Margret Chola, bibi mwenye umri wa miaka 85 aliyejizolea umaarufu mtandaoni kutokana na aina ya mavazi
3rd Aug, 2025 Views 26
KUTANA NA BIBI BISHOO
Kutana na Margret Chola, bibi mwenye umri wa miaka 85 aliyejizolea umaarufu mtandaoni kutokana na aina ya mavazi yake baada ya kukubali kuvaa mavazi ya mjukuu wake ambaye ni mbunifu na mwanamitindo.
Margret Chola anajulikana kama "Legendary Glamma" kwenye mtandao wake wa Instagram (akiwa na wafuasi zaidi ya 149k hivi sasa), anatokea maeneo ya vijijini kaskazini mwa Zambia na amekuwa gumzo kutokana na picha zake za mitindo na za kuvutia.
Bibi yako anaweza kuvaa hivi? Swipe kuona picha zaidi..
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA
Margret Chola, bibi mwenye umri wa miaka 85 aliyejizolea umaarufu mtandaoni kutokana na aina ya mavazi  >>> https://gonga94.com/semajambo/margret-chola-bibi-mwenye-umri-wa-miaka-85-aliyejizolea-umaarufu-mtandaoni-kutokana-na-aina-ya-mavaz #Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war