala na taulo maana tayari ashanichunguliaa haina namna , nilimtizama tu nikaendelea zangu kulala sitaki shida mie , alikuja kwa nyuma akanikimbatiaa kwa nyuma sikutaka kumtoaa wala nini nikamuacha alale hapo kanikumbatia ila moyoni mwangu chuki ilikiwa ya hali yaa juu na kali kweli , nilizidi kuwa na chuki na familia yangu na huyu anaejiita mume wangu yaani nilijikuta namchukiaa hata huyu mwanaume wangu kwakweli ,hasira ilinizidi moyoni

Usiku haukukaaa daima palikucha hatimae na ilikuwa asubuhi nilianza kuamka mimi hapa na sikuwa na kitu cha...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/lawyer-naumia-mwenzio-sehemu-ya-8-mke-wangu-usinichukiee-sasa-nisamehe-ika-mimi-ndio-mmeo-wa-kufa-na

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi lawyer-naumia-mwenzio-sehemu-ya
π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 16 Siku iliisha na mume wangu hakurudi na kesho yake mama wakwe
π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 16 Siku iliisha na mume wangu hakurudi na kesho yake mama wakwe
π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’   SEHEMU YA 19 - 20 Tuliendelea na shughuli yetu hakupata shida
π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 19 - 20 Tuliendelea na shughuli yetu hakupata shida
π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 17 - 18 Mama alifurahi sana maana na yeye alikuwa amekuja kwa kaka
π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 17 - 18 Mama alifurahi sana maana na yeye alikuwa amekuja kwa kaka
π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 14 Asubuhi ilifika pia sikumuuliza chochote hii ilimpa mawazo
π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 14 Asubuhi ilifika pia sikumuuliza chochote hii ilimpa mawazo
π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 12 Aliendeleaa kunipa juicee ila kuna muda aliacha afu mwenzenu nishanogewa
π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 12 Aliendeleaa kunipa juicee ila kuna muda aliacha afu mwenzenu nishanogewa
π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 7 Aliendeleaa kunishikilia kwa nguvu huku akinipa juice na mimi nilikuwa sitoi
π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 7 Aliendeleaa kunishikilia kwa nguvu huku akinipa juice na mimi nilikuwa sitoi
π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 11 Tukiwa tumelala kuna simu ikawa inaitaa alikuwa anapiga
π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 11 Tukiwa tumelala kuna simu ikawa inaitaa alikuwa anapiga
π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 10 Nilikuwa nimejikalia zangu chumbani sina tena maumivu
π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 10 Nilikuwa nimejikalia zangu chumbani sina tena maumivu
π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 6 Nilitoa macho mimi hadi machozi yalinitiririka jamani mimi nilijikuta nalia ila kwa sauti ya chini chini
π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 6 Nilitoa macho mimi hadi machozi yalinitiririka jamani mimi nilijikuta nalia ila kwa sauti ya chini chini
π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 13 "Kabil wewe ni wakuniolea mwanamke kisiri siri? , mpaka naambiwa na ndugu
π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 13 "Kabil wewe ni wakuniolea mwanamke kisiri siri? , mpaka naambiwa na ndugu
π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 9 "Wee jamni hata kam ndio umefukuzwa kazi ndio hupatikani shoga
π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 9 "Wee jamni hata kam ndio umefukuzwa kazi ndio hupatikani shoga
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two*    *SEHEMU YA KUMU*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMU*

898
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10

480
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜  SEHEMU YA 16

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 16

433
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8

412
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 17

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 17

298
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL   SEHEMU YA 10

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 10

209
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12

203
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23  na 25.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23 na 25.

180
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21  na 22.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21 na 22.

138
SHAMIRA sehemu ya 34&35

SHAMIRA sehemu ya 34&35

85

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.43K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.2K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.74K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.2K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.6K
MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

2.44K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.44K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.43K
I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

2.38K
MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

2.36K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
This pic from Ishq is pure 90s madness and I love it ! You’ve got Ajay Devgn with his serious, intense vibe… Kajol looking all fiery and expressive… Juhi Chawla Post Mpya
This pic from Ishq is pure 90s madness and I love it ! You’ve got Ajay Devgn with his serious, intense vibe… Kajol looking all fiery and expressive… Juhi Chawla
@majario LIVE

with that cute bubbly energy… and Aamir Khan being his mischievous, romantic self. What a combo yaar! Ishq was not just a love story, it was full on drama, comedy,...

 Ili kombora la Iran lifike Israel, linatakiwa kuvuka vikwazo vifuatavyo njiani Post Mpya
Ili kombora la Iran lifike Israel, linatakiwa kuvuka vikwazo vifuatavyo njiani
@majario LIVE

* Meli za kijeshi za Marekani zilizopo Ghuba ya Uajemi * Rada za Israel zilizopo Azerbaijan * Rada za Israel zilizopo Turkmenistan * Mifumo ya ulinzi wa anga ya vituo vya Marekani nchini...

SHAMIRA sehemu ya 34&35 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 34&35
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi nikajiiinua taratibu tukaingia bafuni. Mwanaume akanikumbatia uku tunaoga. Aseee uyu baba ananipenda ila hataki upumbavu ata kidogo na mkono wake mwepesi kupiga .na yote sababu...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi nikaona zena kamnyanyua yule mtoto kisha akambeba ,ni amefanana nae sana ,nikajua ni wa kwake tu yani ni lazima utu mtoto atakuwa ni mwanae, kisha akanigeukia...

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 17 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 17
@majario LIVE

Ikabidi nikae tu kwenye piki piki maana sura alivyokuwa kaikaza mmh asije kunipiga, Kimyaa kikatawala sasa mie nilijua tunaenda kwa Tinner na moyoni nilikuwa nimempangia hayo maneno Tinner eeh mbona...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL   SEHEMU YA 10 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 10
@majario LIVE

πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹ Maeneo ya pale pale chuoni, Salmon alikuwa amepanga nyumba kubwa ya peke yake. Wakati akiwa chuo ndo alikua anaishi hapo, ila siku za weekends kama hana mambo mengi ndo anaenda...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23  na 25. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23 na 25.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi kuanzia apo nikawa sasa kidogo naelewana na baraka. Tena mimi ndo napenda sana kuongea nae. Yani sanaaa. Napenda kucheka nae sana. Na kun jinsi...

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜  SEHEMU YA 16 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 16
@majario LIVE

Usiku wangu ulikuwa mzito sana, maneno ya D kusema kuwa Veda anatembea na wanawake wengi, niliyaamini kabisaaa Bila shakaa kwa maana Yeye tu hana mwonekano mzuri ametuna tuna hovyo anakuwa...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10
@majario LIVE

Daaah nikaona mtoto kachomoa leo mana sio powa , ana vipengele sana uyu demu , ila unyama, hatachomoa kila siku, ni suala la muda tu, mana sijawahi kumtaka mwanamke ,...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21  na 22. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21 na 22.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media BASI nikapanda kitandani kwangu. Nikijutia sana nilichokifanya mana mh . Nilikuwa nasababisha ugomvi mkubwa wa wazazi mungu wangu. Yani mama yangu alikuwa anaachwa leo...

SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.??? Post Mpya
SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.???
@majario LIVE

Hatimae jana tambo za Dabi zilipata majibu kwa timu za Simba na Yanga kutoka suluhu ya bila kufungana(0-0). Kwa maana hiyo timu zote ziliambulia pointi moja moja. Mchezo wa jana pamoja...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8
@majario LIVE

Zena akasema kwaiyo manager unataka kuniuza ama ni vp, yule manager aksema , naomba uelewe kuwa ukifanya kazi katika hii bar, mteja kukushika sehemu yoyote ya mwili wako ni kawaida,...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two*    *SEHEMU YA KUMU* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMU*
@majario LIVE

Jambo likawa lelelele, Yaani ni patashika nguo kuchanika, Kwa upande wangu Walahi nilikuwa nikifurahi tu, na amina alikuwa akilia tu nakuomba msamaha. Enzo wa watu mwaya akachukua muda wake na kumuelezea...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9
@majario LIVE

πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹ Mbali na ivyo zile zawadi alizo tumiwa Noela zilimuuma vile vile. Alihisi Noela hastahili vitu vizuri wala maisha ya kifahari. Alitaka kila kitu kiwe chake, wanaume wote wawe wake. Hata...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 6 na 7 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 6 na 7
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi bwana , mwanaume wala sikuwa na shaka, kazi zote ambazo nilibakiwa nazo pale ofisini, nikamuachia ibraaa, na ukiacha ushikaji, mi bafo ibra ni mkubwa wake wa kazi,...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest