Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 9 "Wee jamni hata kam ndio umefukuzwa kazi ndio hupatikani shoga
Gonga94 Β· Stories

π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 9 "Wee jamni hata kam ndio umefukuzwa kazi ndio hupatikani shoga

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
yangu, kuna kazi imepatikana huku shga huku ya kwenye duka kubwa kweli la simu kwa mwezi tu ni laki 6 shga yangu hhhh kwahyo nikaona nikuunganishie shga yangu maan hali yako naijuaa shoga na huyu mama Rahel mhhh ana gubu kama nini , mimi mwenye naacha kazi kam wee haupo shgaa" nilijisikiaa huzuni yaani nimepata nafasi nzuri kweli ya kazi halafu nipp hapa nahudumia ndoa na Fatma alikuwa hajui kwasababu hata picha za harusi sikuwa nazo maan kwenye hyoo ndoo ilikuwa kam ya fumanizi nilichora ndio ila sasa , hamna watu zaidi ya familia yangu na majirani wachache mhhh kam ndoa ya mkeka hamna hata kelele yaani "hamna mimi sifanyi tena kazi ila asante kwa kunikumbuka" niliongea sauti ya unyonge kweli sijawahi kuongeaa kam hivi kwakweli yaani "mhh shga kwanini , mhh afu mbona unaonekana haupo sawa nani kakuvuruga wakati wewe kuvurugwa sio vitu vyako ?" Aliuliza Fatma maan ananijua vizuri kam napenda ugomvi kuliko chochote kwenye maisha na hakuna mtu aneweza kunivuruga nikamuacha salama nilicheka kabla ya kuongea

"Fatma yaliyopo huku yanahuzunisha kwakweli sio mambo ya kawaida , shgaa yangu , mhhh ila ntakwambiaa" nilimwambia Fatma alizidi kunishangaa kwakweli maan anajua fika hii sio tabia yangu "bila shaka unaumwa wewe mimi nakuja kwako kukuona nikuletee nini shga yangu , mhhh au una njaa maana wewe nae ukiwa na njaa mhh inakuwa shida sana" alisema Fatma nilitabasam " hamna Fatma, ninayo makubwa zaidi ya hilo la kuumwa" nilimwambia Fatma "yapi hayo shga yangu nani kakutibuaa huyoo jamni mbona unanichanganya sana wewe bibiye" nilituliaa tu nikashusha pumzi "nimeolewa shoga yangu"

"Hee wewe mbona ghafla wiki moja tu , hebu acha masihala wewe mjinga ujue matani yamezidi mambo mengine unajitia mikosi shga yangu kam hujui yaani mikosi ya hadharani unajitiaa mamy vile tenaa yaani shoga yangu sijui uelekezwaje yaani ili uelewe mhhh ujuee acha masihala yaani wee ndiovyopenda shughuli unambiee etty umeolewa kimya kimya" nilijikuta nalia vikali mnoo nalia kwa nguvu ni kama ananikumbusha kumbukumbu yangu mbaya ya ndoa yangu ya mkeka " hee wewe mbona vilio tena , umefumwa na kak yako bandidu amekuozesha ndoa ya mkeka?" Alizidi kunichimba kutafuta umbeaa na mimi nilivyo sina kaba nikambwagia yote huku naliaa, alinipa pole utasem ani msiba ambao hauna matangaa tulimalizana alikata simu , nikasema kwanini nisitembee tembee kufanya mazoezi mambo ya kujiendekeza mimi siwezi kabisa hapa nitakaa chini mpaka lini nilivaa baibui langu na mtandio juu nikashuka kwenye lift japo nilikuwa naongeaa taratibu taratibu, ila niliweza kufanikiwa kufika hadi maeneo ya chini kule garden nikawa nazunguka zunguka , mama alipiga sikupokeaa nnilikuwa bado nina hasira na watu wote wa pale nyumbani wote kam wangenisikiliza mimi nisingeolewa nikaendeleaa kula upepo nikiwa zangu nimetuliaa , muda ulienda sana nikaamua zangu kwenda ndani sasa maan ilikuwa ni juoni tayari nikapanda lift , nikaelekeaa kwenye chumba nilichofikiwa na pale hotelini nilikuwa nanyenyekewa mhh yaani nahisi tu mwansheriaa alitoaa pesa za kutosha ndio maan nahudumiwa kam malikiaa

Itaendelea..... πŸ”₯

Maoni

You're not logged in

Tangazo - Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Enzi zetu
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 9 "Wee jamni hata kam ndio umefukuzwa kazi ndio hupatikani shoga

yangu, kuna kazi imepatikana huku shga huku ya kwenye duka kubwa kweli la simu kwa mwezi tu ni laki 6 shga yangu hhhh kwahyo nikaona nikuunganishie shga yangu maan hali yako naijuaa shoga na huyu mama Rahel mhhh ana gubu kama nini , mimi mwenye naacha kazi kam wee haupo shgaa" nilijisikiaa huzuni yaani nimepata nafasi nzuri kweli ya kazi halafu nipp hapa nahudumia ndoa na Fatma alikuwa hajui kwasababu hata picha za harusi sikuwa nazo maan kwenye hyoo ndoo ilikuwa kam ya fumanizi nilichora ndio ila sasa , hamna watu zaidi ya familia yangu na majirani wachache mhhh...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/lawyer-naumia-mwenzio-sehemu-ya-9-wee-jamni-hata-kam-ndio-umefukuzwa-kazi-ndio-hupatikani-shoga

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi lawyer-naumia-mwenzio-sehemu-ya
π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 16 Siku iliisha na mume wangu hakurudi na kesho yake mama wakwe
π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 16 Siku iliisha na mume wangu hakurudi na kesho yake mama wakwe
π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’   SEHEMU YA 19 - 20 Tuliendelea na shughuli yetu hakupata shida
π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 19 - 20 Tuliendelea na shughuli yetu hakupata shida
π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 17 - 18 Mama alifurahi sana maana na yeye alikuwa amekuja kwa kaka
π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 17 - 18 Mama alifurahi sana maana na yeye alikuwa amekuja kwa kaka
π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 14 Asubuhi ilifika pia sikumuuliza chochote hii ilimpa mawazo
π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 14 Asubuhi ilifika pia sikumuuliza chochote hii ilimpa mawazo
π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 12 Aliendeleaa kunipa juicee ila kuna muda aliacha afu mwenzenu nishanogewa
π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 12 Aliendeleaa kunipa juicee ila kuna muda aliacha afu mwenzenu nishanogewa
π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 7 Aliendeleaa kunishikilia kwa nguvu huku akinipa juice na mimi nilikuwa sitoi
π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 7 Aliendeleaa kunishikilia kwa nguvu huku akinipa juice na mimi nilikuwa sitoi
π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 11 Tukiwa tumelala kuna simu ikawa inaitaa alikuwa anapiga
π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 11 Tukiwa tumelala kuna simu ikawa inaitaa alikuwa anapiga
π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 10 Nilikuwa nimejikalia zangu chumbani sina tena maumivu
π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 10 Nilikuwa nimejikalia zangu chumbani sina tena maumivu
π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 6 Nilitoa macho mimi hadi machozi yalinitiririka jamani mimi nilijikuta nalia ila kwa sauti ya chini chini
π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 6 Nilitoa macho mimi hadi machozi yalinitiririka jamani mimi nilijikuta nalia ila kwa sauti ya chini chini
π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 8 "Mke wangu usinichukiee sasa nisamehe ika , mimi ndio mmeo wa kufa na kuzikana sawa mke wangu"
π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 8 "Mke wangu usinichukiee sasa nisamehe ika , mimi ndio mmeo wa kufa na kuzikana sawa mke wangu"
π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 13 "Kabil wewe ni wakuniolea mwanamke kisiri siri? , mpaka naambiwa na ndugu
π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ SEHEMU YA 13 "Kabil wewe ni wakuniolea mwanamke kisiri siri? , mpaka naambiwa na ndugu
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two*    *SEHEMU YA KUMU*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMU*

890
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10

467
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜  SEHEMU YA 16

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 16

431
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8

407
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 17

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 17

290
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL   SEHEMU YA 10

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 10

206
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12

189
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23  na 25.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23 na 25.

180
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21  na 22.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21 na 22.

138
SHAMIRA sehemu ya 34&35

SHAMIRA sehemu ya 34&35

80

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.42K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.19K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.74K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.2K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.59K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.44K
MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

2.44K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.43K
I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

2.38K
MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

2.36K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
This pic from Ishq is pure 90s madness and I love it ! You’ve got Ajay Devgn with his serious, intense vibe… Kajol looking all fiery and expressive… Juhi Chawla Post Mpya
This pic from Ishq is pure 90s madness and I love it ! You’ve got Ajay Devgn with his serious, intense vibe… Kajol looking all fiery and expressive… Juhi Chawla
@majario LIVE

with that cute bubbly energy… and Aamir Khan being his mischievous, romantic self. What a combo yaar! Ishq was not just a love story, it was full on drama, comedy,...

 Ili kombora la Iran lifike Israel, linatakiwa kuvuka vikwazo vifuatavyo njiani Post Mpya
Ili kombora la Iran lifike Israel, linatakiwa kuvuka vikwazo vifuatavyo njiani
@majario LIVE

* Meli za kijeshi za Marekani zilizopo Ghuba ya Uajemi * Rada za Israel zilizopo Azerbaijan * Rada za Israel zilizopo Turkmenistan * Mifumo ya ulinzi wa anga ya vituo vya Marekani nchini...

SHAMIRA sehemu ya 34&35 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 34&35
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi nikajiiinua taratibu tukaingia bafuni. Mwanaume akanikumbatia uku tunaoga. Aseee uyu baba ananipenda ila hataki upumbavu ata kidogo na mkono wake mwepesi kupiga .na yote sababu...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi nikaona zena kamnyanyua yule mtoto kisha akambeba ,ni amefanana nae sana ,nikajua ni wa kwake tu yani ni lazima utu mtoto atakuwa ni mwanae, kisha akanigeukia...

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 17 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 17
@majario LIVE

Ikabidi nikae tu kwenye piki piki maana sura alivyokuwa kaikaza mmh asije kunipiga, Kimyaa kikatawala sasa mie nilijua tunaenda kwa Tinner na moyoni nilikuwa nimempangia hayo maneno Tinner eeh mbona...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL   SEHEMU YA 10 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 10
@majario LIVE

πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹ Maeneo ya pale pale chuoni, Salmon alikuwa amepanga nyumba kubwa ya peke yake. Wakati akiwa chuo ndo alikua anaishi hapo, ila siku za weekends kama hana mambo mengi ndo anaenda...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23  na 25. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23 na 25.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi kuanzia apo nikawa sasa kidogo naelewana na baraka. Tena mimi ndo napenda sana kuongea nae. Yani sanaaa. Napenda kucheka nae sana. Na kun jinsi...

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜  SEHEMU YA 16 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 16
@majario LIVE

Usiku wangu ulikuwa mzito sana, maneno ya D kusema kuwa Veda anatembea na wanawake wengi, niliyaamini kabisaaa Bila shakaa kwa maana Yeye tu hana mwonekano mzuri ametuna tuna hovyo anakuwa...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10
@majario LIVE

Daaah nikaona mtoto kachomoa leo mana sio powa , ana vipengele sana uyu demu , ila unyama, hatachomoa kila siku, ni suala la muda tu, mana sijawahi kumtaka mwanamke ,...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21  na 22. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21 na 22.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media BASI nikapanda kitandani kwangu. Nikijutia sana nilichokifanya mana mh . Nilikuwa nasababisha ugomvi mkubwa wa wazazi mungu wangu. Yani mama yangu alikuwa anaachwa leo...

SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.??? Post Mpya
SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.???
@majario LIVE

Hatimae jana tambo za Dabi zilipata majibu kwa timu za Simba na Yanga kutoka suluhu ya bila kufungana(0-0). Kwa maana hiyo timu zote ziliambulia pointi moja moja. Mchezo wa jana pamoja...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8
@majario LIVE

Zena akasema kwaiyo manager unataka kuniuza ama ni vp, yule manager aksema , naomba uelewe kuwa ukifanya kazi katika hii bar, mteja kukushika sehemu yoyote ya mwili wako ni kawaida,...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two*    *SEHEMU YA KUMU* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMU*
@majario LIVE

Jambo likawa lelelele, Yaani ni patashika nguo kuchanika, Kwa upande wangu Walahi nilikuwa nikifurahi tu, na amina alikuwa akilia tu nakuomba msamaha. Enzo wa watu mwaya akachukua muda wake na kumuelezea...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9
@majario LIVE

πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹ Mbali na ivyo zile zawadi alizo tumiwa Noela zilimuuma vile vile. Alihisi Noela hastahili vitu vizuri wala maisha ya kifahari. Alitaka kila kitu kiwe chake, wanaume wote wawe wake. Hata...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 6 na 7 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 6 na 7
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi bwana , mwanaume wala sikuwa na shaka, kazi zote ambazo nilibakiwa nazo pale ofisini, nikamuachia ibraaa, na ukiacha ushikaji, mi bafo ibra ni mkubwa wake wa kazi,...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest