Ingia

Sema Jambo

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94

NASEMA KWA MAMA* *SEHEMU YA SITA 06, 07,

26th Apr, 2025 Views 465

????NASEMA KWA MAMA*

*SEHEMU YA SITA 06, 07,

Endeleanayo.....
*
*
Dokta alibaki anafikicha tu Macho baada ya kuona baadhi ya picha zake za uchi akiwa na Frenk kwenye ile Lodge..

****
****
Dokta alisimama na kuzitupa zile picha mezani huku anaendelea kusoma ule ujumbe alioandikiwa.

"" "Katika hili usije kujidanganya ukaja na jeshi la polisi ili unikamate. Hautofanikiwa, na endapo utamkamata mmoja ujue kuna wengine wawili nyuma na watasambaza kila kitu na kukichafua kabisa hospitali yako..

Kulinda heshima na hadhi yako kwenye mji huu wa Moshi na Moureen hospital iwe kubwa tafadhali jitahidi ndani ya siku tatu hizo pesa zipatikane..

"" "" "Au huu mchezo na Frenk kahusika eti.. Imekuwaje video kama hii irekodiwe. Kuna kitu Frenk anakijua... Aliongea mwenyewe Mama yake Dayana na kuzirudisha zile picha kwenye bahasha kisha kutoka nazo kwenda hadi kwenye gari....

******
******
Ndio Mkuu.. Mimi nimepangiwa kituo hiki cha kazi naomba ushirikiano wako ili kusukuma gurudumu la elimu kwa Vijana hawa.. Niliongea na kupeana mkono na Mwalimu mkuu wa ile shule...

Nilitoka nae ili aende kunitambulisha kwenye Ofisi ya walimu na baadae kwa wanafunzi wote.

Timekeeper aliitwa na kuambia agonge kengele ya dharura na wanafunzi wote waende Mstarini...

Nilienda na mkuu wa shule hadi kwenye ofisi ya walimu na kutambulishwa kisha kupewa meza na kiti ambayo itakuwa kwaajili yangu.

Baada ya hapo tulikwenda njee walimu wote na kuwakuta wanafunzi Mstarini....

"""Mguu pande, "" "" " Mguu sawa.." "" "Nyumaaa Geuka," "" "Nyumaaa geuka...
Aliongea mkuu wa shule na wanafunzi wote waligeuka kwa pamoja na kukaa sawa..

Walikuwa wamesimama wima na kuvalia sare za kupendeza sana... Kulikuwa na mistari ya watoto wa kiume na mistari ya watoto wa kike...

" "" "Haya jamani hamjambo watoto wazuri...
Aliongea mkuu wa shule..

" "" Hatujambo shkamoo.. Waliitika kwa pamoja..

"" "" Leo nimekuja na ugeni jamani.. Huyu anaitwa Mwalimu Frenk.. Ni kijana Mwenzenu kabisa kaajiriwa hapa..
Atawafundisha masomo ya Sayansi hasa Darasa la sita na lasaba..
Mshindwe tu kufaulu utakuwa ni uzembe wenu wenyewe...
Aliongea Mwalimu mkuu na wanafunzi walishangilia sana kumpata Mwalimu mwingine wa sayansi. Nadhani aliekuwa akiwafundisha Mwanzo alikuwa mkali sana...

Wanafunzi walitawanywa na kurudishwa madarasani huku wengi wao wakinitaza kwa tabasamu sana..

Walimu wenzangu walifurahi sana na kuanza kurudi Ofisini kwa pamoja..

Tukiwa tunakaribia kufika Ofisini, tulishtuka sana kuona Gari la Dokta Moureeni limeingia kwa spidi sana kwenye eneo la shule, karibu liwagongea wanafunzi waliokuwa wakiingia Darasani...

Mwalimu mkuu aligeuka kwa Hasira na kwenda kuifuata Gari ili aweze kumkaripia lakini kabla hajafika alishangaa kumuona ni Daktari ambaye ni Mashuhuri sana hapo Moshi mjini "Dokta Moureen.."

"" "" Aaahhhh.. Habari yako Daktari. Karibu sana shuleni kwetu...
Aliongea mkuu wa shule huku anajichekesha chekesha kwa Daktari...

Baada ya kumuona na mimi nilisogea karibu yao kabisa..

"" "" Salama Mwalimu... Alijubu Dokta huku ananitazama mimi...

"" "" "Samahani sana Mkuu.. Namuomba Frenk kwa leo kama huto jali kuna tatizo kidogo nyumbani.... Aliongea Doktaaa...

." "" "aaaahhhhh.. Hamna shida kumbe mnafahamiana..?.. Alijibu mkuu...

" "" Ndio ni mdogo wangu.. Namuomba kwa leo tu, kesho atarejea kazini...
Aliongea Dokta Moureen huku anaendelea kunitazama...

Nilikuwa kimya nisielewe nini hasa kinaendelea, "" "" au kapata habari kuwa nilifanya na mwanae usiku jamani.. Lakini mbona hajachukia sana..
Niliwaza kimya kimya huku nawapa mkono walimu wenzangu na kuwaaga kisha kupanda gari...

Walimu waligeuka kunitazama huku wanatabasamu sana, hakuna alie amini kama mimi ni mdogo wake na Dokta mashuhuri na tajiri kama yule pale mjini...

Baada ya kukaa vyema kwenye gari Dokta aliwasha na kuigeuza kisha safari ya kwenda nyumbani ikaanza...

Tukiwa njiani aligeuka na kunitazama huku anatokwa na Machozi..
Alinyoosha mkono mmoja kwenye Dashboard na kuchukua bahasha fulani ndogo kisha kunikabidhi..

"" "" Angalia huo utumbo uliokuwa ukiufanya... Nitakuua mbwa wewe kama unahusika..

Aliongea dokta na baadae alitafuta sehemu nzuri ambapo hakukuwa na watu wengi na kuipaki gari..

Kwasababu Gari ilikuwa na vioo vya giza basi ilikuwa ngumu kwa watu wa njee kuona kinachoendelea ndani....

Nilishika ile bahasha na kutoa picha zilizomo ndani... Nilishtuka sana kujiona mimi nimemkumbatia dokta tukiwa uchi...

Nilijikuta machozi yananitoka na kuinua uso kumtazama Dokta ila nilishangaa sana kuona Dokta pia kaninyooshea Bastola huku kanikazia sana Sura...

*SEHEMU YA SABA 07*

*****
*****

Nilibaki nimetumbua tu macho kwasababu ilikuwa ni mara yangu ya kwanza kuelekezewa bastola kama vile..

Mkojo na mavi vilinibana kwa pamoja...

Sikuelewa hata nisaa ngapi nimekojoa ila niliona tu Suruali ni mbichi....

Tukiwa bado tunatazamana, simu ya daktari iliingia ujumbe...

"" "usije kuthubutu kumkwaza Muhudumu wa ile lodge, nitakuua." "" "
Ilikuwa mesg kutoka kwenye namba ngeni...

Dokta alishusha bastola na kuvuta pumzi kisha kunitazama nilivyokuwa nikitetemeja na kutokwa na jasho.

Alinitazama nilikuwa nimejikojole pia..

" "" "Nisamehe Frenk.. Aliongea Dokta na kunikumbatia.

Muda wote nilikuwa kama nimechizika vile.. Sikuelewa nini kinaendele..

" "" "Hali ni kama hivyo.. Nafanyaje mimi.. Nitoe hizi pesa au niende polisi...
Aliongea Dokta..

" "" Hapana. Usitoe pesa wala usiende polisi inaonekana huu mpango umetengenezwa na huenda polisi wamehusika pia. Mtu wa kawaida hawezi kujiamini kiasi hiki.. Niliongea huku namtazama Daktari....

"" "" "Sasa tunafanyaje.???? Aliuliza tena Dokta..

" "" "" Sikiliza... Nakuomba nikupe namba za binti mmoja ni Mtaalamu sana wa Masuala ya intelijensia ya Usalama..
Huyo binti nilisoma nae miaka ya Nyuma kidato cha kwa kwanza hadi cha nne na baadae alikwenda jeshini kisha kwenda Marekani kwa miaka mitatu kijifunza masuala ya ujasusi.. Ni miongoni mwa askari wa siri sana..
Anaitwa LIDYA... tafadhali sana nakuomba ukaonane nae leo leo na pia leo leo kazi ianze.. Tutawapata tu hawa wahalifu naamini...

Niliongea na kumpatia Daktari namba za LIDYA binti ninae mfahamu na mtaalamu sana kwenye maswala ya upelelezi..

Dokta alipiga zile namba ikaita tu bila kupokelewa kama mara mbili...

"" "" "Atakuwa bize nadhani.. Hapokei sim.. Aliongea dokta huku anairudisha bastola yake kwenye Dashboard ya gari...

Aliwasha gari ili turudi nyumbani.. Lakini kabla hajaweka gia simu iliita tena. .

Aliitazama Alikuwa ni LIDYA anapiga simu...

Dokta alinipa ile simu niongee nayo Mimi...

"" "" "" Mambo Madam LIDYA,
unaongea na Frenk Yohana... Nilijitambulisha kwanza kwasabau hatukumpigia kwa namba zangu..

"" "" Vipi rafikiangu habari za kazi... Umesharipoti kazini Moshi.??? Siuliniambia umepangiwa ualimu Moshi....
Aliongea LIDYA..

"" "" Ndio nipo Moshi ila kuna majanga kidogo naomba utusaidie tafadhali sana ndugu yangu...

"" "tatizo gani tena Frenk.. Umeshaanza majanga mapema hii jamani wewe mkaka.. Aliongea Lidya..

" "" "Kuna mama mwenye hii simu niliyokupigia nayo anakuhitaji kama utaweza kuja Moshi leo....

""""Hapana, siwezi ndugu.. Nina kazi nzito sana nimepewa na mkuu wangu..
Labda aje Dar Leo hii huyo mama..
LIDYA aliongea..

" "" Sawa.. Basi hadi kufikia mchana au jioni atakupigia simu muonane..

"" "Sawa Asantee..
Alijibu lidya na kukata simu...

****
" "" "Nakuomba ukaonane na huyu binti atatusaidia sanaa... Niliongea na kumrudishia dokta simu yake..

Dokta aliwasha gari hadi mjini.. Alienda hadi kwenye duka moja la nguo na kununua suruali moja ya kitambaa iliyofanana na ile niyokuwa nimeivaa muda ule kisha kunilitea kwenye gari...

" "" haya vaa hiyo.. Uliyo ikojolea hembu itupe...

"" "nilivaa upesi na safari ya kwenda nyumbani ilianza...

Tulifika nyumbani na kumkuta Dayana ametulia tu mwenyewe anaangalia TV, mdogo wake alikuwa shule kwa muda ule..

" "" Dayana.. Nimemrudisha kaka yako ameshajitambulisha shule. Kwasasa yupo tu hadi kesho..

Frenk umshauri Dayana kuhusu shule.. Kafeli chuo kwa ujinga tu. Sijui anawaza nini huyu mtoto.. Alikuwaga na akili sana alivyokuwa mdogo..
Aliongea Dokta huku anaingia ndani kwake..

Dayana alimsindikiza mama yake kwa jicho la dharau hadi alipo potelea kuingia ndani...

"" "" mhhh... Mbona mama karudi mapema leo au anasafari.??? Aliuliza Dayana..

"" "" Ndio aliniambia anataka kwe Dar leo ila kesho mapema sana atakuwa amerudi hapa...
Nilimwambia dayana,

"" "" "yessss... Dayana aliongea na kukunja ngumi, nadhani alifurahia nafasi ya kuwa mimi na yeye karibu kwa siku hiyo...

Nilitabasamu kisha na mimi pia nilipita kwenda chumbani kwangu kuweka vyeti vyangu vizuri..

*****
Baada ya mda Mama yake dayana alikuja akiwa tayari kwa safari... Aliurudishia mlango na kunikumbatia kisha kunibusu..

Naenda na nitatumia usafiri wa Ndege kwasababu kuendesha gari hadi kule nitachelewa na nitachoka sana.. Nikionana nae tutawasiliana sawa my... Nabeba na hizi picha ili akihitaji azione nimpatie...
Aliongea yule mama na kutoka njee...

Nilibaki chumbani nawaza picha zile zinaenda kwa rafiki yangu LIDYA.
Akiona nimelala na mama kama yule duuuuuuhhhhh sijui atanielewaje. Lakini basi tu imeshatokea..
Kwanza Lidya ananijua nilikuwaga zee la madem tangu wakati nipo shule..
Yeye Mwenyewe tu nilimkosakosa sana.....

Niliwaza mwenyewe na kucheka..

Nilitazama njee kwa dirishani na kuona geti ndio linajifunga na Dokta tayari katoka...

Nilishusha pumzi na kuinuka kwenda Sebuleni..

Dayana alinisogelea na kunikumbatia kwa hisia sana..

"" "Ni muda wetu sasa... Jana uliniacha pambaya my... Aliongea Dayana huku anavua nguo zake palepale sebuleni....

Full 1000
Whatsp 0784468229.

Za hivi punde ni za 🔥🔥🔥 | Sema Jambo
You're not logged in
Click here to login and post your story

Welcome gonga94 Continue reading the various stories available here. Click here. Are you an artist then create an account here Signup/Login


mjukuu rewards 100
 

NASEMA KWA MAMA 28--29 ENDELEA.

mjukuu rewards 100
 

DOZI NI SAA 7:00 MCHANA 05

mjukuu rewards 100
 

DOZI NI SAA 7:00 MCHANA 04

mjukuu rewards 100
 

DOZI NI SAA 7:00 MCHANA 03

mjukuu rewards 100
 

DOZI NI SAA 7:00 MCHANA (02)

mjukuu rewards 100
 

DOZI NI SAA 7:00 MCHANA (01)

mjukuu rewards 100
 

MCHEZA CINEMA 05

mjukuu rewards 100
 

MCHEZA CINEMA 04

mjukuu rewards 100
 

MCHEZA CINEMA 03

mjukuu rewards 100
 

MCHEZA CINEMA 02

mjukuu rewards 100
 

MCHEZA CINEMA 01

mjukuu rewards 100
 

DO YOU LOVE ME 18 (S2)

mjukuu rewards 100
 

DO YOU LOVE ME 17 (S2)

mjukuu rewards 100
 

DO YOU LOVE ME..... S2 (16)

mjukuu rewards 100
 

DO YOU LOVE ME 15 (S2)

mjukuu rewards 100
 

DO YOU LOVE ME 14 (S2)

mjukuu rewards 100
 

DO YOU LOVE ME 13

mjukuu rewards 100
 

DO YOU LOVE ME 12 (S2)

mjukuu rewards 100
 

DO YOU LOVE ME 11 (S2)

mjukuu rewards 100
 

DO YOU LOVE ME 10 (S2)

mjukuu rewards 100
 

DO YOU LOVE ME 09 (S2)

mjukuu rewards 100
 

DO YOU LOVE ME 08

mjukuu rewards 100
 

DO YOU LOVE ME 07 (S2)

mjukuu rewards 100
 

DO YOU LOVE ME 06 (S2)

mjukuu rewards 100
 

DO YOU LOVE ME 05

mjukuu rewards 100
 

DO YOU LOVE ME 04 (02)

mjukuu rewards 100
 

DO YOU LOVE ME 03 (S2)

mjukuu rewards 100
 

DO YOU LOVE ME.... 02 (S2)

mjukuu rewards 100
 

DO YOU LOVE ME..... 01 (S2)

mjukuu rewards 100
 

KITUMBUA CHA PACHA ?EPISODE 4

mjukuu rewards 100
 

PENZI LA PACHA ?EPISODE 3

mjukuu rewards 100
 

?KITUMBUA CHA PACHA ?EPISODE 1

mjukuu rewards 100
 

?NG?ZA YOTE CH?TARAH 7

mjukuu rewards 100
 

?NG?ZA YOTE CH?TARAH 6

mjukuu rewards 100
 

?NG?ZA YOTE CH?TARAH EP 5

mjukuu rewards 100
 

?NG?ZA YOTE CH?TARAH 4

mjukuu rewards 100
 

INGIZA YOTE CHITARAH CHITARAH 3

mjukuu rewards 100
 

KISURA WA DAMPO SEHEMU 2

mjukuu rewards 100
 

MPENDA NDEFU 21

mjukuu rewards 100
 

MPENDA NDEFU 20

mjukuu rewards 100
 

MPENDA NDEFU 19

mjukuu rewards 100
 

MPENDA NDEFU 18

mjukuu rewards 100
 

MPENDA NDEFU 17

mjukuu rewards 100
 

MPENDA NDEFU 16

mjukuu rewards 100
 

MPENDA NDEFU 15

mjukuu rewards 100
 

MPENDA NDEFU 14

mjukuu rewards 100
 

MPENDA NDEFU 13

mjukuu rewards 100
 

MPENDA NDEFU 12

mjukuu rewards 100
 

MPENDA NDEFU 11 ?

mjukuu rewards 100
 

MPENDA NDEFU 10 ?

mjukuu rewards 100
 

MPENDA NDEFU 09

mjukuu rewards 100
 

MPENDA NDEFU 08

mjukuu rewards 100
 

MPENDA NDEFU 07

mjukuu rewards 100
 

MPENDA NDEFU 06

mjukuu rewards 100
 

MPENDA NDEFU 05

mjukuu rewards 100
 

MPENDA NDEFU 04

mjukuu rewards 100
 

MPENDA NDEFU 03

mjukuu rewards 100
 

MPENDA NDEFU 02

mjukuu rewards 100
 

MPENDA NDEFU 01

mjukuu rewards 100
 

DEMU MLA MADEMU (CHOMBEZO)

mjukuu rewards 100
 

NASEMA KWA MAMA SEHEMU YA 10*

mjukuu rewards 100
 

NITAKUPA USINIROGE (1)

mjukuu rewards 0
 

SHANGA TISA EP: 19

mjukuu rewards 0
 

SHANGA TISA EP: 18

mjukuu rewards 0
 

SHANGA TISA EP: 17

mjukuu rewards 0
 

SHANGA TISA EP: 16

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 43 (FINAL).

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 42

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 41

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 40

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 39

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 38

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 37

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 36

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 35.

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 34

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 33.

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 32

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 31

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 30

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 29

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 28

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 27

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 26

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 25

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 24

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 23.

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 22

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 21

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 20

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 19.

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 18

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 17.

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 16

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 15.

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 14

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 13.

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 12

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 11.

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 10

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 09

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 08

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 07.

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 06

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 05.

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 04.

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 03

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 02

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 01.

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 23 MWISHOO.

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 22.

mjukuu rewards 0
 

NASEMA KWA MAMA **** 3--4

mjukuu rewards 0
 

SHANGA TISA EP: 15

mjukuu rewards 0
 

SHANGA TISA EP: 14

mjukuu rewards 0
 

WIFI KHAA 04

mjukuu rewards 0
 

NASEMA KWA MAMA* 1-----2

mjukuu rewards 0
 

KIJIJI CHA WAGENI! 04

mjukuu rewards 0
 

MKE WA MGANGA ( 11——15 )

mjukuu rewards 0
 

MKE WA MGANGA ( 6——10 )

mjukuu rewards 0
 

MKE WA MGANGA ( 1——5 )

mjukuu rewards 0
 

SHANGA TISA EP: 13

mjukuu rewards 0
 

WIFI AKE KHAA Sehemu ya tatu

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 21.

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 20.

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 19.

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 18.

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 17.

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 16.

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 15.

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 14.

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 13.

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 12.

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 11

mjukuu rewards 0
 

WIFI KHAA 02 #Tulipoishia

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 10

mrindia rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 09

mjukuu rewards 0
 

*MY CHUNUN* 01

Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest