Anaonekana mwanaune mmoja mzungu na mtanashati akiingia kwenye casino ya hapa Miami Hits nchini Marekani,baada ya kuangalia huku na huku mara akamwisha muhudumu
Muhudumu....Mr park karibu sana
Mr park.... akhsante, eeeee hivi jesca Leo Yuko wapi sijamuona ?
Muhudumu..."Leo ni siku yake ya mapumziko hivyo kama Kuna huduma waitaji naweza kukuhudumia pia ?"
Mr park....Hapana Monica,naaa Bado anaishi pale pale ama amehama?
Monica ...."pale pale"
Mr park.... akhsante
🌲🌲🌲🌲Mr park akaondoka huku akionyesha kuwa anachelewa kwenye Sehemu na ndani ya dakika 27 hivi Mr park anafika kwenye ghorofa lefu sana akiliangalia Kisha na kuingia,Moja Kwa Moja mpaka gholofa ya 9 mlango namba 12 na kusimama nje huku akijiuliza agonge ama laa Kwani alisikia tokea ndani
Jesca....ooooh baby come on give me more ,aaaahhhh love you,
🍓🍓🍓🍓Mr park baada ya kujiuliza Kwa muda akaamua kugonga tu mlango huku akiangalia muda na Tena Kwa nguvu
Mr park...jescaaaa,jescaaaa njooo
Jesca....ninamtejaaa ngoja kidogo
Mr park....mteja kitu Gani ww njoo tuzungumzee kidogo nachelewa
🍓🍓🍓Kutokana na usumbufu aliokuwa nao Mr park mle ndani mchezo ulishindikana na jesca akatoka akiwa kachukia sana kukatishwa katika mambo yake,alichukua taulo na kujifunga na kufungua mlango huku jasho likimtoka sana na pindi alipomuona tu Mr park,jesca akaona aibu sana Kwani huwa anampenda sana Mr park ila ndio Mr park hamtaki jesca
Mr park....jesca hapa Sina muda kabisa Kwa kifupi kaoge tuondoke ndani ya dakika 5 na gharama zote za mteja wako nitakulipa mm,changamka basii
🌼🌼🌼🌼Jesca akaingia na kwenda kuoga huku yule mwanaune akitoka na kupishana na Mr park mlangoni na park kuingia ndani,jesca anatoka bafuni anamkuta Mr park ndani Kisha akajiongeza jesca na kuliachia taulo na kudondoka huku akianza kujibebisha Kwa hatua Moja baada ya nyingine akiwa kama alivyo zaliwa,Mr park macho yalimtoka.