Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo
Gonga94 · Stories
30 Nov -0001
74 views
VYOTE NDANI GONGA94
MSHANGAZI EPISODE 1
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
MSHANGAZI
EPISODE 1
Usiku wa saa nne, upepo wa baharini ukipepea mapazia meupe ya hoteli moja ya kifahari Masaki, Oscar alisimama mbele ya dirisha akiwa amevaa box.... Tu , kifua wazi kimechongoka na ngozi yake nyeusi iliyong’aa kwa mafuta ya baby care. Macho yake yalikuwa mazito, si kwa usingizi… bali kwa hamu aliyokuwa ameijaza tumboni.
Kitandani kulikuwa na Vicky. Akiwa amelala kifudifudi juu ya mashuka meupe, akiwa amevaa kitenge kifupi kilichosokotwa kama taulo kiunoni — miguu yake ikiwa wazi kabisa, na mgongo wake uliopambwa na tattoo ndogo ya "Queen" karibu na kiuno.
"Usisimame sana huko Oscar… njoo hapa… mummy anakuhitaji kijana kama wewe ....
Oscar aligeuka na kutembea taratibu, akamvamia Vicky kwa mikono yake miwili kama simba anayeuteka mwili wa windo lake. Mikono yake ilianza kutalii sehemu mbali mbali za himaya hiyo .......
“Unajua unavyoifanya damu yangu ipande, siyo?” Vicky alimuuliza huku akimshika ikulu kwa mkono wake mweupe.
Oscar alinguruma kimahaba. “Mummy... leo sitakuruhusu ulale mpka Nikuchoshe .....”
Hapo mambo yakaanza kubadilika. Vicky alimvuta Oscar juu yake. Mikono yao ilianza kucheza kwenye idara yake , miguno ikaanza kusikika polepole, wakawa wanajipigiana mipasi humu yaani humu tu.
“Naomba... usinichoshe leo... leo ni siku yangu, Oscar,” Vicky alitoa sauti za wakubwa ambazo watoto huku Oscar akizama zaidi, akimvuta kwa nguvu. Harufu ya manukato ya chumbani ikachanganyika na jasho la mapenzi — moto wa tamaa ukashika kasi.
Wakawa wanalala, wanaamka, wanageukana, yaani ni moto wankuotea mbali..., wanashikana i. Sauti za mguno zilijaa chumbani, zikazidi hata sauti ya redio iliyokuwa ikipiga nyimbo za R&B.
Wakati huo, simu ya Oscar ikaita. Aliitazama — ilikuwa ni namba ya mwanamke aliyekuwa anampenda bila kujua kuwa Oscar tayari alikuwa ameangukia kwa mama mwenye pesa na ladha ya hatari.
Lakini Oscar aliizima. Akasema, “Leo ni usiku wa moto… nitajibu kesho. Leo ni wewe tu, mummy.”
Vicky alitabasamu huku akimvuta tena, “Njoo mtoto… mummy hajatosheka…”
Maoni
You're not logged in
X
Login
X
signup
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
NILIKUTANA NA BINTI YANGU ALIEFARIKI MIAKA MBILI ILIOPITA AKIUZA MAJI HUKU AMEVALIA NGUO ALIEKUA NAYO SIKU ALIFARIKI Episode 3
Rafiki yangu Angela, Niko teyari kufatana na wewe au kufanya lolote, ili nijue kama mwanangu yuko hai au la, nimechoka ...
Mwandishi aliuliza je neno mshangazi maana yake nini, Kajala akajibu mshangazi ni mwanamke mwenye umbo kuuubwa, Wolper akisema mshangazi ni mwanamke mwenye umri
mkubwa kama sisi hapa yani kama mimi, Kajala, Auntyezekiel na Irene Uwoya Irene Uwoya akasema hapana sisi sio mishangaz...
Usiku wa Kwanza na Jirani Episode 1: Wee bwana, najua majirani wa mtaa hatajwi sana – lakini huyu jirani wangu alinimaliza. Kila siku nikiona akitoka kwa balcony na vest imekaza kifua, macho
yananiambia, “Khadijah, ukipata chance usikose.” 😏Siku moja akanipigia hodi kwa kisingizio cha kuchukua charger. Saa hi...
Tangazo - MY Wangu season one, season two, season 3, season 4 and season 5 final
MY Wangu season one, season two, season 3, season 4 and season 5 final
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA
MSHANGAZI EPISODE 1
MSHANGAZI
EPISODE 1
Usiku wa saa nne, upepo wa baharini ukipepea mapazia meupe ya hoteli moja ya kifahari Masaki, Oscar alisimama mbele ya dirisha akiwa amevaa box.... Tu , kifua wazi kimechongoka na ngozi yake nyeusi iliyong’aa kwa mafuta ya baby care. Macho yake yalikuwa mazito, si kwa usingizi… bali kwa hamu aliyokuwa ameijaza tumboni.
Kitandani kulikuwa na Vicky. Akiwa amelala kifudifudi juu ya mashuka meupe, akiwa amevaa kitenge kifupi kilichosokotwa kama taulo kiunoni — miguu yake ikiwa wazi kabisa, na mgongo wake uliopambwa na tattoo ndogo ya "Queen" karibu na kiuno.
"Usisimame sana huko Oscar… njoo hapa… mummy anakuhitaji kijana kama...
👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mshangazi-episode-1
Maoni