Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MMMMH DADY NIKIKUPA UTANIOA  SEHEMU YA 12*  Boy akanivuta karibu yake zero distance nyieeee nilishindwa mpaka kuhemaπŸ™ˆπŸ™ˆhata kumtizama sikuwezaπŸ˜‚πŸ˜‚
Gonga94 Β· Stories

MMMMH DADY NIKIKUPA UTANIOA SEHEMU YA 12* Boy akanivuta karibu yake zero distance nyieeee nilishindwa mpaka kuhemaπŸ™ˆπŸ™ˆhata kumtizama sikuwezaπŸ˜‚πŸ˜‚

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Niliziba macho mshikaji akanitoa mikono machoni akaniambia am sorry sikudhamilia kukuumiza I'm very sorryπŸ˜”πŸ˜”

Anaongea vizuri sauti fulani hiviπŸ«¦πŸ«¦πŸ’‹yani hata sikuwa nazingatia what he talking aboutπŸ₯°πŸ₯° mwenzenu kila kitu nilkuwa naitikia tu🀣🀣

Jamaa wakati ananibembeleza ghafla tukashtushwa na kengere ya getini...

Kabla sijaondoka kule chumbani Kingston aliniambia najua hao ni wazazi wangu nakuomba usiseme chochote..

Nilishangaa kichwani nikajiuliza kwanini anafanya hivyo???..

Ukizingatia nishamuogopa kutokana na ile sura aliyonionyeshea wala sikutaka kumpinga kwa chochote...
Nilitoka kule chumbani kwake haraka nikaenda kuvua zile nguo nilizokojolea nikatupia kijola then nikaenda kuwafungulia wazazi..

Baada tu ya kufungua geit nikashangaa baba na mama Kingston wananikodolea sana macho shingoni kwangu 😳😳

Mmhhh kwani wameona nini??.... nilijikausha nikaenda kuwapokea vitu nikapeleka ndani badae nikaingia jikoni kuweka vitu kwenye fridge mama akanifuata akaniuliza uko sawa??.

Nikashtuka kwa uoga kisha nikamwambia ndiyo mama niko sawaπŸ˜₯πŸ˜₯

Shingo yako ina tatizo gani??..

Mmhh nani mimi??!

Ndiyo wewe zarina kuna nani mwingine hapa??...

Mi niko sawa mama.

Una uhakika??..

Ndiyo mama niko sawa..

Nilijibu huku nikiificha shingo yangu.... nahisi labda zilibaki alama za kuvilia damu baada ya Kingston kunikwidaπŸ₯Ή

Ilibidi nikajitizame kwenye kioo kweli nikakuta kuna doa kubwa sana shingoni..

Alama za mkono wa Kingston zilibakia shingoni kwangu😒😒😒nilijisikia vibaya baada ya kuiona ile alama nikajikuta nazidi kuingiwa na uoga zaidi juu ya Kingston..

Huenda ana wazimu unaompanda na kupotea😰😰sijui niwaambie wazazi wake kilichotokea lakini naogopa maana ameshanionya nisiseme chochote😣😣..

Niliona bora nikae kimya nisiseme chochote....

Mama aliendelea kunihoji juu ya alama iliyoko shingoni kwangu nikamdanganya nilikuwa nahisi muwasho tu nikajikuna na sikujua kama itatokea alama ya vile..

Mama alinielewa akaniambia nilihofia isijekuwa Kingston ndo kakuumiza...

Hapana mama Kingston hana shida yeyote hajawahi kunitishia amani..

Siku hiyo iliisha siku iliyofuata kama kawaida wazazi walielekea kazini na Kingston akaelekea chuoni nyumbani nikabaki peke yangu....

Ilipofika mchana saa saba Kingston alirudi nyumbani... nilishajua kuwa anaweza kuongea vizuri hivyo hakuendelea kuniigizia tena...

Baada ya dereva wake kuondoka Kingston alianza kuniongelesha vizuri..

Alinijulia hali huku macho yake yakinitizama pale shingoni nilipoumia😩😩

Aliinisogelea baada ya kuliona lile jeraha mi nikahisi anataka kunikwida tena nikaanza kurudi nyumaπŸ™ˆπŸ™ˆ

Alipoona narudi nyuma si akapiga hatua kwa haraka akanishika mkono weeeeπŸ₯°πŸ₯°πŸ₯°πŸ₯°nyieee kuna namna nilijisikia kihali fulani hivi🫦πŸ₯±

The Boy alinishika pale shingoni taratibu nyieee nilisisimkaπŸ™ˆπŸ™ˆ

Nikamtoa mkono wake akashangaa why hutaki nikushike?..

uuwww yani hapo napumua kwa tabu moja haikai mbili haikai πŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆ macho yanapepesuka tu nashindwa niangalie wapiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™Œ...

Nini kitafuata???..

Maoni

You're not logged in

Tangazo - Monday To Sunday
Monday To Sunday
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MMMMH DADY NIKIKUPA UTANIOA SEHEMU YA 12* Boy akanivuta karibu yake zero distance nyieeee nilishindwa mpaka kuhemaπŸ™ˆπŸ™ˆhata kumtizama sikuwezaπŸ˜‚πŸ˜‚

Niliziba macho mshikaji akanitoa mikono machoni akaniambia am sorry sikudhamilia kukuumiza I'm very sorryπŸ˜”πŸ˜”

Anaongea vizuri sauti fulani hiviπŸ«¦πŸ«¦πŸ’‹yani hata sikuwa nazingatia what he talking aboutπŸ₯°πŸ₯° mwenzenu kila kitu nilkuwa naitikia tu🀣🀣

Jamaa wakati ananibembeleza ghafla tukashtushwa na kengere ya getini...

Kabla sijaondoka kule chumbani Kingston aliniambia najua hao ni wazazi wangu nakuomba usiseme chochote..

Nilishangaa kichwani nikajiuliza kwanini anafanya hivyo???..

Ukizingatia nishamuogopa kutokana na ile sura aliyonionyeshea wala sikutaka kumpinga kwa chochote...
Nilitoka kule chumbani kwake haraka nikaenda kuvua zile nguo nilizokojolea nikatupia kijola then nikaenda kuwafungulia wazazi..

Baada tu ya kufungua geit nikashangaa baba na mama Kingston wananikodolea sana macho shingoni kwangu 😳😳

Mmhhh kwani wameona...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mmmmh-dady-nikikupa-utanioa-sehemu-ya-12-boy-akanivuta-karibu-yake-zero-distance-nyieeee-nilishindwa

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mmmmh-dady-nikikupa-utanioa-sehemu-ya
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

1.06K
MY WANGU❀️ sehemu ya 108

MY WANGU❀️ sehemu ya 108

836
MY WANGU❀️ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma

MY WANGU❀️ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma

678
MIMI SIKUACHIπŸ₯°  SEHEMU YA 56...57

MIMI SIKUACHIπŸ₯° SEHEMU YA 56...57

530
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜  N0 66...67πŸ’˜πŸ’˜

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 66...67πŸ’˜πŸ’˜

525
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 68...69πŸ’˜πŸ’˜

AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 68...69πŸ’˜πŸ’˜

467
MIMI SIKUACHIπŸ₯°  SEHEMU YA 58

MIMI SIKUACHIπŸ₯° SEHEMU YA 58

437
REALLY LOVE* Chapter 19

REALLY LOVE* Chapter 19

255
MY CRAZY BOSS 06

MY CRAZY BOSS 06

118
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 7

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 7

110

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.2K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.93K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.69K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.1K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.48K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.42K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.32K
I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

2.31K
❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.26K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya nane.  πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya nane. πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

2.18K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
MY CRAZY BOSS 07 Post Mpya
MY CRAZY BOSS 07
@majario LIVE

SONGA NAYO Asubuhi wa kwanza kuamka nilikuwa mimi,nilijikuta na uchovu wa ajabu sana,nikaona niamke nielekeee chooni kukojoa Ile natoka tu kwenye shuka 😳😳nikagundua nipo uchi wa mnyamaπŸ₯²hapo ndo akili ikanirudi nikagundua yaliyojiri...

MIMI SIKUACHIπŸ₯°  SEHEMU YA 58 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° SEHEMU YA 58
@majario LIVE

🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Wakati nawaza pale akaja yule muuzaji na baadhi ya sampo ya vitu vya kike vya gharama kweli dah mfukoni pesa ya kufosi na uhakika wa kupokelewa zawadi sina ila fresh...

*ZAWADI YA RAMADH'AN* 1 - 3 Post Mpya
*ZAWADI YA RAMADH'AN* 1 - 3
@majario LIVE

SEHEMU YA...... 1 ilikuwa ni majira ya Jioni nyumbani kwa Kijana Tajiri aliefahamika kwa jina la ABDUL. Kijana ambae alijaaliwa kuwa msomi na kuweza Kupata kazi Nzuri. Hali ile ilimpelekea kuishi nyumba moja...

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 7 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 7
@majario LIVE

SONGA NAYO...... Hatimae mda wa vipindi ulianza na siku hii nilikuwa na kipindi cha asubuhi kwa kidato cha tatu nilikuwa natakiwa kwenda kuwafundisha geography Basi nikaelekea darasani, kufika humo nakuta wanafunzi hawatulii...

MY WANGU❀️ sehemu ya 108 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 108
@majario LIVE

Mh na mimi nikaanza kulia. Aseeee hakukuwa na kuoga tena. Mana niliona mlige . Anazidi kulia na ata simuelewi tena..ikabidi mimi ndo nijikaze sasa. Nikafunga bomba. Nikachukua taulo...

AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 68...69πŸ’˜πŸ’˜ Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 68...69πŸ’˜πŸ’˜
@majario LIVE

Ni nani jina la huyo mwanamke aliyejifungua?! Nilimuuliza eve aliniambia jina lake ni lia Stanley.... lia lia lia...... kwanini huachi ndoa yangu ikawa na amani nikufanyie nini ewe mwanamke ili...

What’s a German food you could eat every day and never get tired of? English Post Mpya
What’s a German food you could eat every day and never get tired of? English
@majario LIVE

If I had to choose one German food I could eat every day and never get tired of, it would be BrΓΆtchenβ€”those small, crusty bread rolls that are everywhere in...

MIAKA 7 ya Ndoa Mke wangu ana ujauzito mwingine ambao si wangu! Post Mpya
MIAKA 7 ya Ndoa Mke wangu ana ujauzito mwingine ambao si wangu!
@majario LIVE

Mimi ni kijana wa miaka 36, nimeoa na ndoa yangu ina miaka 7 sasa, binafsi sijabahatika kupata mtoto. Kama kawaida huko mwanzoni nilijua kuwa matatizo ni ya mke wangu, akawa...

When Saif Ali Khan married Amrita Singh in 1991, it honestly felt like Bollywood didn’t see it coming. A 12-year age gap Post Mpya
When Saif Ali Khan married Amrita Singh in 1991, it honestly felt like Bollywood didn’t see it coming. A 12-year age gap
@majario LIVE

, totally different career phases, and zero interest in pleasing societyβ€”it was bold for that time. There was no big media circus, no flashy wedding photos splashed everywhere. Just a...

Sad news from the film fraternity πŸ’”  Veteran actress Pravina Deshpande has passed away at the age of 60 Post Mpya
Sad news from the film fraternity πŸ’” Veteran actress Pravina Deshpande has passed away at the age of 60
@majario LIVE

. She was known for her performances in films like Ready, Jalebi, and Taskaree, leaving behind memorable moments on screen. An artist gone, but her work will continue to live on 🎬✨ May...

Boost Earnings from Your DE Traffic & Grab Your Bonus! Image #1 Post Mpya
Boost Earnings from Your DE Traffic & Grab Your Bonus! Image #1
@majario LIVE

This week, all eyes are on Germany! Why? Because you can earn a 10% bonus when you increase your Germany earnings by 25% or more compared to the previous week. What...

MY CRAZY BOSS 06 Post Mpya
MY CRAZY BOSS 06
@majario LIVE

Majira ya saa saba yalifika ambapo mimi na boss tuliongozana wote hadi kwenye kikao Kama ilivyodesturi boss wangu yupo smart kweli kweli, watu wote wanamwogopa na kumuheshimu hana masihars kabisa kwenye...

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜  N0 66...67πŸ’˜πŸ’˜ Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 66...67πŸ’˜πŸ’˜
@majario LIVE

Mmmhhhh namba ni ya nani hiiπŸ˜ͺπŸ˜ͺ yani saizi huyu mwanaume simuachi hata kitokee kitu gani🌚🌚 yani nasemaje nitampenda yeye na hao mademu zake sina muda wa kuanza kutafuta mahusiano mapya...

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 6 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 6
@majario LIVE

SONGA NAYO...... Nikashangaa amepiga magoti chini akafungua chupa ya maji akamaliza akjimiminia mdomoni, mimi kwangu yalikuwa mageni kabisa sijawahi kuona mtu anakunywa maji kwa staili hiyo Basi alipomaliza kunywa maji akarudi kukaa...

MIMI SIKUACHIπŸ₯°  SEHEMU YA 56...57 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° SEHEMU YA 56...57
@majario LIVE

🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Basi mwanaume nikawa nawaza tu haka katoto haka katakuja kupenda pesa kinoma na wivu kama woteπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚kanasukuma wenzie kabisa hakataki wasogelee simu ila nilitokea kukapenda sana maana nakenyewe kalikuwa active sana...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest