*MY CHUNUN* 01
Naitwa Caren..
Nilipo matokeo yametoka kwenda chuo nimefaulu na nina kapingwa chuo dar..Wazazi na ndugu zangu walifurahi sana kuona nimefauru maana kwenda chuo c mchezo bhn..
Baas baada ya kama wiki mbili nikajiandaa na kufunga safari kwenda zangu dar ili kuanza chuo chuo cha IFM kigambonii..
Nilipofika pale nilikaa hostel maana nilikua mgeni sijui kitu chochote..
??????
Haya sasa maisha ya chuo yameanza na mm nimeshazoea chuo ila sina marafiki na kule nyumban niliambiwa nikifika dar niwe makini ila sikujua umakini kiaje..niliambiwa dar huchelewi kufa na nikaona kweli maana kuna magari mengi htr ukiwa mzembe unakufa dkk sifuri tu..?
Nilikua busy sana na maisha yangu na masomo yangu mpk siku moja mdudu alipo niingia
(Sijui mududu kaingia)
Iyo siku bhn ilikua after class hours..Nikamuona mkaka mmoja kaingia class akamsemesha mtu sasa alikua mzuri kias kwamba siwez kujizuia kumwangalia..sijui alishtukia kma kuna mtu anamwangalia nikaona wamegeuka wote pamoja..paaap? nikabaki nimeganda tu hata sijui cha kufanya yule kaka akanipungia mkono..? yelewiii nilihisi kma shoti inapiga hivi..nikatabasamu nikageuka pembeni.. yule kaka alivomaliza kuongea akatoka daah harufu yake ikabaki mle drsn afu nikajishtukia hivi mm nna akili kweli..
Nikaendelea kusoma ila kija nikijaribu ku focus moyo unawaza kwingine akili ina imagine vitu vingine.. nikafunika madaftar yng nikaanza kwenda hostel nikapumzike labda akili itakua imechoka...
Kutoka nikapishana na yule kaka..sijui nn kilitokea ila nilitamani kukimbia au kubadilisha njia lkn ubaya tunapishana koridoni nikasema haina shida ngoja niendelee kutembea mpk tunapishana mm akili ime freeze..alivo nipita nikaongeza mwendo nikakimbia mpk room najiuliza hivi mm nna matatizo gani leo?
Nikaamua nilale nikiamka takua sawa...
Nakujaaa...?
*MY CHUNUN* 02
Nilipo amka ilikua ni mida ya jion jion saa moja tuseme tu ni usiku giza lilisha ingia na njaa ikawa inauma..nikaenda kuoga nikatafte chakula nile..
Wakati natoka hostel nikapishana na wadada wanajadili kitu ila niliskia tu kwa mbali si mnajua wale ma slay queen wa vyuo *"Oh my God he is so hot"* mwenzake akamjibu *"I know right wow he is my crush"* sikujua wanazungumzia nn au nani ila nikajua tu ni mwanaume nikajisemea moyoni _"crush my foot"_ Nikaendelea na safari zangu..
Nikatoka kbs nje ya chuo nikaenda kwenye ki hoteli kimoja pale nikaagiza chips kuvu na juis ya miwa nikawa nakula..
Nimemaliza nikaenda kulipa nikaambiwa *"umeshalipiwa"* ..? *"nimelipiwa na nani?"*
Akasema *"kuna mkaka tu hapa alikua anakula alivo lipa akasema nikate na pesa ya chakula chako"* nikamwambia *"Sawa Asante kwa heri"* nikaondoka ila njiani najiuliza _"Nani kalipa?mbona sina hata rafiki wa kike alafu naambiwa mkaka?"_ Nikapotezea nikaendelea na safari ya kurudi hostel.. hua nna ratiba ya kusoma usiku.. nikaenda kuchukua vitabu vyangu kama kawaida nikaenda class kusoma..
Nimesoma mpk sa 6 nikaona nimechoka nikalale..Sasa natoka akaja mdada flani akanipa ki memo nikamwambia *"hiki nini?"* akasema *"Namba nadhani utazihitaji mda si mrefu"* nikamuuliza *"za nani na nita zihitaji kwa nn?"* akasema *"We piga useme hata Asante si umenunuliwa dinner?"* nikakumbuka yule mtu alie ninunilia chakula lkn sikumuomba sasa kwani lazima nikasema *"sawa"* nikachukua ile namba nikaondoka zangu ila nikasema _"ngoja tu nishukuru"_ nikapiga ile namba nilipo ingia hostel.. *"Halooo"* mmmh sauti nzuri nikasema *"Haloo unaongea na caren"* akasema *"Oooh mzima?"* nikawambia *"Mzima ila samahani sijakujua nashukuru kwa chakula ila sijakujua"* akasema *"niko hapa getini kama unataka kunijua njoo"* nikiangalia saa sa sita nikasema *"Samahani takuona kesho saiv mda umeenda sana"* nikakata cm nikalala...
Ila ile sauti mh mbn nzuri najiuliza sijui ni yule mkaka mzuri mzuri ila kesho pakikucha tamjua ni nani...
Kesho yake nimeingia class mapema kuingia tu nakutana na wale wadada nlio pishana nao jana pale koridoni mmoja akasema *"Wewe ndo caren?"* nikajibu *ndio kuna nini?*
Wakanivuluta mpka nje kma mwzi jmn..??
*Itaendeleaa...*
FULL STORY UNAIPATA KWA KULIPIA TSH 1000
NAMBA YANGU YA WHATSAPP NA KULIPIA PIA NI 0715906120 MTANDAO YAS JINA LA USAJILI FLORA.